MOTSEPE, ADEBAYOR, HERSI & KARIA WASHUHUDIA TANZANIA IKITWAA UBINGWA WA AFRICAN SCHOOL FOOTBALL 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024

Комментарии • 58

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 22 дня назад +6

    Hongera ndugu zetu watanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💚💚🌻🌻

  • @user-rg5me6zt7l
    @user-rg5me6zt7l 23 дня назад +8

    Hongereni Tanzania

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 23 дня назад +4

    Duu,huyu Adebayor kweli ni gigante 🔥🔥🤣🤣

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 22 дня назад

    🎉🎉🎉🎉Kina lookman wa baadae

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 22 дня назад +1

    Fantastic 🎉 ! Unajua hata Brazil ilianza kukuza vipaji Kwa watoto na ikapata mafanikio Sana katika soka naamini as long as Rais wetu kipenzi Mama Samia the way ana support michezo tutafika mbali Tumuombee Afya njema na abaki Madarakani insha'Allah 🙏

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 22 дня назад

      Abaki madarakan kisa kusaport michezo awapi muda ufike asepe

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 22 дня назад

      Abaki madarakan kisa kusaport michezo awapi muda ufike asepe

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 22 дня назад

      Abaki madarakan kisa kusaport michezo awapi muda ufike asepe

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 22 дня назад +3

    Adebayo mguu wa ball

  • @abdallahmnandi3640
    @abdallahmnandi3640 22 дня назад

    Swali ni moja.. Hawa watoto wataendelezwa ama ndio imeisha hiyooo. Maana Tanzania tunafeli sana kwenye kuendeleza vipaji vya watoto.

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 22 дня назад

    Hongera sana kijana uliyeamua mechi ❤❤Mechi ilikuwa ngumu sana

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 22 дня назад

    Aucho kuna kinda kakuona huku njoo uonee 💚🇹🇿💛🇹🇿💛🇹🇿💛🇹🇿💛🇹🇿

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 22 дня назад

    Pongezi kwa hawa vijana 🎉🎉🎉 muhimu watuzwe wasipotee

  • @Auntybetty_tz
    @Auntybetty_tz 22 дня назад

    Hongera Tanzania ya Samia,,hangera vijana wetu

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 22 дня назад

    Wametisha saana Vijana 🇹🇿🇹🇿💚🇹🇿💛🇹🇿💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥲🇹🇿😋🇹🇿😋🇹🇿😋 nawapenda

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 22 дня назад

    Congrats to tz youngeens

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 22 дня назад

    Natamani hii team ingetunzwa kwa mwendelezo hadi ije kucheza afcon tutakapoaandaa 2027

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 22 дня назад

    Inaonekana kuwa WEMA hawakushiki au hawakushirikishwa kikamilifu ktk mashindano haya, nilitegemea wao wangeratibu na kuhamasisha wanafunzi wa skuli na vyuo kuhudhuria kwa wingi katika fainali hizi, wangekuja kuupamba uwanja katika tukio hili la kihistoria kwa Zanzibar kama inavyotokea ktk michezo ya elimu bila ya malipo au ZAHALIFE.

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 22 дня назад

    Hongera Tanzania

  • @Auntybetty_tz
    @Auntybetty_tz 22 дня назад

    Hongera mwalimu

  • @user-zl7bz8wf9v
    @user-zl7bz8wf9v 22 дня назад +1

    Ngoja tuone hawa 5 yrs to come watakua wapi

  • @IbrahimHassan-ex7sn
    @IbrahimHassan-ex7sn 22 дня назад +1

    Hawa ndio wakuwapigania ili iwe timu ya ndoto zetu baadae

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 22 дня назад +3

    Hiv jamani hawa viongozi wa simba wakoje mbona matukio mengi hawashirik wana nini hawa viongozi?

  • @franciscogosbert9603
    @franciscogosbert9603 22 дня назад

    Hao watoto sasa msiwapoteze wasimamieni

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 22 дня назад +1

    Wakenya tushangilieni

  • @user-zr1dv2tb5k
    @user-zr1dv2tb5k 22 дня назад

    Mbona uwanjani kuna watu 40 tuu whay?😢

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 22 дня назад

    Hongereni lkn karia hatumtaku

  • @nasriabdi9046
    @nasriabdi9046 22 дня назад

    lkn vijana wa tanzania ni wakubwa kulio wengine

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 22 дня назад +3

    Wazanzibar hawana muamko wa kwenda uwanjani,ingekua benjamini mkapa uwanja ungejaa kusapot vijana

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 22 дня назад

      Shuda ya zanzibar neno Tanzania hawalipendi jama hujui

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 22 дня назад +2

      ​@shaviercharvinho18 sio kweli, bali hamasa na ubunifu wa kuhakikisha watu wanajaa uwanjani kilikosekana, Hapo ndipo Zanzibar ilishindwa kufanya. Kwasababu mashindano yalihusisha watoto ambao kimsingi hawana majina (umaarufu) katika Ramani ya soka so ilitakiwa ata kuratibu wanafunzi wa vyuo (college) Shule, na Team za Vijana waingie free, au hata wizara ya michezo kubeba Gharama za viingilio lakini wapi 😢😢😢

    • @user-jl5zh6qi2w
      @user-jl5zh6qi2w 22 дня назад

      Zanzibar wanaotegemea tz kila kitu maana wengi wao wazenji niwavivu

    • @issaadinaniissa6487
      @issaadinaniissa6487 22 дня назад +2

      Kilichokzuia wewe usiende uwanjani ndicho killichowazuia wso pia

    • @shedrackshaibu1986
      @shedrackshaibu1986 22 дня назад

      Shida huku hata lig Yao kiingilio buku buku lakin hawaendag uwanjan yaan ule uwanja hawautendeag haki

  • @PeleBoytz
    @PeleBoytz 22 дня назад

    viongozi wa simba akuna kitu ata awajifunzi kwa wengine kilchobaki simba atakuwa kama kizer chief kinacho mkuta saiv by p by tz

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md 22 дня назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯

  • @FakhiRashidi
    @FakhiRashidi 22 дня назад

    Kumbe kuna unakibila ndan yake

  • @EphrancinaBeyanga
    @EphrancinaBeyanga 22 дня назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-tp2lq4bd7o
    @user-tp2lq4bd7o 22 дня назад

    Yupo sahihi wewe na yeye so watanga wote

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 22 дня назад

    Viongozi wa Simba hakuna, duh kweli tumepigwa na kitu kizito

    • @namaraalexmbeikya1491
      @namaraalexmbeikya1491 22 дня назад +1

      Hersi ameenda kama Rais wa Vilabu barani Africa siyo kama Rais wa Yanga

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 22 дня назад

      ​@@namaraalexmbeikya1491Lakini haumvui dhamana ya uongozi wake kama President wa Young Africans!

    • @user-hl7gh8ph8u
      @user-hl7gh8ph8u 22 дня назад

      mwambie huyo anaewaza usimba na uyanga muda mwingi

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 22 дня назад

    I hate this man so called Motsepe, the corrupt ghost!

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 22 дня назад +1

      Usimlaumu motsepe Hana shida mm naona

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 22 дня назад

      @@samwelingasa1638Bahati mbaya hufustilii kwenye vyombo vya habari kuhusu njama za Motsepe na Mamelody yake! Fuatilia ujue alichofanya katika mashindano ya "super cup" na figisu katika draw ya robo fainali ya CAF Club championship quarter.finals!

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 22 дня назад

    Huwez muona mangungu

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 22 дня назад

    Baada ya hapo wanapotezewa

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 22 дня назад

      Kwa watu wenye akili zao mawazo yao hufikiria matokeo chanya (positive) na kutiana moyo kuyafikia malengo. Lakini wenye ufinyu wa fikira mara zote hujikita kwenye matokeo hasi (negativity) kwa kuwakatisha tamaa wenzao na kuzififisha ndoto zao! Hii ni tabia mbaya sana!

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 22 дня назад

    XF xna,

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p 22 дня назад

    hongera taifa tanzania