Shukran Sana kwaku support 🙏 Nawapenda sana Allah atawalipa kheri. Hii nasheed itaperfomiwa kwenye tamasha la ZAN NASHEED FESTIVAL LIVE wahi ticket yako piga namba 0768747507. ❤
Yan hii nasheed imenitoa had machoz maana safar alopitia Ibrahim ktk kusoma ndo safar Niko nayo mim saiz ila namuomba Allah aniepushe mbali na shetani alomvaa Ibrahim aamin❤❤❤ from India 🇮🇳🇮🇳🇮🇳
Mashallah mashallah vijana mnaupiga mwingi katika historia ya nasheed haijawahi kutokea nasheed yenye kusisimua na yenye upekee km hii Allah awabariki nyote my lovely big bro🥰🥰🥰🌹👍
Shukran Sana kwaku support 🙏 Nawapenda sana Allah atawalipa kheri. Hii nasheed itaperfomiwa kwenye tamasha la ZAN NASHEED FESTIVAL LIVE wahi ticket yako piga namba 0768747507. ❤
In shaa Allah tuko pamoja
hongeren mnajuwa mashallah tunaomba iwe na muendelezo
Kaka Allah awape kila lenye kher na nyie. KAZI iko vyema
Elhamdulilah 💖 Ma shaa Allah 💖
Amin 🤲
Nimemuona said ally sijui ndy aman nimemfananisha tuh🎉
Kazi nzuri bro
Inamafunzo mazuri sana Kwa wengi wanaosoma tusiwasahau wazazi wetu
Masha Allah Munsheed baraka na salim kazi imeelewek Masha Allah bul bul
Hongera sana kaka kwa kazi nzuri sana yenye maazui mengi ma kubwa
Mashallah kazi nzuri kaka🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Maa Shaa Allah tamu sana na Ujumbe mzuri
Mashallah story nzr nmeipndaaaa😢😢😢😢😢😢
Mashaallah Mashaallah nasheed ni nzr nimeipenda sn❤Ina ujumbe mzr ndani yake ❤Allah akulipeni kher kw ujumb mzr
Allah astufikishe kufikia hali kama ya ibrahim
Mashallah mashallah kz nzur ujumbe mzur
honger kwa kaz nzry 🎉
Akubali mtoto wa twaha kaz nzuri ❤🎉🎉
😂😂weee
Kali mnoo🔥
Kazi mzuri sana .... Tuko pamoja kaka
Kazi Kubwaaaa
Stor ni nzuri bro
Hongera xn kaka
Allah awabark kwa ujumbe mzito mulio tufikishia.😭😭
Masha Allah ujumbe mzuri Allah akulipe nduguangu Tuombeane kheri 😭😭
Ohooo achia mzigoooo 😂
Brother umetishaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Haya mafunzo makubwa hasa kwa vijana wengi ambao hawana shukrani kwa wazazi wao.
Ujumbe mzur allah awalipe kher huu ni ukumbusho tosha
Nimeumia sana hakika tupambanie wazazi wetu😭😭😭
Funzo kubwa sana kwa binaadamu 😢😢
Nmetaman iendlee nasheed imenigusa moyo😔 mashaallah❤️ Allah awatie nguvu muendeleze kipaj chenu inshaallah🤲
Mashallah kazi nzuri
😭😭😭 Ibrahim akumbuki alikotokea jaman 😭
Mashallaah barakallaah
Nimeikubali hii nasheed. Ina ujumbe mzito sana. Hongera sana kaka
Mashaallah, hongera bro
Kazi nzr kaka mashaallah Allah akufungulie milang ya razk ya halali ❤❤❤ akikuze kipaji chako
Amiin Yaa Raby kwasote
Yan hii nasheed imenitoa had machoz maana safar alopitia Ibrahim ktk kusoma ndo safar Niko nayo mim saiz ila namuomba Allah aniepushe mbali na shetani alomvaa Ibrahim aamin❤❤❤ from India 🇮🇳🇮🇳🇮🇳
Nzuri sana MashaAllah. Allah Azidi Kukikuza kipaji chako na kiwe chenye manufaa ameen
@@rehemaali5437 Ameen.
Shukran Sana ❤️
Nzuri sana
😭😭😭 jamn siwez kuimaliza bila kulia😓
Ujumbe mzur mashallah
Maa shaa Allah😢
MashllAh Allah akuzidishie kaka ❤
masha allah Kaz nzr sana
Mashallah 🥰nasheed nzur ina ujumbe mzuri ndani yake
Mashallah ujumbe mzr Sana 😢😢
Maashaallah kazi nzuri vipenz vyangu nawapenda sana🥰🥰🥰🥰
SUBHANALLAH 😢😢😭😭Masha ALLAH
Mashaallah
Juhudi zetu na hisia zetu zimewasilishwa kwako. Ninawatakia utazamaji uliotukuka.
Shukran Sana
Usijali kwa hilo😊
Ucjal kaka tuko pamoja inshaallah
Mashallah mashallah vijana mnaupiga mwingi katika historia ya nasheed haijawahi kutokea nasheed yenye kusisimua na yenye upekee km hii Allah awabariki nyote my lovely big bro🥰🥰🥰🌹👍
Amiin Yaa Raby kwasote muheshimiwa katibu
Mashaallah 😍🥰nasheed inaeleweka sanaa na ujumbe wake ni mzito hakika tunapaswa kuacha matendo kama ya ibrahim🤨
Hakika kabisa
Maa shaa Allah
Nasheed inagusa hisia zetu. Hongera sana wote waliochangia. Penda sana Salim Ally umenitoa machozi
Masha Allah 💪💥
Congratulations sana brooo 🥳🥳
🎉maa shaaaaa Allahh
Mashallah kazi nzr sana❤
MaashaaAllah
ما شاء الله بارك الله صوتك ممتاز حلوة يا اخي الكريم وزادك الله جنة الفردوس الأعلى
Kaz nzur Allah awahifadhi na awalipe kher
Amiin Yaa Raby kwasote
Mashaa Allah
Mashallah ❤
Maashallaah kazi nzur kabisa ila mwisho wake kidogo umetu nyima kitu
Masha Allah 🥰
Mashallaah mashallah hongereni sana kwakweli nasheed ni nzuri sana Allah awalipe kheri 💞💞💞
Daah
Inahuzunisha sana
Hellow hujmbo
@@mudhakkirmudhakkir6470 Nashkuru cjui ww
Masha Allah ❤ unajua kaka kiukweli imenigusa
Yu Good job mashaallah
maa shaa Allah 🎉🎉 nasheed mzr sana ujumbe wake umefika vyema Allah akulip kila la kheir aamin
Maa Shaa Allah
Mm nilijuwa tayari kumbe ndo kwnza
Mashallah, you are UpTo date.
One day yes, never give up
Mashallah
Mauwezoo❤alhamdulillah 😇
Maa shaa Allah🎉
This video made me cry! So touching! Hongereni sana kwa ubunifu mzuri na ujumbe yakinifu
Mashallah kazi nzur sana... wosia kwa walo na wazazi plz wajalini sana 😢 they do alot for us
Afadhali Ibrahim alikuwa bize na kazi tuuh hakupenda anasa 😅
😂😂😂😂😂
Masha Allah
ماشاء الله تبارك الرحمن يسهل عليك كل شي ❤❤❤
Ibrahim dah
MashaAllah 😢❤
Talented boy .....May God bless you
Maashaallah Maashaallah mnajua sanna so sad nasheed 😢...çok güzel benim en yakın kardeşimler çok seviyorusunuz❤
Ibrahim❤
tunaisubiri hii ❤❤
Story inaumiza😥😥
MashaAllah
Vijana tunajisahau tunahadalika na dunia😢😢😢
Allah atufanyie wepesi lkn kwa hakika lipo somo kubwa ndani yake
❤❤❤❤
MASHALLAH NICE NASHEED BUT UJUMBE MZTO SANA ALLAH AKUZIDISHIE
Please part 2
Mbona haijamaliza iyo
Tunaomba muendelezo wa hii story
Mashallah kaz nzur san bro, maybe naww ungepita kwa account yang pia❤❤❤❤
❤️❤️
Inasikitisha
Story nimeipend san bul bul
Tanataka Nashed nyengne
😢😢😔😌
Mhmh