Mwakatobe yuko vzr tunamkubal sana ila ajirekebishe kitu kimoja mavazi nguo izo izo movie zote nguo izo izo Hana ubunifu kwenye swala la mavazi apo abadilike
Sijaelewa fundisho la hii mv an inakuwaje mme tumia suluhisho la tiba ya tatizo la bravo kwa daktari ambaye si professional na hatujaona madhara anayo weza kupata. Nafatilia movie zenu nyingi ila hii idea ya final mmezingua kwa kukuwa jamii imejifunza kuwa madaktar wa kienyej ni bora kuliko hospital.
Nakufuatilia sana mwakatobe Mozambique
Mwakatobe ❤❤...hajawai tuangusha akiwa na bravo genius 🔥🔥🔥🔥🔥
Watching Al the way from kenya 😮❤😂🎉 wapi likes zangu watazania na wale waa congo naa Burundi pia pitieni qwangu pia
Wacha mdomo
😅😅😅😅😅
@@edwardngugi3537mpeni 2
@@edwardngugi3537😅😊😊❤❤A
ruclips.net/video/3hdc095kGpo/видео.html&si=_CfA2XR7xt9YKIRJ
Watching from Saudi Arabia but from 🇰🇪 am enjoying watching such movies,,love you all❤❤❤
Huyu mke wa bravo ni Mrembo Masha Allah
Kinyagulaaaaa.....! Mshirikinaaaa...! Wakuluuuuuuh! ❤
Mwakatobe ginus 💪💪💪
Nikweli mwakatobe Ulifika mjini endelea kufanya mambo tuko pamojani @Baharia ugaibuni💪🇰🇪🇶🇦
Bravo umeyatimba jogo apandi mtungi mwakatobe mke wamtu nisumu😁😁😁😁😁🤣❤️❤️❤️🇧🇮
Mwakatobe umepigaje apo 🙌🙌🙌🙌🙌hii imeenda
Uyu dada alie igiza mke wa Govinda anajua kuigiza😂😂😂😂😂
Kweli na huyu kikofoa wanajua sana
Duh yan kitu kimenona hivo nikiache asee siwezi
Eti tangulia nakuja sema ni movie tuu ngekutukana
Hii inatokea ata kwa maisha ya watu yakawaida
Xx km mkono wa suweta afanyeje au unataka adhalilike😂😂😂😂
@@user-dm7mp2uq6u duh nazima taa
Hataona kudadadeki
Mwakatobe yuko vzr tunamkubal sana ila ajirekebishe kitu kimoja mavazi nguo izo izo movie zote nguo izo izo Hana ubunifu kwenye swala la mavazi apo abadilike
Mavazi sio kesi n'a hayana maana usiovu ata badilisha akitaka
😁🤣nikwambie yeye ni comedian so mavazi yake ni ubunifu tosha wa kucheka pia 😂haina ulazima wa kuvaa kigentroman or kibrothear men🙌
Mavazi nini wewe
Hahahahaha uyu mbona ivi mzigo huo ata kidogo kuws na hisia nae ka
Suluwali tatu na boxer tatu afu atuelewi kipindi wahuni😂😂😂😂
😂 movie nzuri sana .... Lakini apo kwa kunyimwa 🎉haki ya bedi sija penda😂😂😂ama hivi mti isimami😅
Sema iyo demu wa bavo Anajua Sana
Naipenda saana baba Tangu Congo 🇨🇩😂😂🤣🤣💯🎉
Ila wanyakyusaa😂😂
Sijaelewa fundisho la hii mv an inakuwaje mme tumia suluhisho la tiba ya tatizo la bravo kwa daktari ambaye si professional na hatujaona madhara anayo weza kupata. Nafatilia movie zenu nyingi ila hii idea ya final mmezingua kwa kukuwa jamii imejifunza kuwa madaktar wa kienyej ni bora kuliko hospital.
Mwakatobe sijapenda njia nzimq unamnyanyasa mwenzio😂😂😂😂😂
Bravoo unaweza kaka❤ from 🇲🇿🇲🇿
Mwakatobe una bayaa ila kalibu kuangalia wasanii wako wanaongea kama wanasoma na akiyandoa inadaiwa mlangoni inabidi muigize maisha halisi jammaniii
Sauda nae hana tabia zaumbea kisura chake kizuri lkn m mbea uyo
Hahahaaa alooo sijui ataacha lini
Jogoo ajanya aaah ajawika
Watching from Nairobi Kenya mwakatobe more fire
Kazi nzuri, ila punguz hizo duration ya transition (mawingu, foleni,)
Mwakatobe 😂😂😂
Mwakatobe bhn et atakupelekea moto uyo mpaka utasema mamaa mamaaa
Ningepata chance mm 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 analia mamamama😂😂
Nipeni like kwaza guys❤❤❤
Mzee wng minakukubali sana katobe❤❤❤😂😂😂
yaani angelikuwa mimi hapo ni kuamkaa chapuu kufanya tendo la ndoa
Mwakatobee😂😂❤️
Bravo unafeli wapiii jogo apandi mtungi aiseeee😂😂😂 pelekea moto mtoto anataka haki yakeeee😊
Huyo mke wa bravo, mashallah
Bravo acha kubana fwatua mkeo atakukimbia hyo
Hivi wewe mwakatobe una mpenzi au mke😂😂
Mmmh mbn swali ilooh anae mbona
@@turnfidennikazo9437 kama anae basi yuamuumiza mbavu maana anachekesha sanaa
😂😂😂😂
Safi sana 🎉🎉🎉
Kibane bane mwisho kiliwe na nyegere 😂😂
Aje kwangu nmpelekee 🔥🔥🔥
SEIWEZ KUA BRAVO 😊
❤❤❤ one love mwakatobe
Bravo lkn unalalaje na nguo nyingi ivo😂😂😂😂...noma sana
Noma
unavyotembea mwakatobe utapata kibiongo 😄😄kaz nzur
From moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu abariki sna kazi zenu
Mwakatobe bila ya ww kakangu movie hainogi😂😂😂😂❤
Kaka toast movie saut kama ile ya kwenye snake boy ilikuwa ya moto sana
Kaka toa movie yenye sauti kama ile ya lwenye snake boy ilikuwa ya moto Sana . Shahid
Ila mwakatobe jmn😂😂😂😂😂😂
Ila mwakatobe😅😅😅😅😅
www dada una saut nzur
So ndio
wakwanza leo jaman 😊😊
By_Director_isha_king B
mtoto wa mama kandu
❤❤❤❤❤❤❤❤
Bravo unajua sana
Kazi nzurii sana
Mi ndo mke wa mwakatobe. Msiniibie mume wangu
😁🤣🤣ivi maisha alis ya mwaka tobe nayo yapo ivi!
Titowatito carlos ,Ninacho kukubali niayo manenoyako ,kutoka Burundi🇧🇮
kumbe ulikuwa na acount nimekupa na nimehamia huku huku kwelikweli
Anakuchambaa😂😂😂
Mwakatobe hana baya🤣🤣🤣🤣🤣❤️
Nimeipendaaa Sana 🙏🙏
Yule bibi mbabu wote wakafa😂😂😂😂 nimecheka sana
😂😂mwakatobe mbana😂
😁😁😁😁😁🤣Bravo umaumwa unala na surwal weye nianisi 😁🇧🇮
Shemegi yako Akikutunuku ruka nae😂😂😂
Kkkkk njo Mozambique bwanaaa mwakatobe
Et Govinda mwakatobe ww ni nyoko 😂😂😂😂
Jamani mwàkatobe wew.😂😂😂😂😂😂 Kwn ulimeza USB.mana si kw kuongea huko😂😂😂
Good good 👍🏾
hahahaha wa mwisho Leo 😂😂😂
Mpake unga kwer upo sawa ikiwezekana mpake upupu hakili imuingie
😂😂😂😂
Noma sanan
Mwakatobe na ushemeji wapi na wapi tenaa?
😂😂😂😂 Mwakatobe 🔥🔥🔥
Huyu mwakatobe bangi sana😂😂
Hope san brooh
Mwakatobeeee's
Nakubali mzeee
❤ajaowa
Mwakatobe hujawahi kuni acha salama😂😂😂😂
Kwa kuigiza nawapa 💯%
Kumbe govinda
Oya mwakatobeeee? ❤❤❤❤
Kkkkkkkkkkkkkkkkkkk😅😅😅😅😅😅 mwakatobe
Mganga wa taifa
Watano apa japo 5 tu
Nice
Umetisha broo
Nakubali KAKA
Mwaka mnyma mkarii😅😅
Mwakatobe naomba taftia muendelezo wake huu akika unaweza endelea
Shemeji yako akikutunuku lukanae chapekeako ni kabuli😂😂😂😂
SIJAIPENDA
ila mwakatobe😂
Alafu kadem kazur unakaachaje