Tanzania au Tanganyika yetu muda huuu Haki zinakayangwa na kuvuruga Sheria za nchi yetu kulingana na matakwa yao, kabudu mpuuuuzi sana msomi wa Sheria anajitoa ufahamu Kwa jambo gumu kama hili janga, hakika Mzee kabudu anaongea huku akifahamu ukweli, lkn anajitoa ufahamu mkubwa hakika IQ yake imepotea ktk kipindi hiki kigumu
Pole sana waziri.
Kabudi ni anapepeta mdomo tu,amebambwa hana pa kueskepu😂
Eti munasema Tanzania kuna aman aman inatoka wap
Wahuni wote hao kazi Yao kutetea wahuni
Ww umeshajua para tana magamba Hauna kitu umepoteza kabisa
Kabudi msomi mwenye njaa sana ni bendera inafuata upepo kesha poteza dira
Tanzania au Tanganyika yetu muda huuu Haki zinakayangwa na kuvuruga Sheria za nchi yetu kulingana na matakwa yao, kabudu mpuuuuzi sana msomi wa Sheria anajitoa ufahamu Kwa jambo gumu kama hili janga, hakika Mzee kabudu anaongea huku akifahamu ukweli, lkn anajitoa ufahamu mkubwa hakika IQ yake imepotea ktk kipindi hiki kigumu
KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU SIO TUME YA HAKI ZA BINAADAM MCHUNGUZENI LUSSU KWANZA PAMOJA NA LEMA