katika nyimbo ambazo umeimba kama alivyokuwa anaimba baba yako shilunguja miaka ya 2000 hivi, huu wimbo umepatia kama utaendelea na hii style ya kuimba utafika mbali sana kiujumla umenikumbusha mbali sana
mimi pia nimefurahi sana kusikia nyimbo ambayo haina beat mtu unaimba dakika moja tu kisha unaagizia biti ngoma kama hizi ndo nazipenda naomba ngelela utoe ngoma kama hizi watu tufurahi
Huu wimbo niliusikiliza muda, Ila ulikuwa katika mchanganyiko wa nyimbo, ulisimama kwenye KINU ukinawa maji minguu, mikono unakisufuria ukajimwagia kichwani, Safi kabisa.
katika nyimbo ambazo umeimba kama alivyokuwa anaimba baba yako shilunguja miaka ya 2000 hivi, huu wimbo umepatia
kama utaendelea na hii style ya kuimba utafika mbali sana
kiujumla umenikumbusha mbali sana
Hapo sawa achan n biti izo zinaharibu nyimbo wasikirize mashabiki hawafraixhwi n kolasi nyingi kupitiriza pambana mwamba
Mm nakubali san
Asante ngeregera nakupenda Sana nipo ireberebe
Moja ya ngoma safi sana ngoma zenyewe kabisa siyo zile muziki mwingi
mimi pia nimefurahi sana kusikia nyimbo ambayo haina beat mtu unaimba dakika moja tu kisha unaagizia biti ngoma kama hizi ndo nazipenda naomba ngelela utoe ngoma kama hizi watu tufurahi
"Nali shimba"
Maana yake ni ipi kwa kiswahili
Mimi ni simba
mimi ni simba
Yee bhagosha Ngelela uli shimba gete gete
Huu wimbo niliusikiliza muda, Ila ulikuwa katika mchanganyiko wa nyimbo, ulisimama kwenye KINU ukinawa maji minguu, mikono unakisufuria ukajimwagia kichwani, Safi kabisa.
hata mm nilisikia hapo
Nakumbuka ngoma sengerema bhuraboni
Pamoja san kama manila letu
Safi Sana ngalu
Tunaomba live ngoma saf
Kisima zuk
Vizuri sana
Nakulinda wize hangi ibuluma
Sawa ngalu
Sawa ngalu
Sawa gete nigwa nakangh'oma
pone
Nyarugusu Geita lin njoo bhana
Naitwa luhnundaji nipo lusuhbi chato naomba namba zako