Nakuja kwa unyenyekevu mkubwa mbele yako Nikisema asante mana nisipo sema kwako nitakuwa mchoyo wa Fadhila me niseme asante sana kwa Muda wako unao utumia kwa ajili yangu na kwa ajili ya Kazi zangu za mziki yani ubarikiwe sana bila wew me si lolote naomba tu uendelee kuni support kushare wimbo huu ombi langu naomba lipokee
Ukona uwezo mkubwa sanaa ,tumia na usilegeze kamba❤❤❤🎉
Safi, safi safi, umeimba vzr, umemshinda hata huyo konde kwa mashaili, uko vizuri boy
Kaimba vizuli nip buja burundi nakupenda sana
Safi sana umetupambania wanaume wote
Umewaza mdogo wangu nyimbo kali sana.
Big up Sana bro cause i fell good nikiwa nasikiliza hiyi ngoma but kuna kutu haukutekeleza kama tuko mu EAC cause kuna majasili katika inci jirani
Ww ki kichwa umeiwezea sana🎉❤
Bro umeweza sana big up sema endelea kupiga ngoma zingine zahakili kama hiyo.
Umejitaidi mwayaa😂😂😂😂😂😂 hongera
Ungeongeza Ubuntu kidogo hapo konde alipaswa akubali ukwel but big up umeupiga
Wanaume oyeee😅😅🇨🇩
Kazin nzuri umeokoa jahaz
dah nimeipata hio dogo rake umenifurahisha sana nipe lokesheni nije nikuone live
Vizuri Sana msanii mwenzangu
Nakuja kwa unyenyekevu mkubwa mbele yako Nikisema asante mana nisipo sema kwako nitakuwa mchoyo wa Fadhila me niseme asante sana kwa Muda wako unao utumia kwa ajili yangu na kwa ajili ya Kazi zangu za mziki yani ubarikiwe sana bila wew me si lolote naomba tu uendelee kuni support kushare wimbo huu ombi langu naomba lipokee
kumamae umetupambania vizuri sana
Maalim Seifu ni mtu na Nusu, Mungu amlaze mahali pema peponi
Amina
Weeeeelaaaa
Dogo kwangomazote mtu na nusu umeua
Uko vzur xem borexha kiswahili
Hongera brother 💯🤜🤛
Umetuwakilisha vizr wanaume kula tano
❤
Oyeeee❤😂😂😂😂
Umetisha❤
big up san bro
Pamoja xn umetixha
Hongela Hongela Sana🎉
mwanamume ni mtu
hongera bro😂
Kweli kaka
❤❤❤❤❤
Safi sana
Umetisha mkal
Saport me
Kali❤❤❤
Asantee sanaaa
Pa 1
Good
👌👌👌
🎉
Martin Charles Brown Donna Johnson Lisa
😂😂😂😂😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🏼🙏🙏🙏🙏🙏