Bella Kombo - Kama Naota (Re - Birth Moshi Tour)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 773

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe Год назад +652

    Bella wangu🙌🏾🙌🏾 umebarikiwa jamaniii this song is something else💃🏾💃🏾

    • @mropeamadeus54
      @mropeamadeus54 Год назад +7

      Kwa Neema tu sifa Kwa Mungu mwenyewe, atuwezeshaye kufanya yote Kwa Utukufu 👏👏👏🌹

    • @roselynegombe663
      @roselynegombe663 Год назад +17

      Pigeni collabo sasa

    • @nguono8523
      @nguono8523 Год назад +5

      Wow 👌

    • @bensonmunoru4307
      @bensonmunoru4307 Год назад +6

      Barikiwa pia,umetubariki Sana na nyimbo zako.🙏🙏

    • @samsonsimon8163
      @samsonsimon8163 Год назад +7

      Pia nawew Rehema unaimba sana
      Napendaga nyimbo zako pia❤

  • @GabroTz
    @GabroTz Год назад +25

    Wakenya wenzangu mko wapi tuipeleke hii pia kwa trending_ivi sionagi waganda
    Wapi waganda wenzangu

  • @prediction_today_match.
    @prediction_today_match. 7 месяцев назад +12

    Kama umekuja kusikiliza tena huu wimbo mwaga makopa

  • @boaskabate1229
    @boaskabate1229 Год назад +12

    Hakika kupitia wimbo huu mwenzenu nliuona mkono wa BWANA na nazidi kuuona mkono wa BWANA. Mara yakwanza nausikia wimbo huu nlikuwa nmetoka kupeleka barua ya posa na mahari vyote kwa pamoja. Ghafla dereva wa gari ambae hakujua tulikuwa na agenda gani ya huko alikokuwa ametupeleka akafungulia redio yake na wimbo huu akawa anaupiga kwa kuurudiarudia. Nikamwambia Mungu asante kwa kunipa amani na kicheko kwa kukubaliwa ukweni na mahari ikapokelewa😂😂😂. Kila wimbo huu ukipigwa nakumbuka ukuu wa Mungu wakati wa posa na mahari 22/04/2023. Barikiwa sana Bella Kombo na wote waliohusika kwnye wimbo huu. Sitaacha kumwambia YESU asante kwa kunipa furaha na kicheko.

  • @lynbona
    @lynbona 8 месяцев назад +10

    Listening to this song today for the first time and wondering where it has been hidden for a whole year!!!! This is my declaration song now!

  • @NaomieMasoka-xp4ob
    @NaomieMasoka-xp4ob 9 месяцев назад +42

    Nakumbuka wimbo huu ulivyo nipa furaha nilipo ambiwa nahamishwa kutoka Burundi kuja marekani ndo wimbo huu bado unatoka kwakweli naupenda na moyo wangu wote 🙏🙏🙏Bella Kombo wewe ni baraka ufike mbali sana pia mtumikie Mungu wako hatokuahibisha na mbingu akupe amen

    • @irenekingola6646
      @irenekingola6646 Месяц назад

      Congratulations Sister....I love such testimonies nikujua siku yangu ya kutoa testimony kama hii yaja!!

  • @leonardmadinda1439
    @leonardmadinda1439 Год назад +23

    Nami naamini mwenyezi Mungu atanijalia huu mwaka mpaka nihisi kama naota,Kwa jina lake yesu kristo naamini itakuwa hivyo 🙏🙏🙏🙏

  • @Muchiri_Wairimu
    @Muchiri_Wairimu Год назад +142

    I will keep commenting everytime because this is a winning declaration song. Bella you're a Mirriam taking a timbrel to dance for the victory God has delivered. Songs like these are birthed after coming from a deep valley... Anyone who has heard your story has not lived your story. You alone know what peace means after a period of no peace... I wrote a comment on Nifinyange because victory is given by God to His children, particularly those who have learnt the art of surrender... From Kenya here know you have someone who believes in the deposit of the Lord in your life. Thank you this song

    • @rachelsozigwa2136
      @rachelsozigwa2136 Год назад

      Ytcygvxdh

    • @joynessmhalila811
      @joynessmhalila811 Год назад +1

      Yaa kwa kweli nabarikwa sana na nyimbo,

    • @joynessmhalila811
      @joynessmhalila811 Год назад +2

      Mungu aendelee kukutunza Bella

    • @I_am_queen_E
      @I_am_queen_E Год назад +3

      This is such a lovely post. I agree with you totally. This song must have been birthed from a place of pain and eventually seeing God's Victory

    • @zipporahnasimiyu7420
      @zipporahnasimiyu7420 11 месяцев назад +2

      I manifest, favour, mercy and grace to carry me in 2024. In December it will just be like a dream. A mystery I can't explain

  • @tomlutali794
    @tomlutali794 11 месяцев назад +6

    Bella Kombo,huu wimbo jamani uko ligi yake ....Naucheza nikiurudia ,rudia..iam blessed.

    • @estherhiribae7864
      @estherhiribae7864 9 месяцев назад +1

      Pia mimi naupenda sana huu wimbo❤🇰🇪

  • @rtlusungu
    @rtlusungu Год назад +67

    Wow..Nilikuwepo kabisa hii siku pale MTBC, ilikuwa ya baraka sana, hasa huu wimbo ulinibariki mno, God bless you sis, huu mwaka nitabarikiwa mpaka nihisi naota.. I decree and declare this to myself.

  • @marystellaKemy
    @marystellaKemy Год назад +80

    The song is a blessing. Bassist and drummer understood the assignment 🔥🔥🔥🔥

    • @sylviamuhonja1936
      @sylviamuhonja1936 Год назад +1

      Very

    • @Jaden--04
      @Jaden--04 Год назад +1

      Exactly 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 beautiful song everything is perfect from the beat to the sebene guitarist

    • @theopistamwayeya1764
      @theopistamwayeya1764 Год назад +1

      Eeeee! Bass guitar may the Lord Jesus lift you again again!

    • @malaimadarakak5096
      @malaimadarakak5096 Год назад

      @@theopistamwayeya1764 c zz sz,

    • @STANLEYKINYILI
      @STANLEYKINYILI 9 месяцев назад

      Doing it very well

  • @izaaclem1376
    @izaaclem1376 Год назад +21

    Much love from Nairobi Kenya. Bwana asifiwe kwa nyimbo mzuri kama hizi.

  • @jeffsayye4973
    @jeffsayye4973 Год назад +9

    ZABURI 126:1-6
    [1] BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
    [2] Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
    [3] BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
    [4] Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
    [5] Wapandao kwa machozi
    Watavuna kwa kelele za furaha.
    [6] Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
    AMEEEN!!! 🤗

  • @elijahmomanyi9748
    @elijahmomanyi9748 Год назад +67

    As an instrumentalist credits to the bass player and the drummer,good job to the rest of the band too.

  • @priscillahjackson3664
    @priscillahjackson3664 Год назад +12

    Yale ametenda kwangu ni kama Naota juu amenifuta machozi yangu na Baraka zake na kunipa Amani Asante Mungu kwa yale yote unanitendea juu yangu.....unanipigania mbele za maadui zangu.🙏🙏🙏

  • @ellyluther3252
    @ellyluther3252 Год назад +15

    Melody, Vocals, Arrangement, Vibe🔥 ..everything on point👌, Uyo bassist alooo🙌 mbona kama naota😴

  • @ruth5405
    @ruth5405 Год назад +25

    Pslams 126: 1-3 When the LORD restored the fortunes of Zion, we were like those who dream. Then our mouth was filled with laughter, and our tongue with shouts of joy; then they said among the nations, “The LORD has done great things for them.” The LORD has done great things for us; we are glad.🎉

  • @dieudombayaofficiel
    @dieudombayaofficiel Год назад +3

    Mwimbo butamu, mina Pen saana sifa kwa bwana yesu, Ni Dieudo Mbaya depuis Lubumbashi,DRC🇨🇩

  • @emmawash2374
    @emmawash2374 Год назад +8

    Am enjoying the song here in Uganda 🇺🇬🇺🇬

  • @lavynneminasha7018
    @lavynneminasha7018 Год назад +5

    Kweli kama naota jameni😃😃.....what a song!👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Carol-Shukii
    @Carol-Shukii 10 месяцев назад +5

    Locked from Kenya,East Africa; Listening from Riyadh,Saudi Arabia

  • @florencesangawe7553
    @florencesangawe7553 Год назад +7

    Kuna wapiga vyombo….halafu kuna hawa hapa…..Amazing Job❤❤❤🎉

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki 3 месяца назад

      Hakika ni kweli wanafanya kazi nzuri saaana.MUNGU awabariki mnoo

  • @musabahegwa_official3381
    @musabahegwa_official3381 Год назад +9

    Kama ni ndoto na tuote live bila chenga......God's blessings😇🙏

  • @ministerjkfavour
    @ministerjkfavour Год назад +7

    Hii ngoma ni kalii sana🔥🔥🔥#Kenya

  • @SalomeJoshua-n6s
    @SalomeJoshua-n6s 8 месяцев назад +2

    Wow 🥳🥳🥳💯wat a beautiful song......mbona kama Naota......Toleka🎸🎸

  • @jesusislord5045
    @jesusislord5045 Год назад +10

    Mbona kama naota..
    On repeat right now!!

  • @alfredsaliku5133
    @alfredsaliku5133 Год назад +4

    Juu tuu sana i keep listening to this track 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gracegitati5564
    @gracegitati5564 11 месяцев назад +5

    I heard this song on tv and i have been searching for it for now 2 weeks. Now that i have found it, i think I'll be listening to it every single day

  • @rachelmmbaga9867
    @rachelmmbaga9867 6 месяцев назад +11

    Leaving this comment here today because my life is a living testimony😊God always come through for me in my difficulties

  • @SuzanaPhilemon-nj2mh
    @SuzanaPhilemon-nj2mh 6 месяцев назад +7

    Wimbo mzuri sana Bella Kombo ! Tanzania tunakupenda!.

  • @joshuakamwela4095
    @joshuakamwela4095 Год назад +3

    Uwe na maisha marefu na hii huduma YESU KRISTO azid kukubaliki na kukuinu.tunakupenda sana bellla komba

  • @nyawiramuriuki8086
    @nyawiramuriuki8086 Год назад +4

    Team Kenya❤❤❤❤❤❤

  • @jean-claudehomeha
    @jean-claudehomeha Год назад +16

    The instrumentalists and especially the Bassist 🎸❤️..

  • @teddypsalmist.6945
    @teddypsalmist.6945 Год назад +18

    Eiiiish what a ministration here🔥🔥 👏 powerful song minister Bella what you doing in the kingdom is exceptional quality more grace 👏 we celebrate you from KENYA 🇰🇪

  • @ndirangusimon0666
    @ndirangusimon0666 Год назад +23

    I can't wait to sing this as my biggest testimony this year🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @maganikomashila
      @maganikomashila 10 месяцев назад

      Love bela kombo unaimba vizuli san

  • @carolinesyombua9920
    @carolinesyombua9920 Год назад +21

    When the Lord restored the fortunes of Zion, we were like those who dreamed.
    Psalms 126:1 NIV
    God bless you and your ministry Bella. 💃

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke Год назад +19

    She is lovely
    She is blessed
    She is a blessing to many

  • @cellezdee
    @cellezdee Год назад +5

    The guitar guy got my attention ❤🥺🥺🥺 the song itself is just a vibee😊❤

  • @lynnetirungu3021
    @lynnetirungu3021 Год назад +2

    Anyone who is here from Murugi Munyis stories abeg check In. I'm soo blessed by this song aki❤❤❤❤❤❤

  • @ceciliamukami2521
    @ceciliamukami2521 10 месяцев назад +2

    Naona kaa naota my God this good news is awesome you ain't a man to lie i enter into this big gate you have opened let my approval be swiftly Hallelujah ❤❤ 20th January 2024 my God keep on suprising me.

  • @nicholausmwangomo4418
    @nicholausmwangomo4418 Год назад +2

    Kuna wapiga vyombo wamefanya wimbo uchangamke Hadi Raha.
    Bella my dada naamini Yesu uliyemwambia unataka kumjaribu naona umeshauonja uzuri wake. Endelea kutudownloadia song za Mbinguni tuendelee kumgoja Bwana ajae kwa mara ya Pili kwa Furaha katika ROHO Mtakatifu

  • @mwendakanyuru1051
    @mwendakanyuru1051 Год назад +3

    tuseme ukweli this is at it own class... Jehovah awabariki wote... kisha awaongeze bassist na drummer baraka tena....much respect from +254

  • @l.ee_na2513
    @l.ee_na2513 Год назад +3

    Eyyyyyyyyyyyyyyy!!!a whooooleee arrangement!mbona kama naota!beautiful

  • @LeediahMuraya
    @LeediahMuraya Год назад +51

    Love this jam......The instruments, the vocals, all on point. Much love from Kenya 🥰

  • @lkudata90
    @lkudata90 Год назад +5

    Umebarikiwa Sana hakika jinsi Mungu anatenda katika maisha yangu naona Kama naota 🔥🔥🔥🔥

  • @alinanuswemwaitebele6571
    @alinanuswemwaitebele6571 Год назад +9

    Barikiwa sana Bella Kombo. Wimbo mzuri sana. na unaleta utukufu kwa Mungu. Amen. Mbona kama naota

    • @cellinetheophil1105
      @cellinetheophil1105 Год назад

      Aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Tolekaaaa kama naotaaaa what a song more grace dear

  • @ebrahimasega7106
    @ebrahimasega7106 Год назад +2

    Hii imechemka huku kanairo aka NAIROBI 💥💥💥💥💥💥💥💥 remix with Deborah lukalu ikuje

  • @amoskalama7421
    @amoskalama7421 Год назад +29

    This gonna be a generational anthem 🔥🔥🔥

  • @lydiaamunga7007
    @lydiaamunga7007 Год назад +7

    This song gives me 2023 vibes,be Blessed Bella.

  • @mikeem2703
    @mikeem2703 Год назад +7

    Wow, this song is on another level.
    Loving the song all the way from 🇰🇪

  • @judymwende8876
    @judymwende8876 Год назад +7

    🔥🔥🔥🔥 eeehh this song! When the Lord turned around our captivity we were like them that dreamed!

  • @mwlpeter5738
    @mwlpeter5738 Год назад +4

    Mungu alibariki sana, wimbo huu unanibariki

  • @OfficialGraceM
    @OfficialGraceM Год назад +17

    Bella is doing an awesome 👏 Job in Kenya and I love her ministry 😊💕💕💕

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 10 месяцев назад +2

    The vocals wow! Goosebumps!!! Kenya twawapenda

  • @faithaction2505
    @faithaction2505 Год назад +6

    Last year was Ndio and this year will be "NAOTA" am so blessed thank you sster bella

  • @jumachango
    @jumachango Год назад +1

    Wow huu wimbo ni zaidi ya wimbo Hahahaha barikiwa sana Dadangu Mungu akubariki sana

  • @hannahkioko6770
    @hannahkioko6770 Год назад +8

    I am here to bless the band especially the guitarists...Mungu awaongezee neema!

  • @symon254.
    @symon254. Год назад +10

    I've had this song on repeat for this week,,keep blessings God's people

  • @ruthaura5912
    @ruthaura5912 Год назад +8

    The intro alone😅🙌🔥🔥

  • @mariampaulo7894
    @mariampaulo7894 Год назад +4

    Be blessed dada angu wimbo mzuri sana huu.
    Mungu azidi kukuinua 🙏

  • @deenine_music
    @deenine_music Месяц назад +1

    YOUR THE BEST MY SISTER ❤🔥🙏😊

  • @sandrajkipkogei838
    @sandrajkipkogei838 Год назад +19

    Amen it looks like a dream to good to be the truth🙏🙏🙏🙏 The Lord has done it He has remembered me like Hannah ,He has wiped my tears and filled my mouth with laughter💃💃💃

  • @fenaNekesa
    @fenaNekesa Год назад +6

    Hallelujah 🔥
    Utukufu umrudie Mungu muumbaji wa mbingu na nchi.
    Amefanya mengi sana

  • @rebeccaalfred7633
    @rebeccaalfred7633 Год назад +3

    Love u Bella ur such a blessing❤️❤️❤️❤️when I grow I wanna be like u😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @celinashauri6362
    @celinashauri6362 Год назад +3

    Ayiiii 😂😂🙌🙌🙌 Woman of God, you are ful of blessings and wonders.. Hakika Mungu ananitendea mambo mengi asee MBONA KAMA NAOTA🤣🙌🙌🔥

  • @eliyamwantondoofficial
    @eliyamwantondoofficial Год назад +4

    Sasa sasa kama naota.!! Gloire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LuttaKamaleki
    @LuttaKamaleki 2 месяца назад +1

    Wimbo mzr sana wa baraka tele.❤

  • @fatumamimbi3126
    @fatumamimbi3126 5 месяцев назад +2

    Nilimuahidi Mungu nitauimba huu wimbo kwa sauti,,,naona kama naota ...kwa jambo moja MUNGU akilifanya na amelifanya kwa uaminifu.kesho nitaimba kwa sauti.

    • @fatumamimbi3126
      @fatumamimbi3126 5 месяцев назад

      Nazidi kutetendewa miujiza jamani mbona kama naota yani Mungu amefanya na kuzidi.mbona kama naota mimi❤

  • @joannenjeri3133
    @joannenjeri3133 Год назад +20

    Much love from Kenya... A song of this season, God is going and is surprising many!

    • @duretti
      @duretti Год назад

      Haha karibu nishangae I've commented SAA ngapi.....I'm Joana Njeri 🤭love it when I see my namesakes with different twists to the Joan

    • @joannenjeri3133
      @joannenjeri3133 Год назад +1

      @@duretti Happy to meet you here! Name sake.

    • @naomimilanzi6317
      @naomimilanzi6317 Год назад

      @@duretti jaman God is Good

  • @SoloKarani
    @SoloKarani Год назад +2

    Bass Man ❤❤❤❤

  • @paulthomas2230
    @paulthomas2230 Год назад +21

    This gonna be my 2023 anthem,thank you God for this great vibe

  • @mosesngeni1354
    @mosesngeni1354 Год назад +8

    This is the song that the Lord has made

  • @meggymuthoni5862
    @meggymuthoni5862 Год назад +16

    I love this Woman of God. Her music is fire 🔥 😍

  • @dennisfondo6720
    @dennisfondo6720 26 дней назад +1

    Love this❤❤❤❤😊😊

  • @allengodfrey1461
    @allengodfrey1461 Год назад +4

    What a song. 🙌🙌
    Furaha kicheko amani.
    Amen Amen Amen

  • @blessedannethmilley5381
    @blessedannethmilley5381 Год назад +3

    Wow wow woow glory to God indeed. Nilifikiri ni mkongo kaimba kumbe ni dada yangu, hongera sana dada Bella may God keep on using you mightily for His glory. Nimekupenda buree, keep on declaring the goodness of the Lord.💃🏽

  • @danielbihuzu2365
    @danielbihuzu2365 Год назад +17

    The Generation of Lwaga bella Paul has changed my perception of Tanzanian Gospel music ❤
    From DRC

  • @suzannehadassah
    @suzannehadassah Год назад +2

    "Siamini nimimi yoh yoh"🙉 ah jameni Bella umenibariki sana kwa huu ushuhuda naucheza kila kukicha nakuwa na siku njema kabisa 👌🔥🔥🔥

  • @jeniffernyambura3390
    @jeniffernyambura3390 Год назад +3

    I can listen to this all day!!🤩😍😍😍. More grace Bella.

  • @MeekPictures
    @MeekPictures Год назад +5

    East Africa's finest 🔥🔥🔥🔥

    • @estherhiribae7864
      @estherhiribae7864 9 месяцев назад

      Indeed it's East Africa's Finest why lie❤🇰🇪

  • @KelKeyzMusic
    @KelKeyzMusic Год назад +1

    MY GOODNESS BASIST IS HE CRAZY,I MEAN THE WAFUNGI ARE DOING THEIR WORK WITH PASSION

  • @chachairakoze6110
    @chachairakoze6110 Год назад +1

    Huu wimbo nimzuli sana kiasi cha kwamba nikiusikiliza kama naota yani

  • @kagoesther
    @kagoesther 5 месяцев назад +1

    This song is sooooo awesome, why has it never gone viral jameni. Love from 🇰🇪

  • @Sharlineterry
    @Sharlineterry Год назад +3

    Your song has blessed me gal,continue humbling yourself to be used by God,,,,more grace to you

  • @gilbertharmann9021
    @gilbertharmann9021 Год назад +3

    This song is a great blessing to this generation. Asante sana Bella. Kazi nzuri sana. More blessings to you

  • @leonardmadinda1439
    @leonardmadinda1439 Год назад +2

    Ubarikiwe dada @bella kombo

  • @annamjema9657
    @annamjema9657 10 месяцев назад +1

    Bella huu wimbi nimeiingia nao 2024❤❤❤❤❤❤❤

  • @danielmutembei4798
    @danielmutembei4798 2 месяца назад

    Wimbo huu unanibariki sana kila ninapouskiza. Ubarikiwe hata zaidi dada Bella.

  • @roseuchi8460
    @roseuchi8460 3 месяца назад +1

    🎉🎉wow! Like it God bless you with this touching song ❤❤

  • @kendikithinji3882
    @kendikithinji3882 17 дней назад

    Started doing what I love doing and been longing to do it for the longest time. Showing my passion to the world. That's cooking🎉 Did my first video and I'm thanking God for that. Ill come back with a testimony of what God is doing❤❤

  • @kelvinmassawe8631
    @kelvinmassawe8631 Год назад +1

    Barikiwa mnoo Dada kazi nzuri zidisha Maombi kazi iende mbali zaidi 🔥🔥

  • @eunizyruhari7333
    @eunizyruhari7333 Месяц назад

    Phillipians 4:13....I will do everything through Christ who strengthens me.... always grateful because God has change my story

  • @rosekhisa380
    @rosekhisa380 Год назад +3

    Woow so sweet 🔥🔥🔥🔥

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire Год назад +14

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @bikinoaristote554
    @bikinoaristote554 8 месяцев назад +1

    Dear Tobehost, I feel truly blessed by your song "Mrs. Bella" and your exceptional singing talent. May God continue to shower you with His anointing.

  • @annitahmychaels8094
    @annitahmychaels8094 Год назад +6

    This song is timely, it blesses me everytime I listen to it. You find yourself listening over and over again. More grace 🇰🇪🇰🇪

  • @avitjosepht498
    @avitjosepht498 Год назад +7

    Truly a nice African thanksgiving Dance. Blessings

  • @cynthiajane7094
    @cynthiajane7094 10 месяцев назад +1

    Much love from kenya, Aky this song, I will come to testify,mbona kama naota

  • @angelabanzi8253
    @angelabanzi8253 Год назад +1

    Bella kombo,kazi nzuri mpendwa

  • @JoshuaBundala-cw4ek
    @JoshuaBundala-cw4ek 5 месяцев назад +1

    Huu wimbo uko vizuri sana ubarikiwe mtumishi