Ngoja niwape ukweli ulivyo kuusu KIVU maana nae naona hajui 1. Kulikuwa na Region (province) iliitwa kivu sasa ilikuwa kubwa kupitiliza mwishoe wakaamua igawanywe iwe province (region) 2 Sasa moja ikaitwa 1. South kivu (makao makuu ni BUKAVU) 2. North kivu (makao makuu ni GOMA) nakote wanaongea swahili (sio tofauti saaana na ya watz ao Kenya maana tunaelewana tu sana sema yetu tunachanganya naka kifaransa ) kote kunamadini yakutosha yakila haina...
Imekua furaha sana kumuangalia MCongo Mwenzangu ambae tunatokea sehemu moja #NorthKivu kwenye CHILL NA SKY. Much love from USA
You're very smart my gril ❤ Europa pazuri sana
Nice interview
Binti kama FB...,.she is so smart
Ya bolingo ni my favorite mpaka leo! 🇹🇿
Alicios, suis déjà Au studio. Benben
I love this girl 👧 💗
Smart girl
Arikua mzurii zamanii mbere yakujicubua
St. Mary's ni shule ya kishua sana hata rais wa Kenya alisomea huko. Lazima walikua wa kishua hata kama wakimbizi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
Wimbo wa anita naipend sana
Wakwanza 😘😘😘😜😜😜😜
Kivu ni mkoa
Kuna North kivu; Makao makuu Goma
South kivu; makao makuu Bukavu
Msani gani huyo hajui mikoa ya kwao
Kivu ni Jimbo,makao makuu ya kivu kaskazini ni Goma,mikoa ya kivu kaskazini ni kama Beni
@@peterdaniel9050 mkoa =jimbo. (Region/ pronvince)Tafauti ni swahili ya Tz na congo. Beni ni zone/ Territoire/wilaya
nani tumuamini sasa bado tuko gizani
Ngoja niwape ukweli ulivyo kuusu KIVU maana nae naona hajui
1. Kulikuwa na Region (province) iliitwa kivu sasa ilikuwa kubwa kupitiliza mwishoe wakaamua igawanywe iwe province (region) 2
Sasa moja ikaitwa
1. South kivu (makao makuu ni BUKAVU)
2. North kivu (makao makuu ni GOMA)
nakote wanaongea swahili (sio tofauti saaana na ya watz ao Kenya maana tunaelewana tu sana sema yetu tunachanganya naka kifaransa ) kote kunamadini yakutosha yakila haina...
umeeleza vizuri
Kivu ni mikoa , divided in two:
North kivu, makao makuu Goma
South kivu; makao makuu Bukavu
Msani gani huyo hajui mikoa ya inchi yao!!!
Wa pili😆😆