PASTOR EMMANUEL EZEKIEL AMJIBU MBARIKIWA MWAKIPESILE 'HUNA MUNGU UNAWEZAJE KUNITUKANA MADHABAHUNI'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 245

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 23 дня назад

    Aksante past Ezekielikwa kumuonya ndugu huyu ubalikiwe pat ukosahihi

  • @rebeccakagemro3166
    @rebeccakagemro3166 Год назад +5

    Wote mnavuna mlicho panda.yesu alipochagua mitume wake,hakuwapeleka chuo cha bible.ROHO MTAKATIFU NDIE MWALIMU WA KWELI.mmemkataa,na kuitafuta hekima ya kibinadamu mashuleni.rudini kwenye maandiko.mjipime na neno la Mungu.mtajua kua wote bado mnahitaji neema ya Mungu ili mpate kuingia.mungu awabariki.

  • @nipamdingi9440
    @nipamdingi9440 7 месяцев назад

    Mbarikiwa zingatia huo ushauri mzuri Pr Emmanuel anaokupa. Nimekufuatilia ssana! BAADA TU MSIBA WA MWANAO WOKOVU NIKWELI HAUKO SAWA, UNAUMWA NENDA MIREMBE UKATIBIWE. NARUDIA TENA! KICHWA CHAKO HAKIKO SAWA! KATIBIWE MIREMBE HOSPITAL. MUNGU AKUELEWESHE ZAIDI🙏

  • @julietsaru6972
    @julietsaru6972 Год назад +4

    Vyeti havitawapeleka mbinguni! Jueni hivyo watumishi! Hata wewe hiyo siyo njia ya kukumea ndugu yako. Hicho bado ni kinyume cha maandiko. Uko na uchungu ndani yako, na roho ya kugonganisha. Sihukumu yeyote, na wala sitasimama na yeyote, ila mjue Mungu pekee yake ndiyo mhukumu wa haki! Tubuni nyote watumishi!!! Nawahurumia😢😢😢

    • @EdnahKigola
      @EdnahKigola Год назад +1

      Kwakwel vyet havimpelek mtu mbingun ni ziad ewe mbarikiw endelea tu Mungu atakupigania elim sio tiket ya kwend mbingun

    • @EdnahKigola
      @EdnahKigola Год назад +1

      Uong bhn serikal ndo chanz cha matatiz

    • @wawamasengeti5598
      @wawamasengeti5598 Год назад

      Sasa ndugu yangu vyeti ungesema vyote Ni vya wapi na muda wa course, hata uokoke zaman au karibuni haijalishi Mungu tu ndio ajuaeee jman daaah

  • @SamsonBarazingiza
    @SamsonBarazingiza Год назад +3

    Mbarikiwa lejea Mungu

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Год назад +2

    Usiangalie umli mungu hazoeleki

  • @rossembwambo5573
    @rossembwambo5573 Год назад +3

    Zaidi mtubu ,mungu hasomewi,mitume wa yesu walienda shule wap.

  • @elicanaambweni8666
    @elicanaambweni8666 8 месяцев назад

    Kha Yesu akirudi ataikuta Imani,he dhambi ninini,hivi kunanini Nawaz nchi zote lmani zimekuwa siasa kama hapa kwetu uwii

  • @venancekibiki558
    @venancekibiki558 Год назад +3

    Mbarikiwa ni Mtu wa Mungu

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf Год назад +1

      Mbarikiwa ni mtu WA mungu hababaiki Wala so mtu WA vyeti

  • @BakariAlihaji
    @BakariAlihaji 21 день назад

    Ukristo sio dini ya mwenyewe mungu ndio tatizo

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya Год назад +3

    Nafurahia kutuonyesha vyeti vyako mpendwa wa Mungu, naomba kujua Musa alikuwa na vyeti vipi. Rudi kwenye Neno. Ushauri sii amri.

  • @johnmsigwa7783
    @johnmsigwa7783 Год назад

    Wachungaji wa MUNGU acheni magomvi. Pambaneni kuhubiri injili ya Kristo YESU. Niwaombe muache migogoro. Nawaonya mnayoyafanya mtakwenda kujibu, yupo Mungu anatusubiri.

  • @AminaMichaels
    @AminaMichaels Год назад

    Mmmmmmmmmh mungu atusaidie

  • @simonmsimbege-ty7yk
    @simonmsimbege-ty7yk Год назад +4

    Mbalikiwa kanisaidia Sana Mimi kiroho namwelewa Sana acha Mambo yako ya ajabu fanya kazi yako mhukum wahaki anakuja ira mbalikiwa katubadilisha wengi tulikuwa wahovyo Sana wachafu Sana natulikuwa tunasali MUNGU ampe hekima naakili nyingi naunyenyekevu naujasili mwingi mbalikwa

    • @jacksonmwasibila9310
      @jacksonmwasibila9310 6 месяцев назад

      Sawa lakini anacho wapandikiza ninyi sio ucha Mungu, ila ni uchungu na uadui na watumishi wa Mungu, pia serikali.

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Год назад +2

    Karibu kajifunze Kwa mbarikiwa.

  • @LoveMeAgain-u5e
    @LoveMeAgain-u5e Год назад

    Utumishi ni wito na ni unyenyekevu kwa Mungu Wewe ulieitwa Kuna vitu3 moja Kuna mtu kuteuliwa na Mungu kuwa mteule mtu huyo aliyeteuliwa na Mungu huyo mtu ni Hatari mbili Kuna mtu kulenga manufaa yake mwenyewe kupitia wahumini Tatu Kuna mtu kuona bhanae njia hii siyo sahihi wacha nianze na Mimi nimtumikie Mungu kwa uaminifu kulingana na changamoto za maisha na kutamani awe Mtumishi wa Mungu hayo ndio na ndio sehemu ambazo = = = Vyeti mbinguni vimejaaaa asikwambie mtu unaweza kuwa na Vyeti ukawa Ni - - - na unaweza kuwa huna cheti ukawa Ni - - - kwahiyo hebu Mungu akusamehe Tu na Kama sisi tungekuwa Mungu anakumbuka Makosa Yetu Mimi ningekuwa na semi 100000 zilizojaaa lakini Mungu wetu ni wahuruma Sana Tunamkosea tukiomba msamaha🙏anasamehe

  • @jacksonmathayo3859
    @jacksonmathayo3859 Год назад

    MUNGU Awape Hekima, MUNGU Awape Utaratibu , MUNGU Aamue Myoyoni Mwenu, Watu watajua Ninyi ni Wanafunzi Wa YESU Mkiwa na Umoja , Kama yalivyo Makanisa ya Watakatifu Wote MUNGU Si Wa Mchafuko Bali Wa Amani

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 Год назад +4

    Wenye vyeti ninyi ndyo wabaya Sana mmesababisha waumini wenu kuwa masikini Sana alafu ninyi mmenufaika Sana na vyeti hivyo ni jeuri Sana ninyi wazazi wetu wameshindwa ata kutupeleka shule kwa ujanja ujanja wenu wa mavyeti hayo

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Год назад

    Wewe ndo uende mirembe mwache mtumishi wa mungu

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 Год назад

    Kwa kweli Mungu Aturehemu. Nimegundua kuwa wapo watu wamechanganyikiwa hawaelewi maana ya Kusoma Theology. Unaposema Utumishi siyo vyeti unamaanisha nini? Lazima kusoma ili kuweza kuwaongoza watu na Hekima ya Kimungu. Ipo namna ya kuongea na unaowaongoza na hii inafundishwa. Tuache Ushabiki katika Neno la Mungu.
    Mtumishi uko sahihi kabisa na nunakupongeza sana kwa kuisoma Theology. Nakuomba uachane na huyu anayekukwaza maana utajikuta unatenda dhambi.
    Tuombe sana maana Kanisa lina mzigo Mkubwa sana.

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 Год назад +1

    Dah natamani angesikiliza! Ila unyenyekevu siyo kitu rahisi. Mungu amsaidie

  • @marrybnyato6088
    @marrybnyato6088 Год назад +2

    Najikuta nakupenda kipesile ubarikiwe tu

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 Год назад

    Hata yesu mwenyewe hakusoma chuo chochote cha bible.

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Год назад +2

    Mbarikiwa ni mbabe sana ...akae chini ajitafakariiii sana

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 Год назад

    Injili ya Yesu sio ya amani

  • @helenamasinjisa1217
    @helenamasinjisa1217 Год назад +1

    Mtumishi wa Mungu hasifiwi cheti

  • @doricemwalukasa6699
    @doricemwalukasa6699 Год назад

    Hakuna haja ya watumishi kugombana. Mungu tusaidie hizi ni nyakati za mwisho.

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 Год назад

    Hahahahahahaha nimecheka sana sana Mungu atusaidie sana

  • @lxstudiotz
    @lxstudiotz Год назад

    Mimi ndio niaemfahamu mbarikiwa vizuri kuliko mtu yoyote Tanzanian! Kichwa chake hakipo sawa toka zamani sana!

  • @nehemiahmtamboh1360
    @nehemiahmtamboh1360 Год назад +1

    Mnafundisha nini waumimi kama mnalinganishiana byeti mungu hana elimu ya dunia piganieni kuokoa roho za watu

  • @kitinepigfarms152
    @kitinepigfarms152 Год назад +1

    Mh!!! Mdogowangu mwakipesile rudi nyuma jitasimini, kugombana na selikari na kugombana na watumishi wenzio haijengi, maisha ya kujiamini kupita kiasi haifai kunawakati ukubali kushauliwa

    • @EdnahKigola
      @EdnahKigola Год назад

      Kwakwel kubal tu kukaa kimy ndo jb tosh pia

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 3 месяца назад

    Yesu weee watu wamungu Yesuwe munatutia ayibu

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Год назад

    Hata Yesu alipiwavuruga wafanya biashara sokoni alionekana mwehu !! Gospel true !! Au true Gospel ?? Msomi anaboronga lugha !!? Ila Kweli Husemwa bila mipaka !! Maana hata Yohana Mbatizaji alimwambia Mtawala..Herode ukweli..!!

  • @estawilison1372
    @estawilison1372 Год назад +1

    Kaz ya mungu vyet havina maana hata kama Ni vyet 1000

  • @meshackkatindasa3869
    @meshackkatindasa3869 Год назад +1

    Jamani. Tumchunguze vizuri mbarikiwa.
    Uya kijana hana neno la mungu ndani yake.
    Angekuwa na neno la mungu ndani yakejua kwamba hapaswi kujihesabia haki. Na kuwaona wengine kuwa bora kuliko yeye, kama inavyosema.
    Nawashauri watu wake, ambao wanamwita baba. Waombe kwa mungu awafunulie mwenendo huyo mchungaji kama uko sawa au la

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 Год назад +2

    Mbalikiwa inatakiwa abadilike.

  • @shikombetvshikombe897
    @shikombetvshikombe897 Год назад

    Bado hujamwelewa mbarikiwe acha kazi ya kumjibu huyo ni jembe la YESU hayo makatasi yako yasikupe ujasiri wa kumkoaoa mtumishinwa Bwana. Kama wew ujui kuonya acha mbarikiwa aionye serikali na jamii kwa ujumla.
    Ajidhaniae kuwa amesimama aangalie asije kuanguka

  • @AnnAMilima-eo4me
    @AnnAMilima-eo4me Год назад +1

    Kwann msiitane mkaambizanq live?hv mlishawah kuona watumishi wa katoriki wanashambuliana?

  • @shikombetvshikombe897
    @shikombetvshikombe897 5 месяцев назад

    Emmanuel
    Rudi msalaban ninyi hamwez kuelewana never
    Hapo mmoja ni forward mwingine ni beki.

  • @AmosSambe
    @AmosSambe Год назад +3

    Mbarikiwa mpaka Sasa simuelewi kabsa mm

    • @petermwenda6470
      @petermwenda6470 Год назад

      Hukuwahi kumielewa

    • @helsonjonathan
      @helsonjonathan Год назад

      Uyu jamaaa point yake nini hasa maana naona analalamika tu 😂😂😂😂😂

    • @MusaLakwai
      @MusaLakwai Год назад

      Umuerewi kwa rip au na wewe ndio walewale

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Год назад

    Mbarikiwa safi sana na tunampenda sana Yani sana. Unamjuwa mbarikiwa vizuri rakini. Acha mambo Yako wewe ndoo unapotosha watu. Huwezi kujiringanisha na mbarikiwa. Ni mtu. Wa mngu. Na ameokoa wengi. Wewe umeokoa wangapi

    • @hildandumbalo5827
      @hildandumbalo5827 Год назад

      Makanisa mengi sasa hivi ni ya chuma ulete sio la Mwakipesile

  • @johnmsigwa7783
    @johnmsigwa7783 Год назад +2

    Badala ya kuombeana tuna laluana. Niwaonye acheni mara moja

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Год назад

    Wewe ndoo hujui kabisa huna rorote.

  • @nelsonzebedayo8281
    @nelsonzebedayo8281 18 дней назад

    Mtumishi ,inawezekana uko sahihi au hauko sahihi.ilikua haina haja ya kuonyesha vyeti!Kwani uchungaji ni vyeti?Nahapo ndipo mnapo potea kwa sababu uchungaji wenu hautokani na Mungu Bali unatokana na mamlaka za kidunia ndomana kila mkikaa mnaonyesha vyeti!

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Год назад

    Wewe huwezi kujiringanisha. Na mbarikiwa.

  • @mazibondahamika5857
    @mazibondahamika5857 3 месяца назад

    Mwakipesile anataka kuonesha anamtumikiya Mungu kwa nguvu zake zote na hana malezi na wala haelewi hata Imani yake ni nini.wala hajuwi ukristu ni nini na uislamu ni nini ana babaisha babaisha tu wala hana hata historia na uelewa dini yoyote.

  • @Rev.MbwanaJ.R-dp3gi
    @Rev.MbwanaJ.R-dp3gi Год назад +1

    Pride itakupeleka jehanam..mbinguni watu hawaendi kwa vyeti vya kitaaluma..

    • @simontamba2189
      @simontamba2189 Год назад

      Mwambieee
      Daudi
      Kumbe una mwanasheria ? Sio Mungu ayaaa bhanaa ola siku zinakuja

    • @simionsteven5618
      @simionsteven5618 Год назад

      Sikilizeni enyi watu!, Vyuo vya biblia ndivyo vimeleta upotovu, kama neno LA mungu lingetufikia moja kwa moja kutoka kwa mungu tusonge yaona haya tunayoyàona Leo.

  • @raphaelnkulamasala108
    @raphaelnkulamasala108 Год назад +1

    Unatumia nguvu nyingi sana lakini hauna nondo kutushawisha Acha tu

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 Год назад +1

    Tutangulize upendo tu Kwa wenzetu kwani hatutaona mzigo wa maneno Kwa mtu yeyote na ndio kanuni ya kuwa rohoni.

  • @AmosSambe
    @AmosSambe Год назад

    Kweli kabsa

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 Год назад

    Ivyo vyeti Roho mtakatifu ndo kakupa ao yesu mwenye?

  • @ADAMsSILINDUs
    @ADAMsSILINDUs Год назад

    Nikweri mwakipesile alianza vidhri sana mwanzon lakn kwasasa.kugombana na watu adii serikali inayo kutawala viongozi wote mala wa chungaji Ameacha kubili watu wa mjue mungu anapiga siasa adii madhabahun. Nimkolofi huyo jama anatumia nguvu mda mwingi kuongerea watu vibaya

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Год назад +2

    Halafu nikweli mwakipesile wenzake ndio wanakosea yeye hakosei akikosoa wanzake wananyamaza ukimkosoa yeye sasa nivita

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Год назад

    Weka vyeti😂😂

  • @hassanmadinga4704
    @hassanmadinga4704 20 дней назад

    Bora umshauri maana simuelew kazi yakumtumikia Mungu hataki hasira,kuwachafua watu nayo ni dhambi

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona Год назад

    Jaman,nyinyi watu wa
    Mungu,unashangaaa sana,kwann wewe usinyamaze kimya,kama umesoma,singe tafuta watu pamoja, mkaa????

  • @AllyKimeshu-cb5qc
    @AllyKimeshu-cb5qc Год назад +1

    Mungu haangalii vyeti vyako anaangalia moyo safi na utayari 🤦

  • @NgomeYaUfalmeWaMungu
    @NgomeYaUfalmeWaMungu Год назад

    Kusomea sio maana ya kuwa umeokoka au unamjua Mungu ,mitume au Yesu alisomea wapi nionyeshe kitabu gani

  • @VictorAdamu-cf3ih
    @VictorAdamu-cf3ih Год назад +1

    Bas huja mgugo vzl mbarikiwa mwakipesile .yeye ni Mnya chusa wa Tukuyu kaishia Darasa la Saba s/m Majombo prmry school kaishia lasaba kazaliwa Mwaka 1983 Mke wake anaitwa Salome Mwampeta kazaliwa Mwaka 1986 jamani niviana wadogo safal bado anayo ndefu.Mumuombee

    • @josephamani
      @josephamani Год назад

      Mbalikiwa Hana hekima bia Hana elimu yoyotr na ndiyo maana kachanganyikiwa

  • @IvoFransis
    @IvoFransis Год назад

    Cheti hakisaidii. Moyo wako😊

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 3 месяца назад

    Niatari kabisa ngo vyeti roo wamungu anaga masomo

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 Год назад

    Kwan Yesu alisoma wapi 😂😂😂😂

  • @techcharlesandrea33
    @techcharlesandrea33 Год назад

    Hahaaaa kuwa na miaka mingi sio kigezo kijana

  • @TumainJackson-r8g
    @TumainJackson-r8g Год назад

    Kweli huyu mwakipesile anamdomo sana wakupime ubongo so mzima mwakipesile

  • @techcharlesandrea33
    @techcharlesandrea33 Год назад

    Displine haisomewi babaaaaa elimu ya MUNGU haisomewi. Hiyo ni elimu ya wazungu sio ya MUNGU. Mmefundishwa unyumbu.

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 Год назад

    Kweli shetani ananguvu

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 Год назад

    Uliwai kuona vyeti vya paulo,musa,petro,matayo,yohana? Ivyo vyeti vina waletea kiburitu.

  • @barakamwamtenga2448
    @barakamwamtenga2448 Год назад +1

    Mbona sikuelewi wewe kijana imanueli

  • @madafajulius3257
    @madafajulius3257 Год назад +1

    Achana na mchungaji mbarikiwa wewe, huyo ni mchungaji wa nyakati, wewe umesoma kitugani, Watu wanaamini alipo MUNGU sio vyeti

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Год назад +2

    Ila watumishi msilimbane jamani lkn pia mbarikiwa asitumie mudaaaa wa ibada kuwaswma watu wengine sio vizuri watu Wana matatizo wanahitaji uponyajiiii ww ni kuongea tuuuu! Mbarikiwa badilika bwana

    • @jacobkulaya6062
      @jacobkulaya6062 Год назад

      Mbarikiwa sio wa mwaka 1977 huyo mdogo sana 1984 hadi5

  • @denispaulo1295
    @denispaulo1295 Год назад +1

    BWANA Yesu wasame watoto wako wanalingia vyeti hahaha haha jamani siku za mwisho izoooooo

  • @SahauMwazembe
    @SahauMwazembe 2 месяца назад

    MUNGU anatishika na utakatifu na si kingne MUNGU ATUSAIDIE SANA

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA Год назад +1

    BWANA YESU ASIFIWE ! Pasto Emmanuel Ezekiel kwanza nakupa pole ila nadhani pengine unakosea namna ya Kumshauri Mwakipesile labda inatakiwa kuomba Ushauri Kwa Yesu ili tusijetukashauri kimazoea ikawa tupo kiakili wakati suala ni la Kiroho mno.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Год назад

    Umesoma unavyeti lakini huna elimu hata tundurisu alimuambia mwanasheria mkuu kwanza unaonekana umeramba asali

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo Год назад

    Watumishi Acheni Kurumbana Ninyi Ni Watoto Wa Baba Mmoja Fuateni Mfano WaYesu.

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Год назад

    Mbarikiwa Tangaza neno Achana na
    Kusema sema Watu sio poa

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 Год назад

    Popo anajitetea pumbafu kabisa kwahiyo vyeti ni sifa ya maadili pumbafu sana

  • @farouqjaku951
    @farouqjaku951 Год назад

    WHAT GOES AROUND COMES AROUND-UKISHI KWA UPANGA UTA KUFA KWA UPANGA.KINACHO ZUNGURUKA HURUDI MZURUNGUKONI.

  • @NajvanNilivan
    @NajvanNilivan 6 месяцев назад

    Hahahaha mnagombania wateja au

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j Год назад

    Wote wawili watubu wanamkosea Mungu maana neno la Mungu linasema tupendane kama yeye alivotupenda Yesu Yohana 13:34

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 Год назад

      Sio kweli, sababu huyu mmoja anyejiita jina la nuru kumbe ni malaika wa giza ndio shida,na neno linasema hakuna shirika kati ya nuru na giza , pili Hana upendo wa kristo Maana hafati amri za Yesu,Ansema mtu akinipenda atazishika amri zangu

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 Год назад

      Yesu anasema adui yako akiwa na njaa mpe chakula ,ana kiu mpe maji,ila hajasema adui yako shirikiana nae,tena huyu mwakipesile ni adui wa imani kwani anapotosha injili ya Yesu, mtumishi gani mwenye matusi,hatii mamlaka , foolishness

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 Год назад

      Mwakipesile ana agend ya shetani kuleta namna nyingine ya injili ambayo Paul anaandika Kwa warumi kwamba ikiwa malaika au yeyote akihubir injili nyingine na alaaniwe, sasa huyu ana LAANA YA KRISTO hatakuwa na AMANI hata kidogo maana sio ROHO MTAKATIFU, Bali roho Yule wa KUZIMU, Shetani

  • @hamisijuma8124
    @hamisijuma8124 Год назад

    Kaishafungwa mkundu wake anatukana wachungaji wa mungu

  • @SadickAlly-jm5sr
    @SadickAlly-jm5sr Год назад +2

    Masifa unayo kaka, hata wewe hauko sawa

  • @yustoerioth2756
    @yustoerioth2756 Год назад

    we bwege tuu

  • @mkritowamungu
    @mkritowamungu Год назад

    Hata ungekuwa na vyeti Mia kama hautendi haki lazima uambiwe na kukanywa mm namwamini na ww kama njia zako sio sahihi rekebisha maana muda wa rehema bado unao.

  • @ainekishagodwin1877
    @ainekishagodwin1877 Год назад

    Chungen kondoo wa Mungu sio kushinda mtandaoni

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 7 месяцев назад

    Kiukweli huyo jamaa anamatatizo makubwa sana,Sasa katika kwa wakristo,viongozi wa siasi.sasa atahamia kwa wasanii wa Dunia na kwa waisilamu.

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Год назад +1

    Ni kweli mchungaji, huyo jamaa alikuwa pale sinza kwa bishop Deo Lubalo

  • @sofiaantonioantonio7265
    @sofiaantonioantonio7265 Год назад +1

    Nhamaza usimjibu mshitakia Mungu!

    • @lindakapongo8421
      @lindakapongo8421 Год назад

      hata wewe hunyamazi tu kwani ukinyamaza kama yesu hutaitwa muchungaji nani huyo mnamchunga

  • @donypastor475
    @donypastor475 Год назад

    Jamani nynyi watumishi mnakwenda wapi nyinyi badala ya kumpiga shetani mnapigana nyinyi kwa nyinyi 😃ngoja tuone mwisho wenu

  • @MariamBashilu
    @MariamBashilu Год назад

    We baba wa hivyo kumbe au umetumwwa chunguzwa wew kwanza

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Год назад

    Mbona uzinzi hujasema?

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 Год назад

    Hayo ni makaratasi tu cheti kipo ndani Mungu

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Год назад

    Katika neno la mungu Hakuna usomi ubiri yako. Vyeti hata vingekua elfu kumi. Peleka njaa huko.

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 Год назад

      Unakose ,usiwe mchochezi wahili jambo toa ushauri ndugu yangu

    • @DONALDMTOWE-u9g
      @DONALDMTOWE-u9g Год назад

      @@lightnessgamasa6039 Sijakosea chochote utumishi hauna vyeti kina Mathayo Yohana Ezekia na wengine walisoma wapi?, hao walio mfundisha yeye walitoka mbinguni?, aache njaa na wivu uliokoka 2003 uliza kina Kulola walianza injili lini?. Au kupata smatphone ndio uokovu umezidi?.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Год назад

    Vyeti bila hekima bure kabisa uchungaji ni tasisi tu ni ajira acha kujingamba. Mwache Mwakipesile afanye kazi ya Bwana toka shika adabu yako unatumika wewe

  • @frbm1729
    @frbm1729 Год назад

    Sasa mbona umemkasirikia mbarikiwa.

  • @elizabethmafuru5338
    @elizabethmafuru5338 Год назад

    Dunia umefikia mwisho mnatufundisha nn

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Год назад

    Yesu alikuwa na vyeti?

  • @SylvesterKing-pc3ku
    @SylvesterKing-pc3ku Год назад

    Vyeti ?

  • @barakamwamtenga2448
    @barakamwamtenga2448 Год назад

    Sasa hivyo vyeti vinakusaidia nn

  • @servantmosesmunuve2687
    @servantmosesmunuve2687 Год назад

    Ukona masomo lakini tofautisha masomo na Mambo ya kiroho,Kama dhambi inakashifiwa kwa Nini mnachomeka? Mkona uzoefu wa systems za dini lakini maovu yakitendeka mlikua kimya haiwezekani haki ikihubiriwa mnapiga kwa kujidai mmesomea church discipline.kwa hivyo wacha kiburi.