Uchambuzi ushindi wa Yanga, mechi ya Dodoma Jiji dhidi ya Azam FC
HTML-код
- Опубликовано: 2 дек 2024
- “Walihitaji ushindi kama ule wa jana ili kuwarejeshea hali ya kujiamini” maneno ya mchambuzi wa soka Clecence Kunambi akiuchambua mchezo wa jana wa NBC Premier League kati ya Namungo dhidi ya Yanga SC.
Naye mchambuzi Rashid Keje anasema mchezaji Aziz Ki anahitaji kupumzika kiasi, amtaja Duke Abuya na Chama.
Wachambuzi hao pia wameichambua mechi ya NBC Premier League kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Azam FC
#SportsAM