PATANISHO : HUYU MWANAMKE NI KAMA AKO NA MAPEPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 181

  • @peteromae3348
    @peteromae3348 3 года назад +5

    Gidi na ghost nawapenda sana kwenye patanisho asubui.....🔥🔥🔥💪💪

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 3 года назад +27

    Nancy usirudi kwa huyo jamaa na ukirudi utakiona cha mtema kuni,Gidi ongezeni time kwa patanisho mtu ajieleze maoni tu.

  • @alainbigero8609
    @alainbigero8609 3 года назад +1

    Gidi l like your wisdom
    Nakufuata sana kutoka Burundi 🇧🇮

  • @dominicongaga3114
    @dominicongaga3114 3 года назад +14

    I support this man 💯💯...hawa wanawake wametuzoea Sana......let her learn the lessons........

    • @aldojay8629
      @aldojay8629 3 года назад

      i realize it's quite off topic but does anyone know of a good place to stream new series online ?

    • @carmelolennon6259
      @carmelolennon6259 3 года назад

      @Aldo Jay Flixportal xD

    • @aldojay8629
      @aldojay8629 3 года назад

      @Carmelo Lennon thank you, I signed up and it seems to work :) Appreciate it!

    • @carmelolennon6259
      @carmelolennon6259 3 года назад

      @Aldo Jay Glad I could help xD

    • @Sabrina1977-y
      @Sabrina1977-y Год назад

      AM A LADY, SINGLE MOTHER OF 4, AND I AGREE WITH YOU. I WILL NEVER GO BACK

  • @abmiaji708
    @abmiaji708 3 года назад +1

    Caro kemunto watching from Saudi. Hii dunia Iko na maneno

  • @mainamaish2328
    @mainamaish2328 3 года назад +10

    Life ikifika hapa wacha nisungue hamamm Nile watoto Wangu kuliko kutengemea bweha kama hii

    • @gladysmmbone1101
      @gladysmmbone1101 3 года назад

      Kabisa my dear, I support you acha tu tusugue hamamm

  • @carlokemunto8478
    @carlokemunto8478 3 года назад +1

    Caro kemunto watching from saudia 2021date17may Team single mko wapi??gonga likes zetu hapa tukiendanga, hii nguvu ya kupembeleza wanaume mnatoawapi? Unatutia aibu sana , t

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 3 года назад +14

    Dadangu ww kaa kwenu Linda watoto wako mungu atuonekanie tuko wengi single

    • @linetnekesa8019
      @linetnekesa8019 3 года назад

      Na tuko Sawa bila sons of jezebel kakamega na visanga zao atajinjwa kama kuku

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад +1

      Tell her ,sio mwisho wa dunia tuko wengi.na watoto wanasoma na wanagrow.

    • @ellyswai1801
      @ellyswai1801 3 года назад

      Nyie ndio mnashaur watu kuachika juu hamna waume eeeee

    • @linetnekesa8019
      @linetnekesa8019 3 года назад +1

      @@ellyswai1801 wazimu we tuna wanaume watoto tuko nao tulizaa na panya tumia akili for once mapenzi hayalazimishwi

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад

      @@linetnekesa8019 🤣🤣🤣

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 3 года назад +3

    Huyu mwanaume si mzuri. There r so many bad n big things happening in families. These r just issues to solve. Mke alikosa kwa kutoka. Bt huyu mume fidhuli ni mnyama. Wachana nae life must go on...anaoa na hata kulea mke alishindwa

  • @rosenafula2757
    @rosenafula2757 3 года назад +20

    Hawa ndo wanawake huwa wana post fb that i cant marry a man who don't have money ,Mwenye hana gari ,mwenye hakusoma,aki acheni umama wanadada ndoa ni mapenzi hizi zingine badaye ukiomba Mungu utapewa kwa imani....so ladies style up acheni kujipendekeza ati nyinyi ndo kusema pia mimi nikiwa ndani 💃💃

    • @shemmosoti2808
      @shemmosoti2808 3 года назад

      This coming from a lady is encouraging

  • @heavenlyjoylillian795
    @heavenlyjoylillian795 3 года назад +8

    Woi ati kulea vijana ni ngumu 😳😳mummy hapo hakuna ndoa, mwanaume ukibembeleza sana anafura kichwa, mwanaume ukiona anatupa maneno jua hapo Huna chako, mimi nalea my son na mungu wangu 💪💪

  • @paulochieng4258
    @paulochieng4258 3 года назад +4

    I feel this man...his action is just right,mpende anayekupenda..

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 3 года назад

      Kama anampenda ama alimpenda agemsamehea .Watu hukosa kwani mwenye ataleta atakua malaika.

    • @paulochieng4258
      @paulochieng4258 3 года назад +1

      @@mwendapoleee but dem alimtoroka,akiwa down..then akapata mwingine mwenye anampenda..huyo dem ajipange bwana..Alaah!!

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 3 года назад

      @@paulochieng4258 usiteme big G kwa karaga za kuonyeshwa!🤔🤔

    • @paulochieng4258
      @paulochieng4258 3 года назад

      @@mwendapoleee 😅😅😅

    • @linetnekesa8019
      @linetnekesa8019 3 года назад

      @@paulochieng4258 hata ningewa boi child cngemkubali hapo hakuna mapenzi n Mali alitaka akanyake kubwa kubwa atapata migora hapa nrb asettle na kumoja

  • @nancieprincess7363
    @nancieprincess7363 3 года назад +6

    Hufai kuacha mwanaume juu Hana pesa this man was hurt we are supposed to stand by each other... Anyway men have feelings too I understand how he feels

  • @lydiahmogire4518
    @lydiahmogire4518 3 года назад +15

    Ulijitoa mwenyewe na umeanza kulia mwenyewe .Anyway uzidharau mwezako.

  • @carolinemwangi4890
    @carolinemwangi4890 3 года назад +9

    Wapi likes za 974

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 года назад +3

    Wa kwanza! Salamu to wote

  • @verahmunala4019
    @verahmunala4019 3 года назад +6

    Pole mummy just move on that's not the end of life 💔💔💔

  • @jackieshamim3162
    @jackieshamim3162 3 года назад +6

    Nancy move on.tuko hapa single and we are doing good.kuna Siku atakutamani.kama wilson anaongea hivyo kwa mamako hakuna ndoa hapo.lakini asifikirihe ule bibi anataka kuoa ni malaika.pia watakosanatu.heshim mama mkwe wilson

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 3 года назад +4

    Eti kulea wavulana ni ngumu uwaga nasikia ivo ivo kumbe kulea boys not easy pole dada

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 3 года назад +2

    Nimefika sasa

  • @joliea2956
    @joliea2956 3 года назад

    Mwanadada pliz hio ni Ndoana sio ndoa jiandae na maisha yako,hugo mume sio mtu achana nae

  • @pamelamudogo5551
    @pamelamudogo5551 3 года назад +2

    Wacha kulia kaa kama mama tulia mungu yuko

  • @salmasalma9804
    @salmasalma9804 3 года назад

    Waaaaa Noma sana.dada acha kulia move on na ulee watoto wako .huyo jamaa ashapata mke mwengine hana aja na wewe

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 3 года назад +4

    Wololooo ati mwanamke nikama pepo waaah ghaiii sasa jamaa kazi ata haiko poa na anataka afikishe hadi mke wa tatu

  • @badifamwenyewe8301
    @badifamwenyewe8301 3 года назад

    Waa!

  • @susanmuthoni1167
    @susanmuthoni1167 3 года назад +7

    Nancy either urudi ukue second wife.ama upambane na life ulee watoto wako.Kuwa Single sio death sentence.jipange mummy!!

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 года назад +2

    Nancy Nancy Nancy toka hapo mbiyo

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 3 года назад +1

    Dunia ina mambo kweli

  • @beatricemwasi9405
    @beatricemwasi9405 3 года назад

    Huyo wilson ako na roho mbaya sana

  • @felisterongeri3342
    @felisterongeri3342 3 года назад +4

    Nancy panga tu vile jamaa atashughulikia watoto wake hakuna ndoa hapo na usiwahi toka kwa mtu tena juu amekosa pesa huwezi jua kesho, mwanaume pia wew usitupe watoto wako juu ya makosa ya mama yao

  • @stargal906
    @stargal906 3 года назад +4

    Nelson jamani Watu hukosana na pia husameheana, Halafu some time kina Nancy jamani mwache midomo jamani.

  • @malkiahellen2030
    @malkiahellen2030 3 года назад +5

    The man is so arrogant hakina ndoa hapa huyu dada akubali tu aliachwa atafte jinsi atalea watoto wake awajibike tu wanawake wengi tuko hapa tunawajibika bila msaada wa mwanaume n God is so faithful

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад

      We are so many.And doing great‼️💪💪

    • @shemmosoti2808
      @shemmosoti2808 3 года назад

      Mwanaume akisema ukweli mnasema ni madharau

    • @the_computer_scientist
      @the_computer_scientist 3 года назад

      Wanaweke sometimes hukuwa na madharu na mume akikasirika then mnaanza ooh sitegemea mwanaume. I agree that man is arrogant but I dont support anybody any partner who do not stand with another especially in difficult times. Moreover, ladies usually use crying as a weapon. I was once hurt by a lady from Kakamega, I feel you man.

    • @malkiahellen2030
      @malkiahellen2030 3 года назад

      @@the_computer_scientist kojoa ulale nani usilete feelings kwa comment yangu buana.

    • @the_computer_scientist
      @the_computer_scientist 3 года назад

      @@malkiahellen2030 feelings ni wewe, I request you use your brain before using your fingers to type. Kama comment ni yako iweke kwa nyumba. Even the way you engage yourself here depicts your character and where you come from.

  • @carolineundisa8509
    @carolineundisa8509 3 года назад

    Nancy karibu Gulf

  • @marymwangi1782
    @marymwangi1782 3 года назад

    Kwani uyu mwanamke ni mjinga aje anasikia mtu akisema anaweza kumugonga na ngari si kurudi anamuua too sijui ana lia nini move on mamaaa

  • @eunicewanjala8888
    @eunicewanjala8888 3 года назад +8

    Hapo hakuna ndoa,achia mamako watoto,kuja gulf ulee watoi wako.wacha kukuwa desperate.

  • @denilsonmecha2370
    @denilsonmecha2370 3 года назад +3

    Gidi hii patanisho inakuanga sawa sana wakati utapea mtu time ya kujieleza ile awe free please kuambia aweke story iwe short

    • @agnesandalo6936
      @agnesandalo6936 3 года назад

      Yes because they have limited time,other programs are ahead

    • @denilsonmecha2370
      @denilsonmecha2370 3 года назад +1

      @@agnesandalo6936 if you watch this patanisho they have different mins some even have 20mins

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda2357 3 года назад +6

    Eti today +316 mazee siniko wakwanza daah

  • @phillismusyoki1772
    @phillismusyoki1772 3 года назад

    Single five yrs now...na nikona two Bois na wakwaza saii anajoin class eight na mwingine six....na nitawalea pekee ....so mrembo ngangana uyu anaogea ivi ni madharau tupu

  • @lydiakhalai7801
    @lydiakhalai7801 3 года назад

    Pole mommy..

  • @penanauae316
    @penanauae316 3 года назад +2

    Waaa hapo akuna ndoa aki mum mbele kuzuri

    • @linetnekesa8019
      @linetnekesa8019 3 года назад

      🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 let her be Dr turn back kama anataka kuishi aione Kesho na alee wAnawe mpaka bwana akasema Amalia nn Huyo mjinga uliachiwa achika

    • @linetnekesa8019
      @linetnekesa8019 3 года назад

      🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 let her be Dr turn back kama anataka kuishi aione Kesho na alee wAnawe mpaka bwana akasema Amalia nn Huyo mjinga uliachiwa achika

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 года назад

    samia people

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 3 года назад +3

    Huyu bwana aki atakama ni Mapenzi inaisha vile anarusha maneno woiii.Nimbuk kiburi too much.

  • @jeremiasagostinho5272
    @jeremiasagostinho5272 2 года назад

    Pls bwa gidi na ghost nawaombeni muhongeze time

  • @missmungai8140
    @missmungai8140 3 года назад +1

    Urimdharau juu hana kazi pabana na hali yako wewe mwana mke

  • @leahwambui9623
    @leahwambui9623 3 года назад +1

    Nancy pembeleza KAZI upate pesa ukipembeleza mapenzi utapata pressure

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 года назад +2

    ndoa gani?? sienzi, wakati ulikua unaringa??

  • @marywanga7077
    @marywanga7077 3 года назад +2

    Tusitumie maneno ya kiswahili kama atuelewii ati kuna rambirambi zimeskikika baadala ya fununu

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 3 года назад +1

    Waaaaa sasa ata akioa huyu wa pili bado ataoa wa tatu.hapa hakuna ndoa nancy kanyaga kubwa kubwa hapa hakuna ndoa

  • @graciendungu3073
    @graciendungu3073 3 года назад +5

    Huyu mwanamke siku ya conference alikuwa wapi? Tulisema hakuna kubebeleza mwanaume,, mwenye atamuona amwambie akujie notes,ata kama ulijitoa mwenyewe

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 года назад +1

    Wanawake mliumbwa kupitia ubavu wa mwanaume hamuezi tuheshimu! Mnatudhalilisha alafu mmarudi mkilia lia ndio tuwafanyie nini

  • @peterkemei7168
    @peterkemei7168 3 года назад

    Kawaida y wanawake maringo mtaiaja

  • @linetnekesa8019
    @linetnekesa8019 3 года назад +2

    Free advice to my fellow women ukiamua kutolewa kubali for better for worse face the problem but don't 🏃🏃🏃🏃🏃🏃 away u r not a wife material cz akifilizika utaendatu bado mwana Mme huwa hakatai BB n vile ana hasira be patient atakutafta but usimtafte

  • @AyekoCarol
    @AyekoCarol Месяц назад

    Mayiwe 😂😂😂😂😂😂😂😂 ewe nancy

  • @thomashezekiah2394
    @thomashezekiah2394 3 года назад

    Ukiwasha moto ni uhakikishe una mbinu ya kuuzima

  • @veromurigi6375
    @veromurigi6375 3 года назад

    Ndoa ni more than kuvumilia

  • @joneskahi3537
    @joneskahi3537 3 года назад

    Nani ako na number ya melinda gates ? Niko single

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 3 года назад +1

    mtu awe mke au mum akigundua makosa yake na aombe msama anafaa kusameehewa sion kwa nn uyu jamal awesi kumsamehe uyu dada asithan mwenye anataka kuoa nimalaika ata yy ni binadamiu kaw uyu so alifa2 kumsame tayari ako na watoto wake Roho mbaya uwa aisaidi kitu.😳😳😳

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 года назад

    Ongezeni time kwa patanisho mtu atoe ushauri

  • @cletusgitonga2611
    @cletusgitonga2611 3 года назад +4

    Uyo mwanaume kabila yao ni takataka, kabila ya ukuma mamao, I wish izi kabila Zipatiwe na Corona zoote, zikufe.

    • @vincentomondi5612
      @vincentomondi5612 3 года назад

      Cletus acha kuita kabila la watu ni takataka,,sasa wewe kabila lako ni malaika? Ona vile wengine wanaongea hapa ,anyway huyo jamaa akirudiana na huyo mwanamke haki atakua mhjinga wa mwisho,,ametembea amekula maisha sasa ameona huyo kijana ni muhimu.

    • @jokestrokes1882
      @jokestrokes1882 3 года назад

      Gitonga, How old are you ? Juveniles are not welcome on this forum.....sawa sawa...now enda ukacheze video games...

  • @gloriamalonze3598
    @gloriamalonze3598 3 года назад

    Huyu mwanaume n shenzi sana

  • @christinekraus121
    @christinekraus121 3 года назад +1

    Where is Ghost? Iam getting worried

    • @shynaline9534
      @shynaline9534 3 года назад

      India

    • @christinekraus121
      @christinekraus121 3 года назад

      Ati India?😮😮😮 i hope he is not sick! In addition India is at the moment a no go zone.

  • @josephineobiero4552
    @josephineobiero4552 3 года назад +3

    +971 tuned

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 3 года назад

    Hawa wanaonekana wana migogoro ya siku nyingi
    Na wana majeraha kibao
    Hakuna suluhu hapo
    Mbona unaweza ishi tuu bi dada Bila mume???
    Mie nimeachana na baba watoto wangu mwaka wa tisa sasa na nalea wanangu bila presha.

  • @makenamiriti6146
    @makenamiriti6146 3 года назад +3

    Nancy mtu anaongea hivi kuhusu mama yako kweli unaweza mrudia?? 🤔 Never ever over my dead body...

  • @lydiahmogire4518
    @lydiahmogire4518 3 года назад +1

    NANCY Nancy Nancy nimekuita mara ngapi?ukitaka ukae na bwana aja kutoa maneno kwako ukipeleka kwenu.

  • @mariachannelke9769
    @mariachannelke9769 3 года назад +3

    I would advise the man not to take her back
    She is not there for love but money
    Kama hawezi kaa nawewe kama huna y should u she when he has cash

    • @lydiahmogire4518
      @lydiahmogire4518 3 года назад +3

      Yeah huyu demu ndo ako na makosa. Ata anasikia mambo ya watu

  • @favouredblessed2631
    @favouredblessed2631 3 года назад +1

    Ndoa kama hizi ndio unaskia watu wametoana uhai, Nancy just move on, simple

  • @prayerchamber1600
    @prayerchamber1600 3 года назад +1

    Apart from hii patanisho... Hii mambo ya kusema "damu ya kwetu"
    Ndo inafanya watu kuishi under generational curses.... Coz instead of getting out of it unaikaribisha kwa mdomo wako mwenyewe

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 года назад

    Haina haja urudi huko keti kwenu

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 3 года назад +1

    🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 3 года назад +1

    Kujaa saudi Nancy wachana na huyo jana ume😏

  • @josephkyalo8952
    @josephkyalo8952 3 года назад

    Umejikaraga mwenyewe

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 года назад +1

    am a victim, mtu anaenda venye anataka halafu eti arudi atakanyo

  • @shiruwairimu9270
    @shiruwairimu9270 3 года назад +9

    🙆🙆baby girl kuja gulf siku hizi wanawake hatupeberezi mapenzi ngidi nipee no ya huyo dem nitamsimamia kuja gulf

    • @nimuhsteve1079
      @nimuhsteve1079 3 года назад

      Waaaaooh namesake Gods blessing I have so many even relatives but no can help so just help her.

    • @peterkamau6708
      @peterkamau6708 3 года назад

      Wacha mdomo saudis watu wenyu kwanza 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️

    • @shiruwairimu9270
      @shiruwairimu9270 3 года назад

      @@peterkamau6708 tuko huku na siz wa tatu na bro wawili kwa hivo wacha kupayuka kama wanamke

    • @shiruwairimu9270
      @shiruwairimu9270 3 года назад

      @@nimuhsteve1079 hawa mafara hawajui hii pesa ya saudia vile imetusaidia

    • @stellahwilliam7143
      @stellahwilliam7143 3 года назад

      Shiruu..naomba mawasilianao yako..au nitafute fcbk..Stella shujaa

  • @miriammichael6759
    @miriammichael6759 3 года назад

    Move on mommy

  • @meinray
    @meinray 3 года назад +2

    Wilson is still bitter. Kuoa mke wa pili is showing his prowess, avenging his pain.
    Wilson yafaa atulie kabla ya kufanya maamuzi yoyote

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад

      He sounds very Authoritive and bossy🙄🙄

    • @shemmosoti2808
      @shemmosoti2808 3 года назад

      @@susanmuthoni1167 he's talking the truth, ua expectations was the man to be on the wrong

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад +2

      @@shemmosoti2808 kwangu vile anaongea he is too Arrogant, hawa wanaume wakujipiga kifua,Jogoo ya Mtaa.is a No!!
      Aongee,pole,pole ajihumble!!
      I think bado ako na hasira.
      Reread and understand my comment sijasema the Guy is on the wrong.Wote wako namakosa.

  • @evelynambiyo5870
    @evelynambiyo5870 3 года назад

    Mtu avumilie shida za kwake..ukiamua kwenda we enda na usirudi

  • @ellyswai1801
    @ellyswai1801 3 года назад

    Akae uko uko huo mwaka mzima alikua wap??? hawa wanawake wanatubebaga ufala maisha ikiwashinda wanacngizia watoto

  • @Jmwamuchemi
    @Jmwamuchemi 3 года назад

    Siezi oana na mtu mwenye anasema angepatana na mama yangu atamuua kwa gari,
    Red flag🤔🤔🤔🤔🤔

  • @godiemuchui2064
    @godiemuchui2064 3 года назад

    filisika dyo ujue tabia za mkeo

  • @peterkemei7168
    @peterkemei7168 3 года назад +1

    Giidi ambia mjamaa amsamehe kukosa sio kosa kurudia n kosa

  • @jacksonmulinge2888
    @jacksonmulinge2888 3 года назад

    Huyu kusema ukweli alikuwa ameongozwa na mwanaume mwingine na vale alipotoka jamaa akapotea sasa doo anataka kupatanishwa

  • @lenitygakii9570
    @lenitygakii9570 3 года назад +1

    Vile hulitoka mwenyewe rundi mwenyewe la si ivo tafuta sitakabadhi ukuje tuoshe hamam uku loI 🤣🤣🤣🤣

  • @salmamusa8552
    @salmamusa8552 3 года назад

    Mmm

  • @tiktokheroes4256
    @tiktokheroes4256 3 года назад +1

    Waaa... Nelson hauna huruma unaroboka vibaya watu hukosana na msamaha upo... dada move on achana naye

  • @marynjeri8799
    @marynjeri8799 3 года назад +2

    Uyo mwanaume anaongea mengi na uyo ni mama mwenye amemzalia watoi some men should style up na wajue kuongelesha wanawake mm ningeadvice uyo dame atafute kazi na ashughulikie watoi how can you go back na anakwambia hatakushughulikia kwani hujipendi yaani anakuongelesha ajy aai

  • @thomashezekiah2394
    @thomashezekiah2394 3 года назад

    Msiba wa kujitakia hauna kilio

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 года назад +1

    BAADAE NDO MNAANZA KULIA

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад

      Umeskia ni wangapa wanalia??

    • @kenyanniggar357
      @kenyanniggar357 3 года назад

      @@susanmuthoni1167 wewe tukiachana si ulilia? eti unataka kurudi umerealize makosa yako

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 года назад

      @@kenyanniggar357 Nefer!!! Nilikulilia wapi?? Olisikia wapi??🤣🤣🤣

  • @marthasamuel982
    @marthasamuel982 3 года назад

    Hapo hamna ndoa.
    Nancy tafuta kazi
    Pambana na hali ulionayo sasa huyo baba ana mapenzi na wewe.
    Mtu anafika kumtukana mamaako wala hakufai.
    Na ukiolewa usimpe nafasi tena yakukuona.
    Hasara roho pesa makaratasi.

  • @hellenjeffrey2135
    @hellenjeffrey2135 3 года назад

    Mtu wa kinyozi hawezi lisha bibi mmoja but he want to add one more?? 🙆‍♀️

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 3 года назад

    Musameh mke wako lelson watu hukosana na hurekepisha jamani

  • @cynthiakawira1804
    @cynthiakawira1804 3 года назад +4

    Kwani kuwa wa kwanza mnalipwa? Hata hamsikizi kwanza msaidie na maoni, ni kiherehere tu ati wa kwanza 😂😂🙄 shame on you

    • @emilyaholi9009
      @emilyaholi9009 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣waaah

    • @verahmunala4019
      @verahmunala4019 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃

    • @essiemofficial1002
      @essiemofficial1002 3 года назад +1

      🙂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂

    • @noreenwabwile6879
      @noreenwabwile6879 3 года назад

      Nancy nikuite Mara ngapi...bwana aliyekuenjoy ukaacha kwako-amekuruka ama....maisha ni Milima na mabonde.. Akikosa Kesho yatakuwa mazuri X100

    • @stellahwilliam7143
      @stellahwilliam7143 3 года назад

      Wanaboa..et nipeni likes..nimekua wakwanza...kwani tunakuj kushindania liks

  • @jairusomari1459
    @jairusomari1459 3 года назад

    Wacha.strees.dada.yangu..kuja.tuleye.watoto...wachs.strees.za.bure.wacha.kujipendekesa.kwa.mume..hata.ukirudi.bado.madarau.sasa.yatazidi

  • @sofiandunge2754
    @sofiandunge2754 3 года назад +1

    Haki Nancy pls...single mother hood is sweet....

  • @virginiandava5340
    @virginiandava5340 3 года назад

    Hata sjui niseme nn ndoa nwdyz ni mchezo wapaka na panya

  • @vincentomondi5612
    @vincentomondi5612 3 года назад

    Hawa ni waluhya

  • @mulash4754
    @mulash4754 3 года назад

    Mm ningekushauri dadangu achana na huyo mwanaume tafuta kazi ufanye ulishe watoto wako huyo mwanaume atakunyonga dea juu sahii ameona sidechik siwewe wakwaza kuwanjwa

  • @esthermugure5676
    @esthermugure5676 3 года назад

    Hapo hakuna marriage, mrembo ajipee shughuli

  • @jairusomari1459
    @jairusomari1459 3 года назад

    Uuuuuuuu..hayo.madarau.yote..aki.kama.ni.mimi.siwezi.rudi.kama.ni.mume..wacha.ikae...unarudi.penye.mtu.hakutaki..weeeee....

  • @salinengesa118
    @salinengesa118 3 года назад

    Nancy pls usikonde mwili bure sababu ya mwanaume. Tafuta tu kazi na ulee watoto wako mm pia kama single mom nilipata tu hiyo type so move on usingoje firimbi.