kweli Nina miaka karibu 8 nmetembea baadh ya nyumba sijawah one alie fuga mbwa jamani wetu tusemeni tu Ukweli watuwakishindwa kaz kwa uvivu wao wakirud ili wasionekae wabaya wao wanatunga uongo😢
Mm Nina miyaka 10 nahapa nilipo wanafuga mbwa paka na waudumiya kilakitu so ukiona wewe umepata pazuri shukuru ndugu kunawatu Wana pitiya changamoto mpaka unashangaa
Mm nipo omani mwaka wakumi ss alhamdullah na madam wangu alikuwa mtu mzuri mashallah Allah amrehemu lnshallah mwezi wa saba mwaka huu amefariki lakini sitoweza kupanda kama yeye maana niliishi nae kama mtt wa family nimemuuguza alikuwa anaumwa na figo kiukweli namuombea sana kwa Mungu ss nipo kwa mtaraka wake naendelea na kazi lakini hapa kidogo huyu baba mbinafsi anafoka sana SubhanaAllah lakini nitakomaa nimalize miaka miwili lnshallah nilirudi nyumbani nikapumzike nashukuru nilicho kipata siyo kidogo arafu kuhusu watu kuteseka siwezi kusema wapo au wapo kira mtu anajua changamoto zake anazo pitia kwa boss wake arafu binamu awafanani mabellah kulikuwa na majirani zetu waburushi mfanyakazi wao mtz wanafuga mbwa utasema ugomvi kwa hiyo mbwa wapo na ss wanachukulia kama mrembo uku
Omani upande wa wanaume wapo vizuri hawana manyanyaso wapo piace sana madudu yapo kwa hao wanaojiita madamu kula simu,kwende ,makeup hemu dada nenda ubalozini ukawafate ao waliotoka majumbani kila mmoja umvute kichochoro chake alafu tuletee hapa ao ndio wenye ukweli
Huyu dada anae hoji anatamani ambiwe kuwa watu anateswa, Ila jama aliehojiwa kajua kumkata mkali wingi wanokwenda kufanya kazi oman hawaendei kile walichoendea, wingi wao Wanaenda kufanya umalaya,
Kwa kweli hao wanolalamika khs kuteswa arabuni ni wanawake tu, most of them wanakuja na dhamira mbaya na wasipopata dhamira zao ndio husema waarabu wabaya.
Ni Adimu sana kuona oman 🇴🇲 mtu anafuga mbwa ndani tuu ya nyumba mie nipo nina mda sasa sijaona hayo madada zetu wengi hujitia na tamaa nambo mengine ndo hupata tabu zaidi
Bora mje muone wenyewe watu wamechoka na uongo wa madada wa kazi hawana shukuru kuna wako wana lilia kazi wao wana dharau rizki wana kuja na malengo yao mengine sio kazi
Changamoto zipo lakini si kwa wote kikubwa hasa kinacho tushinda watanzania ni kanuni za nchi hii ukifata kanuni zao utaishi naukajikuta kama upo nyumbani mimi huu nimwaka wa 7sasa
Watu bana msiseme hakuna anaye teswa jaman hebu kila mtu ajaribu kujisrmea yeye na so kusema hakuna anaye teswa. Wapo wanao tesema sema wengi wao wanakuwa niwale wanyonge hawana pakusemea.mimi binafsi niliwahi kwenda kufanya kz khabura jaman kaz zote nilikuwa nikifanya mpaka kulisha mbizi nakuosha magar bado siku huyo mama ake madam anambia ataniua na sitoweza rud tz hapo ndi nikaamua kutoroka mpaka ss nina miaka miwili na miezi sipo kwenye mkataba nanataman sana kununuliwa ila boss wangu anahitaji pesa nyingi sana 😢😢😢😢😢
Ubaya huwa una utafuta wewe mwenyewe ukija kwa lengo zuri utavuna mazuri na utastarehe ikiwa utakuja kwa ubaya utavuna mabaya tu sidanganye inchi za gulf ni best kwa wafanyaji kazi
@@SelemaniMndai-ox8dy hatukatai kwani hapo kwenu munapo ishi kwani hakuna wafanyao makazi wanao teshwa na ma boss wao hio iko ulimwengu mzima lakini ukilinda kazi yako na hishima yako bro utatoboa tuwache matamanio
Maashallah ALLAH amzidiahiye huyo tajiri yako Sababu ana imaani namfanyakazi wake.kuna wengine hata ukafanya kazi zako kwa uzuri kwa bidii lkn hutokeya tu kakuchukiya basi hapo ndiyo ubaya unaanza na baadhi ya waarabu huwa hawapendi usise umechoka hususani wafanyakazi wa ndani
Huyu kaka anasema ukweli na Na hawa madada wasio weza kazi basi warudi Tz maana watasababisha kuwakatia riziki wenye nia ya kazi na malengo ya somesha wtt na kujenga
Wadada wakazi wanakuja kutafuta wamaume tu hawana nia yakazi na roho zao zamaya lakini sio woote na ma group wanadaganya tu kama mtu huna nia yakazi basi usije hujuwe pesa gapi tunatoa mpaka wewe ufike oman sichini ya rial 1000 oman
sis tu na dada wa kazi ana mwaka wa nane sasa,❤kashajenga tayari sasa atarudi kupumzika kamaliza malengo yake ,lakini pia akiwa na shida tutamsaidia na hata akitaka kurudi kwa baadae tutamrudisha
Kiukwel changamoto changamoto zipo pande zote mbili aidha kwa mfanya kz au kwa madam ila kwa ss tunaejua nn kimetutoa tz tunastahamili kwa vile zinastahamilika
Aaaaaaaaaaah kumbe kajenga singida hapo sawa ila wapo wanae pitaia mitihani msiwe mnasema tu kwamba ni waongo ila utapo kutana na wenye changamoto ndio utapata ukweli wote ZAI
@@dorcaskidoti249 wanajikuta washamaliza kote mm apa kilasiku nawaona natena mpaka mtu mzima kama uyo unamuuliza eti umejenga here kwani mbona hakuuza watz akuwasaidia ata kodi ujingatu yupo nao
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
Mamangu hakuna anae teswa hawa wasichana hawafati kazi wana mambo yao oman 🇴🇲 ni nchi nzuri na upendo haswa watu wanao toka tanzania ni ndugu zetu ❤
Wanakuja namambo mawili
Hapana msiseme ivo ni kwel jaman wengine wanateswa hapa kunajiran yangu hapa huwa anapigwa na ajenti wake wala hana muda na huyo mfanyakaz
Sio wooteee, ukipata sehemu nzuri sema Asante Mungu
Jamani wapo wanaoteseka
Ww usiseme hivyo km hujawah pitia mitihan ya kuteswa na warabu tulia tuli
Ma sha allah
Zari karibu sana oman
Tupo wadd tunapambana na kz tunatafuta maisha
Ni kweli wafanyakazi wengi wanapenda kuchafua nchi za kiarabu . Wengi ni waongo
Nchi za kiarabu siyo rafiki kutafuta maisha wengi wao wana roho mbaya ni wachache wenye mioyo mizuri
Wapi watu wana roho nzur ebu twambie@@ramadhanmahongole9293
Kweli wengi ni waongo
Usiseme waongo sema hayajakukuta
@@zaytunhijja6771 wanao nyanyaswa hebu wajitokeze huyu mwandishi si yupo Omani hebu wam dm watoe malalamiko wasaidike
Kijana nimempenda kwa ukweli wake. Hakubali na fitna za uongo
kweli Nina miaka karibu 8 nmetembea baadh ya nyumba sijawah one alie fuga mbwa jamani wetu tusemeni tu Ukweli watuwakishindwa kaz kwa uvivu wao wakirud ili wasionekae wabaya wao wanatunga uongo😢
Haswaa
Baada mtu afuate alichojia analeta fitna
Mm Nina miyaka 10 nahapa nilipo wanafuga mbwa paka na waudumiya kilakitu so ukiona wewe umepata pazuri shukuru ndugu kunawatu Wana pitiya changamoto mpaka unashangaa
lakini wapo warabu wanao fuga mbwa
@@OmanRuwi-ml2pqna bado upo hapo hapo kwenye kufuga mbwa
Mm nipo omani mwaka wakumi ss alhamdullah na madam wangu alikuwa mtu mzuri mashallah Allah amrehemu lnshallah mwezi wa saba mwaka huu amefariki lakini sitoweza kupanda kama yeye maana niliishi nae kama mtt wa family nimemuuguza alikuwa anaumwa na figo kiukweli namuombea sana kwa Mungu ss nipo kwa mtaraka wake naendelea na kazi lakini hapa kidogo huyu baba mbinafsi anafoka sana SubhanaAllah lakini nitakomaa nimalize miaka miwili lnshallah nilirudi nyumbani nikapumzike nashukuru nilicho kipata siyo kidogo arafu kuhusu watu kuteseka siwezi kusema wapo au wapo kira mtu anajua changamoto zake anazo pitia kwa boss wake arafu binamu awafanani mabellah kulikuwa na majirani zetu waburushi mfanyakazi wao mtz wanafuga mbwa utasema ugomvi kwa hiyo mbwa wapo na ss wanachukulia kama mrembo uku
Ukifikiria kurudi Oman nitafute kwangu hautojuta.. Mimi napenda anae kaa miaka mingi kwenye nyumba moja .
Shuran kaka kuteteya Omani hauna tamaa yapesa kusema uongo hongera 🎉🎉🎉🎉🎉
Tatizo wanaechafuwa wale waliyetoroka kwa mabossi zao nawanakwamatwa Selekari aitaki ukuu watu kuzurura nchi yawatu Asante kakangu kutetea Oman
Oman asilimia kubwa iko salama atakae naaje.Tusitichane kwa watu wachache wenye chuki binafsi
Zari umefika Oman, mashaallah vizuri upate kujua ukweli uliopo
Mashallh m mungu akuzidishie
Ahsante sana, wenye chuki na hasad ndio wanaopakazia Oman.wengi wao walifanya uhalifu, wakafukuzwa, ndio wanaolalamika kwa kutumia uongo
Mimi nipo Omani mwaka wakumi huu ukiwamvumilivu 2 nimenjenga sasaiv watoto wangu wapo chuo
Kabisa weweKamamimi hao wanao sema wanateswa huenda kwasababu watu hawafanani ilawengine wanamambo yao
10 mama mi nikifika 4 tu nasepa
Omani upande wa wanaume wapo vizuri hawana manyanyaso wapo piace sana madudu yapo kwa hao wanaojiita madamu kula simu,kwende ,makeup hemu dada nenda ubalozini ukawafate ao waliotoka majumbani kila mmoja umvute kichochoro chake alafu tuletee hapa ao ndio wenye ukweli
KAJA kwa njia ya ubalozi ana jua yote
Alafu swali la kujiuliza ata yy dada zari mtu amfate pale global anaweza kusema boss wake yalio mabaya ?
Huyu dada anae hoji anatamani ambiwe kuwa watu anateswa, Ila jama aliehojiwa kajua kumkata mkali wingi wanokwenda kufanya kazi oman hawaendei kile walichoendea, wingi wao Wanaenda kufanya umalaya,
Wewe sema ni bahati yako ulibahatika pazuri kwa hiyo family. Shukuru Mungu., sio kusema omaniakuna mateso sema aukuteswa kwa hiyo family.
Subhanaallah yaarabi wanusuru wa omani maana hatukuzaliwa tanzania hatujuwi maisha ya tanzania 😂😂😂
Kaka wa watu katakata mweyewe alafu mpole , safii sana
Kumeanza kuchangamka Oman woyooooo da Zali njoo uone ninavyopindua birian huku😂😂😂😂
😂😂😂
kaka upo vizuri inshaallaw ukamilishe malengo yako
Da zari karibu sana Oman , InshaaAllah ikipendeza ufike na ubalozini tuwasikie na ishu za wadada wanaotoka makazin changamoto zao
Zari upo Oman ? Karibu kwangu
Maiko wa singida wilaya mkalama masha Allah 🎉🎉🎉
Kwa kweli hao wanolalamika khs kuteswa arabuni ni wanawake tu, most of them wanakuja na dhamira mbaya na wasipopata dhamira zao ndio husema waarabu wabaya.
Ni Adimu sana kuona oman 🇴🇲 mtu anafuga mbwa ndani tuu ya nyumba mie nipo nina mda sasa sijaona hayo madada zetu wengi hujitia na tamaa nambo mengine ndo hupata tabu zaidi
Muonganishie kazi na mdogo wangu wa kiume passport anayo 😢😢
Zari upo omani mashaalah numefurah
Mimi Na Miyaka 10 Huku Uwarabuni. Saudia Miyaka 4. Huku Qatar Nina Miyaka 6. Sijawahi Kuteseka Na Mshukuru MUNGU
Oman ni nchi yenye watu wakarimu sana katika nchi za kiarabu zenye watu wakarimu oman ni moja wapo
Bora mje muone wenyewe watu wamechoka na uongo wa madada wa kazi hawana shukuru kuna wako wana lilia kazi wao wana dharau rizki wana kuja na malengo yao mengine sio kazi
Mie nawalaumu sana hawa waoman kwa nini wanawachukua hawa Watanzania hawana shukran wao kuwatukana waarabu tu
Ila da zari kwer Oman mbwa hafungwi majban ukwer usemwe
Mbwa wanafungwa oman
Kwani mtu akisafiri mpaka ajenge kimeandikwa wap kujenga nimaaliwa kwani zile nyumba za Tanzania wote wapo nnje acheni izo
Umetembea wp wew wakat kila mtu amejifungia kwake jmn,hakun kaz amby haina changamot sema mtu kuvumilia na malengo yk hv
Nikweli oman hawafugi umbwa mm Nina miaka 7 lakini sijaona umbwa
Tupen mchongo
Wapo dada mimi hapa jiran wanao wengi bangali ndio anashuhulikia
Apa kwetu wapo kwani wanashida gana nawao viumbe
Umetembea oman nzima au unaongelea unakoishi tu ?
@@shangazshangaz4222 wapo autembei omani yote
Wana mambo. Yao mengine ila sio mbwa wai wentewe wanaogopa mbwa
zari tembelea kwenye nyumba uone wafanya kz za ndani wanavyotumwa km sio binaadamu
Kwanzaa angeenda Ubalozini akawaone wario kimbia kwa warabu kwasababu ya mateso ndipo ataamini kama kunawanao teseka
Kasema ukweli sio kufatisha makundi ya wakenya kuiba waume wa watu
Hata wa bongo hizo tabia za mabwana zawatu wanayo sana.
Kweli kabisa
WAVIVU, NAXWAZURULAJI NDIO WANALALAMIKA
Yaani Ndugu yangu Uko sahihi
Watu wanapenda maisha ya rakshali.kwenye nchi ya watu awafuati masharti ndo maana wanapata tabu pigeni kazi tusiwe wanafki
Kazi kuponda watu, wakat uyo unaemuhoji kanenepa kwa shibe
Wengi ni waongo km kwel hebu wajitokeze hutapata hta mmoja ni mitandaoni kuharibia wenzao wenye uhitaji wa kazi
Na awo waonaosema wanaonewa wanaka Tisha watu tu tamaa, wingi wao washajenga wakirud tz
Changamoto zipo lakini si kwa wote kikubwa hasa kinacho tushinda watanzania ni kanuni za nchi hii ukifata kanuni zao utaishi naukajikuta kama upo nyumbani mimi huu nimwaka wa 7sasa
Wafanya kazi wingi wao hawaendei kazi wanaendea umalaya, manyanyaso wameyapat bongo ndo wakaenda huko oman, Kila kazi inachangamoto yake,
Assalam dada Angus
Ni kweli ukifuata kazi,utafanikiwa usiwe na mambo mengi mimi pia nipo Omani ,sijaona wanao fuga umbwa,hamna huku
Kaka nikupe mauwa yako🎉🎉🎉
Watu bana msiseme hakuna anaye teswa jaman hebu kila mtu ajaribu kujisrmea yeye na so kusema hakuna anaye teswa. Wapo wanao tesema sema wengi wao wanakuwa niwale wanyonge hawana pakusemea.mimi binafsi niliwahi kwenda kufanya kz khabura jaman kaz zote nilikuwa nikifanya mpaka kulisha mbizi nakuosha magar bado siku huyo mama ake madam anambia ataniua na sitoweza rud tz hapo ndi nikaamua kutoroka mpaka ss nina miaka miwili na miezi sipo kwenye mkataba nanataman sana kununuliwa ila boss wangu anahitaji pesa nyingi sana 😢😢😢😢😢
Pole
Brother angu ❤❤❤❤😂
Ubaya huwa una utafuta wewe mwenyewe ukija kwa lengo zuri utavuna mazuri na utastarehe ikiwa utakuja kwa ubaya utavuna mabaya tu sidanganye inchi za gulf ni best kwa wafanyaji kazi
Ayaja kukuta Kuna watu wanateseka Kuna nyumba ya mama wa Bosi Wang akai flipina muinnd wara mtanzania mama kazana watt 13 wajukuu kama wote
@@SelemaniMndai-ox8dy hatukatai kwani hapo kwenu munapo ishi kwani hakuna wafanyao makazi wanao teshwa na ma boss wao hio iko ulimwengu mzima lakini ukilinda kazi yako na hishima yako bro utatoboa tuwache matamanio
zari umefika sehemu gani ijumaa tukutane tusalimiane mwaa jemeniiii
Huyu mtangazaji hajui kuhoji kapewa kazi kwa kushikwa mkono
Ndo kinachotakiwa ufuate masharti ya boss wako
Maashallah ALLAH amzidiahiye huyo tajiri yako Sababu ana imaani namfanyakazi wake.kuna wengine hata ukafanya kazi zako kwa uzuri kwa bidii lkn hutokeya tu kakuchukiya basi hapo ndiyo ubaya unaanza na baadhi ya waarabu huwa hawapendi usise umechoka hususani wafanyakazi wa ndani
Huyu kaka anasema ukweli na
Na hawa madada wasio weza kazi basi warudi Tz maana watasababisha kuwakatia riziki wenye nia ya kazi na malengo ya somesha wtt na kujenga
Saaa hio niyeye sio km kila mtu yupo km boss wake
Kweli wadada engine noma
Wadada wakazi wanakuja kutafuta wamaume tu hawana nia yakazi na roho zao zamaya lakini sio woote na ma group wanadaganya tu kama mtu huna nia yakazi basi usije hujuwe pesa gapi tunatoa mpaka wewe ufike oman sichini ya rial 1000 oman
wapo waliokuja kutafuta rizk nawapo wanaokuja kutembea au kudanga nakuchukua waume zawatu
Zar njoo mm nipo amrat na miaka 8 sijarudi nyumba nipo na pambana
sis tu na dada wa kazi ana mwaka wa nane sasa,❤kashajenga tayari sasa atarudi kupumzika kamaliza malengo yake ,lakini pia akiwa na shida tutamsaidia na hata akitaka kurudi kwa baadae tutamrudisha
Ukiongie nayo wajitaidi wakalibie Maiki hili tusikie vizuli
Kwa nini munamuuliza mtu mshahara wake?
😅fatuma salim 8293 wengine kweli
Changa zipo awezi kujua yuko bize
Uyu dada hana habar ndio anatafuta mbona aulizi changa baridi anataka changa moto 😊😊😊
Tafuten wasichan wanaopetia changamot
Mashallah😂
Kiukwel changamoto changamoto zipo pande zote mbili aidha kwa mfanya kz au kwa madam ila kwa ss tunaejua nn kimetutoa tz tunastahamili kwa vile zinastahamilika
Huko kwenye majangwa mbwa atamu9nea wapi mbwa wapo Mascot bwana huko kwenye madhiraa mbwa atatokea wapi??
Tupo dd tunapambana tuu
Aaaaaaaaaaah kumbe kajenga singida hapo sawa ila wapo wanae pitaia mitihani msiwe mnasema tu kwamba ni waongo ila utapo kutana na wenye changamoto ndio utapata ukweli wote ZAI
Sawa kuna changamoto tafuta jinsi Gani utasaidiwa maisha yaendelee
USIWE UNATISHA WADADA, TUPO HUUNMWAKA WA 14 MIE
Wa 12 nipo mpk kieleweke malengo yatimie after that naitwa madam😂
@@zainabzain3434 🙋♀️ saluti mrangi wangu, mpaka kieleweke.😁😁😁😁
Mashaallah
@zainabzaMashaallah wanawake oyeeeeeein3434
@zid😂😂😂😂😂dyziddy2524
Dada zali ipo omani
Nikweli huku awafugi mbwa
Wapo sibu mbwa kibao
@@rayahamisi118maabelah pia kuna mbwa mm nishawaona sasa mnapiga mshatembea nyumba zote?
@@dorcaskidoti249 wanajikuta washamaliza kote mm apa kilasiku nawaona natena mpaka mtu mzima kama uyo unamuuliza eti umejenga here kwani mbona hakuuza watz akuwasaidia ata kodi ujingatu yupo nao
Nikuru nitakuja na nitakupeleka kwangu kilakitu ukitaka lazima uvumilivu uwepo hakuna cha rahisi
❤❤❤🎉
Kuchoka kwani siunatumia mafuta
Fika mpaka doha
Hamocha uree wadova ore mohaja
Kwaiyo wanawanyanyapa mbwa? lakini nguruwe wanafuga
Ndio apo kwani sio viumbe nauyu dada mchukunyuku
Mm jirani wapo kilasiku nawaona kwani wanashida gan
@@rayahamisi118 hamba ngurue huko huo uongo
Nchi za kislam hukuti nguruwe waulize wote ktk comment
@@woah.africa99 sio kuna mbwa
Upo omani
Mbwa?!! Wanao, watoto.ndio.wanawafuga na.pakq
Manywnya do yapo kufanya kz bila kuoumzuka kulala pabaya kupimiwa chakula yapo san tu
Hajajenga yupo tu kama Mimi nikiwa hapa Nairobi kenya
Mulize hajafilwa?
Michezo yako iyo sasa unaona nikila mtu yupo hivyo
Unaza watu wote tundu zao zipo wazi kama zako
@@zaytunhijja6771
Swali la kumkosea mtu adabu linaleta faida gani? Hilo swali la mzee harubu ni la kibaradhuri tu
Unahisi kwa jina lako na umri wako kama ulivyojiita - hilo sio swali la ukosefu wa adabu?
Poor interview mwandishi jitahid
Tunaoteswa tupo tena tunaambiwa tunanuka halafu tunawapikia wanakula wakati tunanuka,nipo mabela,nateseka lakini navumilia,
Si Rudi kwenu kunako raha kwanini unakaa kwenye mateso hata kwa mume kama kuna manyanyaso unarudi kwenu