AMINA, Wakristo tukitaka Mungu Atutendee kile tunataka na tukitaka Atuinue lazima tuweke imani Kwake. Kama haumwamini Mungu hamuwezi pelekana Naye. Tunataka kuwaamini na kupelekana na watu kuliko kutembea na Mungu.Tuwache kutikiswa na misingi ya wanadamu hata iwe aje, tuweke imani yetu kwa Mungu na bila shaka miujiza itatendeka kwa maisha yetu. Tumwamini Mwenyezi Mungu nasi tutakuwa imara, tuwe na imani na Nabii wake na tutafaulu. Trust your God!! Ukikosa imani utaangamiza nchi yako. Lazima tumwamini Mungu ndivyo Akomboe familia zetu. Kama Kenya itapona, itapona kwa sababu ya wale manabii wamesimama na kweli. Wakati umefika, kama unajua Mungu Wako usimame na Mungu Wako.
AMINA. Wakristo tusisimame na wingi wa watu bali tusimame na Upande Wa Mungu. Tukisimama na Mungu kile Ametuahidi lazima Atatenda. Tuki muamini Mungu chochote shetani ameweka mbele yetu Mungu Atakiondoa ndivyo maadui waaibike.Kuna Mbingu inaweza funguka kwa wale wanamwamini Mungu na Nabii Wake. Tukisikia Neno Ambalo limetiwa kwa kinywa cha Nabii kile kitatendeka sio cha kawaida. Ikiwa tunahitaji baraka lazima tumtii Mungu, lazima tupelekane Naye kwa utakatifu. Tukitendewa tuje tutoe ushuhuda ndivyo hizo baraka zingine zipatikane. Baraka Za Mungu hazina kipimo, sio za leo kesho zinaisha. Ni sisi ndio tumemkosea Mungu. Tunahitaji "divine connection" ya Nabii Wa Mungu
AMINA. Wakristo tunahitaji Neno na tunahitaji mtu wa kukuja kutuconnect katika baraka zetu. Ukiwa na mtu wa kukuconnect na baraka zako hakika kile hakiwezekani kwa mwanadamu kwa Mungu kinawezekana. Kuna connection ya Roho Mtakatifu kupitia Mtumishi Wa Mungu. Watu wengi kile kimewakosea wanasikia Sauti Ya Bwana lakini imani yao iko chini. Tumepatiwa Mtumishi Wa Bwana wa kutuambia vile tutafanya lakini hatuna imani. Unapoweka shaka kwa Mungu kwa jambo moja hata hilo lingine hawezi Kukufanyia. Hukuacha, Anaacha kutimiza hata lile Angetimiza. Mungu Ameteua manabii/wanatumishi wake.Wale watasimama na wamesimama nao Mungu Atawaconnect na baraka zao.

I tap this anoiting today lord I need more faith
Nimepokea hiyo Imani sitaweka hiyo shaka tena mungu nisamehe

Amen Amen
@@locylocy8852 Amen and Amen 🙏
Glory be to God for connecting me to such a true prophet.
Nina hitaji neno na nina hitaji mtuwakunisaidia.
Thank you Jesus
Halleluyaaaaaa 👏👏👏👏
I received the word 🙏
Daddy omba Mungu amponye my brother aweze kutembea tena
Amen Amen Amen
I resived Divine connection.
I connect with the word
ameeeen 👏👏
Amen the word is soo powerful 🙌 🙏🏼
The real anointed man of God
Amen, God forgive me
AMEN ✋✋
Amen
Amen 🙏🙌 very true 💯💯💯💯💯💯💯💯
Thank you God for thy word
I need DIVINE Connection
I receive it
Ooh yes Lord
Connection
Connection.amen
Halleluya
Ooh yes
Neno.moja.tu
Nahitaji mtu wakuninenea
I need prayer line number , kindly someone assist me with the number
Amen
Thank you jesus
Amen Amen Amen
Amen 🙏
Ooh yes Lord
I receive it
Connection
Amen Amen 🙏
Amen
Amen amen amen
Amen
Amen