Hivi ni kweli Bakwata hawajayasikia Matusi ya Mashia? Sh. Muhammad Issa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @taliqsanataliq7064
    @taliqsanataliq7064 Год назад +2

    Ukweli Sheik Mohamed issa,,,,Ni elemu bila mipaka!!Hawa sio wezetu

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 Год назад

    Vipenzi vya yahudi ibn sabai ni mabingwa wa matusi,kejeli na fitna. ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuhifadhi al akhiy Muhammad Issa. Wapuuze na usamehe,ALLAH SUBHANAHU WATAALA Ndie Mjuzi Mwenye Nguvu. Endelea kubainisha Haki.

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Год назад

    MashaAllah MashaAllah Allah awahifadhi masheikh ztu tko pmoja Wallah dhuma Wallah mm binafsi nina best hku ughaibuni ni IRAQ cku naenda sehemu yke kukataa nywele aliniambia siwezi kukuta nywele nika muuliza kwanini ananimbia wewe unaitwa Omar nika shutuka anani ambia mm Shia hutumpendi swahaba Omar R,a,w machozo yalitaka kuni toka hawajui Muhammad Isa unaongea Wallah dhuma Wallah Allah akuhifadhi tuko pmoja MashaAllah MashaAllah HasbiyAllahu waneema wakila Shia

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 Год назад

    Naamu sheikhe IDDI. Waifikishie hao mamfuti hao. Wanamlinda mfuti unafikiri swahaba.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 Год назад

    Abi abi mtu mwenye maradhi katika moyo hawezi kumuelewa huyu akhiy lkariim kwa sababu muhuri ushapigwa ktk moyo maradhi yanaongezwa.

  • @alternativeislamicmedicine8396

    Mawahabi wanawakufurisha waislamu woote.
    ruclips.net/video/bFkCyKAalao/видео.html

  • @alternativeislamicmedicine8396

    Hivi ni kweli bakwata hawajasoma na kusikia namna mawahabi wanawakufurisha masunnih hasa wa bakwata.
    ruclips.net/video/bFkCyKAalao/видео.html

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 Год назад

    Matajiri wakubwa Tanzania ni Shia.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Год назад

      Hata kina thamudi walikuwa matajiri wakubwa ktk Dunia. Na matajiri wa ulaya na marekani wengi wao ni makafiri. Seuze mashia wa Tanzania. Acha point za kitoto.

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 Год назад

      @@ahmadmzoa74 huna akili wewe na shehe wako kutaka kubagua watu kwa kutofautiana itikadi.mtume mwenyewe aliishi na jamii iliyomkataa.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Год назад

      Ahsante hata Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam aliambiwa yeye ni mwendawazimu seuze mimi kuambiwa na wewe sina akili.?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Год назад

      Waislamu wakweli wasiokuwa na chembe ya unafiki huwatukani. Alama ya nne ya unafiki ni mtu kupitukia mipaka.Ilitosha uniambie mimi tu sina akili. Lakini na shekhe wangu?Mawili;Huenda hujui vizuri Dini yako au una unafiki.

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 Год назад

      @@ahmadmzoa74 unafiki ni pale wewe na shehe wako mnapotaka shia watengwe wanatukana maswahaba,tusishirikiane nao.wakati huo huo kuna watu wanamuita yesu ni mungu na tunaishi nao nyumba moja,tunakula pamoja, na kwenye shughuli kama harusi za kiislamu hadi kwenye maulidi mnawaalika.sijui shia na hao kuna tofauti gani.

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 Год назад

    Sasa huyu jamaa hata simuelewi hoja yake nini. Alafu mjinga sana anachuku mda mrefu kujifanya anawatolea wstu ushahidi kumba anatusomea kiji jarida chakiwahabi. Kwahiyo anataka watu wajenge misima kutokana na hicho kijarida cha kiwahabi. Sheikh kama huna hoja za kielimu kasome babu

    • @hajimasoud7210
      @hajimasoud7210 Год назад

      We tulia sindano ikuingie acha papara

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Год назад

      Usirudi nyuma akhuy Muhammad Issa hata kama utabezwa na kutukanwa na vipenzi vya yahudi ibn sabai puuza na samehe.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Год назад

      Wafuasi wa yahudi hawawezi kutoa hoja bila kutukana au kukejeli. Ndo makuzi yao wanavyolelewa. ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuhifadhi al akhiy Muhammad Issa.

    • @jumakambunga1882
      @jumakambunga1882 Год назад

      Sema kweli hata Kama kweli inauma

    • @khaalidi3503
      @khaalidi3503 Год назад

      Watu wapumbavu na wajinga kama wewe lazima wawepo mnafiki wewe na wajiona unaujua uislamu wako au unauislaam wa kuzaliwa wewe