PATANISHO : NJERI - ALITUKANA MTOTO WETU 'KAMBWA'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 254

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 3 года назад +12

    Am really happy to be single mum from Uganda, Am taking good care of my kids without there dad oooh single mum give likes💪💪💪 thanks Gidi and ghost much love from Uganda but watching from Oman thanks

  • @minsharley3926
    @minsharley3926 4 года назад +64

    Single Mums Nipeeni likes💃💃💃,my daughter is surviving without even his dad's single sent.

  • @tabbywamtz501
    @tabbywamtz501 4 года назад +12

    Njeri kimbia, mtu hawezi nitukania mamangu, afadhali angekutukana ww tu, sio kuinvolve Familia yako, mshukuru Mungu unakazi lea mtoto wako, mimi Nina 4 kids na ninalea. Team kujiamini mko wp💪💪💪

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 4 года назад +8

    Team qatar 🇶🇦 nipeni likes 👍 my friends

  • @maryannethuranira227
    @maryannethuranira227 4 года назад +15

    Revenge mission. Run Njeri run🏃‍♀️

  • @jaquelinemakhungu5780
    @jaquelinemakhungu5780 3 года назад +7

    Actually may God bless u for the work that u are doing u people

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 4 года назад +13

    From Saudi nko ndani kama kawaida

  • @evalynelumumba2492
    @evalynelumumba2492 4 года назад +14

    First to coment for the first time and 3rd to view from🇱🇷🇱🇷🇺🇲🇰🇪

    • @Valentinelifestyles
      @Valentinelifestyles 4 года назад +1

      ruclips.net/video/P8nTp_KacPg/видео.html

    • @silentcry254
      @silentcry254 4 года назад +3

      Being first to comment how will that help Isaac and Njeri? This parents needs your advice Evalyne Lumumba

    • @annaauyo1958
      @annaauyo1958 4 года назад +2

      @@silentcry254 true

    • @silentcry254
      @silentcry254 4 года назад +2

      @@annaauyo1958 Sometimes words of encourage is enough for someone rather than anything else.

  • @WanjiruMuya
    @WanjiruMuya 4 года назад +36

    That guy might be in for Revenge, Njeri run as fast as you can

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 года назад +10

    Njeri is my hero. There are so many women who calls you Mr. Gidi crying they can't take care of the kids. So this Njeri is great and can be an example to all our girls who keeps on crying for men to take care of their children. I hope Africans will change their ways may be when they are ready to get married.

    • @chebetsylvia5345
      @chebetsylvia5345 4 года назад

      And she is so humble.

    • @bettynjok4033
      @bettynjok4033 2 года назад

      Njeri hako sawa pia mm nilibadilisha jina ya mtoto wangu

  • @irenemauti883
    @irenemauti883 4 года назад +45

    Single ladies mko wpi mkono juu Saudi Mambo yote

  • @skinnyzebra8626
    @skinnyzebra8626 3 года назад +4

    Giddi does a very good job👏🏾👏🏾 at understanding women’s psychology, maybe he should start a hotline where frustrated men can call so he can break down the communication barriers

  • @faithngina7632
    @faithngina7632 3 года назад +1

    Am a single mom of Four for eleven years now njeri take care of your son and let this man go away from you single mom wapi likes

  • @mmilly8952
    @mmilly8952 4 года назад +30

    😅😅😅😅😅😅. Njeri run for ur life.. Uko usirudi. Uko na job take care of ur child...
    N wengi tuko single mother and we're moving on,... 💪Team kujiamini

  • @sarafinasamson5324
    @sarafinasamson5324 3 года назад +7

    KDF fire ask me, machozi every time

  • @tonyjoseph4721
    @tonyjoseph4721 4 года назад +18

    Let me get ambushed na likes kadhaa

  • @stellahstellah5201
    @stellahstellah5201 2 года назад

    Njeri forget about this man ad run for your dear life..

  • @cynthiakawira1804
    @cynthiakawira1804 4 года назад +10

    Njeri usirudi na pia usiwai meet huyu jamaa, he sounds a killer tena he is after revenge not love run run for your life

  • @mariammaina2141
    @mariammaina2141 4 года назад +10

    Njeri Njeri Njeri!!!!!! 🤣 😂 Kiura ruuga

  • @lenitygakii9570
    @lenitygakii9570 3 года назад +1

    Njeri run for au life 🏃🏃🏃

  • @theenjeri
    @theenjeri 3 года назад +2

    Watch out Njeri..

  • @xjxjxnxn2673
    @xjxjxnxn2673 4 года назад +3

    Giddy huyu jamaa si mzuri ,anaweza fanya mambo ya resi in peace,anavyoongea hapana,njeri akimbie mbioo zake zote

  • @kiptooj
    @kiptooj 3 года назад +2

    This is one of the funniest patanisho

  • @dianawangechi3202
    @dianawangechi3202 4 года назад +6

    Njeri don't try to turn back,this man was not meant for you.Mungu atakupea wako na atakupenda na moto wako.

  • @winniewayesu6876
    @winniewayesu6876 4 года назад +12

    In Saudi Arabia tuko ndani 😃😃😃😃

  • @terrymusoni6199
    @terrymusoni6199 4 года назад +2

    Njeri run for your life...shoka reloaded

  • @bettynjok4033
    @bettynjok4033 2 года назад

    don't go back to that guy this man put God first my sister Njeri

  • @hanifahnatasha3900
    @hanifahnatasha3900 4 года назад +5

    Team kujiamini niko ndani 💪

  • @carolinemutegi1056
    @carolinemutegi1056 3 года назад +8

    My ribs! 🤣🤣🤣. These ex-KDF guys are all nuts.

  • @rosenelima8618
    @rosenelima8618 3 года назад +2

    Njeri darling tuko wengi masingle,na tuna move on ,so jie shuhuli ajana na that man,he is so heartless,I'm single for 15 years now,nimesomesha wanangu karibu nianze kula matunda kutoka kwao,love you kid,take care of him atakutambua,

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 4 года назад +8

    Huyu mwanaume anaongea mingi sijapenda.. Njeri akuna husband hapo run for your dear life.

  • @saryhguusfv1025
    @saryhguusfv1025 4 года назад

    Caro kemunto from saudia team saudia mko wapi?? usirudi eandelea na kazi yako

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 года назад +6

    Njeri mpole, msichana mpoa sana

  • @jmams8190
    @jmams8190 3 года назад +10

    If this are the kind of the police we have...hatuna bahati...very unresonable ...

  • @perismitainzeyi4880
    @perismitainzeyi4880 4 года назад +4

    Mm huwa sifwatilii patanisho,but kicheko cha ghost tu mpaka stress zinaenda na upepo

  • @anthonygathirwa6773
    @anthonygathirwa6773 3 года назад +1

    ...senior...moving in a single file...

  • @roselynegakii5022
    @roselynegakii5022 4 года назад +3

    Njeri run for your life

  • @teresiahmburu682
    @teresiahmburu682 4 года назад +5

    Yes cc kikuyu hatumbebelezi kwera huko kwa wateso

  • @valleyfront4462
    @valleyfront4462 4 года назад +1

    Njeri is a good Girl

  • @sunshine-jh6we
    @sunshine-jh6we 3 года назад +3

    I would not give such a man my child

  • @alextudo2717
    @alextudo2717 4 года назад +1

    Nlikua nangoja aeleze vizuri hawa wamama wanainama aje😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌...... Wateso "i kif up" 🤗🤗🤗

  • @wanjikubeatrice3259
    @wanjikubeatrice3259 4 года назад +1

    Huyu mwanaume nikama amemeza memory Njeri run for your life na nyinyi endeleni kuinama

  • @louesloues1519
    @louesloues1519 4 года назад

    Tuned in

  • @josephineanzaya7346
    @josephineanzaya7346 3 года назад

    Ukiwa Na Mungu hakuna kitakachondendeka

  • @princesspriscaofficial4823
    @princesspriscaofficial4823 4 года назад +5

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kamau wa Mwangi
    Leo patanisho iko Mwaaahhh

  • @emilyaholi9009
    @emilyaholi9009 4 года назад +7

    Kamau wa mwangi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 4 года назад +11

    hiyo kuchange jina utendeka sana niko moja wao now 12 yrs ndio nakumbuka watu u change majina

    • @maximillahbusolo745
      @maximillahbusolo745 4 года назад

      Ulifanyaje pia me nataka ku change

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 4 года назад

      @@maximillahbusolo745 akona miaka ngapi

    • @marymrsnbb752
      @marymrsnbb752 4 года назад

      @@maximillahbusolo745 mm nilichange last year, my baby can't stay with fun names for another tribe.

  • @lioness8207
    @lioness8207 4 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌ogopa wateso ati wamama walitaka kuinama.

    • @bettyflorence6926
      @bettyflorence6926 3 года назад

      What stupidity is that .. nkt. Halafu hana aibu akisema ati wamama wainame mtoto akufe.. really? Na ni mtoto wake. He's stupid. Waendelee kuinama hakuna kitu itafanya huyo mtoto.

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 4 года назад +2

    Dunia ina mambo

  • @gracenjokinjoroge9871
    @gracenjokinjoroge9871 4 года назад +3

    Waah ndio nasemanga afadhali mwenye tunaambiananga atiriri huo uchawi ni ya hali ya juu sana kuinama kuamka waah

  • @ndutawanjiku9367
    @ndutawanjiku9367 4 года назад +7

    Kumbe huyo jamaa alishaoa ata...ile vita itakua kwake...usiku ya leo 😄 acha wife 2 ajue hii story 😄

  • @georgekamau3541
    @georgekamau3541 11 месяцев назад

    Aliharibu kuita Mtoto kaumbwa 😮

  • @irenemwawasi4568
    @irenemwawasi4568 4 года назад +3

    Njeri kanyaga kubwa kubwa

  • @salmahussein3583
    @salmahussein3583 4 года назад +13

    He's not mature enough, mwanaume kamili huwa hatusi mwanamke, alafu Kata mdomo mob, weka fullstop na comma, pppprrrrrrrrrrrrrrrr😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 4 года назад +1

      😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Very true

  • @judithphiliptvKenya
    @judithphiliptvKenya 3 года назад

    Sijui askari wengi huwa na shida gani na Watoto ,hawapendi kulea watoto wao

  • @violetadhiambo1153
    @violetadhiambo1153 4 года назад +2

    Yes sir....but huyo mtu anaeza huwa mtu so Njeri endelea na maisha yako na mtoi wako...hata mimi ni single mom

  • @maryanne5376
    @maryanne5376 3 года назад

    Ngai 😭 hyu jamaaa Njeri run for your life kairitu hapo kwa mila Ngai 😭😭

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 года назад +3

    Naona mtu akikula risasi hapa. Njeri kaa rada gal

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 3 года назад +1

    😭😂😂😂😂😂😂huyo mwanaume ako na ujinga nyingi sana

  • @hustlerhustler5889
    @hustlerhustler5889 4 года назад +8

    Huyu mtu n hatari, huyo dem asirudi

  • @JWambui
    @JWambui 4 года назад +8

    i had such a man, alishinda mpaka amadanganya mtoto anamlipia school fees only for her to call him ana block alafu uite mtoto umbwa...never,,njeri thie thie

  • @laura-nl3il
    @laura-nl3il 4 года назад +4

    For the sake of the baby, go to children court, co parent because the child has right to have both parents when they are still alive.

    • @wafulaalice5180
      @wafulaalice5180 4 года назад

      Exactly, let them take care of their son

  • @HighTechAutoSales
    @HighTechAutoSales 4 года назад +4

    This looks like a brilliant,nice,polite and wise woman...huyo mzae ndio ngamia.
    Let him blame his a$* for his predicaments.

  • @axisone6282
    @axisone6282 3 года назад

    Ikiwa ni msupu,ulimfanyia madharau kwa nini?,the lady sounds humble and wise.

  • @edewaiteric8934
    @edewaiteric8934 3 года назад

    What is the difference between single mother and divorced

  • @tewendehome
    @tewendehome 3 года назад

    Wah...ati Njeri ni n'gombe alikata kamba 🤣🤣

  • @estherngena4742
    @estherngena4742 3 года назад

    Njeri hapo akuna ndoa don't risk

  • @hermanwaithaka5192
    @hermanwaithaka5192 4 года назад

    Njeri run away 😄😄😄🤔🤔🤔

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 года назад

    Daaah

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 года назад

    Mimi sio senior Mimi ni gidi

  • @mariammaina2141
    @mariammaina2141 4 года назад +3

    Kamau wa Mwangi 😂😂😂😂

  • @joycejoyce9589
    @joycejoyce9589 4 года назад +2

    Dada yangu kanyanga makubwa makubwa.

  • @bettysadia322
    @bettysadia322 3 года назад +2

    But as a grown up man how can you allow your villagers to curse an innocent child?

    • @betty541
      @betty541 3 года назад +1

      That one stumped me too..though I think it's just a tactic he is using to coerce her and force her hand..

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 года назад +1

    Waa some cultures though

    • @christinenthambi4028
      @christinenthambi4028 4 года назад +1

      Akikatalia uuyo mtoto uyo mjeshi ataua that baby akubali amuonage akiwa Tu hai. Njeri ??

  • @wanjikuwaweru8541
    @wanjikuwaweru8541 3 года назад +1

    Aki kuzaa na watu wengine ni balaa tu. Ati tamaduni?! Nkt!!!

  • @marcychelagat9719
    @marcychelagat9719 3 года назад

    Ambush

  • @bettyflorence6926
    @bettyflorence6926 3 года назад +3

    He's coming for his son because wife now has not given him a child otherwise hangetaka kujua. He needs to be taken to children's court so he doesn't turn around akunyanganye mtoto. You seem like a nice lady. Dont agree to be manipulated by a narcissist.. ❤ mob love

  • @irinetongoi5217
    @irinetongoi5217 4 года назад +2

    Aiii🤔🤔 kuinama kuangalia Gatundu?

  • @faithde5077
    @faithde5077 3 года назад +1

    Aki Hawa maskari wanajionanga sukari mm niliosha mkono

  • @OneLove-lc7os
    @OneLove-lc7os 4 года назад +7

    Njeri be careful uyuu jamaa simpoa ⚠️

  • @shakiEntmtTv
    @shakiEntmtTv Год назад

    2 years after 😅😅😅😅im laughing 😅😅😅😅😅

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 года назад

    Isaac is a bad guy and he has not changed yet.

  • @annerafaela407
    @annerafaela407 4 года назад +2

    Kila siku me huchelewa

  • @Valentinelifestyles
    @Valentinelifestyles 4 года назад +13

    Hata umenikumbusha Mstahiki Meya
    Meya: Gedi!!
    Gedi: yes sir!!!!

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 года назад +5

    Aiii sasa mbona wainamie mtoto huo ni uchawi sasa waaaah hiyo mila inaogopesha🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 года назад

      Pengine anataka tu kuogopesha njeri !

    • @godsfavour5665
      @godsfavour5665 4 года назад

      @@mwendapoleee yeah but huko nasikianga watu wa huko ni moto wa kuotea mbali.

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 года назад

      @@godsfavour5665 after how many years what was he waiting for, mtu akitaka kufanya kitu hasemangi ni kishetani kinamingilia kina geuza mafikira zake.

    • @godsfavour5665
      @godsfavour5665 4 года назад

      @@mwendapoleee alafu kitu ingine si yuko na wife mwengine si amzalie watoy wengine asipee njeri pressure

  • @xjxjxnxn2673
    @xjxjxnxn2673 4 года назад +1

    Pia my sisters from central msiwe mnaenda kila mahali kwote ,kabila zingine huku inje zinafaa waowane wenyewe kwa wenyewe,,kama hawa wa teso nooo

    • @lilylilian8729
      @lilylilian8729 4 года назад

      Money speaks
      Maneno yako ni kama kelele za chura

    • @xjxjxnxn2673
      @xjxjxnxn2673 4 года назад

      @@lilylilian8729 🤣🤣🤣🤣kweli

  • @mainamaish2328
    @mainamaish2328 4 года назад

    Njeri usijalimbu kueda ata Hotel aki this guy ndamu inakata aki

  • @hellenarunga4931
    @hellenarunga4931 4 года назад +1

    Njeri ajipe,shuguli,hakuna ndoa hapo

  • @badifamwenyewe8301
    @badifamwenyewe8301 4 года назад +1

    Hii Noma 🤣🤣

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 года назад

    Jamani Mungu wangu 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @joiceanne8195
    @joiceanne8195 3 года назад +1

    Njeri njeri don't dare even to meet this guy hawa ni wale hawezi no for answer

  • @josephinekhavai3340
    @josephinekhavai3340 4 года назад +2

    Wateso wanatesa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 года назад

    Ulimuoa?

  • @maggiemuenimueni1627
    @maggiemuenimueni1627 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣Ghost

  • @wanjikulizzy8744
    @wanjikulizzy8744 4 года назад +5

    Endeni muiname ama muinuke manugu

  • @theenjeri
    @theenjeri 3 года назад +1

    Njeri watch out.. Jeshi ni bad news. Remember the woman and her two kids who went nyanyuki

  • @quinncordelia4902
    @quinncordelia4902 4 года назад

    Salaaaaala jamaa ana mambo kweli, he seems wicked hataki kupeana amani kwa njeri imagine at the end ndo anajulixhana eti by the way Niko na mwingine mwalimu kama njeri!! Huyu ni league moja na wale wakuchoma wapenzi wao kwa kutaka kulaximisha mapenzi..Njeri becareful with the soldier he sounds mkora sana

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 4 года назад +1

    Waaaaaa siz mtu akikupeleka jela si rafiki yako tena wachana na yeye

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 3 года назад

    Hiyo Mila ni Kali 🤣🤣🤣

  • @eunicenbog26
    @eunicenbog26 4 года назад +1

    Iyo nayo sielewi ,kimila bado iko maajabu