Mtumishi wa mungu kanisani, baba wa watoto na Mume, sweet/ honey/ dearling / baby or babe wa mtu.ukimuona mume baba unapoteza haki za uke.mume anakuwa Afande. Asante mchungaji Mgogo umesema ukweli.🙏🏻👆🏽👍🏽💯💯
I have never taken my time to listen to Pastor Mgogo, but the short clips that I have come across in WhatsApp groups and statuses are talking about reality. Will you mind coming to Kenya
Hakuna injili hapa watu wanapenda tu kufurahishwa lakin hamjui mnapat hasara wenyewe baada ya kifo ntakuw wapi? Angalieni injili alizohubiri mosses kulola za kukemea dhambi na kushikamana na YESU KRISTO
Anafundi jinsi ya kuishi na family unadhani Hawo wanaubiri njili kwenda mbingu ni wako Safi hata na ndoa za waumini wao zinawaka Moto maan wanachojua wao ni kushinda kanisani
Upendo kupungua kwenye ndoa hio sio dhambi...au ni mpaka pastor Moses aseme Acha kujifungia kwenye box la kuweka imani kwa baadhi ya watumishi tu....umesahau mwili unaundwa na viungo tofautitofauti
Wanapenda kujaji watu mgongo lini aliacha kukeme dhambi yaaan mwanadau hana njema kila sk nikungoa tuu hakuna.kupanda na kila.mtu amejaliwa kipawa chake
Hii ilikua Baraka kubwa inchini Congo in particula Bkv, tulipokea miguu ya kuhani mwalimu Mugogo, restez béni our pastor
🙏🙏🙏barikiwa Sana mtumishi tunabarikiwa Sana na mafundisho yako
Magogo mwenyeweee
Baba wee utanifunja mbavu zangu Mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 barikiwa sana mtumishi
Mchungaji ubalikiwe sana kwa haya mafundisho ck nikioa nitaishi na mke wangu mfano wa haya mafundisho amen
Hongera
Nikweli, ni neno la Mungu, ubarikiwe sana
Mafundisho mazuri kabisa, njoo uku Burundi mtumishi wa Mungu
Mtumishi wa mungu kanisani, baba wa watoto na Mume, sweet/ honey/ dearling / baby or babe wa mtu.ukimuona mume baba unapoteza haki za uke.mume anakuwa Afande. Asante mchungaji Mgogo umesema ukweli.🙏🏻👆🏽👍🏽💯💯
Safi mchungaji ndoa nyingi zimepotea tena haswa ndoa za wakristo .
Be blessed man of God 🙏
Asante kwa huo ukweli mchungaji
Barikiwa sawa mtumishi❤
Mafundisho ya dhamana saana ❤barikiwa Pastor Daniel Mugogo
😂😂😂😂 aki mchungaji u always make m happy and teach me more..b blessed
Me too
😅 ati alshabab… Asante mtumishi wa Mungu.
Nabarikiwa na mafundisho pastor ubarikiwe sana 🙏🙏
Postor umenijenga kindoa sana kupitia mafunxo yako mungu akuweke
Uko vizur katika mafundisho
Hongera mtumishi wa Mungu
ubarikiwe baba kwa mafundisho Bora
Nafurahia sana mafundisho yako,yani huwa nacheka sana,Barikiwa baba
baribiwa baba
Ubarikiwe Mtumishi ❤
Nabalikiwa sana
Barikiwa Baba ❤
Be blessed man of God
Nimekuelewa sana,unayoyasema nayatamani sana
Barikiwa Sana mtumishi
True
Kweli watoto ni wapita njia hasa wa kiume wakishaowa hawarudi nyuma
Asante sana mtumishi wa mungu ubalikiwe
Kweli kabisa baba
Safi barikiwa Sana
👍🏼👍🏼👏👏👏🔥🔥😍
I have never taken my time to listen to Pastor Mgogo, but the short clips that I have come across in WhatsApp groups and statuses are talking about reality. Will you mind coming to Kenya
He's often in Kenya, hopefully you'll catch him next time🙏🙏
He's been in Kenya several times
Jamaa amepotelea
Paster mungu wa mbinguni akubaliki sana mpaka ivi ningari
KWELI KABISA,DICTIONARY YA TANZ. NI YA PEKEE KABISA
Sema baba sema ni hatari watu wapone
Kweli jamani kwasasa nyakt zimebadilika sanaaa
Nacheka
👏
😂😂😂😂😂 kweli Kabisa
😅😅😅sambusa part was hilarious
Usemayo ni sawa lakini fundisha na washirika wako kuacha dhambi, maana bila kuacha dhambi hakuna kitakachobadilika!
Nanikakwambia kuwa wanazamba mpumbavu
Umeniudhi sana ww uko mkamilifu hafundishagi neenda kalale
Apounawadanganya yesu hajafa wala hajasulubiwa hapo ndomnavyodanganyana
Kofi au mojo ni Alshabab Kwa kweli😂😂😂
Haaah waponeeeee
Mzee wa pokea dozi ikuingie
Kwahiyo pastor keenu mboga anapakua mwanaume?? Sisi kwetu wanawake wetu wana uhuru chungu nichao wanajua jinsi yakujipakulia
Mmhh ,🤣🤣 Alishabaab
😂😂😂😂😂🙏🙏🙏
Haha🤗🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Hakuna injili hapa watu wanapenda tu kufurahishwa lakin hamjui mnapat hasara wenyewe baada ya kifo ntakuw wapi? Angalieni injili alizohubiri mosses kulola za kukemea dhambi na kushikamana na YESU KRISTO
Anafundi jinsi ya kuishi na family unadhani Hawo wanaubiri njili kwenda mbingu ni wako Safi hata na ndoa za waumini wao zinawaka Moto maan wanachojua wao ni kushinda kanisani
Upendo kupungua kwenye ndoa hio sio dhambi...au ni mpaka pastor Moses aseme
Acha kujifungia kwenye box la kuweka imani kwa baadhi ya watumishi tu....umesahau mwili unaundwa na viungo tofautitofauti
Tunajifunza kwa mfano ,,,kuwa muelewa acha kuandika ujinga
Wanapenda kujaji watu mgongo lini aliacha kukeme dhambi yaaan mwanadau hana njema kila sk nikungoa tuu hakuna.kupanda na kila.mtu amejaliwa kipawa chake
Wewe ni Muslim dio maana unaongea hivyo
🤣🤣🤣🤣
Mafundisho mazuri kabisa, njoo uku Burundi mtumishi wa Mungu