Nimependa maelezo ya huyu afande Hana kupindisha Hana kubebana kwenye suala la kukiuka sheria angekuwa yule mpumbavu wa dar es salaam ungeskia ametoweka na upelelezi unaendelea na wakati ushahid upo kabisa wa kutosha napenda Sana asikar walionyooka namna hii Kuna baadhi yao wanafanya mpaka tunawaona Kama maadui zetu
Safi rpc hakuna kupepesa story uko smart
Nimependa maelezo ya huyu afande Hana kupindisha Hana kubebana kwenye suala la kukiuka sheria angekuwa yule mpumbavu wa dar es salaam ungeskia ametoweka na upelelezi unaendelea na wakati ushahid upo kabisa wa kutosha napenda Sana asikar walionyooka namna hii Kuna baadhi yao wanafanya mpaka tunawaona Kama maadui zetu
Polisi mpo juu ya Sheria ndo maana mnaua watu km kuku.mmelaaniwa san.
Wazeeee wa diliii
ila lringa kuna shida muombe sn mungu
Nasema iv hao watapatkana tu
Sheria mkononi
Rpc Acha hizooo aliekamatwavni mwiz na Roger alitekeleza kaz yakee muachen afanye kaz zakee
Kwan kazi yake ni kuua au kukamata? Hebu kuwa na akili
Usibishane na kichaa kwa majibu hayo unaona kabisaa hayupo timamu@@aloycekomba1
Kwaiyo angelipoti polisi,ingekua alali kumuua, sbb ajatoa talifa ndio kosa la kumuua au vipi apo afande,sijaelewa mimi iyo kauli
Ote nyinyi makuma mnaonea sana
Kawaida yenu kuua hata msitupumbaze
Kama alikua mwizi niwakufa
Karma