Kikweli hii Tanzania tunaitaji watu kama awa 30 tuu utapeli hunge Isha kabsa mh Jerry slaa mungu akutunzee sana ongera mh mama yetu Samia kama co ww kuteua waziri
Huyu Mwamba Alitaka Kumzulumu jamaa yangu V8 mpaka ingoma iliingia Ikulu ndio akatoa Gari huyu Jamaa ni Mbwa mwenye meno Makali ana mfumo Serikalini Mpaka umpate umefanya kazi Sana ana mtandao mkali Sana kuanzia police Viongozi
Jembe siraha songa mbele jembe tunakuombea kwa Mungu...
Barabara Majowe Viwege Zimealibika Unalijuwailo Kamaulijuwi Ndoivo Kama Unajuwa Tutengenezee Barabara Wewe Ndombunge Wetu " Muogope Allah"
Alex msana bwana yesu asifiwe kenge wewe umewazulum wasanii wa injili umeamua ungilie na viwanja sasa nizam yako
Kikweli hii Tanzania tunaitaji watu kama awa 30 tuu utapeli hunge Isha kabsa mh Jerry slaa mungu akutunzee sana ongera mh mama yetu Samia kama co ww kuteua waziri
Huyu Mwamba Alitaka Kumzulumu jamaa yangu V8 mpaka ingoma iliingia Ikulu ndio akatoa Gari huyu Jamaa ni Mbwa mwenye meno Makali ana mfumo Serikalini Mpaka umpate umefanya kazi Sana ana mtandao mkali Sana kuanzia police Viongozi
Mheshimiwa pole sana utasikia vilio vingi kutoka kwa wananchi waliodhulumiwa Tz kwa dhuluma za ardhi ndo wenyewe
Umemlipa au hujamlipa daah safi sana mh.
Alex msama tapel sna akifa anlaan ya madeni na dhuruma za watu wengi sana mimi mwenywe kanidhurumu
Ewe mungu wa mamlaka yote,mkinge waziri slaa na maadui na shari zao zote,mkinge juu na chini kulia na kushoto!
Kazi unayoifanya Waziri ni wachache saana wanaweza kuifanya,nakuombea kwa Mungu akulinde na akutie nguvu na ujasiri zaidi, Amen!
Sasa mbona sauti inakatakata
Alex safari hii Umekutana na Chuma Cha pua
Kwani alex ni nani serikalini?
Matapeli wameingia 18 za waziri
Kakutana na Kinkong😂😂😂
😂😂😂😂alex msama alishawah kuniuzia kiwanja baharin kumbe maji yalikuwa yametoka yalivyo rudi ni baharin,simpendi
Kuna mwingine huko huko Kigamboni anaitwa Godo
Rais alitakiwa awafunge hawa watu wanaiba na kuwafukuza kazi kama alivyokuwa Magufuli ndo watu ataenda sawa
Kwani huo utapeli unadhan kaanza mwaka gani..magu hakua anamuona au