Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Wanaorudia tena 2024 like
Hakika imeniliza kazi nzuri kwaya ya magereza tz Ahsante mzalendo mwana wa Africa
mwimbo mzuri sana
Safi wimbo mzuri
Bendi ambazo siwezi kuhasau kusikiliza nyimbo zake hii ni mojawapo ,zinaniburudisha,zinanifundisha,na kunitafakarisha katika maisha ya Sasa.
Hasa ule wimbo wa (Niko Msitu na Nyika-Issa Kamba)
Hongereni Sana wimbo mzuri beat nzuri,,sauti nzuri pia 👍👍👍
Nawapenda bureee wimbo mzurii cna japo tuna majonzi R.i.p rais wetu tulikupenda lakn mungu kakupenda zaid hatuna budi kumshukulu
Hongera sana wapiganaji wetu, Huu wimbo mmeyapanga vizuri mashairi na beat pia, Rhythm guitar imepapaswa vizuri sana.
Daah wimbo unahisia kali bonge la rhumba
Rip jpm,,,hakika umeliliwa Sana.
Magereza Jamani Hii Band Ni 🔥🔥Mmeimba Vizuri nyimbo hii ya Maombolezo
Good job Tanzania prisons band
Hongereni sana
Hongereni Sana kwa wimbo mzur kwa ajili ya kumuenzi aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli 🙏🙏🙏💓💓💓 apumzike kwa amani😭😭😭
Ameen
Asanteni Kwa wimbo mzur, hii bend inajitahd sana
Good job!!!
Hingeren magerez
Mungu awabariki mmeimba vizuri sana
Pumzika salama kiongozi wetu
Mambo yamenoga TBC hongereni Sana 🙏🙏🔥🔥
Keep it up
Asante sana
1302