MTENDAJI wa RAIS SAMIA AMKABIDHI MAMA NYUMBA ya KISASA -ASEMA PICHA ya RAIS INAMUELEKEZA cha KUFANYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 май 2024
  • MTENDAJI wa RAIS SAMIA AMKABIDHI MAMA NYUMBA ya KISASA - ASEMA PICHA ya RAIS INAMUELEKEZA cha KUFANYA....
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 52

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  18 дней назад +4

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 18 дней назад +6

    KWA UTAPELI WA WAFANYAKAZI WALIO WENGI WA SERIKALI MPAKA NIONE AKIPEWA HATI NDIO NITAAAMINI😅😅😅😂

  • @janelugano1448
    @janelugano1448 День назад

    MUNGU akubariki raisi wetu Dr Samia Suluhu Hassan.

  • @user-ny2fu8bu2u
    @user-ny2fu8bu2u 17 дней назад +1

    Jamani global nawapangela na mama samia ongera na huku jamani kiji cha mvuha mkoa moro yuko bibi anapatashida mumfikie anana pakukaa mje muumsaidiye jetutawapata wapi

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 18 дней назад +1

    Ni kijana mdogo,ameanza vizuri, licha ya Elimu aliyoisema, ana uongozi ndani yake .
    Mungu azidi kukutangulia

  • @Kadiam726
    @Kadiam726 18 дней назад +4

    Jamani naomba nihamie tanzania😂😂

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 18 дней назад +2

    Mfatilie hatma waandishi, 27M zenji ni kiwanja tu😢

  • @devothakalanda9740
    @devothakalanda9740 17 дней назад

    KIONGOZI BORA MWENYE kutenda HAKI.Mungu akubariki .

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 18 дней назад +3

    Big up nice

  • @RehemaMgongwe-di3yf
    @RehemaMgongwe-di3yf 18 дней назад +2

    Honger sana mama samia

  • @mashakambugi6730
    @mashakambugi6730 18 дней назад

    Hongera sana Simon kwa kazi nzuri, Hakika binafsi najivunia wewe kuwa miongoni mwa wanafunzi wangu.

  • @ashaashaa8039
    @ashaashaa8039 17 дней назад

    Milioni 7 ni sawa

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 18 дней назад +1

    Hongeara sana mama yetu Samia🎉🎉🎉

  • @ashaashaa8039
    @ashaashaa8039 17 дней назад

    Million 7 au 27 sio kweli

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 17 дней назад

    Mashaa Allah

  • @RehemaMgongwe-di3yf
    @RehemaMgongwe-di3yf 18 дней назад +1

    Kwa umairi wa kujar watu sio wengine asinge jar ilikuwa imetoka

  • @BonkeyJames
    @BonkeyJames 18 дней назад

    Hongera Sana comrade na mtendaji wetu mwenye vision na Kata yetu ya Bwawani na nchi kwa ujumla umeni inspire Sana nizidishe juhudi katika utendaji wa majukumu kwa wakati na kumshirikisha Mungu🤝

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 18 дней назад

    Maashallah

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 18 дней назад

    Utafika mbali kwa kuwasikiliza wananchi

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 18 дней назад

    Ila asijali sana maana watu wakipata huduma nae atapata baraka kwa mungu

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 18 дней назад +1

    😀😀😀😀KAZI hindelehe raisi anawaona

  • @zainab8251
    @zainab8251 18 дней назад +2

    Masha Allah ❤❤❤❤

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb 18 дней назад +1

      @zainab8251 mashallah nyumba nzuri

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 18 дней назад

    Sio mbaya ila ni bora wangemjengea hata vyumba tatu sio 2

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 18 дней назад +1

    MashaAllah

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 18 дней назад +1

    Na hayo mazao ni nani sasa

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 18 дней назад +1

    27m?

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 18 дней назад +1

    Nice

  • @LegnantMbata
    @LegnantMbata 18 дней назад +2

    24

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 18 дней назад +1

    Mitano tenaaaaa

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jonathanmanyaga4357
    @jonathanmanyaga4357 18 дней назад +1

    Bado eneo la kupikia

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 18 дней назад

    Nyumba ya vyumba 2 ni milioni 25 , hiyo sawa?

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 18 дней назад

    Nyumba mbona ni sub standard mngejenga vyumba vitatu

  • @subiralema
    @subiralema 18 дней назад +1

    Mngemuwekea na fanicha jamani

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 18 дней назад

      Fanicha alikua nayo toka zamani hii nyumba inamtosha Hongera sana mama Samia

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 18 дней назад +2

    mama anaonekana mwenyeji kwenye hii nyumba hata hastuki

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 18 дней назад

      Wengine hawana moyo wa kushtuka kwa chchte wapo tu kawaida

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 18 дней назад

      ​@@salmamlokela1987mimi nina dadangu hata iweje yeye huwà halii kabisa,hata afiwe na nani,yani huwa anaangalia tu,hana chozi hata.😂

    • @theresiagideon2178
      @theresiagideon2178 18 дней назад

      @@israelkisaila8401ni kweli kila mtu ameumbwa tofauti na hisia tofauti mwingine ana namna yake ya kufurahi na namna ya kuumia, unaweza kuona mtu halii kumbe moyoni anaumia sana. Na huyu mama ana furaha sn tuu huenda hata camera zilimfanya azubae tuu.

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 15 дней назад

      Jmn 😅😅​@@israelkisaila8401

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 18 дней назад +1

    jmni Tanzania Mungu Tunakushukuru mno. Asante sana kutupa walu viongozi na Rais wtu huyu. sio nchi nying wanafanya haya. Na pia sio kwa sababu sie Tanzani ni wema lakini ni Huruma Zako eh Mungu Baba yetu Mkuu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 18 дней назад +2

    Nyumba haiendani na thamani ya kiwanja kilichotolewa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 18 дней назад

    Propaganda za uchaguzi

  • @yanyikawaterwelltanzania9600
    @yanyikawaterwelltanzania9600 18 дней назад +2

  • @LegnantMbata
    @LegnantMbata 18 дней назад

    24