SABABU ZA KIFO CHA LEMUTUZ FAMILIA YAFUNGUKA, RAIS SAMIA ATOA NDEGE KUSAFIRISHA MWILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 66

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 Год назад

    Poleni sana ndugu na jamaa kwa kuondokewa na mpendwa wenu, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu unacho pitia😌😌😌

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Год назад +3

    Mwenyezi Mungu amuhifadhi amsamehe pale alipokosea

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Год назад +2

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Pole sana Mzee Malecela na familia yako Mwenyezimungu awape subra!

  • @florachogo243
    @florachogo243 Год назад +3

    Poleni sana familia,hapo umesema tatizo lililokuwa linamsumbua, lakini wananzengu watasema kunasabaabu kalogwa.mungu ampumzishe mahala pema

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 Год назад +2

    Familia ya kambo sasa naona imefurahi Le Mutuz ..katangulia sasa muwe na amani😢😢 R.I.P..my brother Le mutuz..all the way from USA

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Год назад +1

      Huyu Mzee alicho feli ni kuwapatanisha Watoto
      Inaonekana walikuwa na bifu kubwa sana
      Mzee alitekwa sana na Mama wa Kinyakyusa
      Sasa wametangulia,
      Kama kweli wafu huwa wana onana,sijui itakuwaje 😳

  • @consolatatemu8613
    @consolatatemu8613 Год назад +6

    Muona nae uyo baba wa watu kafiwa na mwanae wewe unajichekesha kupiga Nate picha

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад +1

    R.I.P Le mutuz alikuw mdau wangu sana siombaya kala maisha akapumzike salama nasis njia yetu ni moja

  • @sikalumea9028
    @sikalumea9028 Год назад +4

    Poleni sana wafiwa wote

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Год назад +1

    Poleni sana wanafamilia mungu awape nguvu hasa kwenye hiki kipindi Cha majonzi

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Год назад +2

    Wengine wakibeza manunuzi ya ndege, leo hii zinasaidia sana hata kwenye mambo ya misiba nchini.

  • @AminaKachenje-sv7bs
    @AminaKachenje-sv7bs Год назад

    Daah my friend pumzika kwa Amani mnoo roho ilazwe mahal pema pepon

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Год назад +2

    Kweli Dunia tunapita RIP Lemutuz

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 Год назад +5

    Mm Leo ndonajua lemutuz nimtotowa malechela

    • @imaculatadominic7005
      @imaculatadominic7005 Год назад

      hata mm ckujua tena kama mange ni mjukuu wa malechela

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Год назад

      ​@@imaculatadominic7005 😳😳😳

    • @aishamsafiri4707
      @aishamsafiri4707 Год назад

      Hata mimi mwenzangu kumbe mgogo

    • @svt3
      @svt3 Год назад

      @@imaculatadominic7005 familia ya Mange ni marafiki kwa familia ya Malechela sio undugu wa damu ila marafiki

    • @imaculatadominic7005
      @imaculatadominic7005 Год назад

      @@aishamsafiri4707 mgogog wa mvumi

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 Год назад +1

    Jamani mfikirie na kodi zetu maana sisi tunaonyoka hatupati hizo za kulipiwa chochote tunapopata changamoto

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 Год назад +2

    Nimependa muda mlioweka kukaa mara ya mwisho na mpendwa wenu...

  • @SalhaAmsi
    @SalhaAmsi Год назад +2

    Poleni Sana.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +1

    Poleni wafiwa wote jamani pole mzee wetu kwa kuondokewa na mtoto wako fauza ali njoo uje usikie marehemu kumbe alikuwa na tatizo lamoyo

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Год назад

      Dah jmn wabongo😂😂Faiza yake yamemshinda huko Mange kamchamba

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 Год назад

    Ingekuwa Ni afya sana Kama angeagwa nyumbani kwake yeye alikojenga sio kwenda kwa Mzee Malecela. Hivi alikuwa maarufu hapa mjini halafu kwanini mbeleko ya Mzee? Daaaaah! Mjini bhana usione watu wako vile.

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Год назад +1

    Apumzike kwa amani

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 Год назад +1

    Alianza zamani huyu naona umrimmoja na kawawa

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 Год назад +4

    Wakristo wanaraha wanakaa na mait sku 3 mpaka4 wanamrandisha 😢😢😢

    • @jecciemario9869
      @jecciemario9869 Год назад +4

      Sasa nyie si mmechagua kuwafukuza wapendwa wenu kwamba hamuwaitaji tena

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Год назад +3

      Endeleeni na yenu

    • @amriyalibent5900
      @amriyalibent5900 Год назад +2

      Lkn mwisho wa siku anafukiwa tuu

    • @bonnymwajombe779
      @bonnymwajombe779 Год назад +3

      Sasa ulitaka tuupeleke mbiombio mwili wa mpendwa wetu kama tunaenda kufukia mbwa!

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Год назад +1

    Rest In Peace William John Samwel Malecela

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Год назад +5

    Baba anazika mtoto wa pili ,

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Год назад

    RIP WILLIAM JOHN MALECELA!

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Год назад +1

    Kumbe ni mtoto wa malechela

  • @faraonselu8521
    @faraonselu8521 Год назад

    Kimbora

  • @abdirahmanabby761
    @abdirahmanabby761 Год назад +2

    Kakaangu ki ukoo please sija elewa hili

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 Год назад

    Ndio zao hao

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 Год назад

    Rest in Peace Lemutuz

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Год назад +3

    Mimi sikujua kama Mange alikuwa na undugu na Malecela au Malchela

    • @jazeerajuma5014
      @jazeerajuma5014 Год назад

      Sio ndugu nivile alikuwa na urafiki na dr mwele dada yake na lemutuzi na yeye ni marehemu

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 Год назад +5

      Baba yake Mange aliwahi kuoa/ kuishi na hayati Mwele kama sikosei.

    • @bethjohn928
      @bethjohn928 Год назад

      Baba ake mange nasikia alikua na mahusiano ya kimapenz na mtoto WA malchela ambae nae ni marehemu pia ni dada ake na lemtuz walichangia baba

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Год назад

      Mange siyo ndugu ni urafiki tu,sema ni Chizi alitakiwa ampe Lemutuz heshima basi tu

    • @happynelson1180
      @happynelson1180 Год назад

      @@salomewandya7257 kweli ee

  • @mayajuma6742
    @mayajuma6742 Год назад +1

    Naona bajeti ya chakulatu

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 Год назад

    Wanafanya maskosa maiti akifa anatakiwa asilazwe

    • @kelvinfussi5210
      @kelvinfussi5210 Год назад +2

      Usilazimishe ulivyoekekezwa wewe ndio kila mtu afanye hivyo

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 Год назад

      Ngoj ukiwa we au we utalazwa coz sheria zko watazfnya kwako cyo kea fmlia y. Watu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Год назад

    R.I.P

  • @QueenElisabeth-f9g
    @QueenElisabeth-f9g Год назад

    😢

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 Год назад

    Rip