RECAP: UCHAMBUZI wimbo wa DARASSA na ZUCHU ROMEO, ZUCHU ni balaa, DARASSA ametumia akili kubwa kwake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 апр 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 39

  • @user-cg4jw4si8z
    @user-cg4jw4si8z Месяц назад +8

    Zuchu namba1 kaumbika sauti❤❤❤❤❤❤

  • @safarimusa5946
    @safarimusa5946 Месяц назад +7

    Fact Zuchu ni moto

  • @user-qr5bm9uy1s
    @user-qr5bm9uy1s Месяц назад +12

    Zuchu anajua anajua tena❤

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u Месяц назад +8

    Sikupingi Mzee baba

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 Месяц назад +8

    Kaka asante,zuchu❤❤❤❤

  • @vanjay8685
    @vanjay8685 Месяц назад +9

    Diamond ndio bongo flavor (harmonize,rayvany, zuchu,mbosso,lavalava na huyu mpya) diamond ni master

    • @wanunegervinho4231
      @wanunegervinho4231 Месяц назад +1

      Mwambie akamsaini na Harmorapa kama yeye ni bongo flv

  • @ingabirecharlotte7396
    @ingabirecharlotte7396 Месяц назад +6

    Diamond akizuba zuchu ataondoka ,Diamond amuwowe talent itakua juu

  • @john_1trader
    @john_1trader Месяц назад +9

    Kama kuna ngoma zuchu aliuwa zaidi ni wimbo naringa

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад +7

    Yaani nimerudi kusikiza hii Romeo jamani nikiboko tuu sana!!!!!

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад +8

    Yaani nakupenda ukisema ukweli tuu sana!!!! Nakuenda bure!!

  • @eshamatamu7555
    @eshamatamu7555 Месяц назад +5

    Zuu on top always ❤🎉

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 Месяц назад +5

    Zuchu saivi ndo anaingiza hela nyingi pale WCB

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 Месяц назад +4

    Diamond is the best search and he king of bongo

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Месяц назад +4

    Wewe kaka nakukubali sana big up zuu

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Месяц назад +5

    Nimeanza kukuerewa

  • @wahidaulotu87
    @wahidaulotu87 Месяц назад +1

    Preach preach preach

  • @HenrySebastian-uf3zj
    @HenrySebastian-uf3zj Месяц назад +3

    Wa kwanza😂

  • @HusinaKarama-ti9jm
    @HusinaKarama-ti9jm Месяц назад +1

    Zuchu ❤️❤️❤️❤️🔥

  • @MaryamHajj-ds8hl
    @MaryamHajj-ds8hl Месяц назад +3

    ❤❤

  • @esthermtela7
    @esthermtela7 Месяц назад +1

    Uyo anamilikiwa, tiwa na yem hao wanasimama wenywwe zuchu yupo chini ya label WCB watch out mtangazaji.

  • @zuchuforlife6182
    @zuchuforlife6182 Месяц назад

    🔥🔥💗💖 I love this 😘

  • @WizardMbilo
    @WizardMbilo Месяц назад

    zuchu ni mkali bana kwani ni uongo

  • @abdisahlanofficial2591
    @abdisahlanofficial2591 Месяц назад

    Bro some times unaongea too much... lakini zuchu anaimba mahadhi ya pwani sanaa...so some times inaboa kidogo......

  • @Ahmad-yo9pk
    @Ahmad-yo9pk Месяц назад

    Kweli mwanangu natamani zuchu aimbe nyimbo ambazo hazisimami kijinsia maana hizi tunaona aibu t lakn tunaimba

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou Месяц назад

    Toa unafiki wako apo naww sijui ulishakoswa chakufanya siushike ata jembe ukalime

  • @mariamosaideabdo9953
    @mariamosaideabdo9953 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 Месяц назад +1

    Apo kwenye kusema ukweli tu africa ndo tulifeli.

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 Месяц назад

    Uko very bias ety uwezi kuskiza nyimbo za wanawake....iyo ni taasubi ya kiume

  • @wanunegervinho4231
    @wanunegervinho4231 Месяц назад

    Mtangazaji acha kumlinganisha Tiwasavege na vitu vyaajabu yule mpopo ni namba nyingine. Zuchu mpaka atastafu kimziki akuna siku atafika nafasi ambayo savege alishafika kimziki

    • @siamejerry9239
      @siamejerry9239 Месяц назад +1

      Go check bro

    • @misanamohamedi8438
      @misanamohamedi8438 Месяц назад +1

      Bro Elewa point acha hasira

    • @user-ye4iy8jy2z
      @user-ye4iy8jy2z Месяц назад

      We nawe acha chuki yan unachuki hadi kwa watoto wa kike duh au gasho wewe

    • @wahidaulotu87
      @wahidaulotu87 Месяц назад +2

      It’s because ya watanzania kama wewe ambao ni mbumbumbu kichwani kama nyie ndio mnairudisha nyuma Tanzania yetu. Zuchu is just as talented as Tiwa Savage na kwanza ana miaka chini ya mitano kwenye music. Tiwa ana miaka Zaidi ya kumi kama sio Zaidi. Tunajivunia Zuchu na Nandy ndio maana nimenunua VIP ticket kwenda kumunuonaa Diamond and Nandy kwenye color festival capital area Washington DC ninapoishi. Arena inachukua 20000 people. We have to support our own ili tuwafikie wa naigeria. Huku USA wa Nigeria wanawasapoti sana wakwaooo. Wanajaaa Davido, Burna Boy wakija. Na sisi ingawa tuko wachache huku Marekani tuwasapoti wa Tanzania wetu. Zuchu utawapita wote usikate tamaa. Tupo kuwasapoti.

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h Месяц назад

      👏👏👏👏👏👍🏽