VIPINDI VYA MWISHO VYA SHEIKH ABUU IDDI - MAWAHABI NA WAZAZI WAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    RUclips: / @babdeomiladu

Комментарии • 51

  • @rushu1232
    @rushu1232 5 дней назад +2

    Sheikh Abuu ldi amefanya kazi Mwenyeezi Mngu amrehemu amueke pema ajabu wanaosema alikipinga sunnah huo ni ujinga sababu ameshuhudiwa kwa swala na funga za sunnah na sunnah za swadaka kutembelea wagonjwa salamu ilikua kazi yake aliunga kizazi sasa sijui utamuita vipi sio wa sunnah wacheni ujiga.

  • @AliBadru-r2f
    @AliBadru-r2f 5 дней назад +3

    MASHAA ALLAH KHEIRAT ALLAH amjalie Janna

  • @a.856
    @a.856 5 дней назад

    Allah akusameh na akurehem Sheikh.... amin

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 5 дней назад

    اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وتقبل حسناته

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 6 дней назад +1

    اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه في الجنة

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 5 дней назад +1

    Allah akujalie kauli thabiit

  • @alrahmahschools
    @alrahmahschools 5 дней назад +1

    اللهم اغفر ذنوبه فإنه لم يكن عالما بأحكامك الشرعية المتوفرة في كتابك وسنة نبيك محمد صلى الله غليه وسلم

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 4 дня назад

      We ndo unajua Hukmu za ALLAH za kisheria au?

    • @alrahmahschools
      @alrahmahschools 3 дня назад

      @@fahmiiidrisa5110 اللهم اغفر عبدك وابن عبدك فإنه لم يكن ملما بالمعلومات الدينية خاصة في أحكامك الشرعية

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 5 дней назад +1

    MWAMINI MWAMBA WA UZIMA WA MILELE MPATE ONDOLEO LA DHAMBI. YESU NI NJIA SAHIHI. ENDELEENI KUFARIJIANA KWENYE UDANGANYIFU.

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t 5 дней назад +2

      Kwanza ujue kuoga majosho ya kawaida na ya waajib,ujue kustanch choo chako kikubwa na choo chako kidogo,kisha ndo uje hapa tukufunze ustaarab.

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 5 дней назад

      Yesu ni mtu kama mm na wewe...unawexa kutujibu YESU KAUMBWA AU KAJIUMBA MWENYWE......VIP MARYAM MAMAKE YESU...ALIUMBWA NA NAN?????UKIJIBU HAYO KWENY BIBILIA UKRISTO NI DINI

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 5 дней назад

      Kumwamini yesu kivp yeye mwenyewe hawez mpka awezeshwe na m/mungu yohana 5:30,siku ya mwisho haijui soma mathayo 24:36 sasa utasemaj ni mungu na siku ya hukumu haijui shitukeni Muslim muwe waislm ndomutaupata uzima wa milele

  • @lusupi
    @lusupi 2 дня назад

    Kwani Hirizi yafaa kuvaliwa

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g 5 дней назад +1

    Sema sheikh amejitahid sana kupambna na sunna amsamehe.

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 5 дней назад

      Suna gani muliokuwa nayo maibilisi wakubwa nyinyi

    • @thabitsaidi1507
      @thabitsaidi1507 5 дней назад

      ​@@selemohd9060Allah akusamehe

    • @jamalAlly-p2y
      @jamalAlly-p2y 5 дней назад

      Si bora yasisi nyie ni maqaafir kabisa mlioundwa na mayahudi dini mpya​@@selemohd9060

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 5 дней назад

      We ndo mbwa kabixaa mawahabi ni kirus

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 5 дней назад

      @AlhajiMswaki-de3kb Alhamdulillah,Allah aniongoze mimi pa1 nawewe katika njia ya sawasawa.

  • @abdallahshomari793
    @abdallahshomari793 5 дней назад +1

    Hizi juhudi angekua anaziweka kuwapinga MASHIA wanaowatukana maswahaba na ahlul sunnah kwa ujumla lakini cha ajabu amewatetea sana na kuwaona hao ndo wapo katika haki na hawa wanaolingania katika tawhiyd na sunnah ni wabaya aisee Allahu Mustaan...Allah Amsameh Makosa Yake

  • @kamilagwajuma8384
    @kamilagwajuma8384 4 дня назад

    Kuna tofauti ya uislam/tabia za warabu na watu wa pwani 😂😂😂

  • @IssaNassor-c9p
    @IssaNassor-c9p 5 дней назад

    Alhamdulillah sunna inasonga mbele na masufy wanazidi kuona nuru ya sunnah

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 5 дней назад

    We sheikh wewe..
    Allah akuswamehe makosa yako!

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 5 дней назад

    Ametoa jitihada kubwa sna kuwapiga vita ahlu sunna na kutetea upotofu😢

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 5 дней назад +1

    Mola amsameh mapungufu yake Amrehemu amlaze pema pamoja na wema

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 5 дней назад

      Kila aliyemkataa mwana wa adamu sehemu yake ni kuzimu hakika.

  • @muhammadnassibu7706
    @muhammadnassibu7706 5 дней назад

    Kha 😢 kwaiyo MASUFI mnavaaga hirizi?? Nilikuwa sijui kabla.......mnapost Makusudi ili tujibu mje mseme mawahabi wanatukana marehemu!!

  • @MohamedOmari-y1t
    @MohamedOmari-y1t 5 дней назад +1

    Mawahabi fitnah si tu kwa Waislam bali kwa Ulimwengu mzima.

  • @MohammedAli-ud8so
    @MohammedAli-ud8so 5 дней назад

    KWELI KABISA HAWA MASALAFI HUONA KM HUJAWA SALAFI BASI BADO WEWE HUKO KATIKA HAKKI

  • @AbdillahHassan-f4x
    @AbdillahHassan-f4x 5 дней назад

    Hakuna ktk uisilam maulid

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 4 дня назад

    Shia hawawatukani MASAHABA ndugu. Kuwa na akili huru, usiburuzwe. Shia ni watu wa Maulid, Shia ni Watu wa Talaqin, Shia ni Watu wa Tawassul, Shia ni Watu wa Khitima... Shia na Sunni wametofautiana kwenye UKHALIFA tu. Baada ya kufariki Mtume baadhi ya MASAHABA wakaenda kwa Ali, na wengine wakaenda kwa Abu Bakar.
    SHIA NA SUNNI WOTE WANAWAFUATA SAHABA.
    Bahati nzuri Shia wanayo Dua ndefu sana ya kuwatukuza na kuwarehemu sahaba wa MTUKUFU Mtume kwa juhudi zao za kutufikishia Uislamu... Dua hii upande wa Sunni hakuna.

  • @AbdillahHassan-f4x
    @AbdillahHassan-f4x 5 дней назад

    Khabithi ww maulid Yana asili?

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 5 дней назад

    Pembeni na lipicha hilo......ENYI MAKHURAFI HAMUONI MNAMUONHEXEA MADHAMBI HUYU SHEKHE WA KIKHURAFI

  • @AthumaniRajabu-f8l
    @AthumaniRajabu-f8l 5 дней назад

    Kama yahakki haya ameshakutana nayo sisi hatujui

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 дней назад +1

    Leo uko mbele ya haki na hao wanaoweka clip wanakusaidia kukujazia mzigo wako vizuri tu

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 5 дней назад

      Mzigo wa BIDAAA....NA UZUSHI

    • @HusenFarahan
      @HusenFarahan День назад

      Laanatu-llah alaikum antum wahhabiyu

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo День назад

      @HusenFarahan huoni hata sunna ya kufuga ndevu imemshinda....amefuga sharubu ka za paka khurafi huyu.....Acha ngonjera zako wewe ....acheni kuwadanga watu.....HUYU MPIGA MAULIDI TUU ATATUAMBIA NN

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 5 дней назад

    Huyu shaikh hakua mtu wa sunna...KHURAFI huyu...kwann msipost AKIWA MAULIDINI AKIUFINYA MPUNGA?????ALIKUA MLINGANIZI WA BIDAAA

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 4 дня назад

    Sasa shekhe kama Kuna tatizo mtu asiseme wewe una chuki na watu wa sunna

  • @AbdillahHassan-f4x
    @AbdillahHassan-f4x 5 дней назад

    كذاب