VURUGU MOROGORO, MACHINGA WAFUNGA BARABARA, WAGOMA KUHAMIA SOKO JIPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 22

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 18 дней назад +1

    Sema Mazoea yanatabu.

  • @DEUSTHOMAS-c6j
    @DEUSTHOMAS-c6j 19 дней назад +2

    Kusema ukwel hii tz inahitajika kuiombea sana maan matukio ya ajabu yamekuwa mengi sana.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 18 дней назад

    Tanzania 🇹🇿 mmezidi kuchekeana wafikishwe mahakamani kwa kufunga barabara na wafungwe hata miaka mitatu, mmejengewa vzimba vizuri bado mnataka kupanga bidhaa sehemu sio sahihi acheni uzamani!

  • @DMB563
    @DMB563 18 дней назад

    Si mlikua mnamshangilia eti oo ana huruma ooh sijui nini haya sasa

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 19 дней назад +1

    Wachaga wengi ni vigeugeu hupenda sana kujikomba kwa mtu mwenye nguvu

  • @RaphaelKapisi
    @RaphaelKapisi 19 дней назад

    Poleni wa🇹🇿🇹🇿

  • @StephanieGerald-qj8vt
    @StephanieGerald-qj8vt 19 дней назад +1

    Ila sonyo😅😅😅😅

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 18 дней назад

    Malizao ziko wapi wapeni malizao

  • @storytownTv
    @storytownTv 19 дней назад +1

    Hao ndo wapiga kura wanaofanyiwa ivo .😢 Ndo madhara ya viongozi wa chama flan kuwa na uwakika wa matokeo ya uchaguz ,yaan wanafanya kile wanataka sio wapiga kura wake wanachotaka

  • @Winnerstv-y8e
    @Winnerstv-y8e 19 дней назад

    Like zangu

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 18 дней назад

    Wapigwe hao

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 18 дней назад +1

    CCM OYEEEEEE

  • @MaryFlorence-t3m
    @MaryFlorence-t3m 18 дней назад

    Huyu sonyo ciwa itv

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 18 дней назад

    Wamacho lalamika ni nini wakati soko lipo kwanza wanachafua mji mimi naiyomba Serikali inapp fanya mamai wasilete Siasa kwenye Maendeleo wafate sheria tu

  • @Godfreyndadolewkwanama-k5m
    @Godfreyndadolewkwanama-k5m 18 дней назад +1

    una muhalibia mali zake alafu unasema wewe ni mtetezi wao

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 18 дней назад

    Warudishie mali zao

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 19 дней назад

    😢😢😢polen wahanga

  • @lucasmasumbuko2098
    @lucasmasumbuko2098 18 дней назад

    Mwongeaj ni .....

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 19 дней назад

    Sasa hadi kuwakamata😢

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 19 дней назад

    Acheni ukizamani bwana mmejengewa soko la kisawa hamtaki? Badilikeni pangeni vitu kisasa .

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 18 дней назад

      Ww sio mfanya biashara acha kucomment ujinga

    • @AsanFylili
      @AsanFylili 18 дней назад

      Huyu nae anaitaji maombi sio wauzaji nyanya hao au mchele ndugu