PART1:MWANAUME ALIYEKUA TAJIRI WA MIFUGO YA KICHAWI AELEZA ALIVYOPEWA SHARTI LA KUMUINGILIA NDAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 17

  • @benadethajohn2696
    @benadethajohn2696 Месяц назад +2

    shebby leo nimewahi familia
    hongera kwa kusafiri kutuletea kazi

  • @fenellalilian4590
    @fenellalilian4590 Месяц назад +6

    Leo nimewai Msininyime likes 😊

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Месяц назад +1

    ❤❤❤🎉Maua yako sheby the golden boy🎉

  • @marryjoely8091
    @marryjoely8091 Месяц назад +1

    Ndugu yetu kavunja usili kataja majina yote ageuke sasa😂 story nzuri

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Месяц назад

    Safi sana🔥🔥🔥

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 Месяц назад +2

    Safi

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Месяц назад

    Kimya kizito sheby nakukubari mwana 😂😂😂

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Месяц назад

    Nanyie sjui mmekuaje sku hizi! Yani nakosa mikasa huku nimeweka bando hadi naamua kurudia mikasa ya zamani ili bando isiishe muda nikaenda hasara!

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 Месяц назад +2

    Kijana wa dhahabu, kwani haiwezekani simulizi ikaenda lisaa lizima????

    • @LoFi_120
      @LoFi_120 Месяц назад

      Hii story inaonekana sio ndefu itawahi kuisha, sema shebi anacho takiwa kufanya hapo ni kutupia mzigo kwa wakati.

  • @LolyFadi-t8b
    @LolyFadi-t8b Месяц назад

    Ayo mazingira apo , enzi hizo ilikuaje

  • @HildaLyimo-u9l
    @HildaLyimo-u9l Месяц назад

    Shebby mbona story ulizo rekodi ww uwa ni fupisana

  • @MaikoJoseph-ym9ke
    @MaikoJoseph-ym9ke Месяц назад

    Kwani Davistar yupo wapi

  • @RichardSeverine
    @RichardSeverine Месяц назад

    Davista mambo vip, siku hizi mbona mkiwa na story hamuwek na sound kama zamani? Mjuwe hyo sound inaleta mvuto flani hv pia inakupa na ham ya kusikiliza story

  • @BiabaeBianca
    @BiabaeBianca Месяц назад

    Naomben namba ya mganga hali s hali 😔🌚

  • @husseintayar699
    @husseintayar699 Месяц назад

    Ngombe 360 muomgo