Ondoa Tatizo la Mtandao (Internet) kwenye Simu yako

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 27

  • @nehemiatv665
    @nehemiatv665 6 месяцев назад

    Ahsante sana uko vizur sana nimefanikiwa.

  • @babubomba5292
    @babubomba5292 Год назад +1

    Asante sana nilikua na changamoto ila imeisha kaka💯

    • @GwesaITech69
      @GwesaITech69  Год назад

      Asante saana, ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya usisahau KISUBSCRIBE kwa masomo mengine zaidi

  • @OmaryKabelele
    @OmaryKabelele 27 дней назад

    Shukrani Sana kaka

  • @ZenaKisangi-ih8gi
    @ZenaKisangi-ih8gi 2 месяца назад

    Asantee kaka imefanikiwa isee

  • @irenekazare-xe8su
    @irenekazare-xe8su 2 месяца назад

    Nashkuru kwa kweli imenisaidia sana

  • @nkugwasimon2301
    @nkugwasimon2301 Год назад

    Good job kaka mkubwa 🙏

  • @witneyessao8617
    @witneyessao8617 Год назад

    Asante sanaa ....imenisaidia

    • @GwesaITech69
      @GwesaITech69  Год назад

      Karibu saana kwa masomo zaidi, Usisahau KUSUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kupokea video za masomo yetu mpya kila zinapowekwa

  • @MarryKanti
    @MarryKanti 2 месяца назад +1

    Mi inaniandikia sign in to network

  • @SobiTz
    @SobiTz Год назад

    Thanks san bro 🎉🎉

    • @GwesaITech69
      @GwesaITech69  Год назад +1

      You are welcome, and thank for your support!

  • @othmanm-pesa9178
    @othmanm-pesa9178 Год назад

    Thanks

    • @GwesaITech69
      @GwesaITech69  Год назад

      You are welcome, don't forget subscribe to our channel for more updates

  • @Nakhtal
    @Nakhtal 11 месяцев назад +1

    Sante

  • @Petersukari
    @Petersukari Год назад

    nice

  • @ShabaniMasoud-m7y
    @ShabaniMasoud-m7y 3 месяца назад

    Mi sim yangu nikiweka lain zinagoma kudoma unaweza kunisaidia

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 11 месяцев назад +1

    😅😅 2:07 2:08 2:08 2:08 😅

  • @ElishaJoakim-w8c
    @ElishaJoakim-w8c 3 месяца назад

    Yakwang umekataa kosoma 4g na 3g inasoma e tu nisaidie Kaka nimeset Kam ulivyosema

  • @SaidJumanne-u2l
    @SaidJumanne-u2l 11 месяцев назад

    ndugu naomba msaada nina samsung A 10s naeka lain no sevisi

    • @GwesaITech69
      @GwesaITech69  11 месяцев назад

      Habari. pole kwa changamoto hiyo naomba wasiliana na mimi kupitia email newdeloperj69@gmail.com kwa usaidizi wa jambo lako. Karibu saana

  • @GloriaSamwel
    @GloriaSamwel 9 месяцев назад

    Nimefanya kama ulivoelekeza ila tatizo Bado lipo kaka

    • @GwesaITech69
      @GwesaITech69  9 месяцев назад

      Poleeeh saana kwa changamoto unaweza kuwasiliana na mimi kupitia email newdeloperj69@gmail.com nitumie namba yako nitakupigia

    • @JenifaWilliam-e4m
      @JenifaWilliam-e4m 4 месяца назад

      Hi​@@GwesaITech69