FAHAMU SHERIA NA HUKUMU YA MTU AKIFUMANIWA NA MKE AU MUME WA MTU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 27

  • @yusuphmuangobola9634
    @yusuphmuangobola9634 4 года назад +5

    Mnaongea Sana kelele nyingi acheni mwanasheria aonge mzaha mwingi kwenye Mambo ya msingi mna boa.

    • @argentinachottah5962
      @argentinachottah5962 3 года назад

      Kweli kabisa wana makelele wakati tunasikiliza kitu cha msingi toka kwa wanasheria

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 года назад

    Wana sheria mmoja amefanana na fally pupa na mwengine amefanana na kuki, kazi njema inshaallah.(ugoni n uzinzi vihukumiwe tu

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 4 года назад +3

    😂😂😂Swebe umeni achague hoi eti akitoka nduki 😂😂😂

  • @FLORAKAYOMBO-h3o
    @FLORAKAYOMBO-h3o Год назад

    Nimeipenda Asante

  • @yohanamashauri7742
    @yohanamashauri7742 4 года назад +2

    Nyie wa tangazaji acheni ujinga kelele.nyingi

  • @ليلىفاكي
    @ليلىفاكي 4 года назад +2

    Swebe bwana 😂😂😂😂😂

  • @GozibathCravery
    @GozibathCravery 6 месяцев назад

    Sheria ni moja tu

  • @sesilialaga5403
    @sesilialaga5403 2 года назад

    Je akinishika ugoni sawa faini ikatolewa nayuleniliekutwanaeKisha nikamkataa Mume wangu shelia ikoje

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 4 года назад +1

    Nimecheka sana swebe unanivunja mbavu zangu

  • @witnessemmanuel7063
    @witnessemmanuel7063 9 месяцев назад

    Huyo kaka anashobokaa au hana nguvu za kiume ninii et wazinzi jani😮

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 года назад +2

    Dah! kifungo cha ugoni😂😂

  • @RamadhanNamtema
    @RamadhanNamtema 6 месяцев назад

    Mm mke wangu nimemkuta na meseji kwenye cm za mwanaume na mtu mwenye namjua sheria ipoje

  • @evasamson8238
    @evasamson8238 2 года назад

    Acheni kelele waachieni watalamu waingeee

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 года назад +2

    Wanaume wengi ni waongo sana kumchunguza ni vigumu

  • @janemuhumba5823
    @janemuhumba5823 3 года назад

    Ila wew swebe 😂😂😂😂😂 mbavu zangu huku

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 4 года назад +2

    Swebe ww sikuwezi

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 года назад +1

    Watu hawajui hizi sheria. Yaani huku nje ukizaa nje ya ndoa na una mke/mume uwiii sheria itakufilisi. Yaani ndio maana watu wakizinguana huachana kwanza kabla ya chochote

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 4 года назад +1

    Swebe😂😂😂😂😂😂😂😂umenivunja mbavu

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 года назад +1

    swebe ananitoaga stress

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 2 года назад

    Mwanasheria kwenye kosa la uzinzi lililopelekea kupatikana kwa mtoto, hapo umezungumzia mwanaume ambaye amelea mtoto ambaye si wake. Ikitokea ni mwanaume ndiyo amezaa nje ya ndoa adhabu inakuaje kwa huyo mwanamke aliyeingilia ndoa?

  • @tullyibrahim8098
    @tullyibrahim8098 4 года назад +2

    sheria inatakiwa kujua kua hawa mbwa niwaongo sana!

    • @mariumpeter6147
      @mariumpeter6147 4 года назад

      👏👏👏

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 4 года назад

      Jeeezyy!!!

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад

      🤣🤣🤣

    • @eliasmpozamarira2536
      @eliasmpozamarira2536 3 года назад

      Nime wasikiriza nyinyi wote
      Ni shelia gani number gani inayo ruhusu mume awowe muke mwingine?
      Au mwana muke aworewe namwana
      Mume mwingine?
      Ukisoma Mathew 19: 1- 12
      Bibiriya hayiruhusu mume na muke kuachana.