TUBADILISHE FIKRA NA MITAZAMO YETU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 июн 2024
  • “Mabadiliko haya ni mabadiliko katika utendaji wetu lakini mabadiliko katika mawazo na fikra zetu mitazamo yetu. Nilikuwa nazungumza na Makamu Mwenyekiti akaniambia wakati anaendesha warsha za watendaji serikalini lakini na wanasiasa, katika kikao cha mawaziri, kati ya mawaziri 27 niliokuwa nao ni 13 au 14 tu ndio walioshiriki kikao kile. Wengine wote aidha halijanihusu au si langu au hivi. Lakini Wakuu wa Mikoa vile vile idadi yao ya kushiriki imekuwa ndogo sana, vivyo hivyo Makatibu Wakuu idadi waliyoshiriki na Manaibu Waziri ilikuwa ndogo sana,”Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.

Комментарии •