2.KAA NAMI By Tabernacle de Likasi (Album Merci Seigneur)
HTML-код
- Опубликовано: 23 янв 2025
- 1. Ka-a nami ni usiku tena,
Usiniache gizani Bwana,
Msa-ada wako haukomi,
Nili pekee yangu ka-a nami.
Chorus
Zaidi, zaidi,
Nimfahamu Yesu,
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili.
2. Siku zetu hazikawii kwisha,
Sioni la kunifurahisha,
Hakuna ambacho hakikomi,
Usiye na mwisho ka-a nami.
3. Nina haja nawe kila sa-a,
Sina mwingine wa kunifa-a,
Mimi nitaongozwa na nani,
Ila Wewe? Bwana ka-a nami.
4. Sichi neno uwapo karibu,
Nipatalo lote si ta-abu,
Kifo na kaburi haviumi,
Nitashinda kwako ka-a nami.
5. Nilalapo nikuone wewe,
Gizani mwote nimulikiwe,
Nuru za mbiguni hazikomi,
Siku zangu zote ka-a nami.