Ndio Maana ulikatalia kunyoa hiyo nywele za mashetani kumbe unajua huko kwa mission wajana n senior rudi kwa mashetani hupatane n kifo chako huko tumechoka kukupembeleza since huingie studio n drama every day mukiwa n huyo dolo wako! Nkt!
Jeremy anajifanya he refused to shave his hair which means he knew what he is doing,and iam sure he will regret soon let him go that is where he belongs
The good thing is you can't mock God remember where you have come from and where Dave has picked you from,if you want to go back just go in peace and leave our Dave alone you don't have respect for you boss shame on you waacha kujifanya
Tungejuwa kama unaniya ya kurudi kwaushawi afazali wange okowa wengine wewe wakuashe mombasa ufiye nauko tumejinyima kwajiliyako ili tuone umerudi kwayesu lakini una tutishiya na kurudi kwaushetani wakuashe .
Kazi ya shetani lazima ulipe. But God gives us life for free What happens to you when you are at Senior Daves studio? Hebu pata wokovu kamili Zingirwa na damu ya Yesu
Kaz n kuchapa boss yako na vzr ameyapitia hadi ufike kwny uko sai😢 ushinde ukitwambia unarudi kw mababu rudi uko maisha n yako bora upatie wengine amani
Wewe Rudi tu kwenye ulikuwa utuajie Dave wetu Kwa amani atherwise tangu uingie hiyo studio vitu inachange Dave amepitia Sana ju yako Na mashetani kila mara .
Jeremy mungu anakupenda but yesterday's night ukufanya poa. Mbona ukapiga bosi nawenzako jamani? Never repeat that in Jesus name. We love you but God loves you more. I wasn't happy
Uamuzi ni wako na njia ni mbili mbele yako changua yenye unataka kuna Shetani na Mungu buh remember nobody can two masters. Dave amekuonyesha njia ya mungu changua kati ya shetani na mungu nani utamtumikia na ujue unachopanda utakivuna.
We don't want to see you karibu n dave rudi kwa uganga wako waja kujifanya ety n kurogwa kumbe huko kwa mission shetani mweusi Sura mbaya wewe! Nenda kuzimu ukachomeke n huko
Jeremy aki ulifanya vibaya sana kuchapa Boss wako na wafanya kazi wezako ugepiga ndollo bt mungu akusamehe lakini Jeremy kumbuka Kwa sheitani akuna Raha kama Kwa mungu kama utansaliti mungu wako urudi Kwa Uganda utapenda chenye mungu atakufanyia nakuomba usirudi Kwa sheitani😢
Jeremy usirudi huko tunakupenda sana na ukiwa na Mungu utaenda far
Ndio Maana ulikatalia kunyoa hiyo nywele za mashetani kumbe unajua huko kwa mission wajana n senior rudi kwa mashetani hupatane n kifo chako huko tumechoka kukupembeleza since huingie studio n drama every day mukiwa n huyo dolo wako! Nkt!
@@PhilesOngono ndio nashangaa mbona anauliza kama aende ama apana c achukue maamuzi mwenyewe aende kwa babu yake sheet
@@Agnesmulongo hakuna mwenye Ameeka hapa kwa kumpembelaza already ashaenda hanapima nabi
Tumechoka sii arudi choice ni take
Shetani hakufurahia kuokoka kwake hesri tumuombee tu
Kwani anatishia nani,chura uoshe upake mafuta itarudi tuu Kwa matope,ng'ombe ni ng'ombe tuu
Ukitaka kukaa küa yesu kristo kaa na ukitaka kurudi ugangani rudi
Wewe kwenda kwa uganga. Kwani unataka kubembelezwa.shindwe pepo nyeusi!😡😡.!unasaidiwa na dave alafu unamgeuka ,,umelaaniwa :!nkt
Huyu ni mchawi tu
Uko na mission mbaya na ndollo hebu rudia mungu na ukumbuke mahali dave amekutoa
Marcus omba na Mungu atakuamulia lakini usiwe kama fisi amua wewe mwenyewe.,. God loves you soooo much daddy 🙏🏾🙏🏾 RESPECT!!
Jeremy anajifanya he refused to shave his hair which means he knew what he is doing,and iam sure he will regret soon let him go that is where he belongs
DAMU ya Yesu ikuondole ukanga ndani yako kwa jina la yesu
The good thing is you can't mock God remember where you have come from and where Dave has picked you from,if you want to go back just go in peace and leave our Dave alone you don't have respect for you boss shame on you waacha kujifanya
Exactly he can go after roll it's his you life and you make sure you live our brother David alone OOO OOO
Jeremy mungu anakupenda....omba sana
Makas pls kaa kwa yesu na ujifunze kuomba but ulifanya makosa kupiga bosi na unyoe hizo nywele pls hii maisha ya dunia sio poa
Eda kwa ugangaa ,but ujue mungu si nguku wa ngulii
Advice is free but decision is your choice. don't forget we love you so much ❤️🙏.
Exactly
Wewe rudi tu juu umeamua kurudi but usitusubue na mambo zako😊
Wee rudi kW nguku wko kma unaona kuna lyf kliko God alikuumba as long as ucisumbue Dave umuache akae na smani na w2 wke
But life ni yako choose what you want 😊😊😊
bona unasubua senior Dave ak
May God protect you,na roho za nguku wa nguli tunazikataa in Jesus name
Jeremy aki tunakupenda usirudi kwa ushetani Jeremy uko akuna faida kabisa ishi kwa yesu mungu anakupenda sana Jeremy
Let him go in peace
I too wonder, why beg someone to remain in salvation, Jesus himself didn't beg people to love him,it's choice@@beaticeMwani
Kaaa kwa mungu na utaishi vizuri kuliko update mingi akusaidie plz tulia
Jerremy Mungu anakupenda sana usirudi kwa shetani
Jeremy Yesu ana kupeda kila wakati itishanga damu ya Yesu iku Procter
May the power of blood of Christ find you throughout your life Jeremy let you know that the devil is always a liar never turn back 👍
Choice is yours do what you want
Usirundi twakupenda
Jermemy don't give up God is with you
Umezoea Ngole Wa Ngoli kukupanda Nyuma So Ume Miss Style Zake Ndio Unamchampa Boss Wako Na Wafanyikazi Wake.....Tafadhali Rudi kwa Bwanako Ngoli
😂😂😂😂😂
@@RushRash hahahaha kabisaa
Arundi kwani tutamumbebeleza shenzi type
Tunakupenda Jeremy mungu amekutoa mbali
Jeremy usiludi please Mungu anakupenda sana endelea kusimama na Mungu
OK my prayers is Jeremy please don't go Back to where you were try to pray hard 🙏
Jeremy God loves u and he cares for u.u are protected by the blood of jesus Christ
we love you so much,plz don't go back there,kwa shetani hakuna Raha
Let him go in peace that is where he belongs Dave has tried so much
Yani jeremy Jana uliamua.kupea hadi boss woo discipline uko na mchezo.pia ww😂😂😂
Kwa nini ulimpiga Dave jana?
Jeremr aki ukibenda tunakubenda na mungu atabariki sana nautafanikiwwa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jeremy aki ukirundi Kwa wa ngole it's a sure bet utakuwa juu uliwasaliti .shukuru mungu wewe uko job
Wee usharudi kwa Uganda wachana na job kwa senior na uende kuzimu
It's your life bro don't stress dave
Wewe Ruti kwa wangoli
Jeremy plzzz Tulia kw mungu n uwache jokes
Nakwanini ulimuoiga Dave
Haraka sana muombe samahani
Tungejuwa kama unaniya ya kurudi kwaushawi afazali wange okowa wengine wewe wakuashe mombasa ufiye nauko tumejinyima kwajiliyako ili tuone umerudi kwayesu lakini una tutishiya na kurudi kwaushetani wakuashe .
Enda ukaange kwa msitu😅😅😅😅na leso ni kama hukutosheka na hiyo maisha....
Wewe jeremy ukona ujinga sana hata unatuchokesha sasa
Jeremy wee kwenda Wacha kusumbuq Dave aklii, NKT
Kazi ya shetani lazima ulipe. But God gives us life for free
What happens to you when you are at Senior Daves studio?
Hebu pata wokovu kamili
Zingirwa na damu ya Yesu
jeremy tunakupenda sana but hufanyi poa, respect your boss and you workmate
Kaz n kuchapa boss yako na vzr ameyapitia hadi ufike kwny uko sai😢 ushinde ukitwambia unarudi kw mababu rudi uko maisha n yako bora upatie wengine amani
Bona ulipiga boss wako jana ucku?
Jeremy tunakupenda pamoja na Mungu kaa kwa Mungu hakuna hasara yote unayotaka atakupea
Inaonekana unapenda saana uchawi na uganga kila mda unaongelelea kurudi kwa kichaka na ukirudi my friend wanaenda kukumaliza kwa 7babu uliwasaliti
Jeremy nakupenda tena sana usirudi kwa ukanga tena aki wewe ni hand some tena sana
Mm kutoka Leo sikupendi
Na mbona ugonge boss wako sasa ĥio ni mbaya sana aki😢😢😢😢😢
Tupishe tuko bz na dangulo wetu
Kwa shetani ni pain na kuhangaika kaa kwa mungu jeremy
Wewe Rudi tu kwenye ulikuwa utuajie Dave wetu Kwa amani atherwise tangu uingie hiyo studio vitu inachange Dave amepitia Sana ju yako Na mashetani kila mara .
Mbona unachapa boss yako
Jerremy Rudi kwenye ulikuwa mbona unaonyesha Dave madharau, we kwenda bwana mi cjakupendaa
Jeremy muko kimoja na na ndolo munajua chenye mnafanya acha kutukulisha njaro
Hatutaki utudi ukoooo kwanini unataka maisha ya shida
Jeremy mungu anakupenda but yesterday's night ukufanya poa. Mbona ukapiga bosi nawenzako jamani? Never repeat that in Jesus name. We love you but God loves you more. I wasn't happy
Siulisema unarundia uganga? Ama ulichange mind?
Blood of jesus🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jeremy ulifanya tu makosa ya kuchapa boss wako mpaka unamyonga ,alafu ukaumiza director na champee hiyo sio poa 😮
Make the best choice of your life
Kwani tunakubebeleza,u can choose the sin but u cant choose the consequences.chaguo ni lako
Kwani hauobangi ndio shetani anakuingilianga kila siku
mbona unapea shetani nafasi kwa maisha yako
Jeremy it's your choice bro kumbuka mahali ulitoka haki imagine shetani hata hana kitu yake bro so take care wache kucheza na mungu haki plz 😢😢
Ulikuwa kwa waganga mbona hukupata hiyo mali na mbona hizo pesa hazikukusaidia??
Uamuzi ni wako na njia ni mbili mbele yako changua yenye unataka kuna Shetani na Mungu buh remember nobody can two masters. Dave amekuonyesha njia ya mungu changua kati ya shetani na mungu nani utamtumikia na ujue unachopanda utakivuna.
Wewe ufanyi vizuri mbona wampiga dave kweli wewe Jeremy ukufanya poa Jana sikufurahia kabisa
Maisha niyako ukitaka kuludi ludi but uwache kuxumbua dave maisha yenye utachagua dio utakaa hiyo niyako tumekumbembekexa yakutosha
We don't want to see you karibu n dave rudi kwa uganga wako waja kujifanya ety n kurogwa kumbe huko kwa mission shetani mweusi Sura mbaya wewe! Nenda kuzimu ukachomeke n huko
Jeremy ukufanya fipoa jana hata kidongo
Sasa kama wataka kurudi siurudi polepole mbona kumwanga vurugo ufanyi poa wewe umtu mzima wajielewa niuwamuzi wako maisha niyako
Mimi sikulazimishii wokovu ni hiari yako,juu hata nikikwambia okoka chalazima na roho yako iko kwa nashetani hapo ni ngumi so decide for your own
Makaz rudi kwa mungu plz juu tunakupenda sana
Wampenda ww nn
Wewe Rudi Kwa uganga
Makas ww unajua job Yako usirudi kaka
Kwenda uko .uko na ujinga kuchapa boss yko Rudi Kwa uganga wako
I love you 💕💕❤
Jeremy don't go back the davil is a lier Kuna watu wanafurahia arudi but put it in your shoes ungekubali ndugu yako arudi
Kwani tunakumbembeleza ukitaka Rudi ,,,wewe huoni mahali Dave amekutoa na wewe unamgeunga
Wewe zi mtoto ukitaka uende but ujue utakipata tu
Ukweli ni kwamba , ulifanya vibaya sana kumchapa ur boss, bfr urudi twambie sababu ya kumchapa
Wewe shinda yako ni kuchapa boss bana, mahali unatoa mshahara imagine
Jeremy waja nikuambie hivi nikqma unataka tukupembelese chaguo n lako kama unataka kurudi kwa mashetani autawai pata amani
Jeremy uko poa but Kuna Pahari unatukosea aki mbna unashkana na adui wa boss yko unampea stress mbna
Wewe unachapa Dave kama mtoto, tajiri wako ulifanya vibaya
Na siurudi😢😢
But kitu nakuomba Jeremy ata ukirudi kwa uganga usije kumsumbua senior Dave alikusaidia wewe utaendelea na mambo yako but usimguze Dave
Sababu ona piiga boss wake fiibo
Plz, it's not favor to stay in Gospel. Even if we don't like your work, convince us about payment NOT GOING BACK. there is power in your tongue
Na si urudi uko Nani ana kupembelenza
Jeremy aki ulifanya vibaya sana kuchapa Boss wako na wafanya kazi wezako ugepiga ndollo bt mungu akusamehe lakini Jeremy kumbuka Kwa sheitani akuna Raha kama Kwa mungu kama utansaliti mungu wako urudi Kwa Uganda utapenda chenye mungu atakufanyia nakuomba usirudi Kwa sheitani😢
Shetland odoke na upepo
Uamuzi ni wako wewe mwenyewe . Maisha ni yako. Tunaweza Sema usirudi. Na wewe mwenyewe umeamua tufanyeje?
Rudi kwa uganga acha kutesa watu hapa ,,kwani unataka nani akufanyie uamuzi
Wee kwenda