Na hivyo hivyo tu ndio atarudi kwenu kuwaomba kura ati Mirandi yake inapingwa. Uongo. Pesa anapeana kwa magunia kanisani badala awake kwa hiyo mirandi. Je nauliza? Ni ngapi ambazo anapeana ama anachukua kisiritusioijua. Kenya iko hatalini chini yake ruto
Bure kabisa hatuna watu wanatetea wanainchi noogle
Si muanze uzalendo wenyewe pia..lead by Example
Thanks 2 junet yy hana jabo la kupinga yake inafanyika ya wakenya bado
Miradi hewa
Mshindwe na mungu .
Huyu Hassan ameingia serikali juzi na mdomo umekuwa mrefu mapema sana
Mr.6months hata hakukosea akisema
Joker of the year... why are they not telling him the truth just praising his ego.....God come to the rescue of our country Kenya 🙏🙏🙏🙏
Hatutaki adani
Enda mkadugwe hizo shindano wenyeye shindwe
Kubafu yy mapepo yiyi
Rais sisi tuko nyuma yako
Huyo ni Rigathi na mageges wenzake, wakikuyu saa hii wameumwa sana karibu wapasuke, nahoa sio wakenya wote ni sisi wakikuyu tumekua wajinga sana... 😂😅
Wewe ndie mjinga wacha kusema nyinyi
Bro kiburi yako imezidi. Stop insulting Kenyans. Wewe ndo pepo mbaya.
Na hivyo hivyo tu ndio atarudi kwenu kuwaomba kura ati Mirandi yake inapingwa. Uongo. Pesa anapeana kwa magunia kanisani badala awake kwa hiyo mirandi. Je nauliza? Ni ngapi ambazo anapeana ama anachukua kisiritusioijua. Kenya iko hatalini chini yake ruto
Kama si social media singejua adani