Jina lake Yesu la Ajabu nimepona ugonjwa wa kunuka pua nlkuwa nanuka kama mzoga au maiti .....lina nguvu nalia lina nguvu!! ...Nakiri lina nguvu ....hospital..waganga walishindwa !!
Absolutely, his name is so powerful through dreams , vision and so many ways. Jesus you’re the king of my life . I have pass through a lots , but trusting and believing that your name is so power than anything else on this planet..... that’s why I am still breathing . To you be the glory 🙏🙏. Sister christina.. thanks for blessing me with this wonderful song 💋
Amina Jina lako YESU la ajabu, jina lako YESU lina nguvu.Amina MUNGU azidi kukubariki Dada Shusho.Namsifu KRISTO nikiwa diaspora. JINA LA YESU NI JINA KUU.Hallelujah Mfalme Mkuu
Mama hivi leo umeziba jicho moja maanake nn hope not what its said to be next.time please rectify otherwise wimbo mzuri(Jina lako Yesu laokoa)Hallelujah
Merci pour cette très belle chanson qui nous fait prier, ma sœur en Christ, Christina Shusho. Que Dieu continue à t'inspirer. "God exalted him to the highest place and gave him the name that is above every other name, that at the name of Jesus every knee should bow, in heaven and on earth and under the earth, and every tongue confess that Jesus Christ is Lord, to the glory of God the Father." -Philippians 2:9-11
@@godaboveall6692 we acha tu BT yeye na Mungu wake watakuwa wanajua BT SS kama Wanadamu INATUFIKIRISHA mbali kulingana na dunia ya Leo Mungu awasaidie sana Waimbaji wetu wa leo
Nafikiri hakuwa na nia mbaya. Tumpongeze kwa ujumbe mzuri unaopatikana kwenye nyimbo hii unaolisifia jina la YESU kwani nyimbo nyingi za gospel siku hizi huwa hazilitaji jina la YESU waziwazi.
The song has a very powerful msg and I really appreciate but not the photo! It’s a bit weird kwa kumtukuza Mungu haviendani! Samahani to point this out but it’s an honest feedback!
Yes Jesus Christ is my king
Ndilo Jina tulilopewa.. Ndie Injili, Yesu ndio habari njema.
Inapendeza Yesu akiimbwa, akitajwa katika kazi zetu za Injili.
God Bless yu dadake
Haleluyaaa Jina lako Yesu lina nguvu!!!barikiwa sana shusho..zidi kusogea viwango Roho Mtakatifu azid kukutumia
Jina lake Yesu la Ajabu nimepona ugonjwa wa kunuka pua nlkuwa nanuka kama mzoga au maiti .....lina nguvu nalia lina nguvu!! ...Nakiri lina nguvu ....hospital..waganga walishindwa !!
HE IS OUR GREAT GOD TO BE WORSHIPPED. GOD BLESS YOU IN JESUS CHRIST NAME. Amen.
kwakweli mtumishi iyo picha aiko vzuri..rekebisha kidgo maswali yasiwepo,asante, utekelezaji mwema.
Amen pastor very powerful song
Jina la yesu laajabu barikiwa dada
Absolutely, his name is so powerful through dreams , vision and so many ways. Jesus you’re the king of my life . I have pass through a lots , but trusting and believing that your name is so power than anything else on this planet..... that’s why I am still breathing .
To you be the glory 🙏🙏. Sister christina.. thanks for blessing me with this wonderful song 💋
jina yesu limeniokoa ata mimi ambaye nilikuwa cfai machon pa watu kwel jina yesu lina nguvu
Shusho hicho kibaji endelea kukitumia vizuri Mungu anakupeleka mbali nacho
Shetani ashindwe in the name of Jesus, tunakata kubebea ufala, that pic no, l love you shusho may u come back to senses
Amina Jina lako YESU la ajabu, jina lako YESU lina nguvu.Amina
MUNGU azidi kukubariki Dada Shusho.Namsifu KRISTO nikiwa diaspora. JINA LA YESU NI JINA KUU.Hallelujah Mfalme Mkuu
Powerful worship song 🙏🙏🙌 I feel the Holy Spirit ministering to me... May bless and annoint you More . Love you mum as God loves you more
Amina jina lako Yesu laajabu
More grace Christina Shusho. Your worship anointing is too much.
Mama your always my best with the sweet voice and the wonderful worshipping songs. I love you.
Hakika Jina la Yesu ni yote zaidi ya vyote
Jina lako YESU lina NGUVU 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Amen.This name (JESUS) is the great power ever.
Jina lako Yesu. AMAIZING WORSHIP SONG. BE BLESSED MUCH MTUMISHI.
Amen Da Christina kwa Nyimbo nzuri yenye uwepo wa Mungu, Be blessed
Kweli jina lako Yesu laokoa,ahsante BWANA MUNGU kwa ukuu wako
Mama hivi leo umeziba jicho moja maanake nn hope not what its said to be next.time please rectify otherwise wimbo mzuri(Jina lako Yesu laokoa)Hallelujah
Hata mimi nimejiuliza mbona kuziba upande mmoja wimbo mzuri anyway
Mmeona jicho siyo wimbo
Powerful song
Merci pour cette très belle chanson qui nous fait prier, ma sœur en Christ, Christina Shusho. Que Dieu continue à t'inspirer.
"God exalted him to the highest place and gave him the name that is above every other name, that at the name of Jesus every knee should bow, in heaven and on earth and under the earth, and every tongue confess that Jesus Christ is Lord, to the glory of God the Father." -Philippians 2:9-11
Tuliitie jina la yesu pekee,Amina
jina lako yesu linanguvu Amen dada
hallelujah hakika wimbo Wa kubariki.....Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wake
wimbo mzuri unaonesha ukuu wa jina la yesu
Kweli jina lako yesu nila ajabu na lina guvu, Amina
Amen Jesus is the king of kings.I love you siz shusho,May God bless you as He can.
Jina lako Yesu la Ajabu 🙏🙏🙏🙏
Amina...jina la yesu ni laajabu
Jina lako yesu Lina nguvu na mamlaka...jina lako laokoa,
Amina ....Jina lako Yesu lina Okoa
Amina
Get blessed madame @christina shusho
Name above all names
SAFI SANA DADA SHUSHO HONGERA INA WINGU ZUURI PIA INAFANYA UTULIE HATA UMECHOKA INAFARIJI BONGE LA WIMBO
Mim wa 95 ku view nipeni like JINA lako Yesu laokoa
wow! jinablako yesu la ajabu....🎤🎤🎶🎶🎵🎶🎶🎵jina lako lina nguvu.....
jina tamu kuliko majina yote🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎼🎶🎵🎼🎶🎵🎸🎺🎤🎷🎹🎧🎧
Amen ubalikiwe sana
jina la yesu tamuu tu n be bless shusho.....unanishushaa na kuniinua kwel
From USA I don't know well Swahili language but hii nyimbo tamu sana
Nice song! Be blessed
Ameeen ubarikiwe Dada chistina
Keep it up dada...may our Lord bless u
Amen amen
Nice audio, cant wait seeing the video version, you bless us mam
Hallelujah
Kuna sir kubwa ktk jina la Yesu
Amazing beautiful song....To God be the glory now en 4 ever....
Amina wimbo,mzuri mnooo
Amen Tina
NICE👍
wimbo mtamu sana ....ila picha ina kinzana
unatufariji sana dada
Fantastic mamy akee.. Kama kawaida yako hutuangushi
Mimi sina haja ya like wanaosoma comments merry Christmas
Shusho such a nice song dear
mi wa 43 to view nipeni like
Amen 😍😍🙏🙏
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 I will be back, I need a moment 🙆🏿🙆🏿🙆🏿 💯💯💯🌹🌹🌹👌🏽👌🏽👌🏽🙌🏾🙌🏾🙌🏾
amen mamaaa shusho kaz nzuri
La ajabu na lina nguvu!
Hakika hii ni habari njema,
Nice song my Dada Christina
love uu
Jina lako yesu#christinashusho
Jicho 1 hilo ni ishara dini flani mtumishi
AMEN...🙏
Rose na Huku upo
Amen
Dada nyimbo nzuri Sana bt dizaini ya hiyo picha hapo kukaa na jicho moja unanifikirisha niwaze mbali ni hayo tu! ↪↪↪
aki ya mungu hiyo picha ina maswali mengi kuliko majibu
@@godaboveall6692 we acha tu BT yeye na Mungu wake watakuwa wanajua BT SS kama Wanadamu INATUFIKIRISHA mbali kulingana na dunia ya Leo Mungu awasaidie sana Waimbaji wetu wa leo
+Nkuhi Mmary. yea only God can truly judge
Nafikiri hakuwa na nia mbaya.
Tumpongeze kwa ujumbe mzuri unaopatikana kwenye nyimbo hii unaolisifia jina la YESU kwani nyimbo nyingi za gospel siku hizi huwa hazilitaji jina la YESU waziwazi.
@@albanbros7210 Amen 🙌🙏
Mm watatu au wangap?.... Nabarikiwa naumbaji wako da christina mungu aendelee kukuinua kila hatua.
Mimi love u sana shusho ur songs are the best medicine in my life barikiwa sana my dear role model and mum at the same time
AMEN
Owesome dear,be blessed.
Amina
Picha INA maswali, kuziba jicho moja
Wow be blessed
Keep on moving ss
Kazi nzuri
ģeraga
Wa kwanza kukoment
Christina Shusho Amen Dada Tina 🙏🙏🙏🙏
@@rehemamalubalo9747 I'm included unto this blessing in the mighty name of Jesus Amen.
@@cshusho# barikiwa nyimbo nzur
la ajabu sana
Nice be blesssed
💕💕💕😭😭😭😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ameeeen
Good song BT the photo does not not go alongside with the song kindly change it to express the contents thanks
Jina la Yesu, Jina Takatifu.
Tunahitaji na video ya huu wimbo
Shetani anajua kutumia kila mwanya.,now we have Shusho with illuminate photo pose. God help us, someone is out of line.
Continue judging people thinking that you are the.... May God forgive you
@@harrietinzai2961 Ndiyo njia moja ya shetani hutumia watu to stop them speaking the truth or rebuking it. But God not in to it.
@@damariszuckschwert9489 remember we ain't perfect except God... So let's stop judging
👏👏👏👏🇺🇸🔥
Thanks Shusho
Christina I would love to do a collabe with you. I love you
Hio one eye that's a sign of illuminati
The song has a very powerful msg and I really appreciate but not the photo! It’s a bit weird kwa kumtukuza Mungu haviendani! Samahani to point this out but it’s an honest feedback!
good worship but that pic though!!!let God be the judge
Ameeen
Amen
Amen