GB 64 NA MWALIMU YANGA WASHIKANA UCHAWI -KUELEKEA DABI YA 19/10/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 17

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 месяца назад +1

    huyu anayejiita mwalimu wa UTOPOLO anapenda kufoka na kudanganya umma kiboko yke ni kisugu, et timu iliyopo shirikisho zamalekh kamfunga al-ahly juz fuatilia wanashirik michuano gn, huna zaid ya upumbav n kutoka povu la mdomo. SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪 na ubaya ubwela ❤️💯❤️

    • @sittandaki2135
      @sittandaki2135 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂Lakini Makolo hamna hakili sasa hapo mwalimu yanga kakosea ni ni?

  • @MUSAMAYEMBA
    @MUSAMAYEMBA 2 месяца назад

    naomba namba ya mwalimu

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 2 месяца назад

    Gb 64 umefulia

  • @amowinndaudy
    @amowinndaudy 2 месяца назад +1

    GB umebaki ukiongea vitu vilivo pita na hivyo ndio vinawapa faraja😂😂

  • @BenjaminiBnyetanyau
    @BenjaminiBnyetanyau 2 месяца назад

    Zamaleki yupo shilikisho kampiga bingwa mtetezi ahly

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 2 месяца назад

    GB64 memory ndogo sana hiyo! Mnapoteza muda atawatemea mate tu huyo!!!

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe 2 месяца назад

    Wee kolo huyo mwalimu anawafunza makolo mpira.

  • @abdulshah918
    @abdulshah918 2 месяца назад

    Uyo utopolo akili 0 kama alivyosema manara gb mzee wa data 💯

    • @JanuariMchuno
      @JanuariMchuno 2 месяца назад

      Acha makasiriko panyarodi fc

  • @avitimmochi227
    @avitimmochi227 2 месяца назад

    Nafikiri hizi JB jb ni negative. Huwezi kushinda kwa sababu mko Mtaa mmoja. Kwake utaalamu shauna nafasi

  • @PACOMEWAMCHONGO
    @PACOMEWAMCHONGO 2 месяца назад

    MWALIMU ANAJUA MPIRA MIMI PACOME WA MCHONGO NAFUATA NYAYO ZAKO

  • @paschallekaleka6416
    @paschallekaleka6416 2 месяца назад

    Mzee mbona unatumia nguvu sana ..ongea tu watu watakuelewa

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe 2 месяца назад

    Huyo gb anaakili kweli? anamdanganya nani kwamba debora ana miaka 22? yaani kwamba kazidiwa umri na shehani?

  • @PACOMEWAMCHONGO
    @PACOMEWAMCHONGO 2 месяца назад

    GB 64 TUTAKUBADILISHA JINA UWE GB 1 TU HUNA LOLOTE

  • @CarlosRule-p6v
    @CarlosRule-p6v 2 месяца назад

    Yuyo dogo Han hoja hajuwi kuongea

  • @CarlosRule-p6v
    @CarlosRule-p6v 2 месяца назад

    Kuna ubishi au ni hoja dogo hajuwi kuongea ukwel