May God give sonnie wisdom, anyamaze kabisa,, mulumwah is known for seeking attention,, imagine the way this thing rejected the poor child,,nikiwa sonnie hawezi ona mtoto wangu
@@ruthngendo6414 hehee unajua nimeshangaa anakuja kuniambia hivo is as if ameona kuna plc nimeongea vibaya.I sometimes wonder wth some ppl.kuelewa ni ngumu sana kwa watu.kazi yao ni kuruka tu bora wameruka kw comment ya mtu ku attack mtu na hawaja elewa comment vizuri
Why would a man make a video about a woman he is never in a relationship with, and again a woman should not discuss another woman to ashame her. Why are they on Sonnie's case once again?
Sina la kusema but i just wonder how you people are much concerned about other people's stories na zenu zimewashinda,,,hata haujui utalipa rent aje fee utalipaje bt umeekelea moshene story za watu wameonana uchi😢😢if you love Ruth, love her si lazima uongee chafu kwa Carol and if you love Carol msiongelee Ruth vibaya,,this are human beings muachane na wao,,,wanawaexplainia ndio mfanye nini na hamuezi wasaidia uzazi,,,atleast ingekuwa kitu unagain 😢😢😢mashida zenu muache kueka hasira kwa wengine...nkt..
Yaan wewe nikama mm siez mwamini juu ata wagu aliniambia nikishishwa kulea mtoi niede nikule but after two years vile aliona naedealea poa na simpigii simu alianza kushidia atanataka mtoto wake😂😂😂kitu inaedelea apa naelewa kabsaa 😂 Sonnie usijaribu kujibu kitu jifanye hakuna kitu ulisikia 😂😂
Umesema uko na family,labda enye umezaliwa nayo,ukibehave hivi hakuna mke utakua naye,usisahau ata mwenye uko naye mwanamke,kukana mtoto hakufanya kitu poa,and internet never forget mtoto wako atakuja kujua ulimkana
The relationship where there is A baby Mama is tough ,,Anyway I prefer this issues should just be handled with both of this family and no other people 😢anyway I wish them well
Unabore commentator mnapostingi tu content hazimake sence. Vitu negative tu ndio huwa mnaquote. Kazi yenu na kioko ni umbea tu na kuharibia watu familia na brands just bcz you want to build yours. Mko na mabibi zenu na hakuna watu husema kitu about wao but mkiona tu success ya wengine mnatska kuchimba na kuharibu. Grow up comme and fuck off over ppls lives. Juu tu mnataka kutrend ni kuharibia watu maisha. Leave Mulamwah alot and Ruth K as well as Sonnie. Plz Sonnie don't respond kwa hawa vlogers . Love your family and babydady and God will help you. Mulamwa na ruth pia hii udaku ya comme let it not affect you. May God bless you for hustling hard na awaongezeee Comme kwenda ukoooo na utafute content ya kujenga watu na jamii Wewe, Kioko na BTG muachange udaku kuvunja your fellow man's hearts ata kaa ni content tafuteni ya maana... Idiooooott na God atawalipa kwa kuvunja ndoa na amani ya mulamwa ,Ruth na Caro
I hope iyo uji iko kw kichwa itakufikisha kw kiti cha enzi.. Iyo paragraph yote ungetumia kujenga content yko n ukome kutaja comme n kioko, kachimbe kwko bro a full man n uko n wivu n wanaume wengine kanyonge n paragraph😂😂😂😂
Pple dont know Ruth was introduced as the gf Keila akiwa 2months .imagine 2m old .she was the side chick akiwa na ball and they were fighting about her .Presenter Ali reported this story 2yrs ago .go check .nkt
After mulamwah kuongea hivyo vyote kuna ng'ombe azielewi hapaa mnauliza tsuu maswalii..kila mtu afangie kwake jamanii wao ndo wanajua what happened period
The day you decide to put your life on social media,get ready for judgment and depression.People will teach you how to live your life and most of them live miserably 😂😂😂
Nani anataka kutambuliwa huko? Ule alitaka kutambuliwa si alienda? Unaona kama Soni analia? Tell him ashughulike na mtoto wake mwenye mama yake alikufa kwanza aiii mbona haishi nae why?
Team smart girls 🎉 let's support sonnie mpka afikishe 200k
Ruth anajifanya mpole na Mulamwa used to beat carol akiona chat zao na yeye when pregnant for Keila .Let's support Carrol Hadi mwisho
@@Mermaid_720 nipitie
Carol for life 🙏. She's beautiful ❤️😍 and focused
May God give sonnie wisdom, anyamaze kabisa,, mulumwah is known for seeking attention,, imagine the way this thing rejected the poor child,,nikiwa sonnie hawezi ona mtoto wangu
I still stands wth mama Keilah ame pitia mob.Strong walls shake but never collaps❤❤
Heal mbona machungu
@@Mumy2546ni wwe uko mgonjwa kama haujui
Have you had the all story from mulamwa?? If yes and you are steal hating mulamwa then you are a witch
amepitia mengi gani??alisema yeye ni toxic baby mama
@@ruthngendo6414 hehee unajua nimeshangaa anakuja kuniambia hivo is as if ameona kuna plc nimeongea vibaya.I sometimes wonder wth some ppl.kuelewa ni ngumu sana kwa watu.kazi yao ni kuruka tu bora wameruka kw comment ya mtu ku attack mtu na hawaja elewa comment vizuri
Team sonie❤❤❤❤❤
Mi wacha nimind ya kwangu,,after all mi napenda Carol😊😊😊
God keep blessing Sonnie😊
Team carol ❤️😂sasa utakana aje mtoi wako juu ya peer pressure 😂
Coz alisema sio wake.but i think approach ya mulamwa sio poa.ajikaze tu.wataelewana one day
I'm happy caro is doing so so well
The audacity ya ku compare dressing code ya huyo bibi yake na Sonnie.
Mambo ya watu waliguzanisha kasusu😂😂😂achana nayo,,I will be back with my comment😅😅
Kabisa
😂😂😂
😂😂😂😂 banae
Ni vile caro sai ako strong 💪 so hiyo ni wivu tupu
Ata mm nafeel mulamwa ako na wivu....anaumwa
Mimi story na baby daddy ngaii inakuanga drama uweeh🥺😹
mulamwa expected carol atasota mpaka ampiggie magoti ndio alee mtoi.God amebless carol sasa inauma hiyo mumu
True
Very true , akimpeleka kortini ati anafanya content na keila
True
You guys are funny 😅😂
@@lydiamaende3036badala Waka watch upande ya mulamwa
Imagine mtu akupe ball alafu a date mwanamke mwingine ata hujazaa😢 I can't imagine wat carol went through alafu mtu analeta nyenye😂😂
So longers Carol is doing well we thank God stories zingine zitulie kwaza❤❤😂
Why would a man make a video about a woman he is never in a relationship with, and again a woman should not discuss another woman to ashame her. Why are they on Sonnie's case once again?
Because she's making it in life ,what else ?? Kwani is he the only man with a baby mama in Kenya?? Pathooo 🚮🚮
@@dourelasmudamba5098 They are so pained, God will continue to lift her up.
Bila sonie no content 😂😂
Which truth...ujinga tupu 😂😂😂
My love for Sonnie❤️❤️❤️❤️
Mbona Unaji explain 😂😂😂😂
My fellow parents 😂wacheni siasa me as long as my fellow parent Caro is happy am happy 😂😂😊
Mbona hamjiulizi caro and Ruth k celebrated their 100k subs with same outfit but different colours watu wako mboka acha niwashwe na ya kwangu😂😂😂😂
Its coz Mulamwah has a type in women...
@@itsmimi4135 sasa type inaingilia wapi wewe you don't know business tulia wako mboka period✌️
Tell them...😅😅
@@Mobetto397sasa kuzalia mtu bwana ya mwenzako pia ni biashara ama hebu nichanue nataka kunza iyo biz basiii
Ukona hio Akili ama bona unaleta udauku huku😏😏😏😏😏
The more watu wanajiexplain the more tunakuwa confused Hawa watu wote wako mboka guys😂😂😂
Thank God Sonnie is doing well
I love Sonie so much ❤
Mulamwah n ng'ombe 🤦koma carol sii ulikataa mtoi
I can never believe that Mulamwah😂😂😂
Comment nilikua natafta..muongo wa ajabu
Carol for life ❤❤❤❤
The pressure creases
Nomatter the situation,hungefaa kusema mtoi sio wako.
People say things out of anger and then regret later, I’m sure something might have triggered him
@@TheMillenialClub True, manipulation
When a woman is pregnant she needs to be understood..mulamwa dint do that he instead ran and found another girl ,hes so weak
Very true
You said well .wanajifanya malaika sasa vile Carrol aliteseka juu ya huyu Ruth
Ur right dia
Mulamwa and ruth k are narcissist.they are now bitter that carol anaendelea.
Kwani hao hawaendelei, bestie pia anagrow kivyake
Carol achamove on hii ujinga n ya nn
Now i understand why carol said ni yy huoea baby daddy content he cant leave without her
Bado uja heal😂😂😂😂
@@Mumy2546 kwani na huyu kaachwa na Mulamwah?
Si ni ninyi mulikua mnaulizia those qns😅😅😅
Nothing formed against my love for sonnie shall prosper
@@Aristomakaratasiebby imagine,why were they not inviting her when she didn't have subscribers??
@@tanitabonita.Asking same question
😂😂 kweli tear gas zimewa affect sn
@@LydiahJoseph-v7w haha she has realized Soni anaenda kumshinda akaamua kujitoa online mapema ati anaenda teaching looool😂😂😀😀
Team sonnie piteni na like 👍
Sina la kusema but i just wonder how you people are much concerned about other people's stories na zenu zimewashinda,,,hata haujui utalipa rent aje fee utalipaje bt umeekelea moshene story za watu wameonana uchi😢😢if you love Ruth, love her si lazima uongee chafu kwa Carol and if you love Carol msiongelee Ruth vibaya,,this are human beings muachane na wao,,,wanawaexplainia ndio mfanye nini na hamuezi wasaidia uzazi,,,atleast ingekuwa kitu unagain 😢😢😢mashida zenu muache kueka hasira kwa wengine...nkt..
😂 hapo umenena
Team Sonnie forever, mapengo atembelee dentist kwanza
Carrol sonie😍🥰🥰🥰. I love her confidence👌✔️✅☑️and that's why she is glowing🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
weee sisemi kitu since am team Bestie ND team sonnie siongeii akii... Tupitiane
Hakuna reason ya huyu panya kuachana na sonie,ni umalaya tupu,ghasia hii
Mlamuwa ni ng'ombe
Tena saaaana.
Most luhya not all mambo yao ni magumu 😂😂😂😂😂😂 sina maoni for now😂😂😂
Sonnie forever ❤❤
When Carol is happy 😊 am happy too
This Mulamwa is a lier,,,huyu anamake up stories ili aonekane mtu mzuri🥴🥴😏😏😏
Huezi elewa
Liar
Wacha story za jaba..you are a snake
Siwez amini mulamwah 😅😅
Yaan wewe nikama mm siez mwamini juu ata wagu aliniambia nikishishwa kulea mtoi niede nikule but after two years vile aliona naedealea poa na simpigii simu alianza kushidia atanataka mtoto wake😂😂😂kitu inaedelea apa naelewa kabsaa 😂 Sonnie usijaribu kujibu kitu jifanye hakuna kitu ulisikia 😂😂
Sae ndio umejua ni wako,nguok
Nonsense 🙄 tunakumbuka you said kyla is not your child
Exactly
Amesha explain hata wwe sio make na unaumwa😂😂😂😂😂😂
Sonie once said.. her ex hana content bila yeye. Nimekubali baby girl 😂😂
Mimi niko na Ruth K ako na nyota n very mature that’s why anarushiwa mawe coz akona matunda keep going gal Mungu sio Mwanadamu
Something is off 😂😂😂
Ruth Forever ,Mwaah❤️❤️❤️❤️♥️
Umesema uko na family,labda enye umezaliwa nayo,ukibehave hivi hakuna mke utakua naye,usisahau ata mwenye uko naye mwanamke,kukana mtoto hakufanya kitu poa,and internet never forget mtoto wako atakuja kujua ulimkana
ananyimwa chance ya kuona aje na alisema si wake .its just because hawakua wanaespect sonnie apate love mob hivo from people .
,mpaka he is admitting he got many comments coz of denying his child,,and he is after keila to get likes,,,
Wanataka kuiba nyota ya Sonnie no go back unless home 😂
The relationship where there is A baby Mama is tough ,,Anyway I prefer this issues should just be handled with both of this family and no other people 😢anyway I wish them well
Hope Carol will be wise and not engage with them but allow the father to see the baby but content ziii, she's doing well without them
Okuyu na wivu😂😂😂😂
Wivu itawauwa😂😂😂
Wivu itakuua
Exactly, he left her for the dogs. Ata Keilah wanamtaka juu ya content
Na wewe vyenye unajua mulumwah,,hawezi Lea mtoto bila kumweka social,, I'm sure anataka kutumia kasichana apate views
Mambo yawatu waligusana ololo hadi wakatoa mbegu achanayo guys please pitieni kwngu pia mnifikiahe 1k please 😂
100k za Sonnie zinauma Ruth K,Ruth is veeery jealous woman you can see it from her eyes nkt
But u started dating Ruth while sonie was pregnant 😢
Yes .imagine 😢😢😢tears aki
Narcissist ni nyinyi strangers wenye mmeset mind kuchukia MTU hamjui..,Sonnie spoke about mulamwah tu.hiyo hamkuona?
Mulamwa alisema keyla sio mtoto wake
Story ya jaba😂😂😂😂
The fact remains mulamwah is the father to kyla hata sonie akue na wanaume wangapi
Unabore commentator mnapostingi tu content hazimake sence. Vitu negative tu ndio huwa mnaquote. Kazi yenu na kioko ni umbea tu na kuharibia watu familia na brands just bcz you want to build yours. Mko na mabibi zenu na hakuna watu husema kitu about wao but mkiona tu success ya wengine mnatska kuchimba na kuharibu.
Grow up comme and fuck off over ppls lives. Juu tu mnataka kutrend ni kuharibia watu maisha.
Leave Mulamwah alot and Ruth K as well as Sonnie. Plz Sonnie don't respond kwa hawa vlogers . Love your family and babydady and God will help you. Mulamwa na ruth pia hii udaku ya comme let it not affect you. May God bless you for hustling hard na awaongezeee
Comme kwenda ukoooo na utafute content ya kujenga watu na jamii
Wewe, Kioko na BTG muachange udaku kuvunja your fellow man's hearts ata kaa ni content tafuteni ya maana... Idiooooott na God atawalipa kwa kuvunja ndoa na amani ya mulamwa ,Ruth na Caro
I hope iyo uji iko kw kichwa itakufikisha kw kiti cha enzi.. Iyo paragraph yote ungetumia kujenga content yko n ukome kutaja comme n kioko, kachimbe kwko bro a full man n uko n wivu n wanaume wengine kanyonge n paragraph😂😂😂😂
@@stecylilykeyx😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉i celebrate you..
Nani amehurt uyu😂😂
@@misszetech23 I wonder 🤣🤣🤣🤣🤣
Fagia ya kwako buana 😢😢
Team Carol ❤🥰🥰🥰🥰
Sonnie the best,❤❤❤❤
mulamwa anasema he has already made it...hakuna mtu anaweza mfuta kazi...eeeey....the ego!
Mulamwa peleka makende na huko "keilah is not my kid "
Aki kimtu kina ujinga sana
@@fnyaruhanga😂😂 nyinyi ndio mjaheal
😂😂😂😂😂😂
Sasa unatuambia Tudo
Smart girls nifishisheni 50
Pple dont know Ruth was introduced as the gf Keila akiwa 2months .imagine 2m old .she was the side chick akiwa na ball and they were fighting about her .Presenter Ali reported this story 2yrs ago .go check .nkt
Very painful indeed😢😢😢😢😢
Mungu nifundishe kunyamaza
10 loves for 10k subs, 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕Thanks guys. Lets continue, nipitie nikupitie
Nlipitia fika pia
@@mirrybersh5510nipitie
Mulamwa na Ruth all the best. Sonnie was not the one for Mulams wacheni panganga
No need of replying you
@@j.j3601chills bsi😊
Hata huyu sijui mbona sonnie alimpenda.sio league yake saa hii
Trust mulamwa at your own risk
Sasa commentator umeanza fitina
I love sonie❤❤❤❤
Aki mnisamee but luo men some of them ni magombe , kazi yao ni kuruka watoto awapendi responsibilities .
I love both of them though 😊
Kitu hawa wako nayo narcissist , silent killer ogopa ata eri sonnie hu 💥 💥 💥 truth she deserve and god bless her
Sonnie vile amepata followers ❤
We love sonnie....Sonnie is a strong girl
Yani uyu jamaa anaka chini kujieleza vile alikula mzuri matokea ikajipa na juu mulamwa is still children akaruka matokeo
We usijifanye huelewi
After mulamwah kuongea hivyo vyote kuna ng'ombe azielewi hapaa mnauliza tsuu maswalii..kila mtu afangie kwake jamanii wao ndo wanajua what happened period
Unatusi watu wote na wewe ndio moja yao
Vile huyu mwanaume ana pepeta mdomo kama lady.thank God sonnie ako poa
The day you decide to put your life on social media,get ready for judgment and depression.People will teach you how to live your life and most of them live miserably 😂😂😂
Sonnie go ahead mamaaaa ❤
1st born anaelekea 8yrs😂😂😂
Na watu bado wako na nguvu ya kutupa maneno
no satuation can make denie your child ...money is nothing if you can be a father ..
Give them time only time will tell tales
Both of them now the truth......... Team comme mnipitie
You denied your kid publicly
@carol sonnie❤❤❤
Wewe tunyamazie,,, b like bahati,,, mweni ako international School,,,, mpaka unakosa maneno unaaza, kusema tupatane part 2
😂😂😂😂😂sisi waluhya kama ujapele mtoto kwa uwa watambui uyo mtoto mulamwa ako tu sawa
Nani anataka kutambuliwa huko? Ule alitaka kutambuliwa si alienda? Unaona kama Soni analia? Tell him ashughulike na mtoto wake mwenye mama yake alikufa kwanza aiii mbona haishi nae why?
@@j.j3601 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Carol alimuveon and why people are bringing this stories now juu ya mtoi ati anafanana na mzee onjwang mara papa shiradula aki people be good
😂😂😂😂😂mwengine alicoment eti baby Lisa ni ebube kale watoto kanigeria huact thus y mulamwa hakupost resent foto😂😂😂
@@maximillahmakokha3783uzuri walimfananisa na malegends