WAYAHUDI NA WAISLAM WAPO VITANI KUGOMBEA JERUSALEM. JE, WAKRISTO TUPO UPANDE GANI???

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 182

  • @selestinimassawe3601
    @selestinimassawe3601 Год назад

    Nimeyachukua maarifa ya kimbingu yaliyo ndani yako mtumishi wa Mungu Yesu akulinde daima.

  • @jackngota9014
    @jackngota9014 2 года назад +1

    Wonderful lessons. Following u frm kenya.unawexa kupatkana vipi

  • @reubenlusanya3546
    @reubenlusanya3546 2 года назад +4

    Imefundisha vizuri Yesu Kristo na dini ni vitu viwili tofauti na Yesu Kristo akuleta dini alileta ukombozi yani tumwami tuokolewe .ni Reuben kutoka Kenya Busia Kaundi.

  • @dismasimgina3155
    @dismasimgina3155 7 месяцев назад +1

    Nakupata sana mana nakufuatilia sana congratulation

  • @brianmacharia5454
    @brianmacharia5454 2 года назад +1

    Sante sana bwana yesu christo nmungu wetu mwokozi waulimwegu sifa zimurudie jehova mungu kuu muba bingu na ichi na yote Amen

  • @AsaphPraiseandWorshp-e1o
    @AsaphPraiseandWorshp-e1o 2 года назад +8

    MUNGU na mungu (tofauti)
    Quran 98:6 Hakika walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu(wakristo na wayahudi) na washirikina wataingia katika Moto wa Jahannamu wadumu milele humo. Hao ndio viumbe waovu kabisa.
    Quran 9:123 Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
    MATAYO 5:44 Lakini mimi ninawaambia, wapendeni maadui zenu na waombeeni wanaowatesa,
    5:45 ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaanga zia jua lake watu waovu na watu wema; na pia huleta mvua kwa wenye haki na wasio haki.
    *Hapa kuna MUNGU na mungu(shetani)*
    YESU ni MUNGU,

  • @albertbissaga1425
    @albertbissaga1425 2 года назад

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu.

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 2 года назад +2

    Tubu kabla haujachelewa YESU KRISTO anarudi,rekebisha mafundisho yako,hamna kweli ndani yako,YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 года назад

      Swali kwako YESU KRISTO ni MUNGU ama ni Mwana wa MUNGU,

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 года назад

      @@fredrickgitonga1972 Yeye ndiye Mungu wa kweli hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 года назад

      @@fredrickgitonga1972 uweza na mamlaka yote ni yake ktk Mungu na ktk Mwana ,

    • @SAM_163
      @SAM_163 2 года назад +1

      @@fredrickgitonga1972 Isaya 9 :6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanaume mwenye uweza.
      MIAKA 600 BAADAE KULINGANA NA CALENDAR 📅 YOHANA MTAKATIFU AKAANDIKA HAYA ...
      Yohana 1:1
      Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
      Yn 1:14
      Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
      Na yeye ataitwa mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu pia mfalme wa amani.
      Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote milele amina.

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 года назад +1

      @@marianaduncan6330 kwaivyo yeye ndiye MUNGU na pia ndiye Mwana,

  • @beatricekileo7139
    @beatricekileo7139 Год назад

    Nakupenda sana na napenda kusikiliza masomo yako ila duuu unafundisha vitu vigumu sana lazima uzame sana daaah mungu akubariki

  • @DevyMtanza-fc2nn
    @DevyMtanza-fc2nn Год назад

    Amina ubalikiwe

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 2 года назад

    Mungu akupe ufahamu zaidi watu waelewe

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 2 года назад +1

    Hakika we, ni mtumishi wa Mungu piga injili watu wa kiroho watakuelewa wasio wa kiroho hawatakuelewa watakupinga na kukubeza waombee Mungu awasaidie waelewe siri za kiroho

  • @reubenlusanya3546
    @reubenlusanya3546 2 года назад +1

    Ndungu Yesu Kristo akulinde maana hayo maneno unayo fundisha yanaitaji rohoo mutakatifu ndipo mutu aelewe ndipo Yesu Kristo alisema katika mandiko Matayo 11=25=27.yani uwezi

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 Год назад

    Ubarikiw

  • @BoboManya
    @BoboManya 6 месяцев назад

    Jambo mutumishi wa mungu napendaka sana kufata mafundisho yako Niko mucongomani naishi ufarasa mungu akulinde sana kuwa naubiriya watu wote Sanaa ni ku baesilamu bajuwe yesu kama dio mokazi wa dunia iyi napenda sana vile

  • @philbertluhunga5932
    @philbertluhunga5932 2 года назад +2

    huyu ni bwana Hamza, he was my best friend kazini. Yeah kikubwa sio kuwa upande wa dini yeyote. kikubwa ni Imani, Yesu hakuleta dini alileta Imani ingawa watu wameigeuza kuwa dini. Dini ni utaratibu fulani watu wamejiwekea kuabudu nguvu iliyo zaidi ya uwezo wao. Na kuna Dini nyingi za kienyeji etc. Kikubwa ni Imani ya kumwamini Yesu. Bible inasema we walk by faith and not by sight. Bible inasema we live by faith. Bible inasema we can not please God without faith. Bible inasema we are saved by faith. Imani ni ya muhimu sana.
    Kwa wote wenye Imani ya Kikristo wameambiwa na kuagizwa kuiombea Israel. Hawa ni Taifa teule ni mzabibu original, pamoja na walivyo Mungu amewabariki na wanabarikiwa Kwa Imani ya Baba yao Ibrahim. Mungu alimbariki Ibrahim na kizazi chake.

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 2 года назад +5

    MWENYEZI MUNGU asimame juu yetu,atupe mwisho mwema

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 2 года назад +1

    Kama wazungu walitundanganya,sawa. Lakini waarabu dio waongo zaidi.Mungu hana ushirika na majini.

  • @gibsonelizeus998
    @gibsonelizeus998 2 года назад +2

    Quruan 57:2 Upendo ma Mungu upo tu kwa wanaomfuata ISSA BIN MARYAM...!! UNASUBIRI NINI KUOKOKA??

  • @priscagwandu4503
    @priscagwandu4503 2 года назад

    Safi Sana zidi kutuambia ukweli

  • @Life10061
    @Life10061 2 года назад

    hili lijitu limetumwa na shetani kuwapoteza watu [wayahudi ]wanaamini kuwa mungu anawatoto au mungu ni baba yao [ waislamu ] nyinyi mnakataa mungu hana mtoto na majini ndani ya qurani 72;1-2-3 YANAKATAA MUNGU HANA MTOTO..... KINACHOENDELEA HUKO SRAEL NA PLESTINA ACHA WAPIGWE TU WAISLAMU KWASASA WAYAHUDI ILE NI SEHEMU YAO MUNGU ALIWAPA TAIFA TEULE

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 года назад

    Wewe una Imani ya Kristi utakuwa wapi uislamuni au ukrustoni uje ubatizwe tena au tukuslimishe ukweli utaweka huru umehamia kwenye gari linalovuja

  • @harunigaitani338
    @harunigaitani338 2 года назад

    Bgp👍

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 года назад

    Amen

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 2 года назад

    Acha kupotosha watu, huna elimu ya dini, omba msamaha kwa mungu kwa kupotosha watu, huna elimu ktk dini, acha ujanja ujanja, waislam wanaisoma dini yao.

  • @jacksonmodaha1810
    @jacksonmodaha1810 2 года назад

    Kweli ati

  • @donjb3178
    @donjb3178 2 года назад +1

    We jamaa ni Muongo halafu unajiita shahidi wa Mungu kweli na unapinga yaliyoandikwa na Mungu yaani unatuambia tuchague dini kweli kwa Mungu unachague na unajiita Nabii wa Mungu tena shahidi unatuambia tuchague serious kabsa
    kumbukumbu ya Torati 7:11-12;
    "11 Basi zishike amri, na sheria, na hukumu ninazokuamuru leo, uzitende.
    12 Na itakuwa, kwa sababu mnazisikiliza hukumu hizi, na kuzishika na kuzitenda, basi BWANA, Mungu wako, atakutimilizia agano na rehema aliyowaapia baba zako"
    Yakobo 1:27;
    "Dini iliyo safi, isiyo na dosari mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."
    Yaani we jamaa naona kabisa unadanganya watu kwa neno ambalo limeandikwa na Mitume wa Mwenyezi Mungu halafu ww unatuambia tuchague dini ya uyahudi au uislamu.... ambapo leo hii naona unamfundisha Mwenyezi Mungu kwa neno ambalo aliamuru liandikwe tena ya kwamba Yakobo 1:27 iliyoandikwa kuhusu dini ya kweli na ilioyosafi , halafu ww unatuambia tuchague tukapigane vita kweli ndicho kitu ambacho Mwenyezi Mungu anataka kukisia au kukiona napata wasiwasi sana na kwa wanaokuhamini bila kutafakari
    *Nakusihi kwa unayesoma kumbuka kufatilia maandiko yanavyosema mana kwenye maandiko hakuna neno la uongo na Mungu hafundishwi yaliyoandikwa ndio unabii wa kweli kabisa achana na mafundisho ya kiubinadamu usije kuchukuliwa mateka maana hichi kipindi hata watakatifu watadanganywa bila ya wao kujua*

  • @claudebaraka6734
    @claudebaraka6734 2 года назад

    Ok

  • @njugunamichael4017
    @njugunamichael4017 2 года назад

    Wayahudi. ,Roman, waraambu
    YAHWEH, Jehovah, Allah
    YAHSHUAH, Jesus,. Muhammad
    Messiah kristo. Isah
    Sabbato. Sunday. Friday
    5782. 2022. 1445
    Yesu ni shetani ashidwe
    Muhammad shetani ashidwe

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 2 года назад

      Unaongea ujinga

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 года назад

      BWANA YESU KRISTO akurehemu,Wala BWANA YESU KRISTO hatamuhukumu mtu ,Kila akiongeacho mtu ndio hukumu yake siku ya mwisho

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 2 года назад

      Bangi hazijawahi kumuacha mtu salama

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 года назад +1

    Kila goti na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni Bwana na Mokozi

  • @SMKF4
    @SMKF4 2 года назад

    Sawa hata kama but Imani hiyo ikiwa itanipeleka mbinguni potelea pote

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 Год назад

    Ata uslam kumbuka padir ndiyo ilimuweka uyo mtume wao akuwekwa na Mungu kurn inasema

  • @njugunamichael4017
    @njugunamichael4017 2 года назад

    Wakristo wote jia ni jahanamu
    Waislamu wote ni jehanamu
    YAHSHUAH NDIYE JIya ya uzima

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 года назад

      Tubu kabla haujachelewa mpokee na kumuamini YESU KRISTO kuwa ni BWANA na mwokozi na hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele

  • @wycliffkasinga8086
    @wycliffkasinga8086 2 года назад

    Wewe umepotelea wapi

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 2 года назад

    Huyu sio mtu sahihi wa Mungu.

  • @jacobkambo6619
    @jacobkambo6619 2 года назад

    Masomo masito hayo waitoa wapi

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 2 года назад

    Acha kupotishaa

  • @Natureo-hr9xc
    @Natureo-hr9xc 2 года назад

    Nabii eliya ni mkristo au mwislam? Au vuguvugu?

  • @josephevaristi8923
    @josephevaristi8923 Год назад

    Itakuwa hapo ni kweli katika uuslam kukanusha yesu hakusulubiwa,Kwa sababu majibu nimepesi mno,kusema yule hakuwa yesu Bali mtu mwingne aliyepewa sura ya yesu inaonekana ni chumvi imeongezwa hapo

  • @shd12m55
    @shd12m55 2 года назад

    Hapo umekosea Tanzania wakristo sio 50% na waislamu,,waislamu ni wengi mnoooooo na usirudie tena kukosea hapo

    • @agyady6260
      @agyady6260 2 года назад

      Unaweza ukawa sahihi lakini sensa ndo jibu,pia wanao ritadi ni wengi kuliko unavyodhani

    • @shd12m55
      @shd12m55 2 года назад

      @@agyady6260 sensa inahesabu raia woote na sio hesabu za kidini kama huna elimu juu ya hilo kaa kimya

  • @gervasexavery2977
    @gervasexavery2977 Год назад

    Hamza kunakitu bado hukielewi unaposema imani ya ukristo uwezi kusimama popote .. NENO linasema msingi wetu uko ktk KRISTO YESUyeye ni mwamba

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  Год назад

      Namaanisha Kimwili yaani kisiasa duniani hakuna Taifa liliiwahi kuwepo la wafuasi wa Yesu Kristo

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 2 года назад

    Kuna vitu vingi mno unavijua, pia kuna vitu vingi mno huvijui kuhusu uislam, ila endlea kujifunza, siku moja utaujua ukweli

    • @jjtm164
      @jjtm164 2 года назад

      Huyu mtu mwongo mambo yake anajarbu kushikanisha lakini hayaingii, nabii mwongo john 10:10

  • @dolvinshao6956
    @dolvinshao6956 2 года назад

    Siku zinakuja ambazo wamwabuduo halisi hawatamwabudu mungu katika mlima huu Wala jerusalemu Bali katika roho na kweli mambo ya dini yanini Sasa, ni Kama porojo unatuletea

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 2 года назад

    Akili ndogooooo

  • @zuhraall02
    @zuhraall02 Год назад

    Nabii wa uongoo

  • @abdoulyousoufsaloom8601
    @abdoulyousoufsaloom8601 2 года назад +2

    Kwahiyo ALLAH anaongopa??? Maana yéyé ndo katuambia katika Quran kuwa issa bin Maryam hakusurubiwa Ila aliwabadirishia sura

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 2 года назад

    Neno Dini sio kiswahili ni kiarabu dini maanayake ni njia kwaiyo tukisema sisi ni wakristo tunafuata njia Yesu ni njia kwaiyo sisi wakristo dini kwakua Yesu ni njia ni dini

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 Год назад

    Ekumbe basi waislm wapumzike maana wamechanjwa wote

  • @radjansonofficiel2396
    @radjansonofficiel2396 2 года назад

    Allah anasema musipitishe kiasi katika dini yenu inamaana ukristo ni dini

    • @silverdaniellion2491
      @silverdaniellion2491 2 года назад

      Allah alikudanganya ukristo Ni dini ili usiwe katika Imani ya kwel na kumuamini Yesu Kristo. Kwani hujui Quran inasema Allah ndiye Muongo wa waongo? Katika majina ya Allah 99, Kuna moja wako ni "Al Makir" ukijua maana yake hutaamini lolote asemalo Allah. Dini haitakusaidia, Imani (Kumuamini Kristo) na kumfuata ndio kutakufanya uione pepo.

    • @radjansonofficiel2396
      @radjansonofficiel2396 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 allah ni mwongo 🤣🤣🤣unaibisha mungu wako 🤣🤣

  • @agneskangethe6870
    @agneskangethe6870 2 года назад

    Tungoje ujio wa Yesu kristo mengineo tutayona

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      Njoo kwangu nitakufundisha njia ya kweli

    • @agneskangethe6870
      @agneskangethe6870 2 года назад

      Yesu ndiye Jia ya kweli na uzima

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      @@agneskangethe6870 ni sikilize sasa...., huyo yesu unamfikiaje???....
      Ni lazima upate waalimu sahihi wa kukupereka.
      Mimi nimekwambia hivyo kwakuwa naijua njia ya kukupereka kwa bwana...!
      Zipo kazi ninaziandika kwaajili ya kuwaleta karibu na Mungu....,
      Nimeanza na hii...ufunuo 12. Mwanamke aliye vikwa jua...!.
      Nipe mawasiliano nitakutumia kazi

  • @geofreyambakisye4481
    @geofreyambakisye4481 2 года назад +1

    Naomba unijb swal langu kuwa kama wote lazima tupitie dhiki kuu je wale waliolala itakuwaje?

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 2 года назад +3

    Nakuonea huruma wewe....,
    Unapambana na jasho lako kutafuta mafundisho ya kimungu, na bado Mungu hujamuona....
    Hutaki kuisikia sauti ya MUNGU matokeo unajitangaza wewe ni NABII....
    Kinywa chako kisipo sema ukweli, WEWE NI NABII WA UONGO

    • @shafiismaily9223
      @shafiismaily9223 2 года назад +1

      Hakuna nabii dunia hii ya leo, wala mtume, ukisikia anajitangaza kaanae mbali muongo huyo, atakupotosha.

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 года назад

    Huyu ni mtihani je ameshabatizwa, ukiendeleza njaa ni tatizo.

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 5 месяцев назад

    Unyakuo upo pale pale,mkatae mkubali

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 2 года назад

    Huyu jamaa lengo lake ni tumwamini yeye na siyo maandiko yaliyo ndani ya bibilia atachoka sana. Naona anayasoma alafu haamini kuwa yapo sahihi .

  • @WasapeChaya
    @WasapeChaya 10 месяцев назад

    Mi ningekua na dini ningeuza nikapata ela

  • @jamesmutwiri8213
    @jamesmutwiri8213 Год назад

    Je unaamini kunyakuliwa Kwa kabisa?

  • @loicenaliaka8309
    @loicenaliaka8309 2 года назад +2

    Unapotosha watu...sababu bibilia ya kwanza ilikua kwa myaudi ikatafsiriwa kwa luga zote..ila muislam akaunda Koran yake, sasa wakristo wakabaki na bibilia ila hawasomi na kuelewa vizuri..sasa imani ya kweli yatoka kwa wayaudi lakini maandika inasema wayaudi waliwekwa nyuma ili sis pandikisho wa mataifa tujue neno .sasa ukimuona myaaudi anakata yesu ni kwa sababu yetu tupate nafasi kwa ufalme.lakin apo revelation mwisho inasema .siku ya mwisho muaudi atajua jina la kweli la baba na ataokolewa na pia sisi wenye tutakua tumekubali imani ya myaudi tutahesabika na wao..apo kwa kupata chapa ya mnyama litaletwa na pop kiongozi wa wa kristo..alama 666

    • @philbertluhunga5932
      @philbertluhunga5932 2 года назад

      Hajapotosha, amesema ukweli ukristo siyo dini ni Imani. hapo yuko sahihi kabisa. Nawewe hujakosea kweli wayahudi ni mzabibu wa kweli sisi tulikuwa mzabibu mwitu. Tena wayahudi wataokolewa yes uko sahihi. Tunajifunza sote

  • @felixmwamlima5891
    @felixmwamlima5891 2 года назад

    Acheni mabishano someni neno. Humu Kuna watu wanapenda mabishano hata biblia hawasomi. Neno la Mungu litakupa kweli nayo itawaweka huru.

    • @suzieomega1725
      @suzieomega1725 2 года назад

      Ukibishana na mpumbavu na wewe utakuwa mpumbavu , neno la mungu limesema hivyo

  • @makutanochristoph2820
    @makutanochristoph2820 2 года назад +4

    Wewe sheikh nawe! Unafundisha vizuri, ila tatizo la mafundisho yako hayana msimamo, kwasababu, ukifundisha maada flani ikapita, basi maada itakayofuata inaonekana kupinga ile iliyopita, kwa mfano:- kuna maada unafundisha ukisema, YESU ni Mwana wa Mungu, maada hiyo ikishapita, katika maada ijayo unakanusha kile ulichotangulia kufundisha, kwahivyo hauna msimamo katika mafundisho yako, wala Roho ya Eliah haiko ndani yako.

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 года назад +2

      Nabii wa uongo, kweli hakuna ndani yake

    • @petermutuku1289
      @petermutuku1289 2 года назад +1

      True. Hajielewi.atadanganya wale confused kama yeye.hata hajui kupanga uongo wake,hahaha!!!!

    • @shamimnassor6192
      @shamimnassor6192 2 года назад

      Huyu alilekuwa muislam akajaribu kuleta ujinga huku masheikh wakamuwekea debate kuhusu unabii wake ,maswali machache sana yakamshinda akashushuliwa..ila musipochunga wakristo atawavuruga huyu ni mfanyi biashara alitafuta mpenyo in Islam akakosa

    • @petermutuku1289
      @petermutuku1289 2 года назад +3

      Kwanza kristo atakapo kuja mara ya pili,hatategemea silaa za rasia au taifa lolote.maana upanga utokao kinywani mwake ,yaani neno lake,ndio atakaopiga mataifa nao.

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 года назад +1

      @@petermutuku1289 kweli hakuna kipingamizi mbele zake, Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 года назад

    Kaka mimi nitakusikiliza lkn sio kila kitu kwako kuwa ni kweli hapana!! Vingine ni kweli vingine sio kweli. Yesu ni top of everything!! Wafilipi2:5-11. Ww Elia huamini utatu mtakatifu, eti unasema ni upagani yaani pale uliniacha hoi. Mathayo28:19.

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 года назад +1

      MUNGU ni mmoja tu aliye Baba Wala akuna MUNGU mwingine, soma 1 Corinthians 8:6 Ephesians 4:4 YESU KRISTO ni Bwana tena Mwana wa MUNGU

    • @SAM_163
      @SAM_163 2 года назад +1

      @@fredrickgitonga1972 Soma Yohana mtakatifu utaelewa.
      "The Word Became Flesh
      1 In the beginning was the Word,(A) and the Word was with God,(B) and the Word was God.(C) 2 He was with God in the beginning.(D) 3 Through him all things were made; without him nothing was made that has been made.(E) 4 In him was life,(F) and that life was the light(G) of all mankind. 5 The light shines in the darkness,(H) and the darkness has not overcome[a] it.(I
      14 The Word became flesh(U) and made his dwelling among us. We have seen his glory,(V) the glory of the one and only Son, who came from the Father, full of grace(W) and truth

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 года назад +1

      @@SAM_163 soma maandiko vizuri uelewe ww , 1 Corinthians 8:6 Ephesians 4:4-6 utajua tofauti ni nini

    • @agyady6260
      @agyady6260 2 года назад

      Bado anahitaji kukaa kwenye mstari mmoja

  • @osmansalim172
    @osmansalim172 Год назад

    Hujui kitu tafta maokoto tu

  • @peterpilikano5398
    @peterpilikano5398 2 года назад

    Wakisalisha kwa kilatin zaman na watoto wamamamdogokwa kiarabuadi sasa

  • @peterpilikano5398
    @peterpilikano5398 2 года назад

    Kusomasana nako

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 2 года назад

    Jamani watu wa Mungu huyu mtu msimuamini anatumika kupotosha&fungukeni akili jamanii!

    • @stevensosipita
      @stevensosipita Год назад

      Kaa hapo hapo msikiti wa al aqsa umevunjwa au haujavunjwa?maandiko lazima yatimie

    • @fadhilidanieli1478
      @fadhilidanieli1478 Год назад

      Wewe mbona unamsikiliza

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 года назад

    UKristo sio dini wala yesu hakuanzisha dini, uislamu ndio din maana ilianzishwa na wanadamu. hekalu lilishajengwa 1cor 3:16-17 hakuna hekalu lingine, imaani ya kristo ndio imani ya kweli hekaya za abnuasi wachana nazo

    • @loicenaliaka8309
      @loicenaliaka8309 2 года назад

      Soma revelation yote alafu ukuje utupee tafsiri ya maneno yako

  • @pascalthoya1594
    @pascalthoya1594 Год назад

    Boss pole ,lakini wapi kanisa litapitia dhiki kuu?..mbona unatukanganya?? Please read the Bible well understand it well . Allow the Holy ghost to lead you and not your personal hatred of the chosen nationa of Israel.

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 2 года назад

    Hakuna Aliye sahihi asilimia zote Ktk kuelimisha, Ila wewe unayetaka kujifunza usipende kukosoa kabla hujaelewa, yafaa ukiona hujaelewa katafute maalifa kwa kusoma zaidi kuongeza uelewa, siyo kupinga kila kitu ndipo tunapo kosea

  • @duliokechannel6199
    @duliokechannel6199 2 года назад

    Acha kuwafanya wat hawan akili

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 2 года назад

    NACHUKUA HEKIMA HATA KWENYE KINYWA CHA NGURUWE

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij Год назад

    Quran 98: 6 inasema hakika walio kufuru miongoni mua watu wa kitabu na washirikina waitangia kuenye moto wa jahannam wadumu umo milele hao ndio viumbe waovu kabisa.
    Akuna neno wakristo mule ivi nyie waislamu mnazani munaweza mkatudanya

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Год назад

    Ila Wayaud hawamkubali Yesu kwanini? Na amezaliwa kwao?

  • @adinanihashim7
    @adinanihashim7 2 года назад

    Wewe Ni mjinga mmoja tu wewe sio nabii tupe muujiza mmoja tu tujue Kama wewe ninabii endelea kuwadanganya makafiri wenzio

    • @silverdaniellion2491
      @silverdaniellion2491 2 года назад

      Ukisoma injili, kitabu Cha yohana 2:18. Utagundua watu Kama wewe walikuwepo, na ndio walioupinga Ufalme na Kweli ya Mungu.
      Yohana 2:18
      Baadhi ya Wayahudi wakamwambia Yesu, “Tuoneshe muujiza mmoja kama ishara kutoka kwa Mungu. Thibitisha kwamba unayo haki ya kufanya mambo haya.”

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 2 года назад

    Wewe kwasababu sio shahidi wa MUNGU ndio maana unanena UONGO...

    • @silverdaniellion2491
      @silverdaniellion2491 2 года назад

      Wewe ulieshahid we Mungu, tuambie ukweli, sio kumjeli mtu. Kejeli hoja ya mtu kwa hoja zako. Tukuone ukwel wako, na utuokoe tuache uongo wake

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      @@silverdaniellion2491 hey, mpaka muda wa kupakwa mafuta,
      Nitakapo simama nitazifanya kazi...
      Lakini nimekutahadharisha...., watakuja wengi watakao jiita mashahidi...., kwasababu shetani anajua yupo shahidi wa kweli...,
      Kwahiyo hao wakina Eliya wamekuja ili wamchafue shahidi wa kweli

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      @@silverdaniellion2491 Eliya anachofanya, maneno ya mwanzo anayo ongea ni shahihi...., lakini yale anayo malizia ni uongo mtu, kwamaana hiyo.....anawapotosha hata walio wateule....,
      Kuweni nae makini...
      Kama Mungu wake, ndiye anaye taka sisi tuchakugue upande wa RUSSIA na MUSLIM vs ROMAN, .....hapo mmepotoka..
      Kwasababu imempasa kumuabudu Mungu katika Roho tu...., na sio Makanisa, Mila na desturi, Vyakula....!

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      @@silverdaniellion2491 kuweni wavumilivu...., mashahidi wa Mungu watakapo ibuka...,
      Kumbuka hili..
      Kwakazi zao watachukiwa na kila mtu, serikali na dini.
      Wao wata hubiri neno, na sio kufundisha habari za vita ambayo asilimia kubwa ni maneno yake muongeaji sio biblia...
      Wao kwakila huduma hawata chaji gharama...itakuwa ni bure kabisa.....
      Watakuwa wamevikwa magunia...kana kwamba wanaomboleza.
      Pia watafanya kazi kwa miaka 3.5
      Wanakuwa na uwezo juu ya kila kabila, kuleta mapigo,
      Hawatakuwa na majivuno kwamba wao ndio, ila kupitia kazi yao nyinyi mtajua ndio...
      Wata hubiri TORATI na INJILI..., Biblia inasema ASHURU ataijua njia ya MISRI, na MISRI ataijua njia ya ASHURU...(Mkristu na Muislam)
      BAADA YA HAO, kila mtu ataamka na kulihubiri neno,...biblia inasema, SAYUNI itapata waalimu, na siku hiyo walimu wake hawatajificha tena..., itakuwa kila tunapokwenda nyuma yetu tutasikia...,Pita huku, pita kule...
      So, mimi ndiye shahidi... na mwaka huu nitasimama...
      But shetani amenishika tola 2011
      Nahitaji maombi yenu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Wewe utapata adhabu kubwa sana wakati wa sakarati unajua kilakitu halafu unasema watoto wa Mungu,nakuuliza Mungu anawatoto?

    • @AsaphPraiseandWorshp-e1o
      @AsaphPraiseandWorshp-e1o 2 года назад

      Mimi na wewe asia kheir ni watoto wa Mungu.
      *Matayo 23:9* Na msimwite mtu ye yote hapa duniani ‘baba’ kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni.

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 Месяц назад

    Wewe ni muongo mpotoshaji

  • @JosephKassim-k3p
    @JosephKassim-k3p Год назад

    Hivi huyu kuma nimblock vp kuma lake

  • @gibsonsimburya5291
    @gibsonsimburya5291 2 года назад

    Hivi nabii ukidaiwa chanjo ya yellow fever unaposafiri nje ya nchi huwa ni nini?

  • @jieurtshitshi-tshifunga6639
    @jieurtshitshi-tshifunga6639 2 года назад

    Dini zote mbili ukrito n'a uislam nidini za kigeni Sisi ni frika tutafute dini yetu

    • @loicenaliaka8309
      @loicenaliaka8309 2 года назад

      Usitafute dini..ila rudi kwa dini ya kweli ile ya kwanza

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 2 года назад

    Kwàini watu wanauamini sana Uongo?...
    Na wanakataa yale yawapao wokovu?...

    • @silverdaniellion2491
      @silverdaniellion2491 2 года назад

      Kwann wewe unaukataa na kuupinga ukweli, na unaamani maarifa yako yanatokana na tafsiri zako binafsi na ufahamu wako wa binadamu tu?

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 2 года назад

    HUYU NA NABII TITO UWA SIWATOFAUTISHI WANA AKILI AZIPISHANI WAKO SAWA SAWA BINI SAWIA

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 2 года назад

    Kumbe huyu yupo🙄

  • @wewa7329
    @wewa7329 2 года назад

    Hiyo vita yao haituhusu kama waafrica

    • @silverdaniellion2491
      @silverdaniellion2491 2 года назад

      Mbona dini zao zinakuhusu? Elimu zao na teknologia zao inakuhusu na unatumia?

    • @wewa7329
      @wewa7329 2 года назад

      @@silverdaniellion2491 sasa dini c ni utamaduni wao Sisi tuhusikeje waafrica uku

    • @wewa7329
      @wewa7329 2 года назад

      @@silverdaniellion2491 vita hatuwezi kuwaingilia dini zenyewe zimeletwa kwa kuuwa watu kwann zituhusu

  • @Danielpablo92
    @Danielpablo92 Год назад

    Naona sasa unabii wako

  • @salehemwinchete7015
    @salehemwinchete7015 2 года назад

    MB zinakatika nothing new hapa hamna kitu

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 Год назад

    Naku kibaligi sana ww

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 2 года назад

    Huyu jamaa ni mtu wa imani sana,na siyo mtu wa dini.

  • @benyavan5774
    @benyavan5774 2 года назад

    We unayeijiita nabii nitafute nikupe jambo fulani hapa kwa maelezo yako

  • @barackbrysonramsey
    @barackbrysonramsey 2 года назад

    Muongo kabisa.

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Wewe unapotosha watu pumbaf unachanganya ya kweli na ya uongo,wewe una mashetani itakuwa ndiyo yanayo ongea

    • @AsaphPraiseandWorshp-e1o
      @AsaphPraiseandWorshp-e1o 2 года назад

      Quran 98:6 Hakika walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu(wakristo na wayahudi) na washirikina wataingia katika Moto wa Jahannamu wadumu milele humo. Hao ndio viumbe waovu kabisa.
      9:123 Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
      *Ili uitwe mtoto wa Mungu*
      Matayo 5:44 Lakini mimi ninawaambia, wapendeni maadui zenu na waombeeni wanaowatesa,
      45 ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaanga zia jua lake watu waovu na watu wema; na pia huleta mvua kwa wenye haki na wasio haki.
      *Hapa kuna MUNGU na mungu(shetani)*
      *Praise to the great YHWH, YESHUA HAMASHIACH*
      YESU ni BWANA,

    • @manaseliberatus1347
      @manaseliberatus1347 2 года назад

      kumbe mashetani yanaongea

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 2 года назад

    Mimi kama SHAHIDI WA MUNGU.... wewe utakuwa wa kwanza Mimi kukuangusha, na kila mtu atajua kuwa wewe ni muongofu, na kila Mtu atakulalua vipande vipande....!

  • @reubenlusanya3546
    @reubenlusanya3546 2 года назад

    Umenena vyema apo ndipo penye uongo wanadamu upo wakifarijiana eti tutanyakuliwa nataka wasome ufunuo 6=9=11.yani nilazima kanisa lipite katika thiki kuu Danieli 12=5.

  • @jobmoffat7844
    @jobmoffat7844 2 года назад

    Tayari nchi kadhaa zimeachana na masharti ya Korona ikiwemo Utiruki.
    Kuna walakini kwenye mafundisho yako.

  • @saidimurisa4600
    @saidimurisa4600 2 года назад

    Kasome Islamic eschatology ndo utaelewa end times na utajua eastern orthodox na western orthodox wewe bado sana kuelewa mambo hayo

  • @tbwoy216
    @tbwoy216 2 года назад

    Kwanza elewa wewe mpotoshaji,,,jina Dini ni jina la kiarabu,,, kiswahili ni Njia,,yesu ndie Njia (maana ndie Dini kwa lugha ya kiarabu ) na tunamfuata yesu kwa mafunzo yake na kumwamini kristo,, ukimwamini kristo,,,,unakua mkristo,,,Sasa kile unataka kujiuuliza ni,,,,ni Gani kanisa la kweli???usitafute historia za vitabu vya binadamu akili yake mwenyewe,,,,tafuta kwa kitabu Cha MUNGU na ufwate ukweli..

    • @duliokechannel6199
      @duliokechannel6199 2 года назад

      Dini kwa kiswahil ni dini. Kam vile daftari ni neno la kiarabu, kwa kiswahili ni daftar pia. Kama umesom sifa ya lugha ni kutohoa maneno kutok lugha nyengine. Katik kishwahili kuna maneno meng yaliyotoholew kutok lugha nyengine kwa mfano, shule ni kijeruma, sukar ni kiarabu kishwahili pia ni sukar( njia kwa kiarabu ni swiraatwi ) jifunze lugha kabla ya kutetea point yako

  • @mirajishentembo4962
    @mirajishentembo4962 2 года назад

    Kafiri laana tullaa

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 2 года назад

    Mpotoshaji mkubwa wewe!!!!

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 2 года назад

    Hivi kazi yako ni nn hasa. Maana unaranda randa sana,, uliwafuata waislam ukawaambia ww ni nabii umetiw roho ya unabii wa Eliya au Eliyasa,, ukapigwa maswali ukanyoooshwa ukakimbia ukapigwa onyo ukaa kimya. Ss hvi umewaibukia wakristo kuw upande wao kueleza vitu ambvyo having msaada kwao,, unaongea ongea tu huna facts unatumia akili zako za mavi mavi,, na maandiko machache Ili uwapotoshe watu. Chapa ya 666 Iko ktk andiko gn kenge ww. Fanya kazi acha kuingilia maswala ya Imani na kueleza vitu kw kutumia akili yko ww Kam ww. Pumbavu mmoja

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 года назад

      👍👍

    • @duliokechannel6199
      @duliokechannel6199 2 года назад

      Pumbavu san ili kazi yake kupotosha t. Mara muislam mara mkiristo, kaenda kwa waislam kajifanya muislam kapigwa hoja zikamshind kakurudien nying wakiristo sas na nyiny mukimkubali t bila kutumia akili zenu na kitab chenu, atakupotoshen

    • @neebsamuel316
      @neebsamuel316 Год назад

      Husuda inakutafuna ndugu

  • @harunigaitani338
    @harunigaitani338 2 года назад

    Bgp👍