Lilishanipata hili zaidi ya mara 3 ktk nyakati tofauti,,,Yesu alinichomoa nlipokuwa tyr nimepewa jembe la kulimia shambani,,,,vijembe vifupi vifupi,,,,ila wewe mwamini tu Yesu ,mchawi hana ubavu mbele ya jina la Yesu
Daaa storry yako kam yangu nimetokea kweny tundu la sindano mungu mwem San jaman mgang nae anasaidia japo ni haramu lakin mganga alinisaidia na uwezo wamungu
Tobaaaa🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️nishamaliza kula mana hapo paa kula moyo wamtoto😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫bibi mchawii kweliiii tena hakuna utajiri hapo umasikini tuuu
Lilishanipata hili zaidi ya mara 3 ktk nyakati tofauti,,,Yesu alinichomoa nlipokuwa tyr nimepewa jembe la kulimia shambani,,,,vijembe vifupi vifupi,,,,ila wewe mwamini tu Yesu ,mchawi hana ubavu mbele ya jina la Yesu
Daaa storry yako kam yangu nimetokea kweny tundu la sindano mungu mwem San jaman mgang nae anasaidia japo ni haramu lakin mganga alinisaidia na uwezo wamungu
Davistar Thanks for the good work Wachawi wote wa Laniwe katika Jina La YESU wa Nazareti
Am glad in Saudi Arabia wakishikwa waganga wachawi hukatwa vichwa
Mdau wewe nakuomba wasikatwe vichwa tuwaombee dua ili wamkumbuke muumba mbingu na aridhi kwani yeye ndio kila kitu apa chini ya jua Ishallaa
Sababu ya hukmu ya mchawi kuuliwa ni sababu imani yake imevuka mpaka na huwezi rudi nyuma wala kutubu
@@hamidibrahim5369 mdau Mwenzangu bora umenijuza nilikuwa sijuwi nashukuru kwa kunifumbua
@@fatmaalrshdii7615 weh si ulitaka kuolewa nao
@@kareemalamoody6345 basi Sitaki tena
Hongera Davie ongeza mic moja ashikilie msimuliaji unachoka sana hiyo moja
Team kuchelewa Mupo 💃
Tupoooooooooooo
Good job bro DAVISTAR MATA na mungu akufungulie zaidi
Dooh bibi lako hilo nisheytwan lakibinadam pole kaka angu
Pamoja mr Facts Kazi bora kaka 🇸🇪🇹🇿❤️
Nimewai Leo pongezi kwangu
Mm noma hadi msukule kwanyumba yake hongera mchawi
Kwann wanawake wengi ndo huwaga wachawi sana uzeeni mwao
Hata wanaume wapo
Wanaenda sana kwa waganga wishoe wanakuwa wachawi
WS waiting for this part eagerly
Hey
Duuuh kazi za shetani ni kuua,kuchinja na kuharibu yaani mtoto wa mwanao kabisaaa😭😭😭
Wapenzi wa Mikasa tujuane
Tupo mdau Mwenzangu wa mikasa pamoja sana
Simulizi bora ni ile inayoshuhudiwa kwa hisia na hii ndiyo moja simulizi bora Sana, kijana amemudu pande zote pasipo shaka, This is Big true story🙏.
Noma
Pole sana my kaka
Kwa kweli kk aliona mmbo live aisee
Tunasonga mbel Leo cku ingine alhamdulillah
Masaa alkheri
No 1
😭😭😭😭😭😭umenikumbusha mbali San mpak nimejikuta naogopa tena wachaw Shikamon jaman yaan ni Mim kabisa hii storry daa kumbe weng tunateswaga
Wachawi wabaya jamani nyinyi wachawi ndo washezi kama waganga
Tukuwe naomba mungu nakubakiya mwaminifu kwake ,na atatupiganiya
Hatari sana jaman
Mmmhh Bibi wa hivyo mie Akuu doooo AISSEH hatari sana wachawi sio watu kabsa
Si watu kabisa
Huyo bibiako noma sana
Tunaendelea kujifunza kwenye mambo ya kichawi.
Tobaaaa🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️nishamaliza kula mana hapo paa kula moyo wamtoto😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫bibi mchawii kweliiii tena hakuna utajiri hapo umasikini tuuu
Kabisaaa
Usicheleweshe part 3
Pamoja
story ya yule bangi mbona hujaileta tena part 3
Msinitanie Mm wa Kwanzaa
Daaah htr xna hii dunia...
Kaz zuri davi
Asente Sana kaka
Nimewahi pole chali anguu wachawi walaaniwe
Mana hivyoo duniani kivuli chako tuu lkn mwili uko kuzimu unatumikishwaaa masikini wazazi wanahangaika nakivuli
Duu watu wabaya sana 🤔🤔
Tunaofatilia hizi story mbona tusibuni WhatsApp group tujulishane kila davistar anapoeka story, #wazo
Sio mbaya pia
Itakua safi sana
@@jumachipangula7602 Jey chkua number hapo juu unichat WhatsApp
Kweli kabisa...idea nzr
@@rosellaabraham13 Chukua number dear nikuunge
Leo 999
Jamani inauma sana
Dhuuuu, unamchana mtoto mdogo unatoa moyo aiseee
Hatar
Davista mchukua video amekufanya njn i.😄 Mbna unamkata jicho sana😄😄
😀😀😀😀😀
Mwanaume alokuwa anapiga mabigi vipi haujaumaliza
#duuh
Mapema leo like zenu
Daa wachawi hawana huruma😔😔
Hawana
Davistar mambo yapo!!!
Kondoa kwetu duuuh
Mh. Umeona eee
Ku umizana sio Mila Bali uchawi ni upotevu na nimbaya kwa jamii
huyo BIBI huyo, moto juu yake
Nko ndan pamoja sana
Davi ww noma
Nani huyo kukatixia katixia str Mata mwambie asubiri badae mtaongea😂😂😂
Duh Leo nimekuwa wa 18
Tz mnatisha sana. Uchawi nouma
Yani balaa
Namba za simu za huyu kijana
Ndio Maana Kuna mkoa fulani hapa TANZANIA wachawi hupotezwa tu maana wanamambo ya ajabu ajabu sana wanaweza kukusababisha ukafiliska
Bora
Dooh imeishia pataam
Msukule meaning
Someone who die but the death is not ordinaril
🇰🇪🙌
Anachoongea uyu kijana ni kweli mimi nilifanywa msukule niliwekwa nyuma wa mlango
Dunia simama nishuke uwiiii
Naeza pata number yako davi?
Pamoja san
Naombà number za bro davistar tafadhàlini
Kama moves kumbe kweli😥😥😥😥😥😥😥😥
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
🇧🇮🇧🇮🇧🇮✌✌
Inayidha
davi huyo media wako anasita
Nimefika
Hongera daa
@@ayshamahariq6665 Asante daa
@@violinenyakara5028 karbu chidada changu😍
@@ayshamahariq6665 nashkuru kipenzi 😍😍
@@violinenyakara5028 pamoja sana 😍😍 daa
Nimewai
jangombeboys1999
Bibi hata mjukuu amuonei hurumu anamlimishaa ......
These is how Satan works in spiritual world
Roho ilichukuliwa ukabaki mwili
Sijachelewa
Early 😍😍yay
PART 3 KIONGOZI...
Wachawi sio watu wazuri kabisa
Kabsa daa
Kabisa
Mtu makin pmj sna
Kama kawa 1
Kaka Davistar, Mpiga Picha Yua kusinya nini 🤔😂😂😂👍👍👍💖
Wachawi huwa hawana huruma ikiwa wanaweza kumla mtu watakuwa nahuruma itoke wapi 😢?
Watu hamlali jameni
J.BOYS.F.C 1999
Wachawi sio watu wazuri
Kabsa
Hata kidogo.
@@pilimusa7770 kabisaa
Kama kawa wambili
Ya bibiake anamtoa msukule
Mambo hayooooooooo
Kabisa
@@pilimusa7770 balaa
@@farhathamdansalum9725 balaa kidogo🤔
@@pilimusa7770 🤔
Bibiangu mie babangu mie😂
Malizia basi
Leo wa sita jambo nilikuwa namalizia ya jimama
Yeeeeeee 11 najua kuna wanaochukia ila nimewahi na ninasikiliza.
Muongo huyo haileweki
Yawezekana hata wewe nimmoja wao ndiyo maana unamuona muongo
@@costavalenci7699 kwa sababu siamini vitu hivyo na maelezo yake ni kiki ya kutafuta pesa mitandaoni. Huenda na wewe mmoja wapo
@@lailahumaid2011 kwani umelazimishwa kusikiliza si uache.na ww Mchawi
@@zenajuma636 Alhamdulillah mimi si mchawi namtanguliza Allah mbele. Na siitafuti pesa kwa njia ya kharam jichunge