Mi Watu Wakisha kudai like na Kila mmoja kusema mimi wa kwanza leo.. Kabla Sijaangalia fumbua macho napitia Comments Halafu unaangalia Raha na Asili za Kwetu.. PBA Na wasilisha Kisiwa Panza..
Hahahaha leo dongo kanichekesha sana mau hongera sana movie zenye mafunzo na maadili kama hizi zahitajika sana boss mau Allah awabariki kwa kweli jamii sahii zimeharibika hata mtu Akiwa na channel sahii hukimbilia kupost hanasa lakini hii yako tunaifatilia na tunajifunza kaka Asili zetu ni tunu yetu 💪🎉
Hiii team kubwa mau mbona wengne hatuwaoni yaan kila kinachotok kipo vzr ila ata actors some time wakiwa wanabadilik italeta picha mzur .. ila n mawazo tu wapemba wenzangu 🙏
Ndani ya mda namba 1 from Oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Kuna watu hawalali
@@muhamadmasoud4936 Acha nilale mie
😅😅😅😅😅
🌹🌹🌹maua yanakuhusuu😊
😂
Hongera sana Mau mpemba na team yako Said Majumba nawewe tunakukubalinsana ila tunaomba hizi habari utuekee na muendelezo
Jamii dongoo kitongoze weee
Ujumbe mzuri mashallah haya ni mafunzo tunatakiwa kuyazingatia
Usifumbe macho kweli fumbueni MACHOO' kodoo🇹🇿🇴🇲
Hongereni eti yy hasa anawapenda wanawake wanaovaa nikabu
Mpemba mwenzenu nawakilisha kutoka brasili
hongereni munajua mpk munajua tena nakukubali dongo
Alop mpaka kisiwani kwa Bint Abeid kwetu mmafurahi kupaskia
Yaleo motoo🔥🔥🔥🔥Dongo umejua kunifraisha😂😂😂😂...
Duh wat mnawah mdagn jmn
Sio film za kucheka tu wanafikisha ujumbe kwenye jamiii ilopotea na haya yapo hususan sisi wanaume Kila mtu tunamtaman
Warda maandazi hujayatia upepo ayo naona yanevimba 😘😘
Ati akiamka shuka kashalichana kwa mikea😂😂😂😂😂
Bila Warda hakuna fumbua macho, maashaalwah Warda mzuri.
Hatupoi
Mi Watu Wakisha kudai like na Kila mmoja kusema mimi wa kwanza leo.. Kabla Sijaangalia fumbua macho napitia Comments Halafu unaangalia Raha na Asili za Kwetu.. PBA
Na wasilisha Kisiwa Panza..
Daah kijana anampiga kamba mamkwe wake😂😂😂
Mbavu zangu mieeee😂😂😂😂😂😂 dogo leo umefikwa
😂😂 mbavu zangu hongereni mchuzi na tomato mkewe kankumbana na zoazoa🇴🇲🇹🇿
Hongera mau na dogoo
😂😂😂😂😂😂😂😂mankweeeee ni weeeeeeee
Hatupow
Hahahaha leo dongo kanichekesha sana mau hongera sana movie zenye mafunzo na maadili kama hizi zahitajika sana boss mau Allah awabariki kwa kweli jamii sahii zimeharibika hata mtu Akiwa na channel sahii hukimbilia kupost hanasa lakini hii yako tunaifatilia na tunajifunza kaka Asili zetu ni tunu yetu 💪🎉
Naomba yukowapi?
😂😂😂 mankwe nweye
Ndo ukome kutongoza kupitiliza😂😂
Naomb kibendera hatumuoni yupo wapi?
Mmmhhh Kuna watu hawapimziki
😂😂😂😂Jmn MashaAllah tabarakallah ❤❤❤
Dongoo umezid tenaa 😍 eeeh ww
Choba yumo had atangoza mkwewe
Hiii team kubwa mau mbona wengne hatuwaoni yaan kila kinachotok kipo vzr ila ata actors some time wakiwa wanabadilik italeta picha mzur .. ila n mawazo tu wapemba wenzangu 🙏
Kwa makea😂😂😂 maji ya pilipili manga
Nampenda warda hata sizingatiwi Kila siku nasema
P1 4rm 🇰🇪 🇧🇭 ❤❤❤
Ya Leo n moto
Mankwenweye😅 so poa mzee. Speed kama zote. 120 na nusu.😂
Inaabwaa nimbichiii 😅😅😅😅😅😅 mau naomba namba yako nnashida na wewe
Mleteni naomba jamaniii twawaombaaaa
Pamoja sana
Ila ndogo anajuwa😂😂😂 Sn waallah Ila jameni tume miss naomba ❤❤
Kipindi chá ujahilia kina Mau tuacheni kwanza hbr zenu tunazo
Usije angusha mgombangwa
Naishia kuanhalia lkn hii natia neno Dongo hodari sana ni umasikini na upemba umetufny kuwepo hapa mpk leo.
napenda michezo yunu 🤣🤣🤣🤣🤣
Dongo utatongoza jini wacha tabia hio nikiwa Qatar
Wakwanza
Nishalavyukaaa 😂😂😂
Dongo nakukubali Ile mbaya
❤ 🇹🇿🇴🇲
Hhhhh.ety mamkwe ni weye😂
Jamani mwinyi mpeku yuwapiiii?????
Duuh hii sasa hatari
🥰
much love
Safi sana
Inaambwa imbichi 😂
😂
😅
❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Watu ikitoka.tu washadaka
Nakwambia
Hatulali😂
Kuna huyo Dada wa Oman utadhan yy ndie anaupload
@@allymbarouk5362 ww upo wapi
@@allymbarouk5362huyo itakuwa sio mfanyakazi
Lol😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪💜💜
😂😮😊🎉
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
❤❤❤❤❤
😂