Barikiwa sana ,wanahabari wa CCT,mmefanya vizuri sana kuandaa makala hii ya Kanisa la ANGLIKANA Tanzania , Dayosisi ya Masasi . Kongole baba Askofu Almasi 🙏🙏👏👏
Mbona sasa serikali imetelekeza uridhi na historia hii mazingira yako duni hakuna lami wala mazingira ya kujari ikiwa viongozi wengi wamesoma hapa na leo wako na maisha mzuri wanakula kwa mrija mbona hawakumbuki msingi ulio wapa uagali
Asante sana baba askofu kwa historia nzuri!ubarikiwe sana Amen:
Hongera Askofu kwa historia mzuri
Asante baba kwa utambulisho wa Masasi MUNGU akibariki
Nilikuwa siyajui haya ahsante kaka
Amen 🙏🙏🙏 Barikiwa sana baba Askofu. Natamani siku Moja nifike masasi
Amen ubarikiwe Baba Almasi kwa kuitangaza Masasi katika kazi ya Bwana
Barikiwa sana ,wanahabari wa CCT,mmefanya vizuri sana kuandaa makala hii ya Kanisa la ANGLIKANA Tanzania , Dayosisi ya Masasi .
Kongole baba Askofu Almasi 🙏🙏👏👏
Be Blessed ❤
Amen
Daah! Nyumbani kabisa
Mbona sasa serikali imetelekeza uridhi na historia hii mazingira yako duni hakuna lami wala mazingira ya kujari ikiwa viongozi wengi wamesoma hapa na leo wako na maisha mzuri wanakula kwa mrija mbona hawakumbuki msingi ulio wapa uagali
Masasi hakuna lami ?