Sasa mhesh sonko mimi ni mwana mziki ras edu naomba sponsor wa kunisaport kwa mziki naimba secular RUclips Ras Edu sambaza hi story kwa marafiki zako wote 🎸📡📺🚙🛖🛖
Hello sir habari ya leo tafadhali naomba tu niko kwa kona naomba school fees😢 mwanangu yupo kidato cha tatu anafanya vizuri sana skuli alifukuzwa saa hizi amekaa wiki moja nimejaribu lakini sina namna niko na watoto wawili huyo wa kiume na wa kike na mimi ni single mother kwa hiyo naomba chochote kile ambacho utakuwa nacho hata sitaki unitumie ukituma kwa shule moja kwa moja nitashukuru sana tafadhali
Sonko i saw you one Sunday ukipita hapo Nakumatt Mega now Carefour ,i wished i shook your hand 💵 $ but it was too late 😂 i will be more alert next time😅
This guy is the true definition of you can be anything you want in life..
Sio rahisi vile unaiona 😂😂😂😂
If only you're fearless 😂 we know his source
Waaoh very smart girl hana mambo mingi ni mambo tu ya shule na job. she is a vibe.
I love Mike Ssonko, lol!! And that lady is a whole vibe, hahahaha!! She is hilarious, in your face and at the same time, genuine. God bless them both.
Mike you are so chilled these days😊
Huyu jamaa yuko Sawa bana. Sonko the best ever
Very down to earth
Mhesh anatafuta gym trainer Niko hapa
I look how sonko support us.ata kama ni vigumu tumeet I love him.
Sasa mhesh sonko mimi ni mwana mziki ras edu naomba sponsor wa kunisaport kwa mziki naimba secular RUclips Ras Edu sambaza hi story kwa marafiki zako wote 🎸📡📺🚙🛖🛖
Pure talent...@naomi.. with love from UK
Sonko you are good hearted man
Mwanamke mchangamfu sana
My favourite mwesh nikiwa High school he gave us 1k the whole school every student
All classmates well represented hapana tabua.
Kitambi ni signature 😂😂😂😂
Mweshimiwa nmekutafuta muda mrefu sana, nkupate aje
The lady is vibe 😂😂❤
Mike Sonko always humble .Watu wa city watakumbuka Mike Sonko.I have subscibed.
Big up Bro Sonko❤
Sonko Hii video ni kali lakini Mimi hapa Networth Media naweza fanya kazi safi. Nipatie kazi mhesh, mimi siombi pesa.
Muhesh sonko mungu akujaalie hivo hivo ya kusaidia watu
Nime enjoy hii story ,imekuwa tam sana nimetaka tu iendelee😂 Sonko tafuta huyu dem muendelee kuchapa gumzo
She is a good energy vibe.
Naomi Kuria anakuanga Na stori za jaba, eti good morning🤣🤣
Roho yako mhesh ni moja tu Kenya.you share your money with others.God bless you sir.
Yeah,,, former governor,like the way umedai unasaidia wengine huezi mpea yote,,, good job.
Mungu ata ku zidishia am.muslim.najuwa juu ya sadaka
She's talented achana na mambo ya gym 😂
Hyu dam n content creator she's gud at it you nailed it with myke go gal Naomi 😂😂😂😂😂😂
From classmate to mweshimiwa 😂😂, Uko sawa Naomi
Signature ya mheshi ni doo
She should be made famous she is real
Very true
This is the best ever!!!
Naomi is a natural 😅
Good morning 😂😂😂😂aki uyu mama ..anyway sonkolee i love your kindness ❤
Pamoja sana sonko 👊🔥
Hahaha big bro umruwa hiyo huuo mdem ni mreal
Niaje muthee
Sonko Asante Sana kwa ku support vijana, si wengi wanaeza fanya hivo
❤ haki mheshimiwa ,si uniokoe hakii am stranded from marsabit
Which place in Marsabit?😊
Who else saw that lady ameeka pesa kwa matiti😂
Pesa inakuaga na marigo, nakuguza unajipanguza😂😂😂
Team 😊sonko npitieeni please tuinuke pamoja 😊❤
Naomi ukuwa top kwa talent 🎉
I was waiting for "Good Morning?" 😂😂😂
Waititu should learn from Sonko.
Sio siasa kila wakati.
Sonko is man of the people
Live long sonko ❤
This mama waahh
Tajiriiiiiiii
Sonko alisom kwale boys 😂😂 iyo anatuchocha ni drama ya kupanga
Thot soo inakaa kupangwa.
Kwani hamjui jokes🫣,,,, they are just but acting yaaaaawa
Advert for juicy fruit @@JoyceMugure-w5n
Sonko na balaclava surely 😂😂😂
Upuzi ambao uko Kenya
Simba sonko nakusalut bro
Huyu dame nilimwona kwa advert Fulani ...ati good morning 😊
Sonko Alisoma Kwale High
When opportunity comes makes good use of it. Shika kitambi😂😂
😂😂😂😂😂😂
Sonko huwanga mbaya siku zote..anafaa akuwe presida
Nomaaa sana Sonkoreeee😂😂😂😂😂
Anaroho ya kusaidia sana watu....ndio maana Mungu anamuongezea zaidi na zaidi
Poa Sana 🙏
Sonko alikuwa kwale high....mwanamke muongo
Lakini Sonko hunibamba yangu yote... 😂😂😂😂
😂😂😂😂thanks mhesh
Muhesh mwenyewe in flesh❤
Akupe zote na majengo mvita wamngoja
Pesa za County zina KULWA vizuri na Sonko sasa!
Naomi you would be a hawking star if it was really job.
Sonko God bless you sana
The watch 🔥
😂😂😂NI MA BESHTE ,SHE LOOKS RICH
MKUU please niajiri kazi......jinsi unasaidiana hata Mimi ningependa kusaidia na kupitia kwako...Mimi naitwa Elvinah
😂😂hii imeweza
Hello sir habari ya leo tafadhali naomba tu niko kwa kona naomba school fees😢 mwanangu yupo kidato cha tatu anafanya vizuri sana skuli alifukuzwa saa hizi amekaa wiki moja nimejaribu lakini sina namna niko na watoto wawili huyo wa kiume na wa kike na mimi ni single mother kwa hiyo naomba chochote kile ambacho utakuwa nacho hata sitaki unitumie ukituma kwa shule moja kwa moja nitashukuru sana tafadhali
Ati shule iko huko juu?😂😂😂
Iko Impox Sonko is right 😂😂
Akiangai nuvungu usu 😂😂😂😂
Tiz gal😂😂😂
aki Naomi
Uyu dem maze ndio anawezana na sonko
Sonkooooo
😂😂😂😂 hii kenya vituko ni mingi sana
Huyo mumama ni mkora
sonko aki u can entertain noises kumbe. demu wa jaba
Ety kukata kitunguu
Aki muheshimiwa sisi ni opharns,brother yangu amekwama China kwa university ya scholarship, please 🙏 mulipie ticket arudi home
😂😂😂sonkoree...
😂😂😂
Aki naomi enda Churchill
Is that Jacob& co watch Sonko wearing daamn
Eeh mike sonko ako poa jo
Ala supu poa ajue massage na sonkoree chakula yote unatafuna oil iwe less na tizi wiki mbili utakua poa ongea na chef wako mpox deadly👊💯
Uyu Dem ako tu sawa heshima za mhesh aliwacha kwa shamba. 😅😅
Nakusika unajipanguza😂😂
swali ni moja tu.. hii camera ilikuwa imengoja classmate afike
Boss niko na msichana mzuri wa massage kama unataka she is doing great 👍 please
Mnipitie tugrow wote please ❤❤
Ghai Naomi 😂😂
Her tone ndio inanibamba 😅😅😅😅
Nipitie nkupitie lets grow together guys❤
Naomi amependa hio kitambi😂😂
Jamani mi pia siniwe classmate wako😂😂😂😂😂acha ni subscribe hapa nikumbukwe😅😅😅
Hii imenimaliza....Huyu mwesh akona ka originality flani😂😂😂😂
Nahuyu classmate anaongea firstfoward 😂😂😂😂😂 musinimeze please
I wish we meet one day ... I need help
Signature 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sonko i saw you one Sunday ukipita hapo Nakumatt Mega now Carefour ,i wished i shook your hand 💵 $ but it was too late 😂 i will be more alert next time😅