Mkwanja waktoka wapi na apo wasafi anakula commision ,hamna kitu anamilik ila campuni inaeza nunua picpik10kwa ajil ya kujitangaza kisha ikamtumia diamond kwa kuzogawanyakuptiajinalake
@@mkazy4657 Wasafi wamiliki Diamondi 48% Mke wa Kusaga 50% na Kuna jamaa Mmoja ako na 2%. Kwahiyo kama ujui ndio ujuwe. Kila mmoja anakula haki yake. Wacha chuki na Wivu wa kijinga. Roho mbaya tu.
Nyinyi wacheni kumchimba Diamond platnumz, kila mtu akichukua Gari la mkopo ni Diamond kanunua, mnamuusudu huyo Diamond wenu, sio sifa hizo, mtakuja juta Baadae, hii duniani ni duara
Diamond platinumz ni next level,,,,,,, congrats bro for the support that u are giving ur workers
Mungu akuzidishie Daimond platinum. Kwaupendo wako
dah Mondi Allah ambariki sana aise
Mukubwa fella na diamond mungu awaongeze sanaa
Daaaahh huyo ndio mondiii
Sombaaaa
mkubwa fela huwa anaongea vzur Sana mungu akupe maisha marefu
Kweli mkubwa fela uko sawa
hongela sana mondi
Mondi ni mzee wa vitendo,braa braa haziko wasafi
Eeeeeh mond uyooh!
Platinumz
Mwamba anagawa magari km njugu maamaae duh siamini pua yangu😹😹🥱🙌
Hahahahaa yaan kiukwel mondi anamoyo wa pekee ukifatilia misaada anayotoaga mungu amuongoze
H Baba time yake alizingua sai anaskia kiazi bado kuomba omba km chokoraa
Hahaha h mama njoo ulituambia Simba akikupa gari basi unamtusi harmonize....kwahivo fela naye amemtusi jamani Simba ana mkwanja mrefu tuache roho mbaya
Mkwanja waktoka wapi na apo wasafi anakula commision ,hamna kitu anamilik ila campuni inaeza nunua picpik10kwa ajil ya kujitangaza kisha ikamtumia diamond kwa kuzogawanyakuptiajinalake
@@mkazy4657 We jamaa aujielewi hahaha mbn utateseka sana panya ww
@@ramseydasilva utaendelea kua mshamba milele maana Elimu yako duni huelewi chochote unajua tu kununua bundles
@@mkazy4657 Wasafi wamiliki Diamondi 48% Mke wa Kusaga 50% na Kuna jamaa Mmoja ako na 2%. Kwahiyo kama ujui ndio ujuwe. Kila mmoja anakula haki yake. Wacha chuki na Wivu wa kijinga. Roho mbaya tu.
@@mkazy4657 sindano imekuingia sasa tulia dawa iingie
Huyo ndiye simbaaa mungu amubariki sana asiwai kosa kabisaa
Dah mondi noma
Kubwa la majungu
Boss fella
Areal mmmmm
Honda Cr V 2007 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Simbaaaa
Simbaaaa
Kwann mond wanamchukia sana?
Imimi napenda Monde anavyofanza ila nachukia tu kutompa gari Mzee Abdul
Hajui kuendesha
@@youngtaiz8359 ahaaaa!!umetisha kachukue mzinga wa konyagi kwa manka ntakuja kumlipa
mond anagawa magari ka dhambi
Kwahiyo kiwanda kilitengeneza gari tano tu kwaajili yenu?
Eti sikutaka kujiliza Liza
Kizembe kama hao watoto
😂😂😂
Simba ongela sana kaka kwamoyo ulionao
Kwa nn.umwambii amsaidie bbke
Hapo ni kujitekenya na kucheka ,wanataka kuonyesha diamondi ndiye boss wakati hawa jamaa ndio Wenye mji, Huyo diamond mfanyakazi wao tu
Itakuwa umetoka usingizini muda huu
Meneja ndo mfanyakazi kwa msanii na msanii ndo humlipa mshahara meneja na ndo maana meneja hufukuzwa pia
@@emanuelmwebela912 😂😂😂😂😂😂
Hahaha kahonda crv mbna kawaida twataka ndege
Ambia babako maneno ayo ya kusondwa
Duh unataka aanze kugawa ndege! We una bugatti nn?
@@wilsonstephen1668 uyu jamaa ni mweu labda kwao ata bicycle akuna..
Ata wewe kanunue acha roho mbaya
Aikuhusu ukisha iyona utakua Lubani wake😏😏
Magali ayo sasa iv ata wapika vitumbuwa barabarani wanayo achen ushamba
Wewe unayo ? Pumbavu
Mnunulie na ww H baba apunguze fitna kwa wenzie 😁😁
Na ww mzee ukuwe tena uache mambo ya kitoto mambo hayo wafanye wanao au wajukuu zako kupewa gari tu story kibaao hata ivyo kwani si kitoto ukuwe mzee
We una gari ngapi🤣
Yaan Mondi utadhani ndio mjapan anayard yamagari yake sasa anagawa kama pakiti za karanga,halafu kuna wajinga wanapiga kelele tu huko
Sifa sifaa yan kilakitu matangazo ndo Mana watu wanasema asipigiwe kura atatusumbua mzee wa masifa
Mbona diamond hajasema ni fella mwenyewe
Au ulitaka upewe wewe gari 😅😅
Waaazi
Pore kwa maumivu unayo pitia
Ni fella ndo yeye wamsingizia diamond
Nyinyi wacheni kumchimba Diamond platnumz, kila mtu akichukua Gari la mkopo ni Diamond kanunua, mnamuusudu huyo Diamond wenu, sio sifa hizo, mtakuja juta Baadae, hii duniani ni duara
Diamond ndio amewaajiri mkubwa fella, Salam na Tale unafeli ulizia acha kuropoka
@@slimmuombwa4748 kuajiri nini wewe wacha uchawa
Sasa honda nigari la kutangazwa tena mtumba siniushamba huu wa kiwango cha juu
ujielewi
dawa imekuingia😠
We ni mjinga sana
Mwenywe wivu
Roho mbaya
Mwambie asaidie babake basi
Baba ake alisha fariki
@@ilynpayne7491 mashabiki wa simba zee wote ni wanjinga ..
Waaazi
@@mkazy4657 kabisa🤣
Baba alikufa nyange