MZEE WASIRA AWAVAA CHADEMA AWASHANGAA KUKATAA MARIDHIANO - "WAMEKULA BANGI ya MADARAKA"...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 284

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 дней назад +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @west5897
      @west5897 10 дней назад

      Habari

    • @west5897
      @west5897 10 дней назад

      Habari mm ni mfuatiliaji wenu kma umtaiona hii comment ningependa kupata majib kuna video nliona kwnye hii page yenu ya mzee flani ivi aliepata matatizo .nliichukua nikaipost sasa watu wananiomba namba za kuweza kumsaidia mimi sijui nimpate vipi

    • @ntyukastudio
      @ntyukastudio 10 дней назад +1

      Tunajaribu kujiunga lakini inashindikana

    • @martinM296
      @martinM296 10 дней назад

      Mbona group doesn't exist?

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 10 дней назад +16

    Pole mzee ,umevikwa mzigo usio wako.

  • @NuruNurudin
    @NuruNurudin 10 дней назад +9

    Umechemsha mzee na umepitwacna wakati mzee!!! Kazi unayo Wala haueleweki mzee! Nenda kalee wajukuu mzeee Babu wasira wamefeli waliokupa nafasi hii.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 10 дней назад +16

    😮 hivi mnamwelewa huyu nyangusi jamani mimi naona giza tu

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 10 дней назад

      Busara ya homo sapien au homo habillis?

  • @EwaldKweka
    @EwaldKweka 9 дней назад

    Mzee ana seraa! Apa tumeingia Cha kikee, Kwa siasa ya Sasa Kwa ushauri tumrudishe labda yule tusiyempenda nule ndugu aliyepiyeunga mkono yule diwani asiyejielewa,viongozi wasio timizwa wajibu, tumrudishe yule mwamba hasa Kwa siasa hizii.😮

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 10 дней назад +11

    Katiba mpya Mzee, mbona mnaogopa?

  • @MajaliwaMwinje
    @MajaliwaMwinje 9 дней назад +1

    Huyu mzee ni mwendawazimu 😊

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 9 дней назад

    Ukishangaa ya musa utaona ya filauni.......mungu wangu tuokoe na jaazi apo aja tetea wananchi zaidi ya kutetea chama chake mzee oja kwishneeeeeeee apa mabadiliko2 no wey lisu ndio mwmba wetu🇹🇿✌️❤️❤️❤️❤️💪💪💪💪💪💪💪💪🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 10 дней назад +6

    Kumuweka huyu mzee mmebugi sana

  • @TeddyCyprian-o1s
    @TeddyCyprian-o1s 9 дней назад

    Inauma sana

  • @johnsonsamwel7207
    @johnsonsamwel7207 10 дней назад +5

    Inakatisha tamaa dah Mungu tusaidie

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael 10 дней назад +4

    Poleni sana

  • @charlesmazigo8106
    @charlesmazigo8106 10 дней назад +4

    Pole mzee

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 10 дней назад +2

    Ustaimilifu gani na mliua mzee kibao na hakina Soka mumewateka mungu anawaona

    • @MzeeBonge
      @MzeeBonge 10 дней назад

      Duh hivi walifikiria kabla ya kumchagua au

  • @wilisonmikate1652
    @wilisonmikate1652 9 дней назад +1

    Hivi ccm mmekosa watu wakusimama mpaka mmsumbue babu?

  • @hajisangu2489
    @hajisangu2489 10 дней назад +11

    Kama hamuulizani makabila ulijuaje Mwalimu ni mzanaki

    • @ROBERTMGOGOSI
      @ROBERTMGOGOSI 10 дней назад

      @@hajisangu2489 yaani huyo mzee anazeeka vibaya ni kichaa kinampanda kichwani baada ya kuteuliwa na ssh

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 10 дней назад

      😂😂😂

  • @jovitusiinnocent7534
    @jovitusiinnocent7534 10 дней назад +1

    Mama samia mbn makonda anaweza hiyo nafasi huyo mzee atatupoyezea kura mama yetu samia badilisha huyo mzee hana sela

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 10 дней назад +11

    Kweli vijana mnakazi kwa staili hii hamuwezi kupata nafasi kwenye chama

    • @RBMBAKARI-bv6wn
      @RBMBAKARI-bv6wn 10 дней назад

      Nchi imejengwa hii huyu amewekwa hapo makusudi ni mzoefu katika mijadala

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 10 дней назад

      Kuliko vijana wote?​@@RBMBAKARI-bv6wn

  • @Kwarasi
    @Kwarasi 10 дней назад +9

    Yot anayosema mzee huyu ni uwongo kabisa

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 10 дней назад +12

    Mbona sijawahi Kuwasikia ccm wakizungumzia neno haki

    • @saiddaji6342
      @saiddaji6342 10 дней назад +1

      Waijue wapi haki

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 10 дней назад

      Issue ya kabila imetoka wapi.

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 9 дней назад

      Lundege umefanya utafiti kabisa wa kina. Hata mie sijawahi wala😂😂😂

  • @abdulhafidh7749
    @abdulhafidh7749 10 дней назад +1

    Wazee km hawa wanakua wamekulia kwny ushirikkna

  • @KubiluTabu
    @KubiluTabu 10 дней назад

    Ngoja mungu atanyoosha tu mikono Yan mie naona kama vile anachochea kitu fulani au nyinyi jaman mnamwelewaje

  • @frankcorbinian3821
    @frankcorbinian3821 10 дней назад +1

    Hvi wakati mwingine tuulizane tu kwa herufi ndogo kweli ndio tulikofika

  • @antonygibson464
    @antonygibson464 10 дней назад

    Kazi tunayo!😊

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 10 дней назад +17

    Tofauti aliyosema Lissu ni tifauti ya mabango ni kwamba mabango ya kenya yana tangaza biashara na mabango ya tanzania yanamtangaza samia hiyo ndiyo tofauti aliyosema Lissu lakini siyo ujinga unaoropoka na gukichwa gwako gunikipala kam treni ya wachawi.

    • @ezraochora8495
      @ezraochora8495 10 дней назад +3

      Yasoni.huyuchizi.anadhani.propaganda.bado.zinanafasi.jingakabis

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 10 дней назад +2

      Lissu alikuwa anaongelea tofauti za ki uchumi.

    • @abbassalum6824
      @abbassalum6824 10 дней назад +1

      😀😀😂🤣🤣

    • @saiddaji6342
      @saiddaji6342 10 дней назад +1

      Hahaha yaani huyu mzee naona hataki kula pension yake vzr anataka ashindane na lisu hahaha

    • @amosmafwiri8968
      @amosmafwiri8968 10 дней назад +1

      Kwani kwenye siasa ni lazima uwe muongomuongo. Haipendezi hasa ukiwa mtu mzima Mzee

  • @sylvestersanawa40
    @sylvestersanawa40 10 дней назад +3

    Siasa za huyu mzee zimepitwa na wakati

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 10 дней назад +4

    Acha kufarakanisha Watanzania, zungumza sera

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 8 дней назад

    mama tunakubali lakini vijana umetuzalau huyu Mzee kinana ana hakili sana

  • @MaxMax-r2z
    @MaxMax-r2z 9 дней назад

    Wee mzee kalee wajukuu Huna jipya

  • @FREDRICKIMWAKILA
    @FREDRICKIMWAKILA 10 дней назад

    Duuu!!😢😢😢

  • @fikiaupeo8249
    @fikiaupeo8249 10 дней назад

    Shida Sana hii nchi. Daah sijui tu

  • @MosesCheketela
    @MosesCheketela 9 дней назад

    Nchi ilikua ya amani zamani,kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tu wameuwawa wanachadema zaidi ya watano

  • @BagashekiFelix-jr9cu
    @BagashekiFelix-jr9cu 10 дней назад

    Mzee wasira umechoka sana Ile mbaya, achia kazi hii uliyopewa imeisha kuzidi nguvu. "Katika utawala wa Samia, Wasira...? Yupooo.!

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 9 дней назад

    Mzee mbona lisu alisema ukitoka Kenya kuelekea mpakani unakuta mabango yenye kuhamasisha uchumi na biashara lkn ukitoka mpakani Kuja tz unakuta mabango mama anaupiga mwingi mpk unafika.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 8 дней назад

    wewe Mzee pumuzika inatosha asante

  • @jimmykampate78
    @jimmykampate78 10 дней назад

    Daah kazi ivi vijana ccm hamna namkumbuka makongoro nyerere yupo

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 9 дней назад

      ".....yupo, MWINYI alikuwepo "yupo"
      Mkapa Wasira alikuwepo "yupo!!"
      Hadi sasa Wasira alikuwepo "yupo!!"😄😄😄

  • @frankcorbinian3821
    @frankcorbinian3821 10 дней назад

    Ccm hapo wamechemka hvi waliangalia nn hapo hv wanataka kumaanisha hamna vijana wenye nguvu mpya na upeo mpya wakushika kijiti h😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 10 дней назад +4

    Wanaomsikiliza wamechoka maana hana hoja za msingi

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 10 дней назад +1

    Huyu nae bado yupo!!😅😅😅 kazi na umri jaman ccm amna akiba ya vijana!!😂

  • @barnabasmsagamasi611
    @barnabasmsagamasi611 10 дней назад +1

    Wewe mzee, achia vijana. Umepitwa na wakati

  • @Emilianovibes
    @Emilianovibes 9 дней назад

    Anaongelea mambo tofauti kabsa na yaliyoongelewa, CCM Wana msukuma tu😂

  • @4karimu_
    @4karimu_ 10 дней назад +1

    We mzee mwehu

  • @FredLuo-v3e
    @FredLuo-v3e 9 дней назад

    Mna kiongozi hapa

  • @Nehemiaayo-b8c
    @Nehemiaayo-b8c 10 дней назад +1

    mmmm shida hii ya wazeee vijana kuleta hoja azina maana kama azina maendeleo ya kuonekana

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 8 дней назад

    Nakumbusha. Wapinga mapinduzi duniani. Hitler, Hirohito, Musolini, Idd Amin, Bokassa, Samuel Doe, Papa Doc, Pol Pot, Mobutu, wababe vita wenyewe kwa wenyewe (Liberia), Kamuzu Banda, Konni, Savimbi, Daniel Ottega (Cuba), Shah - Iran. Kanda ya tanzania: Steave Wasira, ustaadhi Gershon Msigwa, Mpoto, Kigwangara, Mbunge Waitara, Ali Happy, Fahris Bulhani, Makonda, Ahmed Kombo & bros, Mwigulu Mchemba, Askofu shoo, Tulia, Zembwela, Jerry Slaa, Nappe, itifaki imezingatiwa. Sifa za kujiunga na orodha hii hususani kanda ya tanzania: uchawa, kushabikia uuzwaji raslimali za taifa kinyemela kwa wageni, kukosa hekima.

  • @SalimuAlmasi-lt9ud
    @SalimuAlmasi-lt9ud 9 дней назад

    Pumzika Mzee
    Biedan.

  • @VincentOlioruko
    @VincentOlioruko 10 дней назад

    Yupo,yupo,yupo,yupo na yupo na bado yupo,tuseme ukweli hii ni haki? no, we need a change. Seriously.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 10 дней назад

    😂😂😂 CCM mnazidi kujichanganya kuwaeka wazee hawa wastaafu amna point inayosemwa na watanzania wte

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick 9 дней назад

    Mzee wasila na kukubali sana
    Piga kazi umsaidie Mwenyekiti
    Wetu mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 10 дней назад

    Pole

  • @wilfredshayo5442
    @wilfredshayo5442 10 дней назад +1

    Msikilize tena lisu hajaongea ukabila mambo ya zaman unaongelea Leo? Tueshimiane hapa

    • @omaryiddimonna4236
      @omaryiddimonna4236 6 дней назад

      Hapo alikuwa anajaribu kumnukuu Baba wa Taifa lkn bahati mbaya asikini hajui hata aichomeke mahali gani, fedheha.

  • @CastoryHerman-m4v
    @CastoryHerman-m4v 10 дней назад

    Huna jipya mzee unazeeka vibaya

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 9 дней назад

    Yaani kweli huyu mtu kazeeka.
    Utofauti wa Kenya na Tanzania uliosemwa na kiongozi wa upinzani ( Tundu) ni mabango ya Kenya kujaa matangazo ya mambo ya kiuchumi, na ya Tz kujaa picha za mama.
    Halafu huyu mzee yeye anaongelea ukabila sijui na mambo gani

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 10 дней назад +1

    Mmeanza kumuogopa lissu, atawanyoosha sana lissu

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 10 дней назад

    Amani ndio ipo mbali mzee,

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 дней назад

    Wasira hana tatizo,anamuelewa vizuri Lissu pale mahakama kesi ya Esta Bulaya.

  • @MosesCheketela
    @MosesCheketela 9 дней назад

    Kwahiyo nisahihi kugombana kiyama?

  • @abdukhalnyerere8993
    @abdukhalnyerere8993 10 дней назад

    Kama hauwezi kusema uongo basi usiseme usiyasema usiyoyajua kwa hiyo ccm ninyi ndio unajua kusoma na kuandika nchi hii kubalini tu kuwa mmeua demokrasia katika uchaguzi

  • @boxdad
    @boxdad 9 дней назад

    Wekeni uchaguzi wa wazi kama chadema muone kama mtashinda mamaye

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 10 дней назад +1

    Mzee huo umoja kwa ajili ya ufisadi lkn haku haki usitudanganye

  • @agapemunyi2095
    @agapemunyi2095 10 дней назад

    Walijua mpole 😂😂😂😂 walusema anasinziaga tu

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 10 дней назад

    Huyu mzee katwishwa mzigo usiowake,lissu hakuongea hayo Kenya huwezi ona mabango ya"rutto Anaupiga mwingi,pole wasira

  • @RockusssySanka
    @RockusssySanka 10 дней назад +1

    CCM ni Chama Dola siyo chama cha Siasa .
    Vyama vya siasa ni CDM , TLP, DP, ACT , MD, n.k lakini wenzetu ni Dola .

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 9 дней назад

    Mzee Wasira mbona umeanza kujibu hoja kinyumenyume bado asubuhi?
    Hoja ya Lissu ya nchi mbili tofauti hukuelewa.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 дней назад

    Hapo mtani wangu pungyuza maneno yasiostahili,baadhi ya uchaguzi wa serikali za mitaa kulikuwa na mizengwe iliyoudhi hilo kama unaipenda nchi yako lifanyie utafuti wa kutosha husiongee kufuraisha baraza.

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 10 дней назад +4

    Kalee wajukuu😂😂😂😂

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 10 дней назад +1

    Dah aisee kweli hiki ni chama dora cha ukoo

  • @gerachtangatya2835
    @gerachtangatya2835 10 дней назад

    Ni kweli sisi tumezoea kunyanyaswa

  • @reginaldmakene5987
    @reginaldmakene5987 10 дней назад +2

    Hata kuongea tu mtihani, sijui hao wajumbe waneona Nini kwako. Umeshapitwa na wakati mzee

    • @simonbura7890
      @simonbura7890 10 дней назад

      Kaletwa n mama huyo siyo wajumbe

    • @ahmedalkiyum7592
      @ahmedalkiyum7592 9 дней назад +1

      Mama hakumleta tu walika wakapendekeza kwahio Wacha wasinzie wote😂

  • @Kwarasi
    @Kwarasi 10 дней назад

    Sasa subiri mzee

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 9 дней назад

    Kabila letu lawakurya maana ya neno wasira inamaana kwamba umepotea
    Sasa huyu mzee wasira amepotea hajui aseme nn wala afanye nn

  • @ZachariaIsack-e5g
    @ZachariaIsack-e5g 9 дней назад

    Huyu mzee kazeeka mpaka akili

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 10 дней назад +4

    Kumuweka huyu mzee mmebugi sana ccm

  • @tospend
    @tospend 10 дней назад

    Niombeeni jamani misielewi

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 9 дней назад

    Afadhali ungeomba upumzike kama mzee wa busara sana mista mpango kuomba apumzike

  • @tysonEdson-s3u
    @tysonEdson-s3u 6 дней назад

    POLENI SANA AISE LOO

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 10 дней назад

    Huyu sera...ZIMEISHA

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 9 дней назад

    Kwahiyo huyu mzee anataka kusema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ni Ofisi ya kusajili vyama vya Upinzani?! Namshauri aache kubishana na vyama vingine, hii ni kazi ya mwenezi. Asije akavunjiwa heshima yake huyu. Mshaurini enye Masisiem😂😂😂

  • @KubiluTabu
    @KubiluTabu 10 дней назад

    Sasa mama ameshauriwa na nan kumweka huyu Mzee wa watu

  • @RaphaelMachinda-ih5we
    @RaphaelMachinda-ih5we 8 дней назад

    Anaweweseka

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 9 дней назад

    Huyu mzee wamemkamatisha mzigo wa bangi😂😂 anaongea kama amebanwa mavi

  • @HildaMunisi
    @HildaMunisi 9 дней назад

    Haelewi mada aliyozungumza Lisu na umri nao unachangia

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 10 дней назад

    Sitakulaumu kwa sababu unatetea tu tumbo lako uzee imekuwa ugonjwa kwako

  • @andrewchihwalo8937
    @andrewchihwalo8937 10 дней назад

    Huyu YUPO NAE ANASEMA NINI AKAJISAIDIE AKALALE😡😡😡😡

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 10 дней назад +2

    1.Amani gani wakati watu watekwa, na kuuliwa?
    2. Amani gani wakati kuna tofauti kubwa kati ya maskini ( zaidi ya 80% ya wtanzania)na tajiri?
    3. Amani gani ambayo watoto wetu watokapo chuo huushia kuwa machangu na bodaboda.
    4. CCm ipi ni kubwa? Kama ni kikubwa kwa nini itegemee polisi, usalama wa taifa na bunge na mahakama?
    I see no wisdom in this old staff, tenzi ni zile zile za akina Musiba, Bashite and the like.

    • @MACHAGGECHACHA
      @MACHAGGECHACHA 9 дней назад

      Chadema na Lisu hawawezi kuwaajiri wote waliomaliza chuo na akili zao kama za Lisu na Chadema wanaoabudu wazungu. Ile dhambi ya kumuuwa Magufuli itaendelea kuwatafuna wote ccm na Chadema. Majitu viongozi yenye tamaa binafsi. Kikwete na hawala wake Samia wanajigamba kuwa wachawi wote wamekufa. Bado kikwete anang’ang’ia na kuzidi kuharibu nchi. Mungu si Athumani safari hii ccm mtanyooshwa na huo upumbavu wenu.

  • @TeddyCyprian-o1s
    @TeddyCyprian-o1s 9 дней назад

    Selekali za mitaa hakukuwa na uchaguzi

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 10 дней назад

    Yani ccm kwa hili la kumteuwa huyu mzee mmebugi sana.

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 10 дней назад +1

    Wasira mwaka jana nmemuona mmmmh iseeee ni mwalimu mgumu kueleweka atasimulia sana lakini maana ya anazungumuza huwezi iona

  • @abdallahmalingo5254
    @abdallahmalingo5254 10 дней назад

    CCM hapa ni 10% Hakuna kitu

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 дней назад

    Kumpindua Wasira ni kuchuma dhambi.

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 10 дней назад +2

    Magufuli alitoka kabila dogo? Leo utuambie mzee naona unazeeka vibaya😅

  • @Bin_Malik
    @Bin_Malik 10 дней назад

    Yaani Mzee wa miaka 80+ anapewa ajira na kijana anaemaliza Chuo hana kazi, hii nchi hii

  • @AmosMalakyese-dc9qr
    @AmosMalakyese-dc9qr 10 дней назад

    Mtu wa maana kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 10 дней назад +1

    Usitulazimishe kuwapenda ccm.chama cha majambazi au chama cha wasiojurikana ccm utafia jukwaani wanataka wakutoee kafara cheo ulicho pewa

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 10 дней назад +3

    Ndiyo muamini CCM akili zao ni zilo wanawazaga uchaguzi tuu LISSU anazungumza mabango ya kenya yana tangaza biashara ya kwetu tanzania yana tangaza sura y SAMIA ndiyo utofauti huo? Muzee umezeeka?

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 дней назад

    Madalali wa viwanja husisahau kuwakemea baba tunakuaminia.Nchi ya haki.

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 10 дней назад

    Sisi ni nchi ya Amani 😂😂

  • @jamilamuhammedtanzanian8129
    @jamilamuhammedtanzanian8129 9 дней назад

    Uyu bado yupogo walahi bado unataka Kiki naumezeeka sahii hini digitali 5g uwezani kaakimya

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 10 дней назад

    We mzee watu walienguliwa we ulikuwa wapi

  • @omaryiddimonna4236
    @omaryiddimonna4236 6 дней назад

    Mh, kabila inahusianaje na mabango yeye alimaanisha mabango yetu mengi ni ya kisiasa yanahusishwa na kampeni zaidi kuliko maendeleo