KASI YA UJENZI WA STESHENI YA DAR ES SALAAM YAMKOSHA DKT.ABBAS,AKIPONGEZA KITENGO CHA UHUSIANO TRC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 53

  • @realdude64
    @realdude64 5 лет назад +6

    Ben Mwanantala, unajua kutuhabarisha, unafaa sana katika sekta hiyo, i wish you alot of success.

  • @elinamilyatuu7493
    @elinamilyatuu7493 5 лет назад +21

    Ila Ben umefit sana hapa...kila napoona update nalazimika kuweka data niangalie, you never disappoint

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  5 лет назад +7

      Tumepokea pongezi hizi, Ahssnteni sana..Hakika mnatuongezea nguvu

  • @emanuelchaplingi6366
    @emanuelchaplingi6366 5 лет назад +4

    Daa kwakweli sijui nisemeje yaani jembe langu magu anatisha kama Njaa na mwomba mungu ampe afya na nguvu na pia nakupongez ben kwakazi nzuri san ya kutuabarisha maendeleo ya sgr mwenyezi MUNGU akubariki sana sana endelea kutuabarisha zaid tuko nyuma yako Hapa ni kazi tu

  • @mudykajembe6677
    @mudykajembe6677 5 лет назад +18

    Huu ni ukweli usio pingika Kitengo cha habari cha TRC kipo vzr sana nilishawahi kuwaomba TRC mfanyeni mpango wa kufundisha wenzenu wanao simamia miradi mikubwa mfano mdogo ubungo interchange wenge wetu hatujui imefikia wapi na kwakiwango gani kwani kwa kufanya hivyo watu wenge watajua Dhamira ya Jembe DR Magufuli.

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  5 лет назад +3

      Ahsante sana.

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 лет назад +2

      Kweri kabisaa

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 5 лет назад +3

      Uko sahihi. Nilishangaa sana nilipoona maajabu ya interchange ya ubungo hivi karibuni (miezi minne tangu nitoke huku kwenda mkoani). Lakini, kama ulivyosema, wasiokuja Dar hata hawajui hali ikoje, kwa kuwa wahusika wako kimya. Ni wakati muafaka sasa wa wao kumuiga Ben wa @TRC RELI TV.

  • @GMShifo
    @GMShifo 5 лет назад +2

    Good job tanzania . Magufuli myaka 100 adumu kuwa rahisi

  • @OneBrotherMwendi
    @OneBrotherMwendi 5 лет назад

    Yan kaka Ben Mwanantala Mungu akubariki Sana kazi yako ni njema🙏 nakosa ya kuelezea zaidi but naona kesho yako nzuri zaidi,barikiwa🙏

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 лет назад +9

    Tanzania Mbeleee JPM Nambari 1 Miaka 40 anatosha Sana'a Kazi Inaonekana Waziii Kabisaaaa

  • @MYCYOBEL
    @MYCYOBEL 5 лет назад

    Aise trc mnatupa raha sana. Big up mi ntakuwa wa kwanza kuja kuzindua

  • @abelg2488
    @abelg2488 5 лет назад

    Kazi safi aisee. Kongore saaana Reli Tv.

  • @merishoherman169
    @merishoherman169 5 лет назад +9

    SGR ni miongon mwa mrad unaosubiliwa kwa ham na waTz Nando mrad utakaofanya Kila mtz ataman JP atawale milele, Zile safar zang za Dar mwanza Sasa zitaanzia Moro baada ya kupanda Tren kutoka dar

  • @HASASON
    @HASASON 5 лет назад +4

    Ben Mwanantala anajua kwenda na kasi ya JPM inavyotaka, huyu ni mwanafunzi bora wa JPM sababu amejua kumuelewa Mwalimu wetu kitu anachotaka tukifahamu, kwa kifupi Ben hajawahi kuniangusha na anastahili pongezi nyingi sana. Vivaaaaa JPM
    VivaTanzania

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 лет назад

    TRC iko juu sana, Ndugu Masanja endelea kupeperusha bendera ya Tanzania.

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад +8

    Tukiamua tunaweza tuacheni kutumika na mabebelu tufuate nyayo za jpm tutafika juu juu juuuzaidi magufuri anatosha ni zawadi tuliopewa kutoka kwa mungu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 лет назад +3

    Tulipe tu kodi kwa furaha mambo yako sawa.

  • @kahroogall5695
    @kahroogall5695 5 лет назад +2

    Nice brother

  • @rasheedmsigwa4612
    @rasheedmsigwa4612 5 лет назад +2

    👏👏👏👏👏👏

  • @aliyahmedahmed590
    @aliyahmedahmed590 5 лет назад +2

    Oke nimekuelewa TRC ni treni 2 kwa wakati mmoja. ...vizuri Najua mwanzo mgumu ila mjipange zaidi ili mfanye biashara ya Uhakika. ...Treni 2 ni kidogo mno kama kutakuwa na biashara kweli. ..Naamini kama mtakuwa na nzuri na kisasa ambazo zitakwenda karibu mikoa yote ya Tanzanias na nchi jirani biashara ya Mabasi ambayo mengi yao ni Mabovu na Uendeshaji mbaya mno itapungua kwa kiasi kikubwa ..kwani moja ya Usafiri bora na Uhakika duniani ni Treni. ..jitahidini sana...halafu kwa Ushauri wangu mngeamua kuweka kituo kimoja kati ya Buguruni na Ilala Naamini mngefanya jambo la busara sana kwani abiria wengi makaazi yao ni maaneo ya huko sio kumpeleka watu Stesheni alafu achukue Usafiri mwengine arudi huku anakoishi na mngepunguza mkusanyiko wa watu eneo moja ni Usumbufu. ...Wenzetu wanajaribi kuweka vituo maeneo ya watu wengi ili Kupunguza mkusanyiko wa watu sehemu moja. .

  • @sendeesupriydewoochiagaliy7474
    @sendeesupriydewoochiagaliy7474 5 лет назад +7

    Tumechoshwa na utumwa ,ukiangalia myaka ya Tz kutoka kwa mikono ya ukoloni ,Na Tz yenyewe haviringana
    Inabidi wa Tz tuamuke sote bila kujali wa Sungu mbwembwe,ma devil hatari
    Tujenge Nchi yetu tukiungana na JMP
    Wa miemuko wa pishe JMP hadi 2040 tuache ajenge Tz.

  • @louxonmedia
    @louxonmedia 5 лет назад +2

    Dah video safi kamera imetumiwa kitaalamu sana.. gravo

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 лет назад +1

    JPM viva JPM viva JPM

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 лет назад +1

    Viva Jpm

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 лет назад +2

    Hakika Tanzania mpya hiyoo inanukia

  • @isayajuma6635
    @isayajuma6635 5 лет назад

    Safiii sanaaaa

  • @dedankimathi4087
    @dedankimathi4087 5 лет назад

    Habari nyingi negative kuhusu kazi zinazofanywa na awamu ya tano chini ya JPM ni kua hakuna habari ama maelezo ama uenezi unaofanywa ....ni kweli chema chajiuza lakini pia biashara matangazo...kwa hiyo kuna watanzania wengi hawajui kinachoendelea wanachojua ni vyuma vimebana tu...miradi mingine wangeiga kutoka TRC...na hasa kutoka kwa BEN!...Meli za ziwa nyasa,nyanza na Tanganyika wengi hatujui makubwa yanofanyika kule...lazima tutangaze kinachofanyika...asante TRC tunakupata vizuri ughaibuni

  • @emjay1016
    @emjay1016 5 лет назад +4

    jaman ndugu zangu mlioko Dar es salaam mtuambie mradi wa UBUNGO INTERCHANGE umefikia wapi mpka sasa

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 5 лет назад +6

      Nimefika hivi majuzi Dar, interchange iko kwenye hatua nzuri mno! Nguzo na zile kofia za juu zimeanza kuleta mandhari ya tofauti kabisa! Hapo bado sijakuambia uzuri unaoanza kuonekana kule Kimara hadi Mbezi ambako baadhi ya vipande vya barabara inayopanuliwa vimeanza kuwekwa lami. Ni hatari, lakini salama. Viva JPM!💪🏾

    • @lamecktheonest225
      @lamecktheonest225 5 лет назад +1

      James Nteleva hahahahaha

    • @emjay1016
      @emjay1016 5 лет назад +1

      James Nteleva eeh bwana eeh asante sana mkuu kwa taarifa...VIVA JPM

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 5 лет назад

      @@lamecktheonest225 😀😃

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 5 лет назад

      @@emjay1016 pamoja sana mdau🙏🏾

  • @emanuelchaplingi6366
    @emanuelchaplingi6366 5 лет назад +1

    samahani naomba kuuliza hizo treni zitakaz retwa na kupita juu ya leri zina itwaje

  • @medardjustinian5223
    @medardjustinian5223 5 лет назад +1

    Wasiwasi Mkubwa ni kwamba JPM akiondoka bila kufikifisha hii kitu mwanza na kigoma na mpanda kalemii sijui itakuwaje???miaka inakimbia mno JPM kumaliza muda wake,sioni mtu mwenye kifua kama yeye baada ya 2025,wasiwasi wangu ni Mkubwa mno

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 5 лет назад

    Kama dk, 90 unatoka Dar na kufika Morogoro, watu watakaa Morogoro na kufanya kazi Dar es Salaam hii inawezekana kwa Tanzania ya Magufuli. Itakapofika awamu ya kuboresha City trains ziwe za kisasa mambo yatakuwa saafi sana.

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 лет назад +1

    Tz imenoga

  • @laeutusmwombeki6057
    @laeutusmwombeki6057 5 лет назад +1

    Mbona Picha inaonyesha majengo mawili na actual work inaonyesha jengo moja..nauliza tu

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  5 лет назад +4

      Yes..jengo la kwanza unalo liona ni stesheni na la pili ni la utawala la TRC.. ambalo linajengwa kwa pembeni ya hiyo stesheni

    • @Linkmycommunity
      @Linkmycommunity 5 лет назад +4

      Kazi haijaisha ,,,,relax u will see the outcome

    • @mgasathedon1579
      @mgasathedon1579 5 лет назад +3

      @@TRCRELITVTANZANIA Ben Mungu akubariki nakukubali uko poa umestahili kuwepo hapo

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 лет назад

    Jpm forever

  • @makiadijonasi6859
    @makiadijonasi6859 5 лет назад

    Hizo dislike hao watu wanaroga ujenz wetu pumbavu kabisaaaaaaaa

  • @aliyahmedahmed590
    @aliyahmedahmed590 5 лет назад +1

    Kina kitu bado Sijaelewa hapo kwenye Main Station ya Dar es salaam.....ni Treni ngapi zitapaki kwa ajili ya kupakia abiria kwa wakati mmoja. .? Kama ni moja mtakuwa mmefeli hakuna sehemu yoyote Duniani kwenye kituo ki kubwa cha kuanzia Usafiri wa kwenda Mikoani ikapakia treni moja au kukawa na Plattform "Baraza" moja ya kupakia abiria. ...kumbukeni kua Tanzanias ni kubwa
    ..kama mmeamua kufanya biashara ya uhakika au Treni Itakuwa moja kwa wiki kinawatosha.....na kama ni kufanya Usafiri kwa mikoa yote ya Tanzanias basi inabidi mjipange Upya....Niko Nchi za watu naona Treni zinavofanya kazi na Kituo kikubwa kilivo...ni maoni tu..

    • @renatusmisigaro6332
      @renatusmisigaro6332 5 лет назад +2

      Zitasimama mbili juu ya daraja kwa eneo la steshen kama unafatilia hii channel ungesha fahamu hilo kitambo!!

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  5 лет назад +3

      TRENI ZETU ZITAKUWA ZIMESIMAMA JUU YA DARAJA..na tutakuwa na Treni mbili kwa wakati mmoja...,zikiwa juu ya darajA...
      Lakini Treni zetu za miter gauge zile za siku nyingi tulizozizoea zenywe zitakuwa chini ya daraja.

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 5 лет назад +1

      Aliy Ahmed Ahmed kilichofanyika kinatosha kwa sasa hayo mengine ni nyongeza tu baadae zinaongezwa tu platforms zaidi kama njia zitaongezeka.

    • @michaelndilima6210
      @michaelndilima6210 5 лет назад

      Sisi watanzania tunakuwa na Tania mbaya ya kubeza na kukosoa tu

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 лет назад +1

    JPM viva JPM viva JPM

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 лет назад +1

    JPM viva JPM viva JPM