R.I.P PETE SERIES FAMILY LOOSES ONE OF THEIR ACTRESS MAMA JINALI THIS MORNING MAY SHE RIP

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 173

  • @rachelmbeyu4385
    @rachelmbeyu4385 2 года назад +8

    Salimia mzee msiri. Pigo kubwa sana mimi kama pete fan nawapa pole wanapete wote kwa kumpoteza mpendwa wenu. Rest in eternal peace Mama Jinale. Rehema Rajab

  • @sosoalsos9912
    @sosoalsos9912 2 года назад +7

    Rip Mama G nitakukumbuka Sana mungu akulaze mahali pema Peponi akupe kitabu chako na mkona wa kulia

  • @fatumahassan3205
    @fatumahassan3205 2 года назад +6

    Innalillahi waina ilayhi rajiun pole ddngu umetuachia pengo familia tutakumisi sana mungu akurehemu tunahuzuni watu wamsambweni vingujini😭😭😭

  • @lindagrace1597
    @lindagrace1597 2 года назад +1

    Pôleni sana familia 'pumzika salama rehema 'rajabu' mungu akupe kauli njema

  • @maryamhamis4435
    @maryamhamis4435 2 года назад +1

    Allah akujalie upokee kitabu chako kw mkono wa kulia ya rabbi

  • @mwanatumusalim5602
    @mwanatumusalim5602 2 года назад +1

    pole sána mama etu mungu akusaméhe makosa yako uyajuayo na usio yajua kufa kwetu ela wee inauma sana bt kazi yake mungu haina makosa 😭😭😭😭😭🙏

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 года назад +1

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun. Allah akujalie makazi mema. Km mm shabiki wa Pete Nina huzuni mno kuondokewa na muigizaji muhimu mama g. Mbake na safira najua mko na huzuni Sana ila muhimu ni dua tu kwa kipenzi chetu

  • @valentinekaimenyikabubwa2141
    @valentinekaimenyikabubwa2141 2 года назад +4

    Oyeee mama j rip,mbake na safira poleni,for the family who are going through this difficult time may Lord grad you confort

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 года назад +2

    Lala salam mama G mola ametoa na ametwaa mola akufutie madhambi yko ya siri na dhahir kitabu chko kipokee kwa mkono wa kulia.... 2thakumiss sn kwa pete

  • @mikyfosikama8752
    @mikyfosikama8752 2 года назад +1

    INALILAH wainalilah rajiun duh ninakumbuka juzi ulivyotekwa na vitunus ulisema mungu nichukue kumbe nikama uliona kifo chako kikokaribu😭😭

  • @مشاعلالقحطاني-ر5ت
    @مشاعلالقحطاني-ر5ت 2 года назад +1

    Mama jinali tutakukumbuka sana mungu aiweke roho yko mahalipema

  • @mariammkubwa2112
    @mariammkubwa2112 2 года назад +1

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun, polen sana familia ya mama G na polen sana wana pete kwa kuondokewa na muigizaji wenu, pole safira, pole mbake, Allah amlaze mahali pema, Ameen.

  • @fatumachai8595
    @fatumachai8595 2 года назад +1

    Mungu amueke mahali pema palipo na wema peponi

  • @magrathmichael7475
    @magrathmichael7475 2 года назад

    Hiiii jaman mama jinale mungu akulaze mahali pema pepon polen Sana wanafamilia na waigizaji wote wapete.

  • @hamadmwendo6644
    @hamadmwendo6644 2 года назад +3

    INNALILAH WAINALILLAH RAJIUUN ,,,YA RABBI TUNAKUOMBA MPUNGUZIE ADHABU YA KABULI

  • @MariamMohamed-ur4su
    @MariamMohamed-ur4su 2 года назад

    Innalilah waina ilayhi rajiun.... Allah akutulie Nuru kaburin mwako na akuepushe na adabu ya motoni

  • @mariammwendakazungu5783
    @mariammwendakazungu5783 2 года назад +1

    Mungu amerehemu n ampanulie kaburi lake inauma sana mama g tutakukumbuka sana msalimie msiri n muwinda tunusi nae😭😭😭😭😭

  • @kiswaswadu2132
    @kiswaswadu2132 2 года назад +1

    🤔🤔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nenda salama mama G yani nikama ndoto..mungu ailaze roho yako mahali pema..😭😭😭😭😭😭yani inatuuma sana

  • @nashnash154
    @nashnash154 2 года назад +1

    Jameni inaumu kweli mungu ailaze roho yake mbinguni... Wana Pete tunaenda wapi kweli jameni tunapoteza watu wetu sana

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 2 года назад +4

    Innalillah wa innah ileihim rajion Allah Amurehemu na amfrillah yarabby
    Yaa Allah mkirimu mgeni wako umjalie kaburi lake Iwe nimiongoni wa watu wapepeni na umpanulie kaburi lake yarabby...
    Poleni sana wanafamilia ndugu jamaa na marafiki na thamtilia ya pete pia..Allah awajalie subra wakti huu wa huznii.😭😭😭

    • @haniyaswalehmusab4706
      @haniyaswalehmusab4706 2 года назад

      Ameen🤲

    • @christinejaphet7355
      @christinejaphet7355 2 года назад

      Innah lilei Wainna ileyhi raajiun lala salama fada Rehema Allah akusamehe makosa yako akupe makazi mema Inshallah dada.

    • @rahmatahmed1871
      @rahmatahmed1871 2 года назад

      @@christinejaphet7355 Amiin yarabby

  • @naakabwe1595
    @naakabwe1595 2 года назад +1

    Innalillah wainnailaih rajuuuna pigo kubwa sana kwetu wana pete jaman

  • @ummymohamed8811
    @ummymohamed8811 2 года назад +1

    Poleni sn wana familia

  • @hajilaabdallah6860
    @hajilaabdallah6860 2 года назад +1

    Poleni sana Familia y mama jinale n huzuni kubwa kukupoteza mtu kama ww

  • @SaraSara-gi9he
    @SaraSara-gi9he 2 года назад +1

    Innalillah wainnalillah rajiuni mwenyezi mungu amuepushie adabu kali in sha Allah

  • @hajilaabdallah6860
    @hajilaabdallah6860 2 года назад +1

    Inalienable waina ilah rajuun ,mungu aiweke roho yako pema peponi mama jinale

  • @mwanamvua8s988
    @mwanamvua8s988 2 года назад +1

    Innalilahii wainnailahii rajuun..poleni wana pete kwa msimba mzito

  • @twocountrieslady6307
    @twocountrieslady6307 2 года назад +1

    Mwenyezimungu arehemu na amsamehe amueke pahala pema

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 2 года назад +1

    Safira pole sana 😢 😞 jamani mmi nimeshtuka woiiiiiiii🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @meswaleheabdalla9872
    @meswaleheabdalla9872 2 года назад

    Innallillah Wainaillaihy Raj'uun..Allah ailaze roho yake mahali pema palipo na waja wema,ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia...Amiiin

  • @sylivestermachemba5776
    @sylivestermachemba5776 2 года назад

    Poleni kwanini imekua in hivi mungu awafanyie wepesi

  • @margaretmutunge9301
    @margaretmutunge9301 2 года назад +6

    May she rest in peace we lost a wonderful lady

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 2 года назад +2

    INNA LILLAH WAINA ILAYHI RAAJIUUN..MBELE YKE NYUMA YETU

  • @kassimwesonga5751
    @kassimwesonga5751 2 года назад

    Pete actors are getting depleted through this natural attrition. The best movie serie ever in Kenya. Rest in peace Ma Ji

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 2 года назад +1

    Sio razia ni safira

  • @saumukayaa3979
    @saumukayaa3979 2 года назад +1

    Rip.mama.G.Allah.akuweke.mahali.pema.peponi

  • @puritykarisa2290
    @puritykarisa2290 2 года назад +2

    😭😭😭😭😭mama G tuna zidi kukuombea

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 года назад

    Innalillah wa Innaillah Rajuun shoga etu mama g jamani mungu akupenkauli thabit kesho kiyama

  • @fatumamwambewe5569
    @fatumamwambewe5569 2 года назад +1

    Innaalillah wainnaa ilyhi raajioon,jmn seriously 😥😥😥

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 2 года назад

    Pigo kubwa sana jaman polen sana Pete polen sana east Africa

  • @fatumamwambewe5569
    @fatumamwambewe5569 2 года назад +2

    Wanapete poleni,hususan Safira

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭 Maskiniii polee sanaaaa 💔💔💔

  • @بياتويس
    @بياتويس 2 года назад +1

    Poleni sana wana pete

  • @roselynezighe3150
    @roselynezighe3150 2 года назад +4

    May her soul rest in peace. Wil miss you mama jinali😭😭😭😭

  • @فاطمهنزوى
    @فاطمهنزوى 2 года назад

    Pole sana mama jinary mbele yetu na ss nyuma yake

  • @ناجمهحسن
    @ناجمهحسن 2 года назад

    inalillah wainailah rajiuin poleni sanaa pete grp soo hunt

  • @mariamomary7758
    @mariamomary7758 2 года назад

    Polen San wanafamilia ya Pete na pole pia safira dah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 года назад +2

    Sisi wote ni wa Mwenyezi MUNGU na kwake yeye tutarudi

  • @halimamsawe9510
    @halimamsawe9510 2 года назад +2

    Inalilah wainailah rajiun.😭😭

  • @aishajamal4939
    @aishajamal4939 2 года назад +1

    Iñnalillahi wainna ilayhi rajiun

  • @vailethkamanyi2003
    @vailethkamanyi2003 2 года назад

    Zurifa pole Kwa mkasa huu alikuwa anakutetea Sana huyu mama 😥😥rest in peace mama G

  • @nasramohamedy9746
    @nasramohamedy9746 2 года назад +1

    Mbere yako nyuma yetu wana familia ya pete

  • @joanvuguzavuguza1512
    @joanvuguzavuguza1512 2 года назад +2

    Rip mama jinali till we meet again 💔

  • @sheilamuhanda1268
    @sheilamuhanda1268 2 года назад +2

    Waaah tena😢 oh no

  • @lhb2062
    @lhb2062 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @eddahmwinzi
    @eddahmwinzi 2 года назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mama j safiri salama

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭so sad oh my Goodness REST IN peace mama🙏🙏

  • @biommy6700
    @biommy6700 2 года назад +1

    Innalillah wahna ilahy rajioun, mama G

  • @halimamohamed2588
    @halimamohamed2588 2 года назад +2

    Inna lillahi wainna hillahi jajiun

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 года назад

    Innalilahi wainailaihi rajiuni, Jamani!!

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 2 года назад

    M.mungu amrehemu

  • @vivianexaudmaruwa7947
    @vivianexaudmaruwa7947 2 года назад

    Jamani polen rip

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 2 года назад

    Innalilahi wainailehi rajiun safira anahali gani

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 года назад

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni Kwa msiba

  • @rosemarymuchisa1497
    @rosemarymuchisa1497 2 года назад +1

    Why are these people dying?now 3????rip mama G

  • @gracendune575
    @gracendune575 2 года назад +3

    May her soul rest in peace

  • @mpolenasra4786
    @mpolenasra4786 2 года назад

    Tuta kumiss mama yetu jinale mbele yako nyumba yetu rest in peace

  • @نجمهجمعه-غ8ق
    @نجمهجمعه-غ8ق 2 года назад +1

    Inna lilahi waina ilehi rajiun

  • @aoman5214
    @aoman5214 2 года назад +1

    Hii itakua majini hayapend hayo mambo jmn daaah

  • @sumeshmesh169
    @sumeshmesh169 2 года назад +1

    Innalilahi wainna ilayhi rajiun Allah amrehemu

  • @zainabjuma9430
    @zainabjuma9430 2 года назад +1

    INNALILAH WAINAILAHI RAJIUN r u people for real jmn this is a no

  • @marymutheu5471
    @marymutheu5471 2 года назад +1

    RIP mama G ...😥😥

  • @omariomari938
    @omariomari938 2 года назад +1

    Inalilai waina ilai raajni

  • @tumumwakinyezi6679
    @tumumwakinyezi6679 2 года назад +1

    Tena jamani rip mama j

  • @thomathoma3015
    @thomathoma3015 2 года назад

    Too sad to learn that you are no more mama G. What is wrong with Pete? God rescue your people

  • @thenatenehring3895
    @thenatenehring3895 2 года назад +2

    Very sad.. this series has now lost 3 vital people to the series. What will they do?

  • @kissmatdidgemusa6500
    @kissmatdidgemusa6500 2 года назад +2

    Rest in peace Mum ,I will miss you 😭😭😭😭😭😭

  • @aminaqatar5041
    @aminaqatar5041 2 года назад +2

    Innalilah waihnailairajiun

  • @leilamohammed8825
    @leilamohammed8825 2 года назад +1

    Lala salama mama G

  • @maryammagisu628
    @maryammagisu628 2 года назад +1

    Ina Lilah Waina Lilah rajiun

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 года назад

    Polen sana

  • @jeremynjagi346
    @jeremynjagi346 2 года назад +1

    Rip mama G we loved you soo much

  • @fatumasuleiman3526
    @fatumasuleiman3526 2 года назад

    Rest in p.c mama G😭😭😭😭😭😭

  • @mwanajumaomar9555
    @mwanajumaomar9555 2 года назад +1

    Inna Lillah waina ilahi rajiun😥😥😥

  • @abdilatifhassan8461
    @abdilatifhassan8461 2 года назад +1

    R.i.pwe will miss you 😭😭😭

  • @mrimimakulo543
    @mrimimakulo543 2 года назад +3

    May her sole rest in peace

  • @puritykarisa2290
    @puritykarisa2290 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭mama jilani rest in peace mama 😭😭😭😭😭😭

  • @fredmule4590
    @fredmule4590 2 года назад +2

    May she RIP😭😭😭😭😭

  • @bintybweta9604
    @bintybweta9604 2 года назад +1

    Inalilah wainna ilahi rajiun mungu ailaze roho yke mhl pma peponi😭

  • @mwastimsingi9373
    @mwastimsingi9373 2 года назад

    Poreni sana dugu zetu

  • @mwanatumually7312
    @mwanatumually7312 2 года назад +1

    INNA LILAHI WAINA ILEIH RAJIUN

  • @ireneirene8241
    @ireneirene8241 2 года назад +2

    Rip mama G

  • @charlesjoel5875
    @charlesjoel5875 2 года назад +2

    May her soul R.I.P mama jinali

  • @khadijashaban3218
    @khadijashaban3218 2 года назад

    Heee mbona wanaondoka hivi

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 года назад +2

    INNALLILLAIH WAINNA ILLAIH RAJIUNI

  • @ashamwanakombo8074
    @ashamwanakombo8074 2 года назад

    Innalillah wainalillah rajiun mama Jinale

  • @reginachizi6638
    @reginachizi6638 2 года назад +2

    Huyu ni watatu kufa Sasa juxi tu muwinda tunusi alikufa💔💔

  • @mwanakombogodoro141
    @mwanakombogodoro141 2 года назад +2

    Inallillah waina ilahi rajihun

  • @fridamapenzividzo4063
    @fridamapenzividzo4063 2 года назад

    May her soul rest in peace mama jinali..so sad 😭😭

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 года назад

    Innalilah wanna ilah lajihun

  • @mamayao1977
    @mamayao1977 2 года назад +1

    Inna lillah waina ilayhi rajiuun