Heshima sana kupata fursa ya kumuona Boni na kina Makai na Vencha humu. Boni amefanya mengi na ya msingi yaliyopelekea kuwepo kwa muziki huu wa kizazi kipya. Hongereni Mkasi kwa kazi hiyo. Pamoja.
BoniLuv Venture!!! hasa boni...kaka mzima bw...made da 90s radio waves n clubs fun na sikujua ni family...!!glad to kno bado mpo fit and SALAM...DADA KEEP UP DA GOOD WORK!!!
Mambo vipi mjasiria mali, ninamaoni kiduchu, mchanganyaji picha mwambie achukue video kwa mtu anae ongea, siyo mtu anae sikiliza maongeze. hayo ni maoni yangu binafsi tu yanaweza kuwa sahihi au si sahihi. kazi njema.
Heshima sana kupata fursa ya kumuona Boni na kina Makai na Vencha humu. Boni amefanya mengi na ya msingi yaliyopelekea kuwepo kwa muziki huu wa kizazi kipya. Hongereni Mkasi kwa kazi hiyo.
Pamoja.
hawa jamaa kumbe ni ndugu na nilikuwa sijawahi kuona sura zao..big up mkasi tv
BoniLuv Venture!!! hasa boni...kaka mzima bw...made da 90s radio waves n clubs fun na sikujua ni family...!!glad to kno bado mpo fit and SALAM...DADA KEEP UP DA GOOD WORK!!!
Ni kweli kabisa...camera inachukua sehemu nyingine na mtu anayeongea ni mwingine....
Dah hii ilikua bonge ya interview ilinipita hii aisee kumbe washkaji ndugu hawa
Kumbe hawa jamaa ni ndugu moja
Mambo vipi mjasiria mali, ninamaoni kiduchu, mchanganyaji picha mwambie achukue video kwa mtu anae ongea, siyo mtu anae sikiliza maongeze. hayo ni maoni yangu binafsi tu yanaweza kuwa sahihi au si sahihi. kazi njema.
muuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuba
2018
huyu awilo mbona anauliza shudu daily muhfaka