Jinsi ya kusoma PCB na ukafaulu vizuri. Mbinu nilizotumia Dr. Mlelwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Telegram group letu link ni t.me/drmlelwas...
    For more sessions subscribe the channel
    / @drmlelwalectures
    For any concern use WhatsApp or Telegram 0620671231 or 0714483548. Notes are sold in hard copy pamphlets by only 10,000/=. Also use above contacts for the need.
    For discussions and getting past papers and sharing notes from different schools in Tanzania. Join the telegram groups below. Make sure you have telegram in your phone before clicking the link.
    Dr. Mlelwa O-level students
    Platform of discussions, sharing notes and Exam questions for O-level students taking Biology, Mathematics, Chemistry or Physics. Increase your performance in the NECTA EXAMS through discussions with students from many O-level schools in Tanzania.
    t.me/drmlelwao...
    Kwa mafunzo ya compurter online bure kabisa===
    t.me/computerk...
    How to create your own blog at home=== • how to create your own...
    For good themes of website=== • Blogger themes free do...

Комментарии • 84

  • @racheledward3076
    @racheledward3076 3 года назад +2

    Asante kwa ushauri kk ila mm nmechaguliwa shule ambayo kila MTU anasema sio nzuri.. Yan wananivunja moyo kk ila nna ndoto y kuwa daktari

    • @DrMlelwaLectures
      @DrMlelwaLectures  11 месяцев назад +1

      Ukiweza hama, au nenda apo apo kaza msuli kufa na kupona, nunua vipindi vyetu maliza topic zote mapema udaktari huu hapa.

  • @AgnesMartin-c7f
    @AgnesMartin-c7f 7 месяцев назад

    May God be with you 🙏🙏🙏

  • @DevothaLyimo-y4y
    @DevothaLyimo-y4y Год назад

    Asante sana umenipa you make me understand how the advance life is in reality

  • @habibahmuhammed3534
    @habibahmuhammed3534 3 года назад +1

    Shukran dr

  • @mbingaprimary2182
    @mbingaprimary2182 2 года назад +2

    I have started following you .... your such inspiring me dr🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janethjackson2959
    @janethjackson2959 2 года назад +1

    good bro God bless u

  • @SalomeObed-xv1cp
    @SalomeObed-xv1cp 8 месяцев назад

    Thanks for your advice

  • @husseinckiguja5736
    @husseinckiguja5736 3 года назад +2

    Kaka me ni mwanafnz wa form six katika shule ya ilboru high school...huwa nafatilia Sana Channel na huwa inanisadia Sana katika biology haswa...ahsante Sana bro..big up

    • @johnmziray947
      @johnmziray947 2 года назад +1

      Hello

    • @husseinckiguja5736
      @husseinckiguja5736 2 года назад

      @@johnmziray947 yes.... hello

    • @johnmziray947
      @johnmziray947 2 года назад

      @@husseinckiguja5736 daah mwanang hyo shule ya ilboru naikuvali kweli na ninampango WA kwenda hyo shule nipo form four,unawezaj kunsaidia qualifications zao?

    • @johnmziray947
      @johnmziray947 2 года назад

      @@husseinckiguja5736 daah mwanang hyo shule ya ilboru naikuvali kweli na ninampango WA kwenda hyo shule nipo form four,unawezaj kunsaidia qualifications zao?

  • @twhightech1836
    @twhightech1836 3 года назад +1

    Shukran sana kaka

  • @JIHUSISHE_GOSPEL_TV--Pr_James
    @JIHUSISHE_GOSPEL_TV--Pr_James 4 года назад +5

    Bro thanks God bless you tunaomba hata chemistry pia tafadhali

  • @kihangodonald2026
    @kihangodonald2026 2 года назад

    Asante sana

  • @lostcodeofficial5603
    @lostcodeofficial5603 4 года назад +2

    I have really been inspired bro to this

  • @ramadhansungi5056
    @ramadhansungi5056 4 года назад +1

    Enx more bro

    • @DrMlelwaLectures
      @DrMlelwaLectures  4 года назад

      BAM inahitaji sana experience nzuri ya math from o-level. Ila BAM ni rahisi tu, kama hesabu ya o-level

  • @ellenemmanuel7748
    @ellenemmanuel7748 2 года назад +1

    Thanks hv ipi ni vzur kusoma advance serkaln au private .

    • @DrMlelwaLectures
      @DrMlelwaLectures  2 года назад

      Unasoma kokote kaka, ni wewe tu. Ila serikali ni rahisi kuppata loan ukifika chuo

  • @amourussi1648
    @amourussi1648 4 года назад

    Ahsante kwa ushauri wako

    • @DrMlelwaLectures
      @DrMlelwaLectures  4 года назад

      Support our service by sharing our channel link and videos to different people all over Tanzania

  • @fatumahamisi7383
    @fatumahamisi7383 4 года назад +1

    Thanks bro

  • @rauhiyyahhilali402
    @rauhiyyahhilali402 4 года назад +2

    Asante 💔💔

  • @edinawilium6689
    @edinawilium6689 2 года назад

    Your wish is my command, I will do as u say "Almighty god bless u bro"

  • @lucresiashee1289
    @lucresiashee1289 3 года назад

    👏👏👏 thanx

  • @edithaalfred3157
    @edithaalfred3157 3 года назад

    Aaah asante kwa ushauri Mungu akubaliki

  • @Zanda_link
    @Zanda_link 4 года назад

    Ahsante..tunamalengo makubwa kama au Zaid yk kk....tunawezaj kujiunga na group lako

  • @rauhiyyahhilali402
    @rauhiyyahhilali402 4 года назад +2

    Naomba ur contacts 🙏🏻🙏🏻

  • @shedrackassa8065
    @shedrackassa8065 2 года назад

    P1 sana dr

  • @drhezron8098
    @drhezron8098 3 года назад

    Ahsante sana kaka
    Mm nasoma PCB na nina passion ya udactari lakini physics inasumbua kidogo nifanyaje?

  • @janembugi2741
    @janembugi2741 4 года назад

    Ahsante kk. Nipe namb

  • @otmarykalupale9139
    @otmarykalupale9139 4 года назад

    SAWA KAKA THANKS

  • @khadudumovies3379
    @khadudumovies3379 4 года назад

    Asante bro hivi gredi ya kuingia muimbili ni ngapi Mim nipo PCB

  • @mudrikhamad793
    @mudrikhamad793 4 года назад

    Asnte snaa Dr but natka unisaidie ushauri kwmba mm npo PCB nasoma shule bordng lkni ktka somo LA chemistry ktk brach y physical na general chmstry n wla hatotoki so nafnya na nkipitia vitbu sielewi maswal hayaendi plz naomba msaada

    • @DrMlelwaLectures
      @DrMlelwaLectures  4 года назад

      Try to pass through mu videos or contact me 0714483548

  • @annapaschal4055
    @annapaschal4055 2 года назад +1

    Kaka naomba nisaidie namna ya kufaulu vizuri

  • @JIHUSISHE_GOSPEL_TV--Pr_James
    @JIHUSISHE_GOSPEL_TV--Pr_James 4 года назад

    Kaka vp topic ya physics ile ya properties of matter na fluid dynamics

  • @justicembogela4248
    @justicembogela4248 4 года назад

    Mi nipo mbeya na wezaje kukupata. Utufundishe topic za chemistry form five na six

  • @nakfiemwinyi5968
    @nakfiemwinyi5968 3 года назад

    Dr mlela naomba uniunge na group lako form 5 PCB

  • @hadijamnindi6345
    @hadijamnindi6345 3 года назад

    Nitapangilia vp ratiba yangu ili nisome sana hiyo biology na masomo mengine ili niwe na ufaulu mzuri.

    • @DrMlelwaLectures
      @DrMlelwaLectures  3 года назад +2

      Jitahidi usome sana physics na chemistry likizo ili ukirudi shule upate mda wa kusoma bios.

  • @NicholuosShilanga
    @NicholuosShilanga 7 месяцев назад

    Kaka mm na 3 ya 23 ni na c tatu za pcb na weza kusoma 5

  • @johnmziray947
    @johnmziray947 2 года назад +1

    Bro nawezaje kukupata nataka nichukue PCB kuingia form five Niko form four now

  • @verananyaro7901
    @verananyaro7901 3 года назад

    Thanks much bro!!!!

  • @zuenakhalfa2386
    @zuenakhalfa2386 3 года назад

    Bro me bio dah ndo shida alfu likizo nkuwa sina mood ya kusoma kbx

  • @ashakhamis6376
    @ashakhamis6376 4 года назад

    Nilikuw naomb utuonyeshe hata cover za hizo kitabu

  • @juliusthegreat3622
    @juliusthegreat3622 4 года назад +1

    0625915031 tuwsiliane kaka

  • @AgnesMartin-c7f
    @AgnesMartin-c7f 7 месяцев назад

    May God be with you 🙏🙏🙏

  • @MoudinMachungi-yf1eh
    @MoudinMachungi-yf1eh Год назад

    Thanks bro

  • @Anthony-vb6hp
    @Anthony-vb6hp 10 месяцев назад +1

    Thanks bro