Gachagua amesema serikali ya Rais Ruto haiaminiki kamwe na imeweka miradhi ya kuwafilisha wananchi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии •

  • @EmmanuelWanzala
    @EmmanuelWanzala 11 дней назад +2

    Uzuri wa Gachagua anapenda kuongea ukweli 😂😂😂😂😂😂😂

  • @gracegathuru5741
    @gracegathuru5741 16 дней назад +2

    Cry 😢 Cry my beloved country kenya 😢

  • @mtangag774
    @mtangag774 10 дней назад

    Yaan Kenya siasa mnachapia siasa yaan

  • @andrewmusa-x1z
    @andrewmusa-x1z 17 дней назад +13

    Akwende na uko..anaongea wakati kimemramba

  • @freegiftdankerosimosota
    @freegiftdankerosimosota 10 дней назад +1

    kutoka Kitengela Town Natazama Live

  • @simonmwangi1730
    @simonmwangi1730 17 дней назад +3

    Alikuwa anafanya Nini miaka 2 kwa hiyo serikali Ile kitu anajua ni kuhubili ukabila tunamuonea 18 ajifuze kuongea kama kiongozi sijawahi ona mtu akiwa amewekewa mlima kwa sahani akaikula kama ugali tuache siasa ya ukabila na watu wapendane

    • @alasiri2275
      @alasiri2275 17 дней назад +1

      Ongea ikutote kababa 😂😂😂

  • @ianjoseph5325
    @ianjoseph5325 17 дней назад +4

    Gachagua took mlima to ruto....wakikosana domo domo ukieda kwa ruto hukujua sio mzuri...ulipoteza wakikuyu wengi naukatusi wale walikuwa na divergent opinion. Wakikuyu erevukeni wachaneni na gachagua tafuteni kiongozi mwingine

  • @ShariffAnwar-i4p
    @ShariffAnwar-i4p 17 дней назад +5

    Wacha ujunga simuuliiba pamoja baada ya kufutwa ndio unajifanya unaropokwa wacha nikuambie ukweli hii Kenya sii ya kabila mbili we have almost 47tribes

    • @madinaibrahim8125
      @madinaibrahim8125 17 дней назад

      Hayo maoni ya RiggyG ni ya raia wa kawaida! 😛😛😛

    • @cyrusmwachuma1073
      @cyrusmwachuma1073 15 дней назад

      Kama waliiba wote mbona mmoja amebaki,c tutaibiwa sana😂

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI 14 дней назад

      What's your tribe😂

    • @madinaibrahim8125
      @madinaibrahim8125 14 дней назад

      @@HAPPYTADEI القبيلة ليست مشكلة.

  • @BensonKamenju
    @BensonKamenju 17 дней назад +5

    Out smarted and out foxed

  • @StevenMaina-s5d
    @StevenMaina-s5d 17 дней назад +4

    Mr gachagua our beloved son chunga kalonzo sana coz kalonzo is one of the political cousine uje kalonzo kwa serikali ako kwa miaka mingi na vigogo wote ni marafikize

    • @JosephNyamai-d9h
      @JosephNyamai-d9h 17 дней назад

      Wewe kama unasaport ruto wachana nakalonzo

    • @TeddAthur
      @TeddAthur 12 дней назад

      Your man should start his own Party like Jaramogi and Kibaki.

  • @halikumbeyemsiwayinga9482
    @halikumbeyemsiwayinga9482 14 дней назад +1

    Mdomo mdomo mdomo mingiiiii? RG Come down please

  • @josephineusui1114
    @josephineusui1114 17 дней назад +3

    Mnapeleka siasa kanisani.the house of God is a house of prayer si siasa

  • @kopantimbe5321
    @kopantimbe5321 10 дней назад

    But what else can he say!

  • @NancyWangui-ft2md
    @NancyWangui-ft2md 14 дней назад

    Ukweli tunalia😂

  • @MangushSharif
    @MangushSharif 17 дней назад +2

    Huyo ni kama tumbiri akikosa bungo husema utungu

  • @TeddAthur
    @TeddAthur 12 дней назад

    This is someone who should have started his own Party like Jaramogi ,Kibaki and Mdvd all were Vps

  • @Baraka-c4d
    @Baraka-c4d 11 дней назад

    Hayoo yote ni vilee alitolewa kwa serkali angekua ndani angenyamaza tuuu

  • @Mwarabukoko-s4t
    @Mwarabukoko-s4t 11 дней назад

    Wewe ndo ulisema ni mzuri tukamchagua hasora tawara 😂😂😂

  • @JanoEvra
    @JanoEvra 11 дней назад

    Gachagua mungu ako na wewe tetea country yako

  • @AgustnoBoaz-m4m
    @AgustnoBoaz-m4m 13 дней назад +1

    Huku kwetu Tanzania Mr Mbowe wa chadema badala ya kujiimalisha kisiasa! anafanya siasa za unafiki vjembe na kulumbana dhidi ya viongozi wenzake wa chama chake chadema! sbb ni kugombea cheo cha uenyekiti wa chama, bila kujari madhira na magumu wanayoyapitia kisiasa Tanzania.

  • @MartinLaban
    @MartinLaban 13 дней назад

    Nyinyi ndio mnafanya Mungu akasirike Sasa siasa kanisani jamani jifunzeni Kwa Tanzania hawawekagi siasa kanisani yawa.

  • @yussufahmed136
    @yussufahmed136 17 дней назад +2

    Mbwa mwitu hunyaganya fisi chakula kubali umenyaganywa na uende zako

    • @willysalome4201
      @willysalome4201 17 дней назад

      You never change the history of Kenya as the former dp of the republic of Kenya

  • @josephineusui1114
    @josephineusui1114 17 дней назад +1

    Hio mdomo yako ndio ilikukula.ugekuwa kwa serikali ugeogea hivi.nyamaza na ukaen nyumbani.

    • @davidngaii3729
      @davidngaii3729 17 дней назад

      Kwani ako Kwa mama yako.....????

    • @willysalome4201
      @willysalome4201 17 дней назад

      Kwani ametolewa juu ya kukutetea kama angekimia saa hii angekua ndani,u have eyes but u r so brind,na vile unahangaika

  • @Cemes-z4k
    @Cemes-z4k 15 дней назад +1

    Mambo yako ni ya ukabila tu. Hutoenda popote

  • @sabatoager
    @sabatoager 12 дней назад

    nyie wote ni wale wale tu ulikua huko hukusema anything 😅😅

  • @aureliasambu3024
    @aureliasambu3024 11 дней назад

    Mimi nakushauli kaa pamoja na raisi myazungumze mnajiaibisha kaa na wwnzio myamalize utakumbuka

  • @douglasmhini4918
    @douglasmhini4918 10 дней назад

    Mwenye hasira ni wewe
    Utaweweseka Santa
    Maisha inaendelea

  • @HAPPYTADEI
    @HAPPYTADEI 14 дней назад +3

    Wekeni tribalism pembeni nyie watu huku TZ mm sijui ata kabila la SAMIA SULUHU ni lipi? But life keeps going we thanks God 😊

  • @kelvinpamba8082
    @kelvinpamba8082 17 дней назад +1

    ...ametutesa hamna anakoenda

  • @Victor-c5r6s
    @Victor-c5r6s 10 дней назад

    While you was in u kept quiet now you're out unatabika shenzi sana Italia mpaka

  • @jobokoth2169
    @jobokoth2169 11 дней назад

    He is employingNyanza teachers

  • @NdikumasaboGodefroid
    @NdikumasaboGodefroid 15 дней назад

    Nani alikwambia Siri Kari inataka ikweli

  • @AntonyMwanzia-p6e
    @AntonyMwanzia-p6e 17 дней назад

    Fact check gachagua u 💯 percent supported housing levy now u want to cheat us just look fools anywhere else

  • @JudithMwinzi
    @JudithMwinzi 17 дней назад +1

    We enda uko .wewe ndio una hasira na familia yako.kikuyu politicians are devisive

  • @ViceAdmiralVasilyArkhipov
    @ViceAdmiralVasilyArkhipov 17 дней назад +5

    Gachagua kitu nampendea ni akikuchukia amekuchukia and he is his own man💯🔥 and is very brave

    • @marrymakoi1588
      @marrymakoi1588 11 дней назад

      Hata akimchukia Bado Mungu anampenda Ruto. Ruto ni chuma Cha Yesu hatingishiki.

  • @VinicentShikoli
    @VinicentShikoli 11 дней назад

    Aede western hatumtaki huku

  • @FelixKiprotich-zb8gw
    @FelixKiprotich-zb8gw 15 дней назад

    Namuwaje siasa kanisani kanisa nkuomba nyinyi

  • @yaya9164d
    @yaya9164d 17 дней назад +2

    Imagine the most tribalistic people in this country lecturing kenyans..

  • @Mboro7
    @Mboro7 12 дней назад

    😮

  • @ShariffAnwar-i4p
    @ShariffAnwar-i4p 17 дней назад +1

    Wacha ujinga my friend kama uliambiwa ukajifanya unajua zaidi we are not fools we Kenyans soo my soo I don't know cald or colld or kold soo friend heee kaa kando hakuna uzuri ukonayo

    • @alasiri2275
      @alasiri2275 17 дней назад

      Ongea ikutote 😂😂😂

    • @willysalome4201
      @willysalome4201 17 дней назад

      Wacha kuitumia kicwa kama kofia,hii Kenya inahitaji watu waongee

  • @PalinaAkhwale
    @PalinaAkhwale 16 дней назад

    Huyu na hizi hasira atabaki na watu kidogo sana

  • @HillaryKoech-q6f
    @HillaryKoech-q6f 10 дней назад

    So???

  • @TimonKipkogei
    @TimonKipkogei 17 дней назад

    Uyo ni buree

  • @ShariffAnwar-i4p
    @ShariffAnwar-i4p 17 дней назад

    So mwaka nenda mwaka rudi tumechoka

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 15 дней назад

    Gashagua una mdomo mdomo sana, halafu kwa nini hoja zako kanisani??? Nani anaruhusu huu ushenzi wa kanisani

  • @hellenbirithia4114
    @hellenbirithia4114 15 дней назад

    Saa hii wewe mukabila ndio umeona ni ya uwongo ondoa undaku hapo

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 14 дней назад +1

    Kwendeni kabisa tulitaka hii itokee kitambo sana, Sasa tuko huru na Ruto, what is kalonzo, muko na ukabila sana.

  • @elijahndiwa5869
    @elijahndiwa5869 17 дней назад

    K😢 a

  • @StartSmall
    @StartSmall 11 дней назад

    😅

  • @cytkl
    @cytkl 15 дней назад

    Lootall= mbwa ya mbeberu charles