This song is a banger. We need more hip-hop talent like this in the coast region to raise up the hip-hop status bar in Mombasa, keep the hits coming bruvs
Kabisa zeee hatushangai wakituita mbeba lawama double nomaaa on the trend maji ya chumvi zeeee tumerizika kama kawa🔥🔥🔥🔥yaitwa Hainakudevela tunaslide nao
ONE STEP AHEAD WAKI HATE HAINA KESI‼️
Mko vibovu ma ninja
Wasituzoeee ila waki yap yap sana..Watokezeee
Rong Rende representing, mumeweza si ati nini, zingine noma kama hizi zi come through.🔥🔥🔥🔥💯
Imeweza sana hii ngoma miaka mia nane 💯%.....salute....salute
Order zee hakuna kufeli
Hatarriiiii Double trouble angusheni ingine kwani ni kesho
Pijeni hip hop.kimataifa .musitusi funzeni jamii kwa video zenu na flow zenu .muko juu mashallah
Shut down mitaa tushafunga city centre,ngoma imeingia mpaka kwa damu
Mbayaa sana
Hainaga error 🚀🚀🚀
Hii drill ikipata VDJ jones on the mix ni super fire
Kuma wewe
You have the opportunity to push this guys a little further , maybe feature them in a drill collabo with young legends in Nairobi .. In my opinion
Order zee kama vipi wapotezee wasikuzoee 🔥🔥.
Doh jamaa wa Qaswida wafanya nini huku
@@12nyx 😂😂😂😂😂
@@12nyx mamaeee😅
It's a criminal for you to be here, you are under ARREST
@@f.b.i.4601 My pleasure😈
I was here before Double trouble got nominated for the Grammys...I must admit that this ninjas are talented and they should be supported in every way
On the point 🔥💯
For real
Ngojatawatokezeq Nisha choka
😢 mina sumbuliwa na jama wa port reitz wanipiga kweli huko double trouble njoni tu8mbe
😢 njoni moons alfarooq
Hawa ndo natambua...wabara saucer
001 vijana hao wakipata support yako Rap ya 001 iko juu sana .is another level.
County 001 Drill
Sanaa msee🔥👊🏾
Nyinyi ni wakenya kwelii
Ohanga siku zote
Malindi nzima imekubali hili goma...keep going brothers 💪💪
Wanatisha manigga wakaze mguu🎉🎉
Wana nimewakubali kinyyyyaaama majei ndo hm see never dry hopu from #turkey🇹🇷
Noma Sana representing county 001 KEmusic🔥🔥
MAMAAAAEEEE WAHUNI WOTE PEPONIIIIIII....ORDERRRRR WEEEEEH...!!!!!
Sanaaa weeehhh😅Kamu tucheze
Moja motooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
As A 1988 Mombasani Kenyan Growing Up Listening To Different Genres Of Music Locally & Internationally This Is A Masterpiece
NAWATAMBUA💯💯
INDUSTRY NZIMA IMEPAGAWA NA WAMANGAAAA💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🍁🔥🔥🔥🔥🔥
Damn...Top of the chart...double trouble....double.grammy!!!
nice one director jajah ikosawa blood top ......double trouble wajiji watambue kuna mombasa iko sawa mabro..
Don't no you guys but you killed the vibe 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇰🇪🇰🇪 mombasae base
Kali sana 🔥💥
Kenya gangster rap ilikua imekufa..asanteni kwa kuirudisha...big up endeleeni hivyo hivyo niko nyuma yenyu nawasupport..one love
AWAZA AWAZA EEEE
alaaah!!!day 1 hapa na nmekubaliii
Apan tambua Taabuuuuuuu!!! Banger
Allah azidii kuwafungulia njiaa kaka zangu muko vizuriii jamaaaaa🤲🏽
Wewe hi no double trouble Mombasa
Hiii group ni genje wakenya let's support our own wako level moja na Brooklyn bwoyz 🔥🔥🔥🔥🔥
Mziki safii
eeeh hiii kituuu mambo mbaya....kutoka 00A kwenyewweeee...mumeuwa vijana...hainaga error kwa sana
Mombasa sana👌
Weeeuweeeuh 🔥 🔥 mombasa slogan 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
3yrs later bado niko hapa💯🔥
This shit is double trouble for Real 💯
Been listening to this banger since I accidentally found it yesterday...from Mogadishu 🇸🇴🇸🇴
My ❤ bloody ngoma wagwan one love ❤ my brothers Hakuna kufail
Ngeli Haina ERROR...moto sanaa
Rep 001 ngomaa ni moto sanaaa🔥🔥 keep up
Wallahi hii ngoma imeiva tunangoja ngoma nyingine
This song is a banger. We need more hip-hop talent like this in the coast region to raise up the hip-hop status bar in Mombasa, keep the hits coming bruvs
YOUNG NC
wazee wa mjengo😅....muder kila secto....💯🕺🕺🕺🕴🐐ohanga
Wakadinali wa kanairo na double trouble trouble wa mombasani.. Khali na octo dont worry the industry is in safe hands🔥🔥
Shout down mitaaaaaaaa
vida safi!
Double trouble histoo itawachora muku another level bros
Big up madogo,mwaifaanya 001 yashine Waallahi, nawapenda tu💞
Kali mahn, na video ime kubali.. ila waki yap yap, watokezee
Cheki industry nzima ikipagawa na wamanga 🎶🎶.. MY Gs💪🏾
Sana tooo👊🏽👊🏽👊🏽
@@Doubletrouble_ke sanaaa👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻
001 mmeamua hambaki nje
Wueeeh 🤣 sina maoni
Mad fire crew ⚡🔥
Hapo sawa Kanairo imekubali
Order majeei ndo kusema🤘
Mwazoo..Mwisho.. Goma limeweza kinoma noma hawakomboi... Xanaa tu..
Industry ishapagawa na wamanga.....ORDER ZEE!!!!
Finally niko hapa niliskizia pale KTN
Octopizzo recognising legends in the making
Respect double trouble kazi safi💥💥
Big up tuu sana my homeboyz,,respect hip hop for ever..much love from Norway,,Showdeemo baby 🔥🔥🔥🎤🎤🎤🇧🇻🇰🇪
Ni kali.sana bro hii ngoma
This time a round heshima itarudi #001 tu, 🔥 📛 #DOUBLE TROUBLE we trust you guy's, ngoma back to back,,sana tu 💪
One step a head big hit 001 tushafunga city centre in 🇶🇦😁😁😁 🔥🔥🔥🔥 hiii lazima watiiii goma kali sana keep doing the Good work
Double trouble. GOTTA CITY tunaminia
Nawanauwoo wanangu👊🏽💯
Nikicome msa I have to meet this crew lazma wapate zawadi
Watu wangu wa mombasa keep going
Big up muo faya muo faya 💥
Oderr Zeee✔ Haina Kupingwa🔥🔥🙌 gung gung💪
Chekiiii...hainaga error kabisa wahuni wangu..sawa eeeh??
Watatulia
Big up homeboys ...The tracks is dope !!Muda wetuu sasaa...twende naoo mpka kielwele🔥🔥🔥
Vip bro naeza fanya remix ya hii ngoma nitatuma korasi
Order zeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤝🤝ngeli hainaga error weeewee💯
Mombasa tuwe juu jamaa tusupport double trouble plzz🔥🔥🔥🔥
This guys look like exactly like Mexicans and Spanish of Kenya
Big up lil bros👏✔️
Portuguese remnants..we used to have Portuguese along the coastline
@@martinekanji8537 and arabs
Double trouble hainaga error oderr zeee lazima watambue
Eventually a have been going through the comments,haina error Asaanta sana big up guys all the way from Berlin🇩🇪
Nomaa sanaa💥💥💥🔥🔥🔥
Straight from tiktok came running to youtube...you guys are fire🔥🔥🔥 keep it up #001 #orderzee #litalltheway
oyaa hainaga era ina mabongo Tuonei ngoma nyingi ama vipi least msee
kali sana
Double Trouble seh dem is bad dem is not
Me and my dawgs hitting this song all day long ! All the way from 🇹🇿
Bongo iko love kwa sana✊🏽👊🏽❤️
Nakubali sana majita yani full support mi ntawapa
Hii ni tiach sana machajii lajop kadaila👊🤡
Sana weeh Imeweza zeeeee! Sana Kwa zana ⚔️⚔️ aminia Imeweza blooodies for lyf 👊👊👊
This time round Double Trouble inamada kila sekta bana mshasema keep it coming G's 💪🔥
Kabisa zeee hatushangai wakituita mbeba lawama double nomaaa on the trend maji ya chumvi zeeee tumerizika kama kawa🔥🔥🔥🔥yaitwa Hainakudevela tunaslide nao
thank you for waking Mombasa up
big up!!
Juu ya kishash pale maasai kuskiza double trouble
Hainaga Error🤮🥶🥶
Dammmm the Flo real hip hop rage nice brothers 👏🏾👍🏾🙌🏾♥️🇲🇦
Hawa vijana ni wakali 💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Si ati nini 🔥🔥🔥
001 🇰🇪🔥mko juu jamaa
Nakubali....fully kurizika mbona
Finally tukona vibe yetu ya kicoast wazi jamaa🔥💥💥💯
Nisha Kua fun hatutaki mchezo #youngohangagenation
This hit is on fire....industry ishapagawa na wamanga
Wakuje tucheze tupashe tumeze this time round double trouble inamwaga kila sector na hit kwa street na cause terror 🤑🤑🤐🫡😈💯