Ally kiba ni msanii mzuri ila ajui kucheza msiforce kitu kipo wazi me ni shabiki ake sana ila ajui kucheza ata apo amefanya zoez muda sana na bado ayuko vzr hyo junio anawazdi wote apo
@@supertallone1902 amna kitu mm nishasem nishabik wa Ally sanaa na akuna nyimb ya ali sina ila Ally ajui kucheza kubali hilo. Me kuna nyimb nying za mond sina ila ally tangu sindelela mpk ambazo ulikua uzijui me nnzo ally anajua kuimb sanaa ila ajui kucheza
Alikiba anatengeneza unga mapema akienda retire unga iyendelee kutoka kwa mtoto yani ngoma inaendelea l salute you King of music kiba,,,we love you king kiba
I didn't know Alikiba had a young boy this age. I grew up with a Alikiba generation. His a type of man we listen to when we are happy in family. I love his music... Kiba keep going i love your music.
I can’t stop watching this video Alikiba junior in the house pure talent not forced . God has blessed you in every corner the Ali the king of bongo music and talent 😀
It’s the young star for me🦋🦋🦋🦋🦋🦋💓💓💓huju taja kutumaliza sisi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,family bila scandals big up kiba %Fam💓💓💓💓💓💅🏼💅🏼KIIIIIING👑,,,,,mwapendwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Handsome boy.. like father like son 😍😍😍😍Wapi likes za Najla's kitchen ❤️❤️❤️ nimeangalia zaidi ya mara moja☺️☺️ nakukubali kiba from Mombasa Kenya ❤️❤️
kiba uyumtoto umejizaa mwenyewe sijasema chocho ila tim kiba naomba ata like sijawai kupata ata 10
Woyoooooooo king kama king mwenyewe gonga like kwa mpishi wenu😘😘Tanzani tunawapenda sanaaa love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uko pnde Zipi Tz
@@rashidabubakari7826 nipo kenya
@@HadijaSheban tupeane mchongo karbu tz
Tunaweza kuwasiliana
@@rashidabubakari7826 asante nitatembea
Yaaani huyu boy jamaniii soo cuteeeee... Gonga like kama watoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mtoto wa alikiba huyo first born
@@ahmedhassannoor9645 MashaaAllah yaani atasumbia vijiji🤣
Wee nawee ushaanza kumtamani sasa
@@fredrickmwengi7370 hahaha amtamani na Nini Sasa
@@HadijaSheban kwao huko tz
Nakupenda Alikiba since nikiwa mdogo... Uko na heshima zako na ndio maana huna mascandals.... #love from Kenya... Napenda how u have trained ur son💖
Ukweli dogo Yuko vizuri Kuliko baba, team kiba like Kwangu Jaman nyingi nimeanza kusikiliza nikiwa mdogo sana ❤❤❤ naombeni like nyingi team kiba
Zambia huku ndombolo inafanya. Powa kinoma Kings music 🔥🔥💖💖💖💖4ever
Napenda UNJUUU anavyocheza wapi likes za UNJUUU
King atabaki kuwa king tu ukitaka kusikia mziki mzuri njoo team kiba from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Aisee Mungu awajalie upendo huo mlionao kwenye family yeyu abdukiba & families
kiba junior ameweza😎😎😎
Tulioipenda tshirt ya kiba tujuane 👑
NomA mongela goma?
Mtoto wa Alikiba dancer♥️♥️♥️♥️♥️😎Yuko juu
Tangu Lubumbashi kwenye jamuri yaki democratia ya Congo nina penda kabisa mziki lako. Go ahead Kiba.
Lubumbashi Mimi pia
Mm nipo oman ila mziki wa king naukubali sana
Salamu ku ruashi
Have watched this video a million times...hii ni moto...Alikiba my crush,your son won this challenge 😂..you are the best
....
🇰🇪🇰🇪Kiba junior amewaosha🔥Moto Kama pasi,, wapi likes za dogo jamani...
Ali K👑 Manze kiba junior ameua🔥🔥🔥🔥
Kabisa
Damwaniiiiii mwana na baba zake mumetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥#team kiba# tujuwanee
Likes za king kiba na kiba Junior
Nina furaha tupu handsome boy and father full talent nime tazama Mara nyingi nasichoki . Kazi Safi mfalme of bongo Alikiba hongera muno
I' ll never stop love you king kiba love you much😘😘😘😘
I've seen my daughter's husband 💕💕💕eeeish alikiba's son is everything nice..KWELI mtoto wa nyoka ni nyoka!!!
Kwel kabs hatar
sikuaga kipenz lkn kw hili waooh king.Penda sana na mmependeza na mtoto wenu. .Huyo amerith kabisa ni moto w kuotea mbali macho yeshaona.
Kiba akicheza na mwanae that should be the heading bro
🙄🙄🙄
True
King King unacheza kimadoido😂😂
Wale waliosema King hajui kucheza watakoma😂😂#KingMusic🎶💙💯🔥👑
Dondoshen Kideo icho jaman tukivamie😂ndan Unju asikose💯🔥💙🎶👑
@Saum Salim madomo mazito si unajua wanabwabwaja sana so amewaonesha
Ally kiba ni msanii mzuri ila ajui kucheza msiforce kitu kipo wazi me ni shabiki ake sana ila ajui kucheza ata apo amefanya zoez muda sana na bado ayuko vzr hyo junio anawazdi wote apo
@@nellywizz9631 umeona bana
@@nellywizz9631 nenda kaangalie mwana, chekecha na chaku alafu uje ucomment tena yoooh!
@@supertallone1902 amna kitu mm nishasem nishabik wa Ally sanaa na akuna nyimb ya ali sina ila Ally ajui kucheza kubali hilo. Me kuna nyimb nying za mond sina ila ally tangu sindelela mpk ambazo ulikua uzijui me nnzo ally anajua kuimb sanaa ila ajui kucheza
Baba na mtoto mumetish kwa iy songs🤭😁😁👌🏿👌🏿
Like father like son. Kiba junior ameweza😍😍 Big up to you Ali Kiba for raising such a handsome boy and the other kids without scandals ❤️
Yes
???!mpoopuyyyyhhh
Wow keep it up
😂😂😂mtoto kawafunika mwe wote like nyingi kwa junior kiba❤
Apo mondi ata taman mtt wake akuwe ili alipe hii🤣🤣unjuu kauwa jmn yn mm aka katt nakakubal san akanag mambo mengi
Hhhhhh real
Hapo anatamani aweke video na Ivan Junior hata
😂😂😂kabisa
Good sana hatarifaya 🔥👑👑💚💚🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸💪
Anakuzidi kiba junior like father like son iyo mbegu mwagia makopa👍
Alikiba anatengeneza unga mapema akienda retire unga iyendelee kutoka kwa mtoto yani ngoma inaendelea l salute you King of music kiba,,,we love you king kiba
I didn't know Alikiba had a young boy this age. I grew up with a Alikiba generation. His a type of man we listen to when we are happy in family. I love his music... Kiba keep going i love your music.
I can’t stop watching this video Alikiba junior in the house pure talent not forced . God has blessed you in every corner the Ali the king of bongo music and talent 😀
Baba na mwana nakubalii sana King music 4life
1:44 Uyu kijana apo nyuma anacheza poa sana
Bwana kiba saa nakumaind unadance mpk nomaaa😍🥰
From Comoros tume pokea vizuri sana nona mze wa cenderelaaaa
King Kama king 🔥🔥yebaba pale baba pale mwana pale baba mdogo we unachezaje
Owh this child is handsome aiseee,, and he has got moves kwa hivyo he is the winner ( braaaavooo)🤝🔥🔥🔥
YEEBABA 🔥 🔥
Huyo dogo ni atare nyingine love sana aseeeee
Dah mtoto anaweza mpk bas,mtt wa pundamilia hakoc mistar
Naomba uchunge na huyu mwanako naona akiwa the next king
Ze familia....timu kiba na timu konde sihami Ng'ooo kiba dogo mmpe mikoba kesha wiva huyu 🔥🔥 🇦🇪🇹🇿
Umenifanya nicheke wa saut pamoja kiba na konde
Hata mm sihami sijui wamenipa nn hawa watu😝😝😝😝
Forever king kiba anajua snaaaaa wache waache hao mabngw wakiki
Alikiba ninoma sana kaka hakuna anayeweza kama wewe saluti ikopw ndombolo ndobalaaaaa
Hii familia ya King wanapendana sana. Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tisha sana fum nawapenda kinoma kiba junior Abdu kiba Alikiba bonge ya ngoma bro❤️❤️❤️❤️❤️ watakaa tu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤸♀️🤸♀️🤸♀️ dogo umetisha, kiba ww umetisha.
🤚shikamoo kiba
Mimi na wakenya🇰🇪 wenzangu 500 wenye watatia like kwa hii comment yangu twakupenda mno
Kabxa
Alikiba na Abdu kiba mumefinikwa na samir ( Kiba junior)
q#
Hhhhh 🤣
Team kiba like father like son wow wakenya wenzangu twa kupenda sana 🇰🇪🇰🇪♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤🔥💯Alikiba ni moto bila moshi
Second coment.....wap like zangu jaman...na unju kiba😀 😀 😀
Aliyeona wamefunikwa na mtoto wao aweke like hapa.unjuu noma
Mimi nimeona aisee
Kwakweli
Uyo mtoto Ana cheza kama diamond
Nakubali
Kiukweli mtoto kacheza vizuri @kiba_junior👏👏👏
muuh kumbe kings music ata kucheza ni moto wa kuotea mbali 🇹🇿💪🙏🙏
Irudiwe me sikuwepo wakat mnacheza
Aki Ali kiba av been your fan from enzi za Cinderella tuko pamoja mpaka tamati...love your music ❤️🇰🇪
Mmeuaaaaa kings music
Mpeni mtoto zawadi katisha sana
Anajitahidi sana bwana mdogo. Nikiasi gani anahimili mchezo huo kwa akili sana.
Kebebe and kiba junior 🤣🤣🇰🇪👑🇰🇪👑🇰🇪🇰🇪
Unju ni noma sana
It’s the young star for me🦋🦋🦋🦋🦋🦋💓💓💓huju taja kutumaliza sisi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,family bila scandals big up kiba %Fam💓💓💓💓💓💅🏼💅🏼KIIIIIING👑,,,,,mwapendwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bro Kiba mi Sina la kusema..ila natamani maishani Mwangu nikuone live..I wish
Unju kachukua point zake zote tatu 🔥🔥🔥🤙
Mbona kiba junior anamzid baba ake🔥🔥
Kiba junior ndo ameuwa
Nimekapenda haka katt mujitahidi na kufunza na dini sio dunia tu
Mtoto ameuwa😍😍
Unju ndo master wa hii dance ever love it❤️🇨🇦
Hii clip inashuka trending na kupanda chap,unju ni balaa....
Dogo ni 🔥🔥🔥 hata hatumii nguvu Ila Mambo ni motooo
king mdogo kaua sana hadi king mkubwa anataman king mdogo anavyo cheza kwa mbwembwe huku anaua
Sasa nimeridhika baada ya kuiona on trending na namba zinapanda Kasi Sana🙏👏👏👏
Pole king unju kafunika tenaa 😀🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kitu inasisimua 🔥🔥
The love I've for kiba makes mi love to learn Swahili just watching frm uganada
Yan nakukubali San kiba nakupend bure mtt hendsom km BB ake love
Daah thumbs up 👍👍👍👍 to kiba junior you've killed it son ume challenge dad n uncle well done keep going boy
They just move with so much ease. And they look great doing it, love this
Dogo alitisha 💪💪💪💪💪💪
Unjuuuu kiboko yao jmn gonga likes weweee....
Napenda sana kiba forever, tuna godjea kipyaaasaaaa
Jamaa Nampa kakangu kiba Jr hongera
Alikiba nakupnda bureeeeee💜💚💙mlee vyema kijan wako✌🙏🙏
Dogo anafunika baba ake
@@balakaamic6407 Umeona Eeeeeh
Nmekuwa wapili naomben like hata 1
King kiba umetisha kinoma kinoma
Handsome boy.. like father like son 😍😍😍😍Wapi likes za Najla's kitchen ❤️❤️❤️ nimeangalia zaidi ya mara moja☺️☺️ nakukubali kiba from Mombasa Kenya ❤️❤️
Mashaaalh babanamwana mashaaalh junior mdogo
@@mwajumamiraj2916 ma sha Allah
Dah hii hatar sana king
Waaa kiba junior 🔥🔥🔥 na ni vile as nakaa ako na uwongo najua angerock zaidi
Ali Kiba, uko natural dancer Always.
Yani so simple but yet so lovely.
Kijana pia has taken after baba. Xx
The little boy is amazing..amenishinda kucheza
Alie rudia kuangalia hii video Mar 2 na Zaid pita na like tujuane Team Kiba wote
Yaani we Acha tuu,
Mtoto hatare Huyu,
Kiba junior, you're the Future King,,,,,
Kwakweli❤❤❤❤❤📌
King angalia vizuri maana naona mwanawe nimkali kukuzidi bro yani dogo ni moto wakuotea mbali kwa dance 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nami nimeona hivyo
Kama ume nielewa piga kerereeeeh 😀😀😀🔥🔥
dogo anaonekana mtulivu sana big up to you ally kiba,,,, we are enjoying your music
Yaani nimependa sana hako katto kako Ali💘💘💘💘👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 umewazidi wotee
My favorite nakupenda tu bure🔥🔥❤️❤️
Umeweza mwanangu Unjuu penda sana wewe😘❤🔥
King kibaa unafaa ujee kilifi,mld ututembelee ninahamu ya kukuona
Saf sana nakubali king kiba
Ohhh alikiba is my favorite tanzanien artiste
King kiba wetu Africa.Maisha yako ni simple sana king.No scandal kusumbuana na watu Respect
Mtoto wa nyoka ni nyoka, endelea kutunogesha tu mtoto wa king.
Kiba Jr 🔥🔥 funika baba ad bamdg nmechka walah"unajua wwe umenifunika" king km king
My king kiba kwenye hii game niwewe peke King wamziki
Much love king kiba from Uganda woow love kiba saana