Wajue Matajiri Wa5 Wakubwa Zaidi Afrika Mashariki | Rais Yupo Kwenye Orodha.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 ноя 2024

Комментарии • 60

  • @KiooNetwork
    @KiooNetwork  4 года назад

    Asante sana kwa kutazama. Subscribe for more

  • @RobsonMushikutokamanyarambulun
    @RobsonMushikutokamanyarambulun 11 месяцев назад

    Big up mo

  • @rehematogwa200
    @rehematogwa200 2 года назад +1

    Boss moo Allah akuzidishie

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari subscribe kwa taarifa zaidi

  • @emmapallangyo5211
    @emmapallangyo5211 2 года назад

    Mungu hifadhi mo ili maadui wasimpate

  • @Mutukuharon314
    @Mutukuharon314 2 года назад +1

    Nenda kagoogle vizuri Uhuru Kenyatta ako na utajiri wa dollar billion nne

  • @ibrahimhussenihusseni2027
    @ibrahimhussenihusseni2027 2 года назад +1

    Hayo ndio mambo

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako boss, tafadhari subscribe kwa taarifa zaidi

  • @davidnyerere2016
    @davidnyerere2016 Год назад

    Mnahangaika kweli

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 2 года назад +1

    Endeni mumtafute boss wa Mombasa Cement kenya..Uhuru anaheshimu..

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhali subscribe kwa taarifa zaidi

  • @isaacphilemon5599
    @isaacphilemon5599 Год назад

    Kuna watu wanamchukulia poa sana Mo,ila jamaa pesa anayo.MUNGU aendelee kumtunza na kumuinua zaidi.

  • @shadadiabdul6689
    @shadadiabdul6689 5 лет назад +5

    Bakhresa hayumo?Mi nakataa Azam no 1

  • @jamesmwangamba5124
    @jamesmwangamba5124 3 года назад +2

    Ruparelia sio Mtanzania. Ni Mganda

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari subscribe kwa taarifa zaidi

  • @rashymo1705
    @rashymo1705 2 года назад

    Kumanyoko kabisa we ulietoa hii takwim

  • @bornfaceisaalivisonisaa7495
    @bornfaceisaalivisonisaa7495 2 года назад +1

    Umetukusanya hapa

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari subscribe kwa taarifa zaidi

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 4 года назад +3

    Mabilionea wapo tz.1 mzee mwenyewe Salim said bakhresa .2 mbunge mstaafu Mo dewji ndo wanafuatia wengine tz juu .jpm lazima ajidai kuwa na majembe Wa kulipa kodi Kwa ajili ya maendele ya tz.

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  4 года назад +1

      Kweli mkuu... Shukran Sana usisahau ku-subscribe Tafadhari

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  4 года назад +1

      +Hussein Loyy Asante sana kwa comment yako. Subscribe kwa videos zaid

    • @leomess1029
      @leomess1029 3 года назад +1

      Iv MO unamchukuliaje

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  3 года назад +1

      Asante kwa comment yako. Tafadhari Subscribe kwa video nyingi zaidi.

    • @ferdinandmlacha1123
      @ferdinandmlacha1123 2 года назад

      Nenda google kaangalie pesa ya mo na bakhresa utajua katupwa umbali gani huyo bakhresa

  • @mwanahamisihossein9051
    @mwanahamisihossein9051 4 года назад +3

    Huyo alie andik Hy majina mshamba bakhresa ndiye bilionea wa Afrika mashariki,, hp bd hujanishawish kukubal kwakwel

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  4 года назад

      Asante kwa comment yako, Tafadhari usisahau ku-subscribe

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  4 года назад

      +Mwanahamisi Hossein shukran kwa comment yako. Subscribe kwa videos zaid

  • @geoffreysoloshija1909
    @geoffreysoloshija1909 2 года назад +1

    Duh wote niwakuja ispokuwa Kenyatta tu mamaee

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante kwa comment yako, tafadhari subscribe kwa taarifa zaidi

  • @elisonikalinga6044
    @elisonikalinga6044 3 года назад +3

    Acha kutuongopea mo sio wa kwanza ww MZEE umemuweka wap said bakhrs

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  3 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari Subscribe kutazama video nyingine kama hii

    • @khalidsemka1652
      @khalidsemka1652 2 года назад +1

      Elison Kalinga usikariri

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante kwa comment yako, tafadhari subscribe kwa updates zaidi

  • @simonjackson3942
    @simonjackson3942 2 года назад +1

    Asnte deuji mooo

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari subscribe kupokea taarifa zaidi

  • @muhsinismail6067
    @muhsinismail6067 3 года назад +1

    Tajira ni ukipata ni kuwasaedia wt wa hali ya chini na wao wakishukuru na mungu basi hiyo utaebuka kwa matatizo zote na mungu anakupa pesa kukutizama jee unatekeleza jibu yk

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  3 года назад

      Asante kwa comment yako. Tafadhari Subscribe kwa video nyingi zaidi

  • @husseinjamal959
    @husseinjamal959 3 года назад +1

    Check katika Google nchi gani yenye uchumi mkubwa E. Africa .

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  3 года назад +1

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari Subscribe kutazama video nyingine kama hii

    • @JuliusJoseph-go1dy
      @JuliusJoseph-go1dy 7 месяцев назад

      Wamekwambia mtajili hatujaongelea uchumi mkubwa kumbagua wewe

  • @alphonceadam6173
    @alphonceadam6173 3 года назад +1

    Mo ndio tajir huyo bakresa umiliki wake Wa vitu vyake inategemea anaingiza kiasi gani anaweza anamiliki vitu vingi lakin anapata kiasi kidg CH pesa

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari subscribe kwa taarifa zaidi

  • @stellamunisi9160
    @stellamunisi9160 5 лет назад +3

    Mi nakaa kimya tu maana baresa vitu anbavyo anavyo si dhani kama mo anajeuri ya kuvinunua

    • @DonSompo
      @DonSompo 5 лет назад

      LAKINI takwimu ndio Zinaonesha ivo stella

    • @kagarukifred7372
      @kagarukifred7372 4 года назад

      Bakhresa hamfikii Mo acha kudanganywa na barafu na juice

    • @sabrikhvuai2327
      @sabrikhvuai2327 4 года назад +1

      Hadi hapa Pana usimba

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  4 года назад

      Asante kwa comment yako, tafadhari Subscribe kwa updates zaidi

    • @farzanakhani2043
      @farzanakhani2043 3 года назад

      Kwani lazima ucoment kama huna chakuandika kaa kimya

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 3 года назад +1

    Where's rostam azizi

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  3 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari Subscribe kutazama video nyingine kama hii

  • @jeromemack4356
    @jeromemack4356 3 года назад +1

    We mbwaaa nn

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  3 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhari Subscribe kutazama video nyingine kama hii

  • @uncleyu_4730
    @uncleyu_4730 2 года назад +1

    Mbona mnyaki simuoni .acheni utani bhnaaaa

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhali subscribe kwa taarifa zaidi

  • @ramadhanomary
    @ramadhanomary Год назад

    Mali ni mapambo ya dunia

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 года назад +1

    Muongo mkubwa ww

    • @KiooNetwork
      @KiooNetwork  2 года назад

      Asante sana kwa comment yako, tafadhali subscribe kwa taarifa zaidi