ZUCHU AKUTANA NA EX WA DIAMOND MSIBANI KWA DIDA, PENNY WA DIAMOND

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 64

  • @AhmedAbdallahBakari
    @AhmedAbdallahBakari Месяц назад +7

    ❤❤❤ good ZUCHU Masha ALLAH MUNGU akulinde na HASADI DADA YANG

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 Месяц назад +7

    Ma sha Allah zuchu ❤ma sha Allah umekuwa mrembo hadi raha❤❤❤

  • @achatafereche7287
    @achatafereche7287 Месяц назад +8

    Zuchu wetru machallah ❤❤

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад +4

    Zuchu safi sana umependeza mtoto wa Kiislam.kwenda kwenye msiba na nguo za ovyo na manywere ni kuchekesha watu na watu wakuone kituko.

  • @RaziaAthumani
    @RaziaAthumani Месяц назад +5

    Zuchu nimekupend bure mashaallah pendeza sana

  • @MauaMtige
    @MauaMtige Месяц назад +6

    Mashallh zuchu umejua kujisitiri

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 Месяц назад +5

    Zuch mashallah umependez san wallah

  • @AshakasimuAshakasimu
    @AshakasimuAshakasimu Месяц назад +1

    Ningependa ungeendea kujistili Dada zuchu mashaalwaaaa

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 Месяц назад +7

    Zuchu umependeza mashaallah

  • @NsabimanaSania
    @NsabimanaSania Месяц назад +1

    Yanis zuchu umependeza manshallah umejistiri kbs

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 Месяц назад +4

    I ❤ Zuchu so much 🇺🇸

  • @RehemaOmari-yi1io
    @RehemaOmari-yi1io Месяц назад +2

    Maashaaallh zuchu kapendeza

  • @neemamrisha8222
    @neemamrisha8222 Месяц назад +4

    Mtangazaji unarudia rudia tuu habari

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 Месяц назад +18

    Zuchu umependeza kulipo vaa hivo umekaa kama mtu ila ukivaa nguo zisiyo na sitaha unakuwa kama shetani

    • @AdelphineUWIMANA-f3z
      @AdelphineUWIMANA-f3z Месяц назад

      😂😢😅😢😢ati shetani😮ujakosea kabsa

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 Месяц назад +1

      Please don’t talk be quiet. People wear what they want. Who are you? Just be quiet

    • @DoreenKemuma-i5k
      @DoreenKemuma-i5k Месяц назад

      evil than her

    • @mariammwinyi6444
      @mariammwinyi6444 Месяц назад

      Freedom hawavai kama binadamu…😊

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 Месяц назад

      Munajua kuabudu nguo kweli na huku munaficha uchafu wenu wa kuchangia ngono.

  • @Lizawansima
    @Lizawansima Месяц назад +2

    Zuchu kanoga saaana pole dada❤❤❤

  • @yussufritzy7684
    @yussufritzy7684 Месяц назад +2

    Sio kila sehem muongelee umbea wa mapenzi tu watangaaji

  • @PeninaMlay
    @PeninaMlay Месяц назад +2

    Namwona anaongea na warda planet dah warda kipenz chako hakipo tena

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 Месяц назад +6

    zuchu kaingia ndani kakimbia hayo makamera yenu na usabasi hadi msibani

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 Месяц назад

      Walimfata na makamera mpaka nje kipindi anaondoka akawaambia mniache nipo msibani 😂😂😂

  • @KamiliyaHamis
    @KamiliyaHamis Месяц назад +4

    Watu mna maneno wallahi

  • @Habibtyjojo
    @Habibtyjojo Месяц назад +4

    Camera man wambea wana zom sana kwa zuchu doh kiboko yao

  • @Chemba67
    @Chemba67 Месяц назад +2

    KTK WATANGAZAJI WASIOKUA NA ADABU HUYU MSICHANA NI NAMBA MOJA, YAANI ZERO KABISA NI UDAKU TU POPOTE PALE KICHWA CHAKE KIMESHAHARIBIKA

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Месяц назад

    Kwani mikono yako inauma au Zuchu kakuvuruga umeshikilia Zuchu Zuchu kwani Warda Planet humjui kah acha basi umbea 😂😂

  • @AishaMohamedhaidari
    @AishaMohamedhaidari Месяц назад +3

    Mbona amezeek hvy huyo penny

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 Месяц назад +9

    Kakaa kama mtu hapo mavazi hayo ndio yanayo takiwa Kwa muisilamu umependeza Sana umekaa kama binaadamu

    • @AdelphineUWIMANA-f3z
      @AdelphineUWIMANA-f3z Месяц назад

      😂😢😮😅ati kama nini?

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 Месяц назад

      😂😂😂Wana kumbushwa lkn wanaziba mashikio Ila ipo siku2 ambayo anajua Mungu

  • @swabahasaidi8590
    @swabahasaidi8590 Месяц назад +2

    Wandishi wa Habari Daah ni WASABASI SAANAA

  • @KizzaSadamJuma
    @KizzaSadamJuma Месяц назад +1

    Kunguni tu mlienda msibani a u mnatafuta umbea

  • @isamony58
    @isamony58 Месяц назад +1

    Yani wabongo msha zoweya umsifiya mtu akiwa seemu ya majozii bada ya kumuombeya duwa dida ozuchuzuchuuuu😏😏😏😏

  • @AbigailNaliaka-y4z
    @AbigailNaliaka-y4z Месяц назад +1

    Sasa nkisema peninah inausikanaje na matanga

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 Месяц назад +3

    NAWE MUMBEAAA KWANI PENNY AU WEWE HATA ZUCHU YUKO NA PAST STUPO

  • @mohamedshaban745
    @mohamedshaban745 Месяц назад +2

    Uyo zamarad manywele kama shetan aliyefukuzwa katika rehma zamwenyezinungu

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 Месяц назад

    Anapendeza akiskia mtu.kafa ndio anakaa stara siku zote akikaa vimini

  • @KindambaMkape
    @KindambaMkape Месяц назад +1

    Kawa mrembo zuchu

  • @Africadunia2623
    @Africadunia2623 Месяц назад +2

    WAZICHAPE 😂😂😂😂

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 Месяц назад

    Wbongo na umbea duu watu wazikaa ama dahh

  • @GraceKija
    @GraceKija Месяц назад +3

    Zuchu Kam sio yy anaeimbaga matusi

  • @Africadunia2623
    @Africadunia2623 Месяц назад +2

    Mke na mke mwenzie

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom Месяц назад +3

    Ety alikiwa n show jana uyo Zuchu laiti umauti ungempta akiwa amevaa nusu uchi mbele zke ALLAH angejibu nn??Tumrudieni ALLAH kwn kifo hakina taarifa mda wwte twarejea kakwe ALLAH 😭😭😭

    • @DoreenKemuma-i5k
      @DoreenKemuma-i5k Месяц назад +1

      yaan nyie mnamuonea zuchu nkt mjifanya wauwaji nyie

    • @SalmaTelkom
      @SalmaTelkom Месяц назад +1

      @@DoreenKemuma-i5k Kw dini yngu inaruhusu kukatazana maovu n kuamrishana mema upooo...Sjui dini yko yaruhusu mwanamke kutembea nusu uchi????

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou Месяц назад

      Khaaa mmekalia roho mbaya tu yaani huyu mtotor hana jema kwenu, malaika wa zamu ,

    • @Classic-i2e
      @Classic-i2e Месяц назад

      ​@@DoreenKemuma-i5kushawahi kuuliw wewe mbn unaish na waislam n hwajakuua sjwh kuskia dini y kikiristo wal kiislam ikiiamrish kukaa uchi

    • @Classic-i2e
      @Classic-i2e Месяц назад

      So u must keep quiet ambp Hun l kuongea 😂kooh asiambiwe 😂wee vip

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 Месяц назад

    Kabaya

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 Месяц назад +2

    Kwa stara gani?

    • @SalmaTelkom
      @SalmaTelkom Месяц назад

      Kesho ataenda kupiga show2 n kupakatwa viuno uko ASTGHFIRULAH 😭😭

  • @mohamedshaban745
    @mohamedshaban745 Месяц назад +1

    Zuchi kajichubua duh😂